Mungu aheshimiwe na atukuzwe ,ainuliwe milele , tunamshukuru Mungu ( Wahujumu uchumi wetu wameshindwa ) Hata mpumbavu ilikuwa iko wazi kuwa wanamshitaki kulipiza kisasi kwa kazi mzuri ya kuzuia uhalifu katika nchi yetu!!!!
Utatoka tu kwa uwezo wa mungu sabaya nijembe chuki za wezi zimegonga mwamba kumpoteza❤❤🙏🙏🙏🙏🙏matajili wezi wameshindwa kwa uwezo wamungu maana walihis magu alipokufa watenda haki watapotezwa mungu ajawapa nafasi sabaya namakonda nimajembe wa haki walitaka kupotezwa mungu kawalinda❤❤❤🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Kila mtu atamtaja na kumuita Mungu lakini neno linasema wazima sio Kila alitajae jina la Mungu ni wa mungu hata shetani anajua kumtaja na kumsifu Mungu.
Hakika Mungu ni Hakimu wa Mwisho leo haki imetendeka,Subira ni ngumu lakini majira na nyakati zikifika ni furaha tu leo sabaya tabasamu kama lote,hakika tumefurahi Mungu wetu hajawahi kumuacha mwenye haki
Jmani mungu nimkuu tena nimkuu kweli.Hki yamwanadamu hpa duniani haipotei kbisa.Wanaomtesa Sabaya kwasababu zao binafsi watalaaniwa mpka navizazi vyao.Mungu akutunze Sabaya akupe heri na baraka telle.Uwe wajuu kuliko wanavyodhania.Mnatumia pesa nyingi kutesa wadamu wenzenu.
Mungu ni mwema kweli Leo hata amani imepatkana moyoni mwangu sabaya kuachiwa huru apo ndo nimeamin mwenye haki wakati ukifika mungu atasema sabaya alitenda haki Kwa wanyonge sana lakini wenye Hila waliona hatendi haki
Hukumu gani ya kesi ya Sabaya hiyo haipo labda wangekuwa wa vyama vingine vya siasa ,huwezi ukasema mtu anashinda kesi wakati huo waliyoteswa naye walitoa ushuhuda ,waliyo fanyiwa .sheria siku zote humeza haki.Subirini Mungu wa haki ajibu
Mzungu alituletea hii Dini kutufumba akili,hapa kila mtu asante asante ndio kilichobaki kwa Mwafrika hao waliotuletea hawataji wala hawana habari.Iyo imefanya tuamini ati mtu akimtaja Mungu hatendi maovu .Ukweli na tabia ni kama ngozi time itajieleza
We mkwepa Kodi nani munyama sabaya ni mtumishi wa mungu Tena ushindwe mungu alililuhusu tu Ili kijana sabaya asimame na kuwachoa mafisadi wanaotutesa sana yupo mungu asiyepokea rushwa mliomteasa sabaya muokoke na kutubu haleruya
JIUNGE KWENYE CHANELI YETU YA WHATSAP ==> whatsapp.com/channel/0029Va7u...
Nimefurahi sana, Sabaya Mungu akutunze. Tunaamini ili iwe dhahabu lazima ipite kwenye moto
Mungu aheshimiwe na atukuzwe ,ainuliwe milele , tunamshukuru Mungu ( Wahujumu uchumi wetu wameshindwa ) Hata mpumbavu ilikuwa iko wazi kuwa wanamshitaki kulipiza kisasi kwa kazi mzuri ya kuzuia uhalifu katika nchi yetu!!!!
Mungu fundi kisa cha kumg'añg'ania mtoto wa mwenzao.Mungu ametenda kwake.
Sabaya mungu akuajlie uwezijua jinsi gani nalia kwa h furaha sana sana ishaallah mungu yupo nawe
Utatoka tu kwa uwezo wa mungu sabaya nijembe chuki za wezi zimegonga mwamba kumpoteza❤❤🙏🙏🙏🙏🙏matajili wezi wameshindwa kwa uwezo wamungu maana walihis magu alipokufa watenda haki watapotezwa mungu ajawapa nafasi sabaya namakonda nimajembe wa haki walitaka kupotezwa mungu kawalinda❤❤❤🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Well said
Glory to God 🙏🙏Hongereni sana ndugu na marafiki kwa kumpambania SABAYA Mungu awabariki sana🙏🙏❤️❤️Ninafuraha kubwa sana
Ongera sana Sabaya Mungu ashukuliwe sana
Haki mbinguni duniani Sheria utapata haki zako kutoka kwa mungu wa mbinguni kila la kheri kaka 🙏🙏
Huyu ni President ajaye namkubali sana, Mungu akutunze na akulinde na manyang'au wote
Kila jaribu lana njia ya kutokea acha mungu aitwe mungu aendelee kukubariki na akupe hitaji la moyo wako
Mungu ni mwema sana sana ni furaha yangu kuona ameachiwa huru
Mungu amejibu ahimidiwe milele
Makesi ya uongo mwisho wake ni huo 😢😢Ameteseka kijana wa watu bila hatia kabisa awadai fidia tu ..Uonevu sana ten sana 😢😢😢
Politique
😊kijana unaonekana unaishi nawatu vinzuri hongera jina labwana ribarikiwe
Haki ya Mungu haipotei .., Hakika Mungu ni mwema .. nenda kafanye kaz
Acha kumtumia Mungu kwa haya majambazi Kama mmeshinda mmeshinda kwa ushetani wenu si Mungu
Kila mtu atamtaja na kumuita Mungu lakini neno linasema wazima sio Kila alitajae jina la Mungu ni wa mungu hata shetani anajua kumtaja na kumsifu Mungu.
