MAJI YA SHINGO S01 EP7/ hemedy phd awambongo kwenye familia yake kisa anna

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 9 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 58

  • @pedropedroagira3980
    @pedropedroagira3980 Місяць тому +7

    Da johari onguera unajua sana nafatilia nikiwa Moz 🇲🇿🇲🇿🇲🇿🎉🎉🎉

  • @Last_name2
    @Last_name2 Місяць тому +5

    Sema kuisubiri kwa hamu hii thamthilia hongereni sana 🎉🎉🎉. Musitueke sana tukisubiri ingine

  • @AbudoAmisseAbudo
    @AbudoAmisseAbudo Місяць тому +12

    Kweli, Anna nnafiki lakini kwangu nimejifunza kitu, kwamba inabidi inabidi tusitangaze sana mipango Yako......

    • @the.black.smart_255
      @the.black.smart_255 Місяць тому +1

      Frelimo

    • @SlayQueen-gf3ck
      @SlayQueen-gf3ck Місяць тому

      Kweli

    • @TheresiaEmmanuel-nr3iu
      @TheresiaEmmanuel-nr3iu Місяць тому +1

      Ni kweli kabisa lakini mama piah kachangia kwenye sehemu ya kwanza alipopotea miaka minne na hujui aliko baada ya kurudi asingekaa upande wake kumtetea

  • @Ashora-s2x
    @Ashora-s2x Місяць тому +2

    Mungu awabariki wote mnatazama movie hii Ameen❤

  • @saumodzumbo9671
    @saumodzumbo9671 Місяць тому

    Yaani hansii banaa nakupenda bure broo hansii anampenda Anna 😂😂😂😂

  • @FikiriSospeter-z5s
    @FikiriSospeter-z5s Місяць тому

    Movie nzuri sana ira mue mnatoa Kila ck make ss mashabiki mnatuboa sana mnavo kuwa mnachelewesha

  • @AntonyNdubi-k7q
    @AntonyNdubi-k7q Місяць тому +1

    Anto kutoka kenya hongera sana kw wana sanaa na wenye vipaji 🎉🎉🎉

  • @AbigaelSteven-f4f
    @AbigaelSteven-f4f Місяць тому +1

    Kazi nzuri❤❤❤❤

  • @cheiknamouna2058
    @cheiknamouna2058 Місяць тому +1

    nimewahi jamani leo kwa mara ya kwanza😂🕺💃

  • @safiamohamed635
    @safiamohamed635 Місяць тому +2

    Mm wa mwazo leo jamani ❤❤❤kujeni

  • @JulieMwamba-w4d
    @JulieMwamba-w4d Місяць тому +1

    Watatu leo🎉🎉❤❤❤

  • @roqayaro9439
    @roqayaro9439 Місяць тому +1

    Asanteni washiliku kazi nzuli

  • @ZuhuraSalum-l3u
    @ZuhuraSalum-l3u Місяць тому +1

    Wa kwanz mim leo jmn 😂😂

  • @AnithaNahimana
    @AnithaNahimana Місяць тому

    Muko poa. Kabisa hongera🎉

  • @slokidog
    @slokidog Місяць тому

    kazi nzuli sana nawapenda nyote❤

  • @ALIMOHD-bk9lr
    @ALIMOHD-bk9lr Місяць тому +3

    HEMED PHD ukitoa vile vituko vyake vichache NI BONGE moja la MSANII

  • @AminaMwavita
    @AminaMwavita Місяць тому

    Congratulations keep it up good job ❤💕💞❤️🥰😍😘

  • @fammamaboko6543
    @fammamaboko6543 Місяць тому +2

    Ila Anna unalia Nini n'a wewe ndie chanzo cha mama kulazwa hospital 😮😮naweza kukuzabua kofi Acha unafiki 😂😂😂

  • @IsaiahOscarWanjala
    @IsaiahOscarWanjala Місяць тому +1

    Annah mtapeli Sana Hadi Kwa mamako surely

  • @UnrulyHope-e9j
    @UnrulyHope-e9j Місяць тому

    Hance ameganda n lazima amsaidie Mama Anna I wish angejuwa Anna n mnyama kiasi gani😂asingesubutu kumsaidia kabisa

