MSANII wa KENYA Amtungia RAIS MAGUFULI WIMBO, - "TUNATAMANI ANGEKUA RAIS WETU"

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 30 лип 2020
  • MSANII wa KENYA Amtungia RAIS MAGUFULI WIMBO, - "TUNATAMANI ANGEKUA RAIS WETU"
    Mwanamuziki kutoka Kenya amekoshwa na utendaji kazi wa Rais wa Tanzania Dkt. John Magufuli hadi kufikia hatua ya kumuandikia wimbo maalumu wa kumpongeza, kusifu na kumtia moyo. Ameeleza matamanio yake ya kuona Rais Magufuli angekuwa Rais wa Kenya.
    ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
    ⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
    ⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
    ⚫️ VISIT AMAZON: www.amazon.com/shop/globaltvo...
    ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506)
    ⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
    ⚫️ OUR PLAYLISTS:
    ⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2
    ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
    ⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
    ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
    ⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltvonline
  • Розваги

КОМЕНТАРІ • 466

  • @bensonkuria6851
    @bensonkuria6851 4 роки тому +143

    Am a Kenyan , it's true we need JPM here. Tanzania is my second home.

    • @martinkipenya4592
      @martinkipenya4592 4 роки тому +3

      Karibu tanzania

    • @gwiya_tz1496
      @gwiya_tz1496 4 роки тому +2

      Welcome Tanzania

    • @maskartedu2422
      @maskartedu2422 4 роки тому +9

      We dont want to leave our country We just want Magufuli

    • @maskartedu2422
      @maskartedu2422 4 роки тому +8

      @Change Mindset pia sisi hatukufurahishwa kabisaa lakini usichojua ni kuna inchi bado zaendeshwa na wakoloni Na wanao faidika ni viongozi(ambao ni walafi na wezi) na wakoloni wenyewe sisi wanainchi wa kawaida twathulumiwa kila siku,alafu pale kwa "matusi" ni kejeli tu yaani utani tu shida ni kunao wanajua kutaniana na kuna wapumbavu ambao ata kuongea mbele ya umati hawaezi yaani kwa ufupi hatufanani wote so kama kuna Mkenya alikuhudhi nakuomba msamaa kwa niaba yake coz at the end of the day sisi ni Brothers kabisaa,nikama shuleni ulkua na rafiki na pia kulkua na wale wanafunzi watundu wachokozi so cha muhimu you just don't mind them,

    • @maskartedu2422
      @maskartedu2422 4 роки тому +3

      @Change Mindset i've been a very big fan of Bongo muzik tangu enzi za Saigon,nako2nako,mad ice,kikosi cha mizinga,soggy doggy,misosi,the late ngwea,mr. Nice na wengine wengi so most Kenyans like almost everything about Tz,sasa Juzi JPM alikataa mkopo wakati kwetu waliukimbilia kama kuku wakikimbilia mahindi na sasa hivi hatuna uhakika ziliko hela hizo,mbona tusi tamani kiongozi kama JPM na si Kenya pekee almost every African Nation wants him since him and Malema(s.Africa) are the only pan-Africanist remaining

  • @fekechempare7510
    @fekechempare7510 4 роки тому +40

    "Yani yeye aliweka imani kuliko hata wahubiri", big point from massp to our President JPM........!

  • @nabiiesterdonald4205
    @nabiiesterdonald4205 4 роки тому +70

    Ubarikiwe kaka .asante kwa kumsifia Rais wetu .JPM chaguo la mungu Mungu tz.

    • @mariamathman1065
      @mariamathman1065 4 роки тому

      Umeweza Nabii Ester Donald,asante

    • @nabiiesterdonald4205
      @nabiiesterdonald4205 4 роки тому

      @@mariamathman1065 asante pia.

    • @nabiiesterdonald4205
      @nabiiesterdonald4205 4 роки тому

      @@emmapaul1766 ,kwani, mzazi wako hajawa bibi mpaka leo .usitukane watu ww,emma paulo maana utahukumiwa kwa maneno yako .na mda si nrefu utaanza kuhangaika kwenye hii dunia .na hayo uliyosema nayarudusha kwako na family yako milele. Amina.

    • @nabiiesterdonald4205
      @nabiiesterdonald4205 4 роки тому

      @@emmapaul1766 unikome kwa jina la yesu kristo aliie hai sitaki nazoea na na ww hunijui ckujui achana na mimi,

    • @nabiiesterdonald4205
      @nabiiesterdonald4205 4 роки тому

      @@emmapaul1766 kama umeziea kutukanana kwenye mitandao watafute hao ulio waxoea kuwatukana au kuwachamba huna adabu.

  • @Mamatonny2065
    @Mamatonny2065 4 роки тому +35

    Mheshimiwa Rais Magufuli alimtanguliza Mwenyezi Mungu kwa kwa tatizo la corona.mwenyezi amemsikia.AMINA.

  • @sophialaurent2876
    @sophialaurent2876 4 роки тому +60

    Aki sio uwongo naishi Kenya mim wananchi wengi sana wahuku kenya wanampenda Magufuli sana

    • @martinkipenya4592
      @martinkipenya4592 4 роки тому +2

      Karibuni sana

    • @valariekundu8124
      @valariekundu8124 4 роки тому +2

      Nikiwa hapa mkenya BT rais magufuli nampendana sana

    • @josephntungiye6232
      @josephntungiye6232 4 роки тому +2

      Asante mkenya kwakumpenda rais wetu JPM

    • @amouramour9712
      @amouramour9712 4 роки тому

      h

    • @mohammedomar1371
      @mohammedomar1371 4 роки тому

      Umesema kweli mm niko nje ya nchi nasoma ila magufuli namkubali na moyo wake angekuwa kwetu kenya ufisadi wauwongozi haungekuwa mola ampemoyo tena wakiislam na mwisho wake awemuislam Amin.kwani itakuwa heri zaidi atakuwa ametimiza vile mola anataka viongozi wawe

  • @allymusira2153
    @allymusira2153 4 роки тому +61

    Lakini kuna baadhi ya wapumbavu hawapendi Rais wetu Mugufuli

    • @maskartedu2422
      @maskartedu2422 4 роки тому +5

      Waambie waje Kenya wata jua mbona wakenya twammezea mate Magufuli

    • @josephntungiye6232
      @josephntungiye6232 4 роки тому +2

      Safi sana nduguyetu mkenya kwakuongea ukweri na uwazi

    • @roidysimchimba7103
      @roidysimchimba7103 4 роки тому +2

      @@zaidatuissa3018 naombea ikifka 2025 watanzaniah tuandamane maguful aendelee na akikataa tugomeee uchaguz

    • @eyanlenjorin4566
      @eyanlenjorin4566 4 роки тому

      Ni kawaida kwa binadamu kupendwa na kuchukiwa huo si upumbavu.

  • @florencekaranja8736
    @florencekaranja8736 4 роки тому +31

    mimi pia ni mkenya en it true watanzani ur blessed to hve maghufuli i wish tupate raisi kama yeye

    • @dantoto9426
      @dantoto9426 4 роки тому +3

      Walai Tena Florence mungu atujaalie tupate Rais kama huyu Aki hapa kenya

    • @jamesnteleva7073
      @jamesnteleva7073 4 роки тому +1

      @Florence Karanja, may your wish come true in Jesus Mighty name!💪🏾

    • @jedidahbintidaudi8241
      @jedidahbintidaudi8241 4 роки тому

      Mbona mna Kenyatta na ni poa tuu

  • @mashramadhani1989
    @mashramadhani1989 4 роки тому +85

    Asante ndugu yetu mkenya karibu Tz hata kuishi hapa hakuna shida.

    • @magynzioka1122
      @magynzioka1122 4 роки тому +2

      Sio mkenya uyu ni mchsnga wamoshi anaishi taveta ana biashara zaka mika tu

    • @mashramadhani1989
      @mashramadhani1989 4 роки тому

      @@magynzioka1122 OK Kumbe! 😁😁

    • @aminahamis9343
      @aminahamis9343 4 роки тому

      @@magynzioka1122 hata kiswahili kina julisha juu mkenya anajulikana kiswahili chake kama alikua wa Nairobi.

    • @norbertkauzeni1324
      @norbertkauzeni1324 4 роки тому

      Mmmhhh

    • @brysonkaale7106
      @brysonkaale7106 4 роки тому

      Huyu ni Mrombo was Mashati,aache maigizo!

  • @buremomussa791
    @buremomussa791 4 роки тому +83

    Ni rais pekee Afrika asiyepangiwa mambo yake na nchi za nje

  • @gracemima5234
    @gracemima5234 4 роки тому +58

    Mnyonge munyongeni lakini haki yake mpeni. Rais MAGUFULI kafanya kazi, wanaompiga vita ni wale waliokuwa wakitumia mali za wote kwa manufaa yao wenyewe. MAGUFULI miaka mitano na akimaliza ikiwezakana aongezewe mingine. Tanzania iwe kama Singapore

  • @zkylieh204
    @zkylieh204 4 роки тому +6

    Mimi mwenyewe natani sana jpm angekuwa rais wetu wa Kenya manzee Tanzania kazi tu...mungu amuweke uyu mzee 🙏🙏🙏

  • @KS-iw7qv
    @KS-iw7qv 4 роки тому +50

    TANZANIA KWA KWELI TUNA USTAARABU MKUBWA HILI HALIPINGIKI TUPO VERY FAMILY UKITEMBEA NCHI NYENGINE HILI UTAONA..... SISI TUNAPENDANA NA PIA HATUMDHARAU MGENI HII INATUFANYA TUSIWE NA UBAGUZI..UNAWEZA KUISHI POPOTE WATU WAKAKUPENDA NA KUKUTHAMINI PIA.... we are gifted LAND..... TULITUNZE HILI WATANZANIA WENZANGU....