this is not justice.
Sabaya ameachiwa ili aje awaangamize Tena nakuwangaisha wanainchi kuelekea uchaguzi wa2025 huyo ni group Moja na Akina makonda na watu wasiojulikana.
Mungu. Yupo. Kazini.
ALHAMDULILAH
Niko Zambia lakini nime furahi sana sabaya kuhachiliwa, mungu hakubariki sana
Soma kiswahili vizur sio hakubariki ni Akubariki
Jembe limerudi kazini aiseee walitamani afie jera lakn Mungu yupo kazin muda wote, karbu Sana kaka sabaya tupo pamoja
Mama wataifa mpe kazi lengai atakisaidia sana chama
Kila mpenda haki anafurahi kwa ajili ya Sabaya
Hongera kwako shemeji yangu lengai,maana Mungu amekupigania mpaka umetoka kwenye mdomo wa Simba.Hongera sana
Sabaya mungu akusaidie sana, waongo wote wataumbuka tu.
Hakika Mungu ni Hakimu wa Mwisho leo haki imetendeka,Subira ni ngumu lakini majira na nyakati zikifika ni furaha tu leo sabaya tabasamu kama lote,hakika tumefurahi Mungu wetu hajawahi kumuacha mwenye haki
Eeeeee Asante mtumishi wa Mungu kwa maombi najua hamkumuacha kwa Mungu
Mungu atanaki kuwa Mungu
Mungu atakujalia sana na atakuokoa kwa yote mungu ypo nawe daima
Wamrudishe kwenye kazi yake jamani. Pole sana. Mungu ni Mwema
Hongera bw sabaya mungu yupo pamoja nawe
Ss mama akulidisheee kaziniii
Alhamdulillah
Ahsnte mung shetan ameshindwa hawa ndo vijana wazalendo katk hii nchi majitu mabaya yameshindwa ahsnt xana mungu akubarik Kaka
Mungu anatenda kazi yake aibu walio shadadia
Hongera Sabaya Mwenyezi Mungu yupo pamoja nawe.
Hakika Mungu anatenda 🙏
Mungu amekupigania na azid kukupigania zaidi
Wenye chuki nawe wamegonga mwamba kukupoteza hongera sana ,RESPECT nafikiri wamejifinza hawato rudia hata Kwa mwingine ,respect sana
Hongera sana Mt Sabaya
Sabaya sabaya mungu ni mwema
Hongera sana sabaya sqsq umekuwa dhahabu kwani dgahabu safi lazima ipitishwe kwenye moto mkali hatimaye umeushinda moto huo. Mama yetu atakukumbuka kwa ute.daji wako wenye tija
Hakika Mungu ametenda👏
Hongera sana sana kaka Sabaya.
Jmani mungu nimkuu tena nimkuu kweli.Hki yamwanadamu hpa duniani haipotei kbisa.Wanaomtesa Sabaya kwasababu zao binafsi watalaaniwa mpka navizazi vyao.Mungu akutunze Sabaya akupe heri na baraka telle.Uwe wajuu kuliko wanavyodhania.Mnatumia pesa nyingi kutesa wadamu wenzenu.
Asante Yesu kwaajili ya Sabaya
Hata sasa Yeye ni Ebenezer
Ashukuriwe Mungu wa mbinguni. Nimefurahi sana
Ongera sana sabaya sasa utakula ungali ushie ndugu yngu Mungu mkubwa atakutendea haki
Alhamdullillah
Endelea kumtegemea Mungu aliye hai.congratulation
Hongera sana bro
Mungu ni mwema kweli Leo hata amani imepatkana moyoni mwangu sabaya kuachiwa huru apo ndo nimeamin mwenye haki wakati ukifika mungu atasema sabaya alitenda haki Kwa wanyonge sana lakini wenye Hila waliona hatendi haki
Soon Mungu atakuinua adui washangae
Mungu ni mkubwa jamani Leo nimefurahi sana kwa Sabaya kijana wetu. Sasa nasubiri mama akuteuwe uwe mkuu wa mkoa wa Arusha ❤❤❤
Kweli kabisa anatakiwa apewe cheo kubwa kabisa kuliko mkuu wa Wilaya ,Mungu awabariki sana!!!!
