Irene Robert - Kishindo (Official Gospel Video) SMS SKIZA 5816252 TO 811

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 22 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 583

  • @JosuéKambi-k3l
    @JosuéKambi-k3l 7 місяців тому

    Ubarikiwe Sana ❤ wimbo nzuri Sana

  • @irenerobertofficial
    @irenerobertofficial  6 років тому +51

    Asanten saana wapendwa Mungu awabariki

  • @irenerobertofficial
    @irenerobertofficial  6 років тому +19

    Asanten saana wote mao ni support Mungu awabariki sana ninaona coment zenu na zinanitia Moyo saana.

  • @halimasheikh2670
    @halimasheikh2670 5 років тому +10

    Yap unastahiki pongezi ipo ck ulimwengu mzima utatufahamu one day I really like it kama umeisapot hii song naomba uweke like yako hapa
    LOVE FOREVER

  • @eliyazakayo6581
    @eliyazakayo6581 5 років тому

    MUNGU wa mbingu na nchi akupe viwango vingine katika kazi ya kuujenga Mwili wa Kristo Yesu

  • @silviaotieno7368
    @silviaotieno7368 5 років тому

    kweli Mungu ni pendo na upendo wake haukomi.... watu wanakukataa lakini Mungu hakukatai.....heko dada

  • @mwinjumayussuf1458
    @mwinjumayussuf1458 6 років тому +3

    Kazi safi kama umeikubali kazi hii kama nilivyoikubali mm gonga like au share

  • @uzimanabarakawangurumo4231
    @uzimanabarakawangurumo4231 5 років тому

    Mdogo wangu hakikisha unajitia chini ya ya baba wa kiroho atakaekufa vizuri ulijisahau kuna watu wameomba wewe kufika hapo.

  • @innocentmahuvi8625
    @innocentmahuvi8625 5 років тому

    Mungu azidi kukubariki Ña kuinua huduma Yako katika Kristo YESU

  • @Steveminde
    @Steveminde 5 років тому

    😘😘😘😘😘😘😘unaweza mama LA mama

  • @uvumihodari4663
    @uvumihodari4663 5 років тому +1

    Dada mungu akuinue katika kazi zako

  • @groxniathalyamalungu9306
    @groxniathalyamalungu9306 6 років тому

    nimeipenda sanaa atanishangaza kwa vitendo vya kishindooo nisichoke kuomba sababu yeye anasikia Alfa and omega

  • @alexbenedicto5687
    @alexbenedicto5687 5 років тому

    Wimbo ni mzuri cna Hakika Mungu ni pendo tena upendo wake wadum milele ubarikiwe cna mtumishi

  • @officiadanny297
    @officiadanny297 6 років тому +7

    dada mtu hongela kwako kama umeikubar ngoma hii ngogalike hapa

  • @joelmasingisa2227
    @joelmasingisa2227 6 років тому

    Amina Dada....Irene Robert Mungu azidi kukupa hatu zaidi....endelea Kunyenyekea my dada. Nakupenda siku zote

  • @richardmwikwabe5280
    @richardmwikwabe5280 6 років тому

    Safi sana nyimbo nzuri video imetulia na haichoshi kuangali pigap.

  • @rosesimoni8478
    @rosesimoni8478 5 років тому

    Ufike mbali na huduma yako mpendwa my dada Mungu ni pendo

  • @relaxmebini6712
    @relaxmebini6712 3 роки тому

    Mungu azidi kuku tumia zai na zaidi dada balikiwa Sana Dada yangu

  • @barikimollel7890
    @barikimollel7890 5 років тому

    Amina kubwaa
    nitazidi kuomba naamini Maombi Mungu anaskia
    Barikiwaaaa

  • @elizebethmarenge4056
    @elizebethmarenge4056 5 років тому

    Good job, mungu akutangulie ili uzid kutuinjilisha Kwa nyimbo zaid ya hii

  • @jmstudio1157
    @jmstudio1157 6 років тому

    usiogope majaribu na vikwazo penye vikwazo ndipo utakapo toa kazi nzuri km hii usivunjike moyo japo sio kila mtu ata penda kazi zko usihofu kazi yko nzuri sn na Mungu Akubariki

  • @nyandakulwa9962
    @nyandakulwa9962 5 років тому

    Unasitahiri kila aina za baraka kwa kazi nzuri yakumuimbia BWANA....kazi nzuri

  • @innocentkileo7192
    @innocentkileo7192 5 років тому

    Hongera airin nyimbo nzur kila hatua dua mungu yu pamoja nawewe my

  • @robsondeus5587
    @robsondeus5587 5 років тому

    Nyimbo nzr sana mungu azdi kukujalia kukupa wepesi wakufanya vizuri sana zaidi...

