PETER MSIGWA AHAMIA CCM, RAIS SAMIA AMUIMBIA WIMBO "Mlete Msigwa Mlete Msigwa"

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 2 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 181

  • @samwelizetii4479
    @samwelizetii4479 3 місяці тому +2

    Tanzania hakuna upinzani wa kweli Ila kunawasakatonge tu huna jipya nenda tu

  • @josephmturi6936
    @josephmturi6936 3 місяці тому +10

    Aliekwambia Tanzania kuna upinzani nani??

  • @filbertdamiani101
    @filbertdamiani101 3 місяці тому +1

    Ni uzalendo hakuna, wanataka vyeo tu mbona wasihamie act wazalendo, njaa tu.

  • @dismasmtui729
    @dismasmtui729 3 місяці тому +5

    If you can't fight them join them!

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 3 місяці тому +3

    Raha sanaaaa Msigwa karibu Ccm mpeni cheo huyo waumbuke zaidi wasaka Tonge wakome waishie ruzuku

  • @sharafisaidi7999
    @sharafisaidi7999 3 місяці тому +9

    Umechelewa kaka ungekuja wakati wa jpm ungekula mema ya nchi

  • @nelsonnyamle
    @nelsonnyamle 3 місяці тому +1

    Nitamwamini mungu tu mpaka kufa binadamu hapana.Huyu msigwa leo anaungana na aliowaita wadharimu hivi kweli taifa hili linaenda wapi?

  • @omarybakunda2554
    @omarybakunda2554 3 місяці тому +2

    Karibu sana CCM ndugu msigwa.

  • @iddyissa8110
    @iddyissa8110 3 місяці тому +2

    Amna Cha mchungaji tapeli tu Toka lini siasa na uchungaji mwizi tu uyo

  • @benswai8099
    @benswai8099 3 місяці тому +2

    Huyu ni siku nyingi alikuwa anatafuta sababu ya kwenda ccm. Hana tofauti na kina mdee. Wote wenye fikra kama zake waende huko. Ila wapinzani wa kweli wapo

    • @isayakihongile4921
      @isayakihongile4921 3 місяці тому

      Nimeingoja Sana hii comment nimefurahi kuiona nami ndivyo ninavyojua ila Bora kahama alishatusarti muda mrefu

  • @reonandmpangalushu3434
    @reonandmpangalushu3434 3 місяці тому +2

    Huyu mtu unamsumbua uchu wa madaraka,

  • @lameckkamuga4913
    @lameckkamuga4913 3 місяці тому +1

    Sasa watanzania tutaponea wapi jaman kama upinzan ndio huu aisee

  • @mosessamwel1179
    @mosessamwel1179 3 місяці тому +2

    Huyu ni mwizi na mnyang'anyi

  • @saidmushehe
    @saidmushehe 3 місяці тому

    CCM wapeta mtu kweli....Sugu anaingia kwenye history ya kusababisha mwanasiasa mkongwe na machachari Mchungaji kwenda Ccm

  • @bonifacelutumo1196
    @bonifacelutumo1196 3 місяці тому +1

    Ndo maana simwamin mtu

  • @mohamedmussa3174
    @mohamedmussa3174 3 місяці тому +1

    Ogopa sana siasa na wanasiasa

  • @gesusgegangphray7689
    @gesusgegangphray7689 3 місяці тому

    Cyo ajabu uyu msigwa ni njaa..alimkataa Yesu na uchungaji na kufwata siasa kwajli ya njaaa..na ukweli CCM inajaa matapishi ..watu kama hawa wasaliti njaa nyingi ya matumbo..mm nasema vyama vyote vya siasa vifutwe..CCM iitwe chama Cha mtanzania...hakuna siasa nchi hii wala siasa...wananchi tuamke na kuungana Ili viongozi wajuwe wajibu wawo na kazi

  • @ChachaChacha-ne6yf
    @ChachaChacha-ne6yf 3 місяці тому +1

    Wapizani wa tanzania nijaa tupu hatuna upizani Tanzania

  • @ThomasMselle-rw5ej
    @ThomasMselle-rw5ej 3 місяці тому +1

    Ninasikitika kwa jinsi alivyomsema na kumsigina vibaya mh JPM na wale waliokimbilia CCM. siasa sawa mchezo mchafu ila kwa mