wapendwa taifa la mwenyezi Mungu.Wimbo huu umenitia matumaini kua sote tuko na nafasi ya kupata baraka. shukurani kwa waimbaji wenye kipawa na utunzi wa wimbo huu
Waoo! Hongereni Sana kwaya ya Donbosco parokia ya Pande Hakika mmefanya kazi nzuri mnoo Mungu aendelee kuwatumia Kama vyombo vyake vya sifa, mbarikiwe sana
❤ keep it up thanks for your service
Wimbo huu upo vzr sana, naomba nota zake
Be blessed huu wimbo umenitia moyo sana nausikizanga kila siku nikiwa na matumaini kuwa nitapokea baraka
Hongereni kwa uinjilishaji kwa njia ya kuimba
Ongereni Sana vijana video iko poa
Hongereni san kwa utume na Mungu awabariki
Mmenibariki sana, siku Moja nitawatembelea,
Mm naimbia Mt DON BOSCO TABATA KIMANGA, DSM.
Mko vizuri pamoja na mtunzi Antony kiatu
I love your song is amazing
Vijana katika utume Hongereni
Shikamoni nimewaelewa ndgu zanguu
Kitu konki yani imebamba
Wimbo mzuri, hakika mmeutendea haki, sifa na Utukufu KWA Mungu
Safi sana nimeipenda mnooo mbarikiwe
Amina sana
Hongereni sana jamani
wapendwa taifa la mwenyezi Mungu.Wimbo huu umenitia matumaini kua sote tuko na nafasi ya kupata baraka. shukurani kwa waimbaji wenye kipawa na utunzi wa wimbo huu
AMINA SANA
Mungu awabariki xana
Jack wangu☺️☺️☺️☺️
Nimebarikiwa sana, hongereni
Hongereni palokia yangu pendwa ya pande Mungu awabariki Sana 🙏💯💯
Asante sana
Qù‹élles sont belles les chansons.Envoyez aussi les adorations merci
Asee the great god indeed the dance is very good god bless it well
Hongereni Sana kwa utume ulio tukuka wimbo mzuri sana
Hongeleni sana wimbo mzuli mungu awabaliki nyote azidi kuwatumia katika kumsifu bwana
AMINA
Wimbo wanani jamani
Big up ...! good work.keep it up st, donbosco
Thank you
Waoo! Hongereni Sana kwaya ya Donbosco parokia ya Pande Hakika mmefanya kazi nzuri mnoo Mungu aendelee kuwatumia Kama vyombo vyake vya sifa, mbarikiwe sana
Waooo nice song keep it up🙏
Jesus power
💚💞💐
@radio maria tanzania
Wow