Nawashukuru sana ndugu, jamaa na marafiki kwa kuendelea kuangalia kazi yangu mpya niliyoifanya na Christopher Mwahangila - naomba unapoitazama video hii ikawe tofauti katika Maisha yako Mungu akabadilishe Maisha yako akuinue na kukupandisha juu katika jina la Yesu aliye hai.
Amina sana mtumishi wa Mungu nimefrahi sana na moyo wangu unashuhudia nimefrahi kuona viwango hivi Mungu azid kukupa kibari ufike mbali zaidi izidi kuwa tofaut na mawazo yaooo.
Profound words with Full of powerful, It's a point to ponder. Bombs well and intrinsically I'm blessed. Keep soaring my senior brother from another mother on the same Land
Nawashukuru sana ndugu, jamaa na marafiki kwa kuendelea kuangalia kazi yangu mpya niliyoifanya na Christopher Mwahangila - naomba unapoitazama video hii ikawe tofauti katika Maisha yako Mungu akabadilishe Maisha yako akuinue na kukupandisha juu katika jina la Yesu aliye hai.
Amen
I am your sister from Zimbabwe , I like your music, but the issue is language may you put it in english as well. Thank you in advance ❤❤
Amen
Amina
Hongera Sana mzabuni wangu,pambana sana na Mungu akusimamie
Kutoka Kenya twasubiri kubarikiwa nipewe likes
Amina sana mtumishi wa Mungu nimefrahi sana na moyo wangu unashuhudia nimefrahi kuona viwango hivi Mungu azid kukupa kibari ufike mbali zaidi izidi kuwa tofaut na mawazo yaooo.
Kweli imekuwa tofauti ,mtumishi wa Mungu hongera sana kwa Ujumbe na umefika +Kuupokea
Barikiwa mtu wa Mungu
Amina 🙏🙏🙏
Hongera sana, ujumbe mzuri sana
Profound words with Full of powerful, It's a point to ponder.
Bombs well and intrinsically I'm blessed.
Keep soaring my senior brother from another mother on the same Land
Hongera man songa mbele
Hongera kwa kazi nzuri ya viwango
Amen amen nashukuru sana kwa upendo ulio nioneshea ndugu yanguu
Hakika umefanya kwa ukubwa imekua tofauti na mawazo yao🔥🔥
Amen
Nimebarikiwa sana na ujumbe huu hakika mungu amekuinua kwaviango vikine
Amina
Hakika imekuwa tofauti safi sana mtumishi ubarikiwe
Ameen
Hongera sana, nabarikiwa sana na wimbo huu, Mungu akupiganie ufike mbali zaidi
Amen 🙏🙏🙏
Barikiwa sana
Kazi nzuri saaana
Sawa nimekuelewa inatia moyo!
Amen
Mutumish wamung hongela San kwakaz nzuli
Amina
Nabarikiwa kutoka Kenya wimbo mzuri sana wakubariki
🙏🙏🙏
Akh nimebarikiwa n hii nyimbo kwakwel barikiwe sana kazi yenu nzuri god bless you
Amina 🙏🙏🙏🎀🎀
Hongera sana mtumishi wa Mungu kwa kazi nzuri sana hii
Amina
Hongera san home boy kwa hatua hii,Mungu akutie nguvu
Amen
Kutoka Kenya Hongera Sana Kaka.Wimbo mzuri sana❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Asante karibu sana 🇹🇿🇹🇿
❤ ongeleni sana Waimbaji wa Mungu❤❤❤ i love it
Ameeen 🙏
Imekuwa tofauti kabisa katika jina la yesu🙏🙏🙏🙏
Ameeen 🙏🙏
Ameen Mbarikiwe Sana watumishi kazi ni njema Sanaaa
❤❤❤barikiwa sana kaka zangu ❤❤❤
Chunya tunakupenda 🔥🔥🔥🔥
Asante sana Chunya nawapenda pia
Hongela sana Mungu akubariki Sana 🎉🎉🎉
Amen
Kazi nzuri sana.
