NIMEMUONA MUNGU YULEE - MT. FRANSISKO WA ASIZI (SFAT) TIA NA B. MUKASA (Sunday Mass)
Вставка
- Опубліковано 14 січ 2023
- Kwaya ya Mt Francisco wa assiz TIA wakiimba wimbo wa Mungu Yule (B.Mukasa) wakati wa Ibada ya Misa Takatifu Parokia ya Mtakatifu Maurus Kurasini si
Naangalia hata siimalizi nairudia mko vizur sana hongeran sana mungu awabarki sana
Hadi raha ya kuwa mkatoliki daima ❤❤❤❤❤❤❤ I'm proud to be a catholic
I'm from Rwanda, kbsa minafulahi sanaaaa kuahii Kazi yenu kwa Eclesia
Mwalimu uko vsr sana pamoja na wanakwaya wenzako wote mko vsur hongereni sana🙏
Mungu awabariki kwa kwa kazi nzuri
Napenda uimbaji wa aina hii, mungu awabariki daima, proud to a Catholic
Love you guys from Rwanda❤
Ubarkiwe sana konderkita nimekupenda sana❤❤❤❤❤
Kondacta huyu huwa ananifurahisha htr hongera bro Kwa kipaji ❤
Good performance much appriciations kwa mtiribu
Asee mubarikiw konderkita nimempenda bure
am proud to be a Catholic, everything is organized well🔥
Woow yan nimelipenda hili vibe jmn🤗🤗🤗 mwaaaaaah😋😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘❤❤❤❤❤❤
Sichoki kumwangalia mtiribu jmn aongezewe mara dufu na wanakwaya pia😊😊
So amazing... A proud to be a Catholic... I have seen God amen
Nawakubari xana had Raha jamn kuwa mkatorik rahaaaaa
Kwaya nzuri sana
choirmaster anafurahia kipawa chenye mungu alimmpe barikiwa sana pamoja na choir yote
Amina Sana🙏🏼
Nawapenda
When i see this i literally go crazy😭😭😭😭😭😘😘😘😘😘😘😘😘😘.
Aiiiiiiiiiiiiii !!!! Walahi kaka gasper watishaaaa mnooooo🧎🧎🧎🧎🧎🧎
Huyu mwalimu sasa 🙌🏻🙌🏻 ametisha sana salamu zimwendee kabisa 🙏
Saafi sanaaaaa 👏👏👏
ahsantee Sanaa🙏🏼 Mungu Ni Mwema🙏🏼
Vibeee la kwaya masta ni kibokoooo 🙏🙏🙏👏👏👏. Proud to be Catholic
Sio poa mnatsha baribuni vigozi mbagala
Tres douce musique catholique , louez l,eternel
Inapendeza
Hongereni sana SFAT family nawapenda sana
I like the choirmaster
Nawapenda mno segerea tumewamiss
Hongeren sanaaa bonge la vibee.
Hakika kwaya tamu sanaa ,mbarikiwe sanaaa ,kuimba ni kusali mara mbili ,Mwenyezi Mungu azidi kuwapa nguvu na imani thabiti ya kuzidi kumtumikia
choir master ❣️
Hongereni wana fransisco wenzangu nafurahi kuwaona mmefanya vyema sana ila nawashauri Mt. Fransico hajulikani kwa mavazi mekundu
Mungu wa Mbinguni awape fungu katika uzima wake wa milele🙏
Amina🙏🏼🙏🏼
Most favourable in the world 🌍
Mwanangu Japhet Mbaga.. organist big up......mtiribu amenikoshaaa ....Japhe mpe pongezi mtiribu😄😄
Familia❤😊
Asanteni kwa uimbaji mzuri
Raha sana kuwa katolike
I just love the conductor 😍😍😍😍😍👏👏👏👏👏👏👏
Nawakubali kinyama machali zangu huyu kwaya master aje arusha hata cku moja ataludi DSM akiwa viwango vya dunia aloo nitawatembelea cku moja
Wow🎉🎉🎉🎉
Congratulations 🎉🎉family
Wimbo mkali jameni🎉🎉
Wow bellissimo!!!!!
Nakaaa kusahishwa daima katika maisha mavazi yake ni udongo i.e Brown na Kijivu na labda Nyeupe ya Utakatifu wake wenzetu nyekundu mlitoa wapi
Woooooow
❤❤❤❤💃💃💃💃
Madoido mengi kanisani
Choir director super amazing job
Mnaimba vizuri Sana... nawapenda Sana....karibuni kenya tuinjilishe
Asante sana naam
Kwa uwezo wa Mungu tutafika tuombe uzima 🙏
Mkiweza kuwa serious mko vizuri mno, benchi ya mbele hamko active kabisa yaani, mikiweza kumtii mtiribu tu basi mtafika mbali, mnasimamishwa lakini kila mtu Yuko busy na yake hatimaye zinakuja kuwa step mbili Kwa wakati Moja, mkiamua kuwa live basi twahitaji kuwaona na umoja kama KMK wao hujiandaa
Soprano sijui kwann wanakuaga hivo ukiangalia kwaya zote yani. Ujuaji wao unawaponzaga saana
Hili vibe limepokelewa mpk mbinguni,hongereni sana.
Amina kubwa
Big up sana wana SFAT.
❤❤❤❤
Dada unayepiga kayamba nmekupenda ,your Smile,your vibe and everythng🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰
no coment on that
@@kwayayamtfransiskowaasizis5067 ongera Yesu mwenyemwema
Amazing
💥
Baraka ni nyingi sana
Mbarikiwe sanaa
Safi sana
..
💪👏👏👏👏👏
😍😍
♥️♥️♥️♥️♥️ waoooo
Good perfomance nowdays u a doing good.....🙏🙏🙏
Kanisani ni kanisani conductor unatupigaa kambaaa😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀tafsiri yake ni kwamba wanakwaya pia walipaswa wajifute jasho as u did...
Where can I gather the lyrics to the song please...beautiful voices 🎉🎉
From kenya
❤❤
🔥
Good work guys
♥️♥️
Good song. Simon From Namibia
Inapendeza