    • @benedictorsailon9496
      @benedictorsailon9496 4 роки тому

      Kweli kabisa

    • @kijanahodari2080
      @kijanahodari2080 4 роки тому

      Ni kwa rais tu bali sio kuwa Tanzania ni bora kuliko Kenya, wakenya wachapa kazi wanastahiki rais mchapa kazi na kumaliza hongo

  • @titusandrew6017
    @titusandrew6017 4 роки тому +45

    Safi kama mnaona impacts za JPM 😎😎😎

  • @neemamturi3273
    @neemamturi3273 4 роки тому +18

    Kiukweli mwenye macho haambiwi tazama safi sana Kaka hakika Raisi ni mfano wa kuigwa.

  • @egnomsigwa6061
    @egnomsigwa6061 4 роки тому +29

    Hongera sana kijana unaona sana bgp sana jpm oyeeeeeeeee

  • @elishaishanga3168
    @elishaishanga3168 4 роки тому +23

    viva tanzania viva magufuli may God bless you Sir

  • @rukiamatano7764
    @rukiamatano7764 4 роки тому +8

    "Hata Mimi ni mkenya lakini tumempenda magufuli bure ni Rai's wakuaminika mwenye msimamo mungu amlinde ywatamini utu kuliko kitu mungu akulinde Mzee magufuli yes.

  • @mohamnedsalum2150
    @mohamnedsalum2150 4 роки тому +34

    Mungu ibariki tanzania mbariki magufuli

  • @abeatech1479
    @abeatech1479 4 роки тому +36

    Kijana una akili sana na una macho na unaelevu ,mungu akubariki akupe uhakika wa mahitaji yako tusiyoyajuwa, watu wengine wanajifanya "eti hawaoni "kazi ya magufuri ,ila hivyo hivyo wasione hivyo hivyo kama wanvyokiri wao hawaoni wasione sawa na unafiki wao

  • @jumasaidi8157
    @jumasaidi8157 4 роки тому +47

    Safisana kwa kuonekana kuheshimu utendaji wa mhe Rais magufuli

    • @ngokaomary5123
      @ngokaomary5123 4 роки тому +1

      Mfalme magufuli tunakutambua Africa mashariki ...hauna mfano m/mungu akulinde

  • @justinwambua5180
    @justinwambua5180 4 роки тому +9

    JPM non tolerance to corruption is one of the things I like about him. People's servant, God bless you. The next election will be a walk over. God bless him

  • @samuelngigi7062
    @samuelngigi7062 4 роки тому +14

    Maghufuli is a true leader with self confidence....lakni kenya twaongozwo na mabrukenge,wakora,selfish pple

    • @mirynjeri5850
      @mirynjeri5850 4 роки тому +2

      Hahaha na walevi na waizi

    • @josephstephen2047
      @josephstephen2047 4 роки тому +2

      Hahaha Uhuru kazi kufungia watu ndani na chakula hawapi

  • @danielyalla126
    @danielyalla126 4 роки тому +6

    Mimi ni mkenya bt nampenda Sana sana rais John Pombe Maghufuli

  • @suleymandachi5596
    @suleymandachi5596 4 роки тому +89

    JPM anaaminiwa na wengi tuachane na properganda za wapumbavu wasiojitambua

    • @shalomizrael667
      @shalomizrael667 4 роки тому +10

      Siku ataondoka ndipo tutaanza oooh alikuwaga 🙄

    • @johnmlay4759
      @johnmlay4759 4 роки тому +2

      Kabisa

    • @johnmlay4759
      @johnmlay4759 4 роки тому +4

      @@shalomizrael667 ukweli ni kwamba tunampenda Sana jpm sis watz ukiachia mbali wale wanasiasa uchwara na wafuasi wao wachache ambao wala hawatusumbui

    • @emmanuelbonifase1114
      @emmanuelbonifase1114 4 роки тому +1

      Pamoja

    • @adamssaid4392
      @adamssaid4392 4 роки тому +3

      Kama chadema Hana shukrani

  • @monicaopondo3539
    @monicaopondo3539 4 роки тому +66

    Ni kweli tunatamani sana Magufuli Angelikua raisi wa Kenya

    • @jamesnteleva7073
      @jamesnteleva7073 4 роки тому +4

      Mungu awajaalie kumpata kiongozi mzuri kama JPM. Lakini pia, fanyeni uamuzi sahihi wakati wa general election, bila kujali ukabila. All the best.

    • @zkiduku4068
      @zkiduku4068 4 роки тому +2

      Kenya kinacho waponza ni ukabila

    • @jamesnteleva7073
      @jamesnteleva7073 4 роки тому +1

      @@zkiduku4068 Sasa kama wanaona ni mzuri na wanaukumbatia, wasiulete huku kwetu... Hivi vitendo vya hujuma kwa uchumi wetu (illogically blocking transport activities kwa kisingizio cha corona) hatuwezi kuvikubali kamwe! Kwenye orodha yao ya nchi ambazo watu wake waweza kuingia kwao freely kuna USA (among others) ambayo kwa sasa ndiyo inaongoza duniani kwa wagonjwa wa corona. Halafu eti Watanzania tukienda kwao ni lazima quarantine, hao wazungu wa USA quarantine haiwahusu... Huoni hiyo ni double standard? Na wengine, kama muandishi wao mmoja mjinga anaitwa somebody Mutua wanasema ati tuliwazuia kuleta ujumbe kwenye maombolezo ya Mkapa... Ujinga mtupu! Maana serikali yao wenyewe ilisema kuwa helkopta yao ilirudi kwa sababu ya hitilafu za kiufundi, siyo kwa sababu ilizuiwa na serikali ya Tanzania. Kwa ufupi, serikali ya kenya ni corrupt... Inafanya maamuzi ya kipuuzi ili kuathiri uchumi wetu kwa kutumia corona kama excuse... Sasa tunawaambia wazi, tuko makini mno na sisi si wajinga kama wanavyotudhania... Haka kadhambi ka ubaguzi ni kweli kanaanzia kwenye ukabila. Wakafanye huko kwao, wakikaleta huku kwenye regional affairs, na hasa kuathiri mambo yetu, we will always be there to strongly counter that. Tangu walipoanza kuzuia magari yetu ya utalii yasiende kwao mwaka 2015, likafuata suala la kuzuia malori yetu kwenda kwao mapema mwaka huu na sasa issue ya ndege kwa kisingizio cha corona, kudanganya watalii kuwa Mlima Kilimanjaro uko kenya, na maujinga mengine mengi, yote hayo ni njama tu za kipuuzi... Tunawatazama tu ni nini wanafanya, wakijichanganya tu, tunao... Sisi si watumwa wao kwamba tufanye tu kile wanachotaka wao. Hayo yalikuwa mambo ya zamani... Waache upuuzi...!!! That's a very simple statement they should know. Tufanye biashara kiungwana na kwa kuheshimiana. Dharau (ati wao ni superior than us), ubaguzi, na ubabe wa aina yoyote hatutauvumilia. Watanzania will always stand firm on that.

    • @zkiduku4068
      @zkiduku4068 4 роки тому +2

      @@jamesnteleva7073 hao wajinga hawana tena ujanja Kwanza walikuwaga wanaiba madini yet magufuli kawakomesha kaamua kuwa wekea ukuta wasipite saiv wana angaika t

    • @jamesnteleva7073
      @jamesnteleva7073 4 роки тому +1

      @@zkiduku4068 umeona eeeh? Wanajaribu sana kutufanya tuonekane wabaya lakini wanachemka cause tuko imara. Mbinu wanazozitumia ni za kijinga na always zina-backfire... Ni serikali corrupt tu inaweza kufanya kama ifanyacho serikali ya kenya.

  • @wazirikhamisi4828
    @wazirikhamisi4828 4 роки тому +27

    SASA NCHI ZA WENZETU WANAONA KAZI ZA MAGUFURI MPK WANAMPONGEZA HALI YAKUWA SIO RAIS WAO SASA WW MTANZANIA UNAJIFANYA UONI KAZI ZA MAGUFURI SHENZI AYA KAMA SIO KIPOFU LIKE KWA MAGUFURI

  • @explicit4life65
    @explicit4life65 4 роки тому +5

    I’m from Kenya, magufuli the best

  • @leonardbihanda7878
    @leonardbihanda7878 4 роки тому +3

    Nimekupenda sana ndugu yetu wewe ni mkweli..Karibu sana Tanzania na Mungu akubariki na kukulinda.

  • @mohammedmdangwe2056
    @mohammedmdangwe2056 4 роки тому +50

    tundu lisu umemsikia huyo mkenya anavyomkubali rais wa tanzania we tundu lisu ni mjinga mpumbavu kila kitu unapinga wakala wa mabeberu umekuwa shoga wa wazungu rudi ulaya atukutaki tz tundu bovu

    • @ringoaskali7625
      @ringoaskali7625 4 роки тому +6

      Tundulisu hawezi kuwa raisi ni shoga yule

    • @fernandedpiter3035
      @fernandedpiter3035 4 роки тому +1

      Huna akili wew mungu akusamehe

    • @makongoronyerere2595
      @makongoronyerere2595 4 роки тому

      @@ringoaskali7625 , .shoga ww

    • @kanuteduwe4657
      @kanuteduwe4657 4 роки тому +1

      Tundu Lissu hapa anaingiaje?
      Kwani unadhani Mungu ameuumba Magufuli tu ndiye mwenye uwezo? Huo ni umaskini wa mawazo!

