ZUIA App za mikopo KUIBA Taarifa zako, sms, picha za simu. TAZAMA HII

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 7 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 62

  • @happinesskeraka8684
    @happinesskeraka8684 5 місяців тому +5

    Hawa watu serikali iingilie kati kwanza ni matapeli na ni wasumbufu na wana lugha chafu. Kuna watu wanajiita ustawi loan aisee hawa watu ni wapuuzi sana. Ustawi loan serikali ma hao wengine inabidi wawafungie.. ustawi loan ni matapeli

    • @francisngwale4567
      @francisngwale4567 3 місяці тому

      Kweli

    • @deboramishonourembofashion7793
      @deboramishonourembofashion7793 Місяць тому

      Yaan hao ni washenzi kuliko wote

    • @Graceukali
      @Graceukali 25 днів тому

      Yaan wapumbvu hawa Wattisham mam yangu mpk amenda polisi 😅😅😅😅😅 ila wametum mesg wamechok jamn kila siku hela inaongezeka

  • @phantom9221
    @phantom9221 5 місяців тому +3

    Serikali inatakiwa ifungie Kampuni hizi zinazotumia taarifa binafsi za watu ovyo. Waanze na PesaX

  • @MussaShabani-c6p
    @MussaShabani-c6p 2 дні тому

    bro asante sana maana dah kiukwel tunakopa japo dawa ya den kulipa ila udhalilishaji umekuwa mkubwa mno sana

  • @Neema-qh5tf
    @Neema-qh5tf 6 місяців тому +2

    Asante san na wanazazalilisha jaman

  • @irenemushi9056
    @irenemushi9056 7 місяців тому +5

    Kama taarifa zilishakusanywa unafanyaje?

  • @irenemushi9056
    @irenemushi9056 7 місяців тому +2

    Kama walishasave inakuwaje?? Ni janga la wengi maana ili upate mkopo lazima uallow, na ukiallow tu wanasave

  • @MussaShabani-c6p
    @MussaShabani-c6p 2 дні тому

    mm binafs tayal zimesambaa kwa watu weng ila nimefuatilia maelwkezo yako na nimefanikiwa kubrock je lain ikiwa ewan kuna shida au ibaki ewan tu

  • @VascoVoice
    @VascoVoice 4 місяці тому +1

    Nilipuuza video zako lkn walicho nifanya okoa maisha nimerudi kukutafta nashukuru ingawa tayari nimedharirishwa

  • @MussaShabani-c6p
    @MussaShabani-c6p 2 дні тому

    mim nilikutana na iyo kadhia nilikopa nilipitisha siku moja wakaanza kutuma sms za mm tapeli mwiz wa mitandaon nk sasa nimefuatilia maelekezo yako mkuu nimefanikiwa kuzuiya je apo naweza kuwa huru sasa kwa kusambaa kwa hizo taharifa mbili kuna njia gan nyingine ya kufanya ili wasiendelee kuwasumbua ata ao wachche

  • @KitiMeza-o6e
    @KitiMeza-o6e 2 місяці тому

    Nimefanya hivyo lakn wameshasave wanasambaza tu sms kwa ndugu zangu

  • @JacobMakungu-z5b
    @JacobMakungu-z5b Місяць тому

    Kwakweli serikali imefanya jambo la kheri Sana ,matapeli yamezidi fungia yote, wezi wakubwa hao

  • @ROdaEmanuel-qk2is
    @ROdaEmanuel-qk2is 8 місяців тому

    Uwaooo uku vizuri 🥰🥰🥰🥰

  • @AmiriHussein-zm6mw
    @AmiriHussein-zm6mw 4 місяці тому

    hashim kama ushakopo na unstaka wasikusumbue unafanyaje kiongozi

  • @NeemaLucas-d3c
    @NeemaLucas-d3c 3 місяці тому

    Jmn yamenikuta kwahy nifanyaje ili wasiendelee kunisumbua japo nimezuia lakn picha zangu watakuwa nazo

    • @namaraharriet5029
      @namaraharriet5029 Місяць тому

      Vp ulifanyaje na mimi wananisumbua Sanaa aisee

    • @Graceukali
      @Graceukali 25 днів тому

      Kam lain yako hutumii iwek pemben kam wik wakituma mesg siku mbil wanaacha pia kwa sasa wanaogop polisi