  • @SabrahNibuka
    @SabrahNibuka Місяць тому

    ❤❤🎉 tunaomba mtuongezee dk
    ❤❤🎉kwenu

  • @Urbanvillageconnect254
    @Urbanvillageconnect254 Місяць тому

    Soundtracks zinaendana vizuri sana

  • @AbudoAmisseAbudo
    @AbudoAmisseAbudo Місяць тому +1

    From Mozambique,
    Obrigado

  • @naominyaitondi2241
    @naominyaitondi2241 Місяць тому +1

    Kitu taamu mnatupimia ka Panadol, si hata mrefushe kiasi

  • @NaaMhami
    @NaaMhami Місяць тому +1

    Sinema zetu wangetuwekea hii kuliko huyo konesheni watu hatuelew yani 😢😢

  • @NeemaMzur
    @NeemaMzur Місяць тому

    Dah.......
    Utu umetutoka watu wanauza watu😢😢😢😢

  • @revocatusFransis-qn9ox
    @revocatusFransis-qn9ox Місяць тому

    Mumejaza matangazo2 mpaka yanabore yani kidogo2 matangazo yanabore bn

  • @VgmukomboziOficiel
    @VgmukomboziOficiel Місяць тому

    Nacho ona apa uyo Annah ata wa uni wake watamutapeli nakyengine itamuweka paka kupoteza wazazi wote wawili. Nakupoteza kila kilicho chake

  • @MwalimuNdoro-n4p
    @MwalimuNdoro-n4p Місяць тому

    Yaan mumeweza

  • @loicewambul3836
    @loicewambul3836 Місяць тому

    Huyu mama Anna ako na mtoto mwenye hii nyumba yakina doctor

  • @GiftPeter-e4z
    @GiftPeter-e4z Місяць тому +1

    Ninacho jiuliza wale alowatuma wakampole mama yake hela hawakumpa kwani

    • @RehemaMwijaka
      @RehemaMwijaka Місяць тому

      😂😂😂😂Bdo hjasema

    • @FatimaAli-of4gh
      @FatimaAli-of4gh Місяць тому

      Na mimi nimejiuliza kaumiza mama yake mbona zile pesa hajapewa chake hata anateseka na njaa huko hospital 🏥

  • @StellaKahindi-y9x
    @StellaKahindi-y9x Місяць тому

    Anna acha unafki unalia nn wakati wendo chanzo au unalilia pesa maa haijulikani zilipo

  • @mumfaraji5034
    @mumfaraji5034 Місяць тому

    Next please

  • @FaustaKessa
    @FaustaKessa Місяць тому

    Ela ulizo iba zikowap ana

  • @mishiabdul2834
    @mishiabdul2834 Місяць тому

    Next plzz ya 8

  • @StellaKahindi-y9x
    @StellaKahindi-y9x Місяць тому

    ila anna daaa

  • @HanifaHanifa-yw4pl
    @HanifaHanifa-yw4pl Місяць тому

    🎉🎉🎉

  • @SharonEliseba
    @SharonEliseba Місяць тому

    ❤❤❤🙏🙏

  • @HafsaAmiri-tr9yb
    @HafsaAmiri-tr9yb Місяць тому

    ❤❤❤❤❤

  • @Angelika-w2p
    @Angelika-w2p Місяць тому +2

    Mjinga sana Anna utapeli hadi kwa mama jman sa analia lia nn

    • @beautyibrahim8428
      @beautyibrahim8428 Місяць тому

      Najiuliza zile hela aluzompola mama ake kaweka wap

  • @ludankimario2039
    @ludankimario2039 28 днів тому

    nikitaka kudownlood inasema link expired

  • @OlivierRutaha
    @OlivierRutaha Місяць тому

    Episode 8 tunaitaji

  • @AyishaOman-cw4xs
    @AyishaOman-cw4xs Місяць тому

    🎉🎉🎉🎉🎉

  • @VurdaBabel
    @VurdaBabel Місяць тому

    😂😂

  • @joelbowy
    @joelbowy Місяць тому +1

    🥸

  • @AishaSalim-i4i
    @AishaSalim-i4i Місяць тому

    Next please

  • @FannyMugisha
    @FannyMugisha Місяць тому

    ❤❤❤❤❤❤

  • @Salama123-iw7hj
    @Salama123-iw7hj Місяць тому

    ❤❤❤❤

  • @AminaBashiru-qh8fo
    @AminaBashiru-qh8fo 4 дні тому

    ❤❤❤❤