    • @diamondgeyser7987
      @diamondgeyser7987 4 роки тому +3

      Kweli Mungu hajamuumba Magufuli peke Yake lakini you can't compare Magufuli na Lisu!....lisu Hana historia yoyote ya maendeleo tunayoweza kuiangalia ili tuweze kumlinganisha na Mag u...lisu ni Maneno mengi tu na blablaa....lakini MBA ya zaidi ameonekana kuwa kipenzi cha wakoloni na hiyo ni hatari kwetu

  • @wanjiruwathuo3643
    @wanjiruwathuo3643 4 роки тому +6

    JJPM Wakenya Twakuenzi....Hongera Rais Mungu Akunjalie Maisha Mema.

  • @francavantini9098
    @francavantini9098 4 роки тому +18

    Wa kenya tunachukulia Poa sana kizuri ni kisifiwe . Kenya nporojo tu

  • @mohammedkiraan1486
    @mohammedkiraan1486 4 роки тому +23

    Sio wa Kenya tu majirani wengi watamani awe rasi wa nchi zao

  • @charlesotwalo9335
    @charlesotwalo9335 4 роки тому +1

    Hongera sana Msanii kutoka Nchi Kenya kwa kuonyesha uzalendo katika Taifa letu la Tanzania. Mungu azidi kumlinda Rais wetu jpm siku zote.

  • @mukenuzimakanda1114
    @mukenuzimakanda1114 4 роки тому +11

    Siyo wa Kenya tu wanaomtamani Pombe Magufuli kuwa rats wao, hata sisi DR Congo tunamtaman na kama ingewezekana wa Tanzania munge tuazima naye kwa mda wa myaka kumi.

    • @josephstephen2047
      @josephstephen2047 4 роки тому +1

      Aisee Congo ingekuwa km America na hivi mna madini mengi

  • @ombennassary7438
    @ombennassary7438 4 роки тому +24

    Magufuli hoyeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

  • @nickyfranchesco5611
    @nickyfranchesco5611 4 роки тому +3

    Kenya tungepata Magufuli haa ufisadi ingekuwa hadithi ya kitambo Magufuli anachapa kazi kweli kweli,huku viongozi wa kenya ni burukenge tuu!!

  • @japhetdaud3781
    @japhetdaud3781 4 роки тому +22

    Magufuli 💪 ni tunu, Africa 🙋🙋💯🇹🇿

  • @missmwayway4704
    @missmwayway4704 4 роки тому +11

    Ahsant xana ndugu yetu 👍

  • @jenyyusuph4973
    @jenyyusuph4973 4 роки тому +20

    Mm natamani kitokee kitu cha a jabu Africa TUUNGANE alafu tuchague magufuli awe ndio Rais wa Africa nzima ili akatuchukulie fidia za babu zetu huko EE mungu tusaidie Africa uwe ndio wakati wetu wakufanikiwa

  • @maskartedu2422
    @maskartedu2422 4 роки тому +21

    Na ni kweli kwanza hapo kwa Covid na Kukataa mkopo(instead he asked them to forgive the previous one)aaah I personally i saluted him kabisa,Twamtamani si siri,mkopo wetu hatujui ulikoenda

    • @fredysanga5764
      @fredysanga5764 4 роки тому

      Iv n habari za kweli kama wenzetu wakenye mmebakiwa na ardhi ndogo sana mfano wa uwanja wa mpira afu nyingine yote mmekopea mkopo kwa mchina??

    • @maskartedu2422
      @maskartedu2422 4 роки тому +2

      @@fredysanga5764 hahaha mchina ni Deni mkoloni ndo alinyakua vipande vya ardhi aswa maeneo yenye dhoruba shwari na katuachia mifupa till today bana

    • @jamesnteleva7073
      @jamesnteleva7073 4 роки тому +1

      @@maskartedu2422 poleni sana...sehemu kubwa ya ardhi yenu inamilikiwa na wachache...mlevi uhuru na familia yake wakiwa miongoni mwao...hili ni tatizo kubwa, among many others. Huku kwetu mimi naweza kumiliki ardhi popote, ilmradi nifuate sheria zilizopo tu.