  • @Mbeyaconscious
    @Mbeyaconscious 5 років тому

    Safi Sana cc we mkali eeeh

  • @ruthmgeni6843
    @ruthmgeni6843 6 років тому

    Jaman nyimbo hii inanifanya nijiisi mwenye furaha hongera dada

  • @lucasathanasy1561
    @lucasathanasy1561 5 років тому

    Kazi yako nj nzuri sana. Mungu akuzidishe katika upako zaidi.

  • @enockndale8472
    @enockndale8472 4 роки тому +1

    SINA MENGI YA KUSEMA KWA HUU WIMBO BALI TU , AMEN MARA SABA

  • @elisamehecharles5432
    @elisamehecharles5432 6 років тому

    Ogaaah! wimbo safi na bora kabsa MUNGU AKUBARIKI sana mtumishi.

  • @januaripanga359
    @januaripanga359 5 років тому

    Hongera sana kwa kuchagua kumwimbia mungu mwenye kutuhuisha na kutulinda, nimeupenda wimbo huu

  • @stellalauden8702
    @stellalauden8702 6 років тому

    Umejitahidi..endelea mbele zaidi.Ombi langu kwa Mungu ni mafanikio na kuinuliwa katika huduma yako

  • @muchaelalex9795
    @muchaelalex9795 6 років тому

    hongera Sana umeimba vizuri Sana Mungu aendelee kukupa maono ufanye vikubwa zaidi ya hivi hongera sana

  • @peterpanga3627
    @peterpanga3627 6 років тому

    Uko vizuri Dada. Mtangulize Mungu katika kazi yako naye atafanya.

  • @alcadosepe6571
    @alcadosepe6571 5 років тому

    hongera sana Mtumishi wa Mungu , kazi nzuri Mungu akuinue kwa viwango vingine

  • @angelangel6208
    @angelangel6208 6 років тому

    wimbo mzur hakika Mungu atakushangaza kwa vitendo

  • @emmanuelchinedyi8163
    @emmanuelchinedyi8163 5 років тому

    Well done...... mungu akufanikishe malengo na mipango yako katika kazi zako za kuimba

  • @falictv9058
    @falictv9058 5 років тому

    Teyali mama nimeona kazi ako ni nzuri

  • @odaseston
    @odaseston 5 років тому

    Ameen barikiwa kwa kazi nzuri sana dada angu

  • @alexbaynet3426
    @alexbaynet3426 5 років тому

    Upo vzr sana,muda cyo mrefu utaenjoy matunda ya hii kazi. Nina uhakika na hilo kutokana na utunzi na uimbaji mzur na sauti

  • @crronap255
    @crronap255 5 років тому

    Unasauti nzuri na naomba video zako jaribu kuiweka vizuri maan unamwimbia Mungu...mavzi...stly ya nywele zako jaribu kuviweka vizur... Unajua mwenekano tu unatosha kuwavutia watu waje kwa Mungu.. Maan nyimbo za kumsifu Mungu tu. Na kuna nyimbo za kuvuta watu waje kwa Mungu... Kuna nyimbo za kufariji... Kuna nyimbo za maombi zote ni nyimbo..ila zimebezi kwa Mungu..sasa jaribu kuboresha video kwa upande wa mavaz na nywele...Mungu akujalie kibali cha kuimba nyimbo za kumgusa yeye Amina

  • @malandopianist4852
    @malandopianist4852 5 років тому

    Natamani sana ck moja uje kanisani kuhudumu nimebarikiwa na huu wimbo. Ubarikiwe sana

  • @suplaykibayakitetomunguawa6759
    @suplaykibayakitetomunguawa6759 6 років тому

    wimbo mzuri sana nmeupenda kwa kweli Mungu akuinue Juu zaidi barikiwa mnooo

  • @lucymgeta7907
    @lucymgeta7907 6 років тому

    mungu ni mwema hongera sana mumy akulinde uzidi kukupa kipaji hicho wimbo mzuri sana

  • @saidygau1957
    @saidygau1957 5 років тому

    Nyimbo nzuri sasa irine....tena sana kaz buti my dear one day yes

  • @mellatourssafari
    @mellatourssafari 6 років тому +1

    Nyimbo inaujumbe barikiwa Sana Madame,,wadau kama umeikubali nyimbo gonga like twende sawaaa

