Baba yangu ushuhuda huu wa mwisho kuhusu yule Baba na visu vyake,umenigusa. Asante Baba kwa KUYAGUSA MAISHA YANGU,MIMI PIA NIMEYATOA MAISHA YANGU KWA AJILI YA VISION hii ya ABC GLOBAL.
Man of God umekua baraka sana kwangu nikati ya watumishi wachache wanaoelewa ili uvune lazima uwe na mbegu, ulime, upande kisha uitunze hapo utasubiri matunda.
Baba yangu ushuhuda huu wa mwisho kuhusu yule Baba na visu vyake,umenigusa. Asante Baba kwa KUYAGUSA MAISHA YANGU,MIMI PIA NIMEYATOA MAISHA YANGU KWA AJILI YA VISION hii ya ABC GLOBAL.
Baba nakuelewa sana
Najiona kabisa namna nitakavyokuwa ✍️🙇🙏
Asante Baba
Melania Globally ✍️
Man of God umekua baraka sana kwangu nikati ya watumishi wachache wanaoelewa ili uvune lazima uwe na mbegu, ulime, upande kisha uitunze hapo utasubiri matunda.
Mungu akubariki sana Mwalimu, hakika kunaushuhuda mkubwa unatengenezwa ndani yangu. Nitaleta soon.
Mazingira yanachengesha kusudi
Think globally start localy
Thank you dad…
This is must watch for everyone
hhahahhaa Mwalimu unaongea kibabe hadi nimecheka. Kwa kweli ufalme wa Mungu unatekwa kwa nguvu na wenye nguvu ndio wautekao.
Ukiwa Mchungaji tafuta kazi nyingine. ( Huo ni Ujinga)