  • @cesiliamajii
    @cesiliamajii 4 роки тому +3

    Mungu akulinde sana baba yetu Magufuli
    Sifa na utukufu mrudishie Mungu

  • @clementiddi6244
    @clementiddi6244 4 роки тому +2

    Watanzania sisi wastaarabu sana kwa wageni yaani huoni tofauti yoyote, kudos watz tuendeleze utamaduni huu

  • @husseinshabani9522
    @husseinshabani9522 4 роки тому +1

    Mungu Akulinde sana Rais wetu. Watanzania Wajifunze sasa.wao wako Tanzania wanajifanya Awaoni Anachofanya Rais Magufuli.Watu walio mbali na Tanzania Wanaona Vinavyofanyika.Mungu Akulinde sana Rais wetu Magufuli Akupe Afya njema Wewe Nafamilia yako na Viongozi Unaowaongoza Awape Busara zakutuongoza zaidi In sha Allah Allah Atufanyie wepesi sote

  • @silyadamian5708
    @silyadamian5708 4 роки тому +12

    Kelele ya kwanza kwa Magu ake "weee, kelele ya pili kwa John ake " weeeee,kelele ya tatu kwa Pombe yake "weeeeeeeeeeeeeeeeee.

    • @fatumaomy4858
      @fatumaomy4858 4 роки тому +1

      😄😄weweeeeeeeeee magu yuko juu juu zaidiii..penda sana raisi wetu💓💓

    • @queenwinnie256
      @queenwinnie256 4 роки тому +1

      Weeweeeee

    • @sistajeremiakalinga5436
      @sistajeremiakalinga5436 4 роки тому +1

      Wambieeee kelele ya 5 kwa John wake weeee kelele 6 kwa pombe yake weeeeeee duu nimeipenda saaana

  • @sabrinaislam4200
    @sabrinaislam4200 4 роки тому +17

    Sisi tunataka akae milele rais wtu

  • @nahime9907
    @nahime9907 4 роки тому +20

    Magu ni rais ambapo wengi wamarais wanatakiwa waige mfano wake...he's a president and a half...period

  • @auntdorah9141
    @auntdorah9141 4 роки тому +2

    Ukweli kazi inaonekana..tena kwenye corona Raisi ameinua imani ya watu wengi kwa Mungu.

  • @carrenchigulu5712
    @carrenchigulu5712 4 роки тому +6

    Kenya ingekua na JPM wafisadi wote wangekua jela

  • @augustinomwamasinga2200
    @augustinomwamasinga2200 4 роки тому +9

    Wewe jamaa umeongea true kabisa

  • @mariamathman1065
    @mariamathman1065 4 роки тому +5

    Safi sana

  • @barakamollel9122
    @barakamollel9122 4 роки тому +3

    Asante Kaka Karibu Tanzania Nchi Ya Amani

  • @MWEENEPLAN
    @MWEENEPLAN 4 роки тому +1

    Rais magufuli sir mungu akulinde uongoze TZ milele I admire your leadership sir

  • @naslee1010
    @naslee1010 4 роки тому +1

    Ndugu yangu Mkenya We Ni Ndugu Yetu Wakenya Wote Ndugu Zetu Karibuni Home Tz.🇹🇿🇰🇪

  • @SalmaSalma-nb2cv
    @SalmaSalma-nb2cv 4 роки тому +12

    We mungu akilinde mana viongozi wa Africa hawapend kuambiwa ukwel

  • @sudeshmamtaz4429
    @sudeshmamtaz4429 4 роки тому +3

    Hata mimi napenda sana magufuli angekua Kenya aki tungekua tuko mbali sana

  • @mankialema6490
    @mankialema6490 4 роки тому +7

    Ukweli haujifichi ,Magufuli Ni jembeee
    Hao wenye uchu wa madaraka wajipange Sana watuachie JPM wetu amalize miaka yake Murano amalize awamu yake ya pili kwa amani

  • @alimarezi7543
    @alimarezi7543 4 роки тому +4

    Mimi nmkenya huku kwetu tuna mtambua magufuli kuliko huyu wetu

  • @salmadalaquimane2364
    @salmadalaquimane2364 4 роки тому +7

    Viva jpm viva

  • @rehemafungo5042
    @rehemafungo5042 4 роки тому

    Asante kwa kusema ukweli kuhusu tz.Mungu akutie nguvu

  • @salomemlagila5757
    @salomemlagila5757 4 роки тому +1

    Thank you so much for appreciation

  • @rosemongi5273
    @rosemongi5273 4 роки тому

    Safi kabisa brother kwa sababu unasema ukweli Kama rais wetu ,rais wetu ni mkweli na ukitaka kuelewana nae uwe mkweli ,mchapakazi na umwamini mungu.