  • @barakaoscarshinerboygwp.
    @barakaoscarshinerboygwp. 5 років тому +8

    makofi kwako Dada. Hii ni hatua kubwa. Pia Mimi nimeanza kimziki na natarajia mungu atasaidia

  • @devothajafary8747
    @devothajafary8747 5 років тому

    Atanishangaza kwa vitendo tena vya kishindo

  • @ivantv254
    @ivantv254 6 років тому

    kazi safi kabisa nimeikubali kabisa

  • @ambakisyejohn6710
    @ambakisyejohn6710 6 років тому

    Hongera swna Irene,kazi nzuri sana najua yote uliyoimba yatatimia kwako pia kwa uhalisia,tuko nyuma yako usikate tamaa

  • @mirajingwale2114
    @mirajingwale2114 6 років тому

    Ni kweli kabisa akuna kuchoka kuomba mungu yupo nasi

  • @yonamadeha311
    @yonamadeha311 5 років тому

    Ireen hakika uko vzr sauti and very thing mungu azidu kukupa mafunuo

  • @anoldchristmass1452
    @anoldchristmass1452 5 років тому

    Irene ukiendelea hv utafka mbal kwa kuifanya kaz ya mungu nafurah na ntazd kukuombea unanitia na kuwa tia moyo watu wa baba

  • @yesemaninje6184
    @yesemaninje6184 5 років тому

    Mung yu najua atkufungulia njia iliy ya hakii na wabay wako wakitazam barak za mung zikkuinua wzishudie kabla hawajafa 👏👏

  • @thegospelfamilykenya
    @thegospelfamilykenya 6 років тому

    kweli mungu ni pendo na lake kubwa kweli

  • @winnyfrider4721
    @winnyfrider4721 5 років тому

    Hongera sana nyimbo nzuri, Mungu ni pendo kweli

  • @bersonkayanda6136
    @bersonkayanda6136 5 років тому

    wimbo mzuri sana barikiwa MTUMISHI wa Mungu.

  • @godyfreytayali1614
    @godyfreytayali1614 5 років тому

    Wooooow nyimbo nzur sanaa maana mashair mazur yamenvutia sana ukiachilia mbal videos pamoja Na beat ziko saw instort nimekuerewa more shabiki wako kwass ongera

  • @nyambanemsaniigrelionrecio9628
    @nyambanemsaniigrelionrecio9628 5 років тому

    Nimepenfa presentation zako kabisa......za kutia moyo kweli.

  • @maxgeorge9212
    @maxgeorge9212 6 років тому

    Hakika kupitia yeye ,,,yote yatapita ,,,ubarikiwe sana

  • @viniesel2034
    @viniesel2034 6 років тому

    Vizuri sana nyimbo nzuri nimeipenda pambana sana

  • @kwelikabisacharles4686
    @kwelikabisacharles4686 6 років тому

    Ubarkiwe Sana irene Mungu azid kukuinua wimbo uko mzur kwakwel

  • @oscarmazeze1733
    @oscarmazeze1733 5 років тому

    daah hongera sana dadangu kwa wimbo wako mzur umeimba kwa kujiamin wala hujaogopa camera hongera sana

  • @yusuphmkuwa5053
    @yusuphmkuwa5053 5 років тому

    Hongera sana dada....Mungu azidi kukutumia kwa viwango vya juu...

  • @alyne7710
    @alyne7710 5 років тому

    Safi sana unajuwa mnoooo nautafika kabisa bila tabu

  • @erickkimambo6030
    @erickkimambo6030 5 років тому

    hongera kazi nzuri ila usije fanya kama wenzio

  • @goldenbidude7756
    @goldenbidude7756 6 років тому

    Kwel dadaangu ngoma nzul tuongeznanyingin

  • @veronicamsomba8367
    @veronicamsomba8367 6 років тому

    Irene Mungu akubariki nyimbo nzuri sanaa

  • @paulmwepea5811
    @paulmwepea5811 5 років тому

    Nyimbo nzur sana mtumish melod,biti na video

  • @pendoselestine549
    @pendoselestine549 5 років тому

    Woooow mamy nimebarikiwa san kwa wimbo wako na umeutendea kz video yk k mung awe pamoj naw mpndwa

  • @williamngelela208
    @williamngelela208 5 років тому

    Nyimbo hizi watu wasilaumu hazitaji jina la YESU
    JITAIDI WEWE UTAJE JINA LA YESU