Mimi nimefurahi sana. Mungu akusaidie
God is good to sabaya
Nguvu ya Mungu...
Mungu akutunze mdogo wangu
MUNGU AMEJIBU DUA ZETU ASANTE SANA MUNGU KWA USHINDI WA KESI ZOTE ZA UONGO ALIZOTUHUKUMIWA OLE SABAYA.
Amen
Hukumu gani ya kesi ya Sabaya hiyo haipo labda wangekuwa wa vyama vingine vya siasa ,huwezi ukasema mtu anashinda kesi wakati huo waliyoteswa naye walitoa ushuhuda ,waliyo fanyiwa .sheria siku zote humeza haki.Subirini Mungu wa haki ajibu
Ashukuriwe mwenyezi mungu
Mungu ni mkubwa sana walimchosha saba huyu kijana, Mungu amemuona na amentetea, Ole wao mashahidi wa uongo jehanamu inawasubiri,
Alie au kachiwa alie lia kafungwa time will tel nevergive up
Mhi sabaya big up sana
Tunamuona mungu kwa matendo
Atukuzwe yeye aliye juu kwani ametenda ,nakupenda sana kaka yanguu
Nilisubili hiki kitu Kwa hamu kubwa mungu ni mwema
Mungu anatenda huwezi kushindana na mcha mungu
Mmmmmmhhhh ila Mungu angeshuka na kuufunua ukweli wa mambo tunge inamisha vichwa chini.
Mzungu alituletea hii Dini kutufumba akili,hapa kila mtu asante asante ndio kilichobaki kwa Mwafrika hao waliotuletea hawataji wala hawana habari.Iyo imefanya tuamini ati mtu akimtaja Mungu hatendi maovu .Ukweli na tabia ni kama ngozi time itajieleza
Hongera sana,kaka nipo paamoja na wewe kaka
Samia anatafuta watu wakumsafisha baada ya kuuza bandari zetu ZOOTE Sasa najuwa na sabaya watamteuwa ILI awasafishe
We mkwepa Kodi nani munyama sabaya ni mtumishi wa mungu Tena ushindwe mungu alililuhusu tu Ili kijana sabaya asimame na kuwachoa mafisadi wanaotutesa sana yupo mungu asiyepokea rushwa mliomteasa sabaya muokoke na kutubu haleruya
😂😅😅😅😂😊😊😊😊😊😊😊
Since day one ulisimama na MUNGU mbunge mtarajiwa
Yesu juuuuuuu
Hata sasa Bwana ni ebenezer
Kumbe ametolewa kwa amri🏃🏃🏃
Waliomshtaki Sabaya ni mafisadi na wakwepa kodi na wanaopenda ujanja ujanja...ipo wazi hiyo tokea mwanzo.
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Mungu hashindwi na mafisadi!!!!
❤ Amen.
Mungu ni mwema.
Ng'ombe wa maskini huzaa mungu ni mkubwa zaidi kwa kila kilicho kikubwa
Yani nimefurahi jaman
Mungu ametenda
Sabaya mungu azidi kukupigania naiman maombi yetu yatajibiwa
Tunataka Sabaya aingie serikalini patachimbika
wanafiki huishia aibu tu,sasa ona mtu alivyoteseka kwa kipindi chote icho,mungu akupe afya njema dogo hukumu ya kweli inawangoja siku ya kiama
Ni kweli ameachiwa Kwa Amri ya watawala na Si Kwa haki ya mahakama Kwa nn wanamshuru raise mmmmm
wachaga ukiwadai kodi watakuandama mpk ukome. wanapenda kutajirika peke yao
Mama yupo wapi mama? Mama, mtu wa Kwanza na wamwisho kumkumbuka nyakati Ngumu.
Mungu mwema
Mhhhhh Mungu Ni Mungu tu hongera Sabaya Mtukuze Mungu
Haleluya
Hawa mahakimu kweli wanajua Sheria na pia kuangalia nyakati maana jambazi akununulie soda chips ndizi Ili iweje
Sabaya hoyeeee makonda hoyeeeee chadema chaliiì
Nampenda huyu sabaya nimemjua wakati wa mtihani wake
Mnyama uyu hapa Kurumba mwamba
Wameamua kumsamehe tuu
Sinema za mihili yetu haitoisa mpaa mitume irudi!
Back to the system...
Atakuwa naibu.makamu wa rais
Mungu haongopi
Wamasai wanaumoja sana
Mnatuchezea akili tuu sasa nan alimshitak kama kesi zotee anawashindaaa
Sabaya mungu ataendelea kukusimamia naamini ipo siku italufi kumsaidia samia wewe ni mpenda haki
Haki huinua Taifa,bali dhambi ni aibu yetu wote.amen