  • @maskartedu2422
    @maskartedu2422 4 роки тому +6

    Imagine Rais anakataa mkopo tupeeni Magufuli ata kama ni miaka mitano tu jameni

    • @benjaminjoseph1747
      @benjaminjoseph1747 4 роки тому

      We love U Kenyani dada na kaka zetu. We love Magufuli our president. Mungu amlinde. Tunawaombea Kenyani mpite salama na mjaliwe kupata uongozi mzuri uchaguzi ujao

  • @sallymartim2668
    @sallymartim2668 4 роки тому

    We love him sure,God bless him with God protection

  • @elinahmkandoe3429
    @elinahmkandoe3429 4 роки тому

    Even In Canada we needJPMMagufuli as per to love God respect God and respect other religion and fearing God Putting God first freedom of worship is needed here as Magufuli challenged Corona and its creators by standing firm with God. We love you Magufuli don’t listen to Lusso and his Mdomo kaya. Lusso anawivu. Kenya we need him to trade powers with Kenyatta for only 5years Kenya Will be better. I pray for Magufuli stay strong and God protection. Umasikini utaisha Tanzania.

  • @seadogs4460
    @seadogs4460 4 роки тому +3

    Tunataka sana awe rais wa kenya

  • @evansokemwa6587
    @evansokemwa6587 4 роки тому +3

    ukweli ata mimi ni mkenya sisi tunatamani jpm sana dar,,,.

  • @shau78
    @shau78 4 роки тому

    mimi nafurahia kuwa mTZ. Mungu ametuinulia baba. sio raisi. kwangu mimi Magufuli ni baba. kwa sababu anaipenda Tanzania. anatupenda waTanzania. tumpe support. tuache siasa

  • @thomasmarende2445
    @thomasmarende2445 4 роки тому

    Watz twapenda sana,hata mm kama mkenya hutamani ku tourist tz but twapata upizani kutoka serekalini.pia watz mamuzi yakitokia sekalini msidhani cc tunasupport la hasha,nwafa mwelewe tuko tofauti kuna wenye walisupport mweshimiwa raila lakin kura kaibiwa,kwaivo wengine twavumilia c kujivunia kenya

  • @diamondgeyser7987
    @diamondgeyser7987 4 роки тому

    Hongera brother kutoka Kenya....upo vizuri sana....

  • @noemipius1574
    @noemipius1574 4 роки тому

    Mimi ni mkenya huku Madrid. Hakika ni rais ya nguvu. Japo niko na wana Tz hapa ambao hawampendi pombe maghufuli. Wao utoka kule kilimanjaro. I love and support maghufuli asili mia.

  • @tridon2731
    @tridon2731 4 роки тому +6

    I know this guy....

    • @magynzioka1122
      @magynzioka1122 4 роки тому

      Sio mkenya ni mtaveta kutoka moshi kabila la mchanga

  • @kennedykibuci5355
    @kennedykibuci5355 4 роки тому +3

    Mimi mkenya JPM is the man one of the fine days nahamia tz

  • @dr.erickjmazyala8905
    @dr.erickjmazyala8905 4 роки тому

    Waambie wahuni wanaojiita watanzania na bado wanampiga vita rais wetu mpendwa Magufuli! Mungu azidi kumbariki, kumlinda, na kumuongoza rais wetu pendwa Mh. Dr. JJP Magufuli na serikali yote ya awamu hii ya Tano! Mungu azidi ibariki Tanzania.

  • @bobwanjala1401
    @bobwanjala1401 4 роки тому

    Mimi pia ni mkenya na nina hakika wakenya tunapenda Magufuli sana sana. Hasa kwa upande ya maendeleo, hususan rushwa kuondoshwa katika mashirika za serikali kule Tanzania. Kenya tumechoka na rushwa na wizi ya mashamba. Rais Uhuru hana haja ya kushughulikia masuala ya kukomesha umiliki pandya ya mashamba za umma. Hata kwangu binafsi nitahamia Arusha mwaka ujao(2021).

  • @shamreenkhaemba3674
    @shamreenkhaemba3674 4 роки тому +1

    😭😭😭😭😭😭woooi wakenya ni wapi tulikosea .tukapata kiongozi kama huyu tuko naye saa hii.may God hear our cry

    • @jamesnteleva7073
      @jamesnteleva7073 4 роки тому

      He hears... Just repent and vote wisely... I believe you guys have the righteous people there.

  • @baidyniak3488
    @baidyniak3488 4 роки тому +8

    Nyimbo iko wapi Mbona nimetafuta UA-cam hamna?

  • @ezekielmburu3418
    @ezekielmburu3418 4 роки тому +1

    In Kenya magufuli can be elected a councilor. We dont like dictators

  • @samuelwanjiru1353
    @samuelwanjiru1353 4 роки тому +2

    Rais waajabu dunia mzima nakupenda Mheshimiwa Rais Maghubuli

  • @abdalahfarida2074
    @abdalahfarida2074 4 роки тому +3

    Sasa shida viongozi wenu wa Kenya hawataki kufungua mipaka wanasingizia COVID19.

