Hosana-FGS Choir FPCT Kurasini

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 18 вер 2024
  • Ni ujio mpya wa kwaya ya Free Gospel Singers (FGS) kutoka Kanisa la The Free Pentecostal Church of Tanzania (FPCT) Kurasini Dar Es Salaam Tanzania.
    Hossana ni wimbo unaomtukuza Mungu wetu maana yeye ni Mungu wa Sifa. Kupata Video kali zaidi kutoka FGS subscribe katika UA-cam Channel yetu ili uwe wa kwanza kujua nini kinatokea kutoka Free Gospel Singers.
    Mtukuze Mung pamoja nasi kwa kusema "Wewe ni Mungu wa Sifa"

КОМЕНТАРІ • 41