This song is beyond 2024, iko 2060 na uko. Very funny, educative and just very thoughtful for today content creators. That scene ya ku confuse toilet and kitchen got me off guard
This was a hit back in 2009 i rem it remained at number one Spot for a while on 98.4 capital FM Top 9 @ 9 on hit's not homework when Joey muthengi and Dj Joe mfalme were the hosts back then ..Golden times!!
There's a time we had Lucas of Ogopa, Tedd Josiah, Robert 'Rkay' Kamanzi, Eric Musyoka, Ambrose 'Mandugu Digital' Akwabi and Tim Rimbui doing great music production. Gone are the good days. Sahii ni taka taka tunaskiza
song is about this one chick who drives them crazy, makes them do stuff that isnt real to impress her like renting penthouses,borrowing friends cars, borrowing cash,she can make them rob a bank , etc everywhere they go pple askig them to pay up their debt! gosh didnt realise translation this difficult an i jus summerised! will organise for the lyric...
bouje bouje bouje bouje avec ca amenichanganya avec ca ata kama sina naweza vunja bank juu yake bouje bouje bouje bouje avec ca amenichanganya avec ca ata kama sina naweza vunja bank juu yake Verse 1 (French Boy) masaa alini-show ban jichunge na huyu dame unakatia juu utafanya vitu huwezi fanya sikudhani mi napatikana sasa nimenoki huyu dame sasa nimenoki huyu dame sijui nim-floss-ie na Monte Cristo cigar za Uncle Sammy ama kama ni drinks ma-shots za Famous Grouse whisky ama niende kuomba funguo za ndai kutoka ma-boys ili nionekane dume kwake Chorus (French Boy) bouje bouje bouje bouje avec ca amenichanganya avec ca ata kama sina naweza vunja bank juu yake bouje bouje bouje bouje avec ca amenichanganya avec ca ata kama sina naweza vunja bank juu yake Verse 2 (Swaleh) nakodesha nyumba nzuri ndio kukae kama kwangu naweka nguo kabati viatu kwenye korna chupa za wine niliomba kwa Marvo kila kitu iko safe so mi namkaribisha kitu sikujua ni milango ya nyumba hiyo alitaka kwenda choo nikam-direct jikoni kugeuza hiyo blunder nikam-surprise na wine akacheka tu nikam-show mlango ya choo Chorus (French Boy) bouje bouje bouje bouje avec ca amenichanganya avec ca ata kama sina naweza vunja bank juu yake bouje bouje bouje bouje avec ca amenichanganya avec ca ata kama sina naweza vunja bank juu yake bouje bouje bouje bouje avec ca amenichanganya avec ca ata kama sina naweza vunja bank juu yake bouje bouje bouje bouje avec ca amenichanganya avec ca ata kama sina naweza vunja bank juu yake Verse 3 (French Boy) akanifanya niwe na madeni akanifanya niwe na madeni akanifanya niwe na madeni akanifanya niwe na madeni akanifanya niwe na madeni mtaani nikipita waskia wee bana wapi ganji zangu wapi ganji zangu akanifanya niwe na madeni mtaani nikipita waskia wee bana wapi ganji zangu wapi ganji zangu Chorus (French Boy) bouje bouje bouje bouje avec ca amenichanganya avec ca ata kama sina naweza vunja bank juu yake bouje bouje bouje bouje avec ca amenichanganya avec ca ata kama sina naweza vunja bank juu yake bouje bouje bouje bouje avec ca amenichanganya avec ca ata kama sina naweza vunja bank juu yake bouje bouje bouje bouje avec ca amenichanganya avec ca ata kama sina naweza vunja bank juu yake
Kama uligrow ukiwatch hii hit kwa The Beat gonga like. Gen Z aside.
Kam unaiskiliza 2024 weka comments tujuan
2023 can someone trace these boys for us we DEMAND them back in music industry
Wee,they must be 40s or 50s saii
@@geopoliticskenya nah! 🤣 not 50s.
this song was waaaay ahead of its time, production-wise speaking!
Wako wapi?????
@@dianakilonzo3947 no idea
Especially the meaning of the song...now we understand slay queens
@@nyatidistillersyoh mnacomment mpaka 14years later😂
Heard this song juzi tu after so so many years nikakuja kutafuta video 😂
2024 and it still hits ❤
They don't make songs like this no more.such a classic its never gets old
Robert warobi kiss top 7 at 7 nostalgia music of the 20th century ogopa djs didn't dissapoint those years we enjoyed it fully.......