  • @khamisomary3431
    @khamisomary3431 5 років тому

    Dah kumbe tangiapo ni gospel... Dah haya bhn dada nilikulupuk kido vizur

  • @nuruemilian4450
    @nuruemilian4450 6 років тому

    kwel Dada Mungu atatushangaza kwa vtendo

  • @patriciangonyani972
    @patriciangonyani972 5 років тому

    Hongera
    Mungu azidi kukuinua kilaiitwapo Leo kwa utukufu wake

  • @danielpiusmayunga1802
    @danielpiusmayunga1802 5 років тому

    uko vizuri Dada yangu mungu azidi kukulinda na kuilinda karama yako

  • @jmstudio1157
    @jmstudio1157 6 років тому

    wahoo Irene kazi nzur sana barikiwa sana sana big up sana kwako

  • @agripinanocha155
    @agripinanocha155 6 років тому

    Nice song pia kuna ujumbe mzuri! Barikiwa

  • @mussakhatibu2808
    @mussakhatibu2808 5 років тому

    Ngoma kali lakini jaribu uimbe bongo freva unaweza sana una sauti nzuri Sana #Irene_Robert..

  • @shadrackshadrackmsokwa4048
    @shadrackshadrackmsokwa4048 6 років тому

    Kaz nzuriiiii. Songa mbele naBwana best

  • @pamaboyjumen956
    @pamaboyjumen956 6 років тому

    Iko vizuli sana mungu aibaliki kazi yako

  • @dorisnyamwihura4685
    @dorisnyamwihura4685 3 роки тому

    Yaani da Irene unaimba vzuri,Mungu akuzidishie🙏🙏

  • @Abedi1001
    @Abedi1001 6 років тому

    Nimefurahia kazi yako dada. Uko juu ya paa. Video yapendeza

  • @princeemmamunda4286
    @princeemmamunda4286 6 років тому

    Ubarikiwe kwa wimbo mzr Mungu akuinue kwa viwango kingne kwa utukufu wake

  • @unclejay_ke
    @unclejay_ke 5 років тому

    Kazi nzuri sana hii..endelea hivo hivo..

  • @daynessobedy2943
    @daynessobedy2943 5 років тому

    Napenda hapo unavyoimba maneno kweny verse ya kwanza, umeua mumy keep it up

  • @ernestchacha1991
    @ernestchacha1991 6 років тому

    Barikiwa sana nimeupenda sana nakuombea uende mbali

  • @jacobomgaya7439
    @jacobomgaya7439 6 років тому

    hongera xana mpendwa kazi nzuri

  • @LawrenceYobuNdosi
    @LawrenceYobuNdosi 5 років тому

    Ubarikiwe mtumishi.Kazi nzuri
    #lawrencendosi

  • @masoudmbarouk7083
    @masoudmbarouk7083 6 років тому

    Ok poa ipo poa sanaaaa dada jkaze tu uweo unao

  • @ezekielmabanila118
    @ezekielmabanila118 5 років тому

    Ubarikiwe kwa huduma nzuri ya uinjilisti

  • @emekaigweeigwee1259
    @emekaigweeigwee1259 6 років тому

    Hongera sana sister Mungu azidi kukuinua kwa viwango vya juu nimeipenda sana

  • @gwakisamwandalima344
    @gwakisamwandalima344 5 років тому

    irene ongera nyimbo nzuri

  • @lissabebytz8474
    @lissabebytz8474 6 років тому

    nice song mungu abaliki kazi yako dada angu mpenz

  • @tumainilusigwa1937
    @tumainilusigwa1937 5 років тому

    hongera mdada mzuri
    kazi nzuri

  • @mwittermagessa8054
    @mwittermagessa8054 5 років тому

    Nakukubali sasa dadaaaangu endeleeeeaaaaaaa mungu amekubaliki

  • @ezekielihersoni7790
    @ezekielihersoni7790 6 років тому

    Ujumbe mzury sanaaa irene mungu akuinue zaidi ya hapo

  • @DIBBYSYKMUSIC
    @DIBBYSYKMUSIC 6 років тому

    Kutoka kenya nakukubali dadangu

  • @SaydonMusic
    @SaydonMusic 5 років тому

    Kali Sana wimbo yako my frend

  • @yabwoyspitter3614
    @yabwoyspitter3614 5 років тому

    Video ni Safi..Nimebarikiwa..Love from Kenya

  • @hassanmasoud8167
    @hassanmasoud8167 6 років тому

    Big up Dada ..nyimbo iko ok ....location pia imetulia ......

  • @abdullaiabdi879
    @abdullaiabdi879 5 років тому

    uko poua sana dada yangu kazi muzri