Unashindana na harmonize sahii! eeeh! nashindana na harmonize! Nawewe una magari sita? Eeeeh! nina magari sita. hhhhhh. kasahau kuwa mwanzo alimwambia ana magari matatu! 😊😀😇😀😀...bangooooo! utaniamaliza weweeee!
Mtanga na bamboo nyinyi ni hazina sana hapa nchini sema tu dada zetu tatoo zenu muwe mnaficha maana nyny ni kiooo cha jamii weng wana adapt kuwa tatoo ni uhunii kumbe n sehem ya pambo
Bambo hilo shati la suti ni la mtoto au ni crop top, maana ni fupi mtumbo ulikua unaonekana, hadi camera man akakushtua, ukamuangalia ukajiziba fasta na mikono.
Mtanga and Bambo such talented duo
Nawakubali sana from 🇰🇪
Sasaa bamboo iyo suti yako shati yandani ❤❤❤❤😅😅😅
Nawakubali watuwangu toka ningali burundi 🇧🇮 mpaka nilivyo enda 🇨🇦💖🥰🥰
Yani we acha hawachuji
Watu wangu nawakubali sana mko vizuri sio kazi ndogo kutoa comedy kila baada ya cku 2 mnajitaidi sana
Huyo manzi ana shepu nzuri Sana, Changare nichongee njia😍
❤❤ninyi ni marafiki hatuwezi kuwaingilia
Mje mwanza kuna lokesheni nzuri Sana zina wafaa
Mnatisha sana na hamzekeeki, kama vile mna miaka 15 tu, hongeren sana'
Amini usiamini hawa jamaa muda ulikuwa bado da!❤️❤️❤️❤️❤️
Haha haha haha haha haha haha unaniongezea jeuri kwenye nyumba yangu.🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Sema bambo anazingua sana ,, kwa hilo neno la""" mumeo atakubali ""🤣🤣🤣🤣
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Nimerauka jamani naomba like zenu
Kurauka ndio nini
Bamboo umevaa tumbo cat ndani 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣alafu binti nimzuri kaona mgeni kaingia akachukua leso akajifunga..hongera Tanzania...nipeni msichana nioe kama yuko😍😍😍😍
Nice comedy I like it
Etty amapiano nigari mtanga bana mpo vizur
Hiii manzi ina shepu hatari,,,nimeikubali😀
Ha ha ha mtanga umenichekesha et ukipiga picha na Rais wa kenya ❤
Mtanga atafute hela
Aahahahha aisee manake kwanza ncheke mtanga et bwana mambo unanifaham nikiwa nahela nitakaa nga ngara ngara kama hii 😅😅😅
The best comedian never disappoint
Kuna kitu nimekiona kwa upande wa mavazi ya Bambo , alocheck nae anambie😄😀😄
Shati upande watumbo haijafungwa kifungo au nifupi sijui
@@aftapat5365 You are so genius , imemfanya Bambo akose Amani kabisa alipogundua. Akabaki kila muda anajitazama😀😄😀
Kwani hapo director hayuko?
@@kasukukasuku3896 yupo watu wa comedy huwa wanafanyaga makusudi 🤣
Sharti imechanika
Unashindana na harmonize sahii! eeeh! nashindana na harmonize! Nawewe una magari sita? Eeeeh! nina magari sita. hhhhhh. kasahau kuwa mwanzo alimwambia ana magari matatu! 😊😀😇😀😀...bangooooo! utaniamaliza weweeee!
Sema nn mtt mzuri bhan
Hahaha...imeishia vizuriii.....
Jaman uyu dem anaitwa nan jina lake au la uigizaji
Safi saana
Hatari 🤣🤣🤣Eti Amapiano Ni Nyimbo🇰🇪❤
Jamaa nawakubali sana hawa
Mtanga na bamboo nyinyi ni hazina sana hapa nchini sema tu dada zetu tatoo zenu muwe mnaficha maana nyny ni kiooo cha jamii weng wana adapt kuwa tatoo ni uhunii kumbe n sehem ya pambo
Iko sawa
🇰🇪 🇰🇪 hapo sawa
Nawakubali sana
Mtanga please uyu dem anaitwa nan nahita mawasiliano nae
😂😂😂 safi sana kazi nzur
Bamboo ndan naona umevaa Ki just because 😂😂😂
Huhuhuhu mpaka chooni unaenda na gari
manzi yuko shep tamu sana
Ninyi Wendawazimu mtaniua na Kucheka
Kweli huyo manzinimzuri
Bana wee Acha masikhara
Tunachakazana tunatumianaa hahahahahahaha
Nipo zangu Kenya, naenjoy comedy🤣......