  • @sameermilo2492
    @sameermilo2492 4 роки тому +1

    Magufuli Jembe 🇹🇿💯💪🏼 . Proud of my President ❤️

  • @lucassabida789
    @lucassabida789 4 роки тому

    Viva JPM,
    Wishing you all the best and wishing a prosperous wins in the coming October election

  • @williamjulius5981
    @williamjulius5981 4 роки тому +1

    Makufuli angekuwa raisi wa Africa mashariki ingekuwa poa sana East Africa ingekuwa ulaya

  • @florashauri9228
    @florashauri9228 4 роки тому +3

    👏👏👏👏👏👏👏👏

  • @sylvestermaweu75
    @sylvestermaweu75 4 роки тому +3

    nampenda sana magufuli na mie mkenya

  • @muokinzangi3067
    @muokinzangi3067 4 роки тому

    I am a kenyan and we a man like JPM in kenya and Africa. Tanzania choose Magufuli to rule forever

  • @jonaslaiser6273
    @jonaslaiser6273 4 роки тому +2

    Well come tz tuko kenya bt
    Kuno rushwa nyingi

  • @jedidahbintidaudi8241
    @jedidahbintidaudi8241 4 роки тому

    The only thing i would request of Mh.Magufuli Rais wetu ni ELIMU. Sir, please tunaomba uongee na Waziri wako wa Elimu achangamkee- waalimu wetu quality imeshukaa

  • @abbyadams8691
    @abbyadams8691 4 роки тому +2

    Tupelekee ujumbe Kenya kuwa Tanzania hakuna Corona maana kuna watu wanasambaza taarifa za uongo.

    • @HASASON
      @HASASON 4 роки тому

      Ili iweje sasa?

  • @thomasmarende2445
    @thomasmarende2445 4 роки тому +1

    Mm nimkenya but navumilia kuwa mkenya c kujivunia

    • @emanuelmlay9084
      @emanuelmlay9084 4 роки тому

      😂😂😂😂pole broo karbu Tz hakuna matata

  • @anithashembilu7732
    @anithashembilu7732 4 роки тому

    Nchi nyigi za Afrika zinampenda raisi wetu. Mungu akutangulie Rais wetu J.P.M.

  • @omariswafuru9399
    @omariswafuru9399 3 роки тому

    Hata mimi raiya mfanransa kutoka RDC natamani Raïsi JP Mugufuli awe Raïsi wa Kongo.Vive La Tanzanie,Vive Le Président le plus aimé de l'Afrique Muheshimiwa John Pombe Joseph MAGUFULI mwenye kutupatia raha sana moyoni.Aksanti sana Tanzania kwakumuzala bwana mkubwa huyo JPM.....

  • @godblessnzalika6116
    @godblessnzalika6116 4 роки тому +2

    👍👍👍👍👍👍

  • @kibefrancisjungle456
    @kibefrancisjungle456 3 роки тому +1

    Kweli pia mm natamani kuwa mtazania ningeliweza waa ningelikuwa,rais wakipekee pia mpeda mungu

  • @mkemiamagege8477
    @mkemiamagege8477 4 роки тому +1

    Presenter unasherehesha sana hata wingi wa mikono kuzidi kwaya Master.

  • @adelaidedaycareprenurseryk6324
    @adelaidedaycareprenurseryk6324 4 роки тому +2

    Kweli kabisa Wakenya sio waungwqna yaani huwezi omba hata maji Kama hawakujui nmekuwa huko mmmmmmh nilitamani kurudi home

    • @africanmandetraveler2847
      @africanmandetraveler2847 4 роки тому

      We unachuki binafsi ,na si kweli ulinyimwa maji.Popote pale wapo watu wazuri na wabaya .ukiongelea swala la nchi raia wa kawaida awe mtanzania au mkenya hawana tatizo tatizo lipo tu kwa viongozi wanaotanguliza maslahi yao mbele.Ongea lingine

  • @allymassamba556
    @allymassamba556 4 роки тому

    Nakubali

  • @harunyusuf4229
    @harunyusuf4229 4 роки тому

    Tanzania my love,God bless President magufuli and Tanzani

  • @pichunakichuna2111
    @pichunakichuna2111 4 роки тому

    Poa sana mimi ni mkenya 🇰🇪nanigekuwa bahati ningemuibia president magufuli ❤️❤️❤️❤️

  • @burtonmwansamale2512
    @burtonmwansamale2512 4 роки тому

    Very Good

  • @mathayombwambo5071
    @mathayombwambo5071 4 роки тому

    Inapendeza kupata raisi mwema anaye mcha mungu Kama makufuli,shalom,