Mungu aibariki kazi ya mikono na midomo yenu
Amina
Tumaini au siyo au hapa unajina lingine
Jina langu Hilo kwenye huduma
Hongera sana kwa kazi nzuri. Ubarikiwe sana
Amina amina 🙏
Mungu aendelee kukubariki mtumishi
Amina
Bonge la song hongera sana bro Mungu aendelee kukuinua ktk huduma yako🙏
Amen
Mambo ni hivi 🔥 🔥
Balikiwa sana
Good song 🔥🔥🔥🔥🔥
Barikiwa kjana good song
Asanteee
Siku zote nabarikiwa na nyimbo zenu Mungu wa mbinguni azidi kupanua kipawa chenu.
Amen
Kazi nzuri tanzania
Amen
kaka ubalikiwe sana umefanya kwa ukubwa sana
hongeraaAa kaka kaz nzur
Ipo siku wa Tz tutajivunia kuwa na ww
Amina
be blessed so much my brother very powerful
Thanks 🙏🙏🙏
Wow hongera sana kaka yetu
🙏🙏🙏Asante sana
From Nigeria nice song god may bless u. Asante sana
Thanks 🙏🙏
Powerful song
❤❤❤ ubarikiwe mtumishi
Amina
IMEKUWA TOFAUTI BARIKIWA SANAAAA DUNFORD
Hakika imekuwa Tofauti 2024
Balikiwa sana my friend
Good video🎉🎉🎉 good song❤❤❤❤
🙏🙏🙏🙏🙏
Amen ubarikiwe mtumishi wa mungu huu Wimbo unanibariki sana
Amina
Ooh God thank you for always fighting for me. Keep your grace more in my life. Nice song I am blessed ❤❤❤
Amen
Mbarikiwe.na.Bwanayesu.kwaujumbe.mzuri
Amina balikiwa sana
Nice one ❤❤❤. Nipitie hapo pia ugonge hiyo subscribe button tukisonga pamoja 🤝
Ameeeeeeen powerful powerful msg, yes ni mungu ako na sisi, more grace more anointing
Amen 🙏🙏
Kazi nzuri be blessed my brother
Amen
Mambo ni 🔥🔥🔥🔥 Mungu akutie nguvu
Amina
Very nice servant of God
🙏🙏🙏
Hongera sana kazi nzuri. Mungu azidi kukubariki.
Amina
Safi
hongera Mungu azidi kukuinua😅
Amen Madam!!
God bless you My friend
Thanks 🙏🙏
Amen kazinzuri sana
❤️🙏🙏🙏
Hallelujah
❤❤ Amen 🙏🙌
Anko mungu akupe kushinda katika halakati zako🙏
Amina balikiwa sana
Hongera Mtumishi waMungu
Asante sana
Nice song congratulations 🎉
Amém.
Mungu akubariki sana mdogo wangu
Amen🙏🙏🙏
Amen Amen 🙏 Amen
balikiwa sana mtumishi
Amina 🙏
Mungu azidi kukuinua
Amina 🙏
Good work..God bless u
🙏🙏🙏
❤❤❤
Mungu awabariki
Amina
Nyimbo nzuri lakini zingatia uvaaji , kuvaa suti sio lazima
Asante
Ubarikiwe mkuu
Amina Mr. Kibali🙏🙏🙏
Great work bro🔥🔥🔥pitia Kwa song yangu pia
Pamoja sana 👍
🙏🙏
Very nice
🙏🙏🙏
Barikiwa Sana mtumishi wa mungu. Be blessed so much. Good job
❤❤❤
🙏
Great Great song🔥🔥🔥🔥🔥kindly pitia Kwa song yangu pia
🫡🫡🫡🫡🫡👍👍👍
Unakuwa tofauti barikiwa kz kubwa brother God bless you ua-cam.com/video/6oyFg_mzXiM/v-deo.htmlsi=XsSwK3V8hu0YW_U9
Hongera sana mtumishi kwa kazi nzuri hakika imekuwa tofauti
Kabisa imekuwa Tofauti