Lbda Tecno simu sio mtu😂😂😂
Jamani mtanga tafuteni mic
Bingwa zidi kutoa filamu mkubwa tukumbuke pia pale Africom Entertainment mutusapoti🤣😂👍
Nakuamini mtanga na bambo hamjawahi kuferi kwenyekazizenu 🏋️
Eti hamonaiz munalingana lakn Mutanga🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
🔥❤️🔥
Gari hewa hila funguo ipo mikononi dah
Pedeshee na magari lkn shati halina kifungo 😂😂😂bongo movie bana
This is comedy
ndio comedy
Usiwe makini huu ni ucheshi,Comedy
Ivi amapiano nayo ni gari 😅😅😅
Mtanga niache bwanaaa
Mamito mamito😂😂😂😂😂
😂😂😂😂asante kwa burudani legends
Shukran shukran kwa burdan
Shati ya ndan imeachia kisikizo tumbo nje
Hahaha 🤣😂😂 ila mtanga umezid ka uwongo
Bomboo ni nyoko Sana
MTANGA TURUDISHIENI SIKITU TUMEMMISS
Yuko chuo
Nice hogereni ❤️
Safi Sana
Ninyi ni marafiki hatuwezi kuwaingilia
Eti nyinyi wote hakuna hela
Hilo shart la bambo vip
Shart pia ni sehemu ya comedy
Yaani mwisho Kama bosi kweli wa t.r.a
Atariii
Amapiano nayo ni gari hahaha
Tumbo linaonekana kwenye suty
Ety nyi wote hamna Hela hamna Hela ila bamboo motoooo
❤
Hahahaaa hawa jamaa ni hatar sana asee
Nyie washenzi🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Bamboo unanifuraisha eti bwan unapendeza
Make kwanza nchekeee
Mbona atakubali
Bando ndani umevaa blauz ya simba 😂
Bambo bwana eti twende nae mjini?
Hv ni kweli kuwa gesi imeshuka elfu arobaini??
Hahahaha , tumbo linaonekana
Da
Da shots unamacho mi mwenyewe nimemona
Skitu yupo wapiiiii
Nimchukue niende naye mjini! eti! mjini muende mkafanye nini! hebu chukua kafunguo chako hiki na usirudi tena....hhhhhhh. Kaanza kucheka mwenyewe bambo kwanza, kafuatia mtanga, alafu camera man, ikifika kwangu! i seeeeee! sikucheka ni balaaaa!😊😊😊😀😇😁
Hahaha...imeishia utamu wee mwenzio nimecheka balaa
@@safiasaleh669 hhhhhh.wenyewe walio acting walishindwa kujizuwia, walianza kurarua vicheko, je sisi watazamaji? tutwaeza kunyamaza!!!!
HAHAHAHA eti amapiano nigali? aaninyimbo
Mwanamke anagubu🤣🤣
Mtanga
Mtanga eti ka Wema Sepetu na ka Irine Uwoya 🤣🤣🤣🤣🤣
👊✌️👍。
ndugu zangu
mumewatach watu
wengi sana du! 😢
Bambo hilo shati la suti ni la mtoto au ni crop top, maana ni fupi mtumbo ulikua unaonekana, hadi camera man akakushtua, ukamuangalia ukajiziba fasta na mikono.
Hakuni shido 😂😂
Sema bambo mm ukiongea nafurahi San yani unavyoongeaga😂😂😂😂😂
Ningekuwa nahela nisingekaa na kidavida huu
@6:40…. Eti labda Techno SIMU…. Sio Mtu🤦♂️😂
Labda uwe na Tecno simu😆😆😆
Ukiskilza kwa umakn saut na pcha aviendan
😀😀😀😀💪💥
Wapi sikitu!!
Yuko chuo anasoma
Huyu dada anaitwa nani
Unakuwa na gari mpaka liote fungus
Dunia ya leo ni film
Duuuh!!!
Kasda
Hawa ndo wazee wa kaz kaz zenye maadiri