Every single song that swaleh and French boy have done together is a hit. Very nice.
Ogopa Deejays have never made a mistake when it came to mastering a track. And this is one of the best!
This song is beyond 2024, iko 2060 na uko. Very funny, educative and just very thoughtful for today content creators. That scene ya ku confuse toilet and kitchen got me off guard
The original bad and boujee!!
yaaap
Verrry trueeee
Welcome to the Kenyan Music Archive
Who still listens to this jam lately..
2021
@@carolinemwikali3121 Lazima Leo niiskize
🎶🎶🎶
2022
The mastering of this track is SICKKKK! ✨🎹💯
i love this track..
Me too Avril
I love it too
Avril kenyaa long time
Respect from Tanzania 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
I still think this Kapuka Era had some very catchy and better songs and beats than today.......2019
The Beats and videography was far ahead of its time
phew ! I can finally rest nimetafta h ngoma for 3 years or so
This was a hit back in 2009 i rem it remained at number one Spot for a while on 98.4 capital FM Top 9 @ 9 on hit's not homework when Joey muthengi and Dj Joe mfalme were the hosts back then ..Golden times!!
Walienda wpi Hawa wasanii 😭😭😭
Pia kbc ketau express show ...Ilitesa sana
0:18 The drums on this jam just turn me on!
There's a time we had Lucas of Ogopa, Tedd Josiah, Robert 'Rkay' Kamanzi, Eric Musyoka, Ambrose 'Mandugu Digital' Akwabi and Tim Rimbui doing great music production. Gone are the good days. Sahii ni taka taka tunaskiza
Unasahau aje Clemmo
@@conradmbugua9098 Clemmo not really
@@mfalme-oy3kq 🤣🤣 True. Clemmo was not on the level of the producers you have mentioned. hawa walikuwa level ingine.
Unasahauje Clemo WA Calif..unless wewe ni WA uptown purely
@@barrysila3729 never really ranked Clemmo as a prolific music producer
Wangapi bado tumechanganywa 2019?
They don't make them like this anymore, whatever changed we will never know 😢
Nimekumbuka mbali mpaka nalia kwa upendo 😢😢😢 nimemukumbuka kaka
song is about this one chick who drives them crazy, makes them do stuff that isnt real to impress her like renting penthouses,borrowing friends cars, borrowing cash,she can make them rob a bank , etc everywhere they go pple askig them to pay up their debt! gosh didnt realise translation this difficult an i jus summerised! will organise for the lyric...
Walienda wapi
What are their social media accounts
Masa alinishow, jichunge na huyo dem unakatia😅2023
In 2020 still better than current Kenyan Hiphop.
This song takes me back to high school... Goddamnit
It took me 7 years to search for this song . ..smh.. nostalgia
That beat...what! Lucas Great job. Ogopa still has Kenyan on lock! Historians hapo fiti.
Waah historians, deux vultures,longombas,kleptomaniacs waliwakilisha kweli,kuna time machine turudi hizo enzi
I wish aki. that was some good music back then.
Ngoma za zamani zilikuaga Poa Sana kuliko za kisasa
Who is watching 2019
DUO had the midas touch. No bad songs
HISTORIANS JUST KEEPING IT KENYAN LIKE BACK IN THE DAY!!! LOVE THIS TRACK
Nakumbuka huyo dame back in high school we used to go crazy for her
Historians Hits...2018!
Wuuueh how did I make a trip down nostalgia lane, I love it
Where are THEY walienda wapi???They predicted the future
Hii ngoma huwa kali
One of my favorite from back in the day 🔥 🔥 🔥 💪🏾 🏆 🏅 🎖️
these guyz know what they are doing man
Guess who is back to this song
The beat on this song was 🔥🔥🔥🔥🔥
this beat bana .... so fire
Ikr..I just love the intro
@@clothe4527 yeaa!! the intro is so good
bouje
bouje bouje bouje
avec ca
amenichanganya
avec ca
ata kama sina
naweza vunja bank juu yake
bouje
bouje bouje bouje
avec ca
amenichanganya
avec ca
ata kama sina
naweza vunja bank juu yake
Verse 1 (French Boy)
masaa alini-show
ban jichunge
na huyu dame unakatia
juu utafanya vitu huwezi fanya
sikudhani mi
napatikana
sasa nimenoki huyu dame
sasa nimenoki huyu dame
sijui nim-floss-ie na Monte Cristo cigar
za Uncle Sammy
ama kama ni drinks
ma-shots za Famous Grouse whisky
ama niende kuomba funguo za ndai kutoka ma-boys
ili nionekane
dume
kwake
Chorus (French Boy)
bouje
bouje bouje bouje
avec ca
amenichanganya
avec ca
ata kama sina
naweza vunja bank juu yake
bouje
bouje bouje bouje
avec ca
amenichanganya
avec ca
ata kama sina
naweza vunja bank juu yake
Verse 2 (Swaleh)
nakodesha nyumba nzuri ndio kukae kama kwangu
naweka nguo kabati viatu kwenye korna
chupa za wine niliomba kwa Marvo
kila kitu iko safe so mi namkaribisha
kitu sikujua ni milango ya nyumba hiyo
alitaka kwenda choo
nikam-direct jikoni kugeuza hiyo blunder nikam-surprise na wine
akacheka tu
nikam-show mlango ya choo
Chorus (French Boy)
bouje
bouje bouje bouje
avec ca
amenichanganya
avec ca
ata kama sina
naweza vunja bank juu yake
bouje
bouje bouje bouje
avec ca
amenichanganya
avec ca
ata kama sina
naweza vunja bank juu yake
bouje
bouje bouje bouje
avec ca
amenichanganya
avec ca
ata kama sina
naweza vunja bank juu yake
bouje
bouje bouje bouje
avec ca
amenichanganya
avec ca
ata kama sina
naweza vunja bank juu yake
Verse 3 (French Boy)
akanifanya niwe na madeni
akanifanya niwe na madeni
akanifanya niwe na madeni
akanifanya niwe na madeni
akanifanya niwe na madeni
mtaani nikipita waskia wee bana wapi ganji zangu
wapi ganji zangu
akanifanya niwe na madeni
mtaani nikipita waskia wee bana wapi ganji zangu
wapi ganji zangu
Chorus (French Boy)
bouje
bouje bouje bouje
avec ca
amenichanganya
avec ca
ata kama sina
naweza vunja bank juu yake
bouje
bouje bouje bouje
avec ca
amenichanganya
avec ca
ata kama sina
naweza vunja bank juu yake
bouje
bouje bouje bouje
avec ca
amenichanganya
avec ca
ata kama sina
naweza vunja bank juu yake
bouje
bouje bouje bouje
avec ca
amenichanganya
avec ca
ata kama sina
naweza vunja bank juu yake
Big up
still awesome .. dec 2023
my good old days in form three....i miss Kenya :)
this guys are good. they take time to release a track but when they do it is is always a hit. historians good job nimebambika sana
An old school gig needs to be dropped but not with Dj Pinye
this years OGOPA'S finest big ups homys umetuwakilisha great tuune ur best yet!!....
avexa saa hii amechapa mbaya
Absolute hit,great beats by Ogopa
Amenifanya niwe na madeni.. Hahaha. really relevant song.
2021 nabado niko hapa
Dah what a masterpiece! Hiki kizazi cha sasa ivi sijui kinaimba nini
THIS JAM IS TIGHT!!!!
They know their history....
Safi sana...i was here🙌💯
2018 & I'm Here Baby 😉
U guys r on point!
what happened to historians ama washakua history?
Good they were good duo
2021
Waaaaow Favourite TBT
2023 wapi likes?
When Kenyan music felt like cmb
2019,LIKE..Kenya forever #HISTORIANS
Who's watching this hit in 2018?
Story za "Bad and boudje" zilianza kitamboo watoi wa #born 2000 😂
hehe thought of this
2024 ❤
Kama poa poa aje.. This is Gud Mara that that.......
The only thing all ogopa tracks lacked was 808s btw all songs from back then didn't have that
Who is here in 2021?!
I lov this
2022 tuko hapa
here 2017
Jam za tene always rock.
Akanifaanya niwe na madeni🤣🤣🤣🤣
2022,, 🔥🔥 say no more!!
Kawangware juu
Walienda wapi
Where are they currently
Na ina gonga
nani ako huku 2020?
The hottest song
too deadly
listening to this in 2019
Am still boarding
2021 n it's still a hit
nice Lukey!
akanifanya niwe na madeni......
😂pole I hop ulilipa
+spicy slicy 😂😂😂😂😂
Bado nalipa (sobs)
love it lol
2020 anyone
2019 🔥
2023 january
Awa wase kwanini songs zao zina kuwanga na ma French words ?
Sa mor eu!!
2024
som1.. DO DA LYRICS PLZ.. ND TRANSLATE IT PLZ..4GOT SWAHAILI ABIT :$:$:$:$:$:$ THNX
who is here after Murkomen breaking news.....