Accendo Tz | MWANADAMU | Official Video
Вставка
- Опубліковано 1 гру 2024
- The song explains the fall of Man into sin, and how redemption was found through the precious blood of Jesus Christ/
It finishes by a prayer on seeking a new creation from our God, bountifully as His will, so we may keep His commandments then be justified by faith, as the victory is from the cross.
Wimbo huu unaelezea anguko la mwanadamu dhambini, na jinsi alivyokombolewa kwa damu ya thamani ya Yesu Kristo.
Unahitimishwa na ombi kwa Mungu, apate kutuumba upya kama yalivyo mapenzi yake, tuweze kuzishika Amri zake na tupate haki kwa imani, kwani ushindi unapatikana kupitia damu iliyomwagika msalabani.
Video production : Director Josh
Audio Production: BJBrand
Video production Studio: JCB studioz
Ahsanteni sana marafiki na wadau wote wa Mziki mnaoendelea kufuatilia nyimbo zetu.
Msiache ku Subscribe, kutoa comments na zaidi ya yote kushare kazi hii iwafikie wengi.
Check us on Instagram @accendo255 instagram.com/invites/contact/?i=l8osr4davyr0&
Amen
nkiyibona mpise mbakunda. unu ntangiye kubakurikirana for every thing!!!!!!!!
Imana ibakomeze kandi ibahe umugisha
nawapenda sana jamani kazi zenu ni nzuri sana Mungu awatie moyo sana
Hongereni sanaaa vijana hakika MUNGU anatukuzwaa Kupitia nyimbo zenu🙏🙏
Kazi nzuri sana.
Napenda namna mnavyoimba.
Yan tangu Naskiliza wimbo wenu ule wa Asubuhi Iliyo Njema dah niliwaelewa sana.
Salute Kwenu Accendo Tz
Bass tone 🙌🏾🙌🏾🙌🏾🔥Mamaaaaaaaaaaaaa 🎶🎶This is wat i call Good Music . Congratulations Accendo tz
Mungu awabarki mfike mbali zaidi tukutane mbinguni watumishi
Mungu aendelee kuwatumia kuwafikia wengi kupitia nyimbo zenu, mnatubariki sana🙏
Hongereni sana accendo tz kwa kazi nzuri...Mungu awabariki
ujumbe wa wimbo ni zaidi ya wimbo wenyewe, mbarikiwe
Nice music 🎵 kbsaa sabato kwanza jmni
Ringingbell nawaelewa, barikiwa sana na Bwana 👊
The song is lit🔥 mubarikiwe Accendo🙏🏾
Mungu Baba utuumbe upya kama wewe upendavyo.... Amen
Ninafurahi sana pale ambapo tunamtumikia Mungu kwa njia ya nyimbo....hongera Accendo tz kwa mwimbo mzuri mwenye kusisimu, muende mbali...the bass master is so impressive
Kazi nzuri sana mbalikiwe Wajoli wa Mungu
First to Comment!!😅😀💪
@@erickmsuguli2225 sasa jee leo n zamu yang hahaha
Accendo tz
You are the beat.... u are blessed in abundance with that super BASS
Nimependezwa na nyimbo zen
Hongeren pamoj n bass nampat vizr
Wow.! Congz
Amina Amina, ujumbe mzuri, mpangilio mzuri. Mbarikiwe. Kazi nzuri
Amen tupate kuzshka sheria
Kod tam sana msalim malengo
Wimbo huu ni mzuri sana!
Mbarikiwe sana
Wimbo mzuri sana
Mbarikiwe na Radha tofauti na vikundi vingi
BASS Ni hatari safi sana.
This is very touching and amazing. Mungu awatendee mema!
Amenn
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🙌🙌🙌🙌 be blessed Fam
You guys be blessed so much... love ur pure music ❤❤❤
Ooooh wow y've made it so Great may the Almighty God bless you Abundantly y've Blessed me.......!
Accendo.. you're a Blessing 🙏
Baraka tele nawaombea, songeni mbele ushindi ni hakika. Asanteni sana 🙏🙏
Nawakubali sana.
The bass is something else😫😫afu kuna huyo alto
In short you guys are just a vibe❤
Ooogh nice nice
Noumaaa MUNGU AWABARIKI
Ooh I Praise God for you . God Bless you abundantly
Mubarikiwe aiseee
Accendo accendo accendo 🔥🔥🔥🔥🔥🔥 one word for you guys ( incredible) chairman heavenly voice tz
Lets praise God vijana🙏
Mungu awabariķi sana ndugu zangu Accendo na aendelee kuwatumia kwa kazi yake.
So colourfull
Wooow this is soooo amazing. God bless you guys. Listening to you for the first time from Kenya. Goosebumps. This is blessed music. Barikiwa zaidi
awesome
awesome
surely be blessed with a special message, the set sounds are a medicine for the poor of the heart that heareth
Bass thou
Blessed
Wow good harmony
What a blessing
Be blessed for de good song,,and nice rhythms
Ombeni the base uko vyema bro
Nomaaaaaa
Amen Amen🙏
Amen, mbarikiwe Accendo
Ameeen 💞
❤❤❤
Next level 🙌🙌🙌
Hatari na nusu
woow💕 blessings
The song has a good message
What a blessing.... Keep the good work guys!
Amen
God bless you Accendo
I really love the vocals😘
Aminaa
Be blessed💥
💥🔥🔥🔥💥
Blessed
Blessed indeed
That bass nico among the best songs accendo this one💥💥
nzur
Mmmh.....
Sauti nzuri bt wimbo hauna uwepo kabisaaaaaaaaa!!!!!!! Msiimbe kimazoea au kuonekana..
Wewe wasema