  • @KhadijaNgaipa
    @KhadijaNgaipa Місяць тому

    Mie sielewi jinsi ya kufuta

  • @BRAXKessy
    @BRAXKessy 6 місяців тому

    Asante kaka

  • @elizaalex5367
    @elizaalex5367 8 місяців тому +1

    Mm najutaa nilikopa kwa shida ila nilikoma asee nyie very bad yaniii

  • @KimarioEmanueli
    @KimarioEmanueli 5 місяців тому +1

    jee kama nilisha itumia na siku ondoa hizo acses hapo kisha nika ifuta na kubadilisha laini bado wanaweza kuacses phone book yangu

  • @ashamichael-o6j
    @ashamichael-o6j 2 місяці тому

    Awa watu Hapana jmn duuu wanadhalilisha san

  • @SalomeCharles-qd6by
    @SalomeCharles-qd6by 8 місяців тому

    Ebu naomba unisaidie jinsi ya kufuta kama zingine wanazo

  • @JasmjneEmanuel
    @JasmjneEmanuel 9 місяців тому

    Je kama app imesave data zake

  • @elizaalex5367
    @elizaalex5367 8 місяців тому

    Yanii mm yamenikuta asee kweli zuyeniii

  • @AMINIMAKOA
    @AMINIMAKOA 8 місяців тому

    Daaa mm yananikuta sasa hv yaani nimechekewa kulipa siku 2 tu washaniita tapeli

    • @magrethjuliusngekela1769
      @magrethjuliusngekela1769 5 місяців тому

      Hata mimi yaani

    • @CaroOsborn
      @CaroOsborn 5 місяців тому

      Umewalipa au wameacha kukusumbua?​@@magrethjuliusngekela1769

    • @Graceukali
      @Graceukali Місяць тому

      Mm je walituma walichoka wakaunda na glop wakachoka ndugu wakaninunia

  • @IBRAHIMUKAPUNGU
    @IBRAHIMUKAPUNGU 9 місяців тому +1

    Je,data zina saviwa mwanzoni au mwishoni?

  • @IbrahimuAmon
    @IbrahimuAmon 8 місяців тому

    Asante vp kama app ime save data

  • @PendoSadiki
    @PendoSadiki 3 місяці тому

    Naomba namba zako

  • @ashaally159
    @ashaally159 7 місяців тому

    Waongo hao wanakusambaza kote

  • @jinomoko5510
    @jinomoko5510 6 місяців тому +2

    Nashukuru sana kwa ujumbe mzuri mimi Nilifuta app kabla sijafanya hayo yote kuna madhara mkuu?

  • @nantaembanusurupia5674
    @nantaembanusurupia5674 4 місяці тому

    Wamesevu namba za watu wangu jamani huu ni msiba kuliko😢

  • @CalmApron-uw2lc
    @CalmApron-uw2lc 5 місяців тому

    Je kama nilifuta faili bado itakua wana taarifa zangu nikidownload upya

  • @MiriamTunduza-yr8ui
    @MiriamTunduza-yr8ui 8 місяців тому

    Uko vzr

  • @Promk112
    @Promk112 8 місяців тому +3

    Uongo mtupu hapo ukija kukopa izo siku wanazoku review ili wakupe mkopo wakikosa data zako hawakupi mkopo hivi nilishafnya

  • @NeemaLucas-d3c
    @NeemaLucas-d3c 3 місяці тому

    Hello

  • @AdamChaurembo
    @AdamChaurembo Місяць тому

    Vp

  • @louistarimu7496
    @louistarimu7496 9 місяців тому +1

    Vipi kama walisha sev data zangu

    • @MaujanjaZone
      @MaujanjaZone  9 місяців тому

      Wanakua na tabia ya kusoma sms na calls kutambua watu wako wa karibu hvyo kuzuia itakusaidia

    • @elizaalex5367
      @elizaalex5367 8 місяців тому +1

      Sasa serikali hiyo Wana kifungu Cha sheria Wana tafutwa watu kama hao

    • @Irenenganga-qj5fb
      @Irenenganga-qj5fb 7 місяців тому

      nakujitoa kabisa haiwezekan​@@MaujanjaZone

    • @Neema-qh5tf
      @Neema-qh5tf 6 місяців тому +1

      @@MaujanjaZone nataka kuwafungia wasipige wafu cm ovyo inakuwaje

    • @CaroOsborn
      @CaroOsborn 5 місяців тому

      ​@@Neema-qh5tf yaani hata Mimi😭

  • @ashaally159
    @ashaally159 7 місяців тому +2

    Nope namba yako

  • @KhadijaNgaipa
    @KhadijaNgaipa Місяць тому

    Naomba namba zako

  • @SamweliKulwa-v8m
    @SamweliKulwa-v8m 16 годин тому

    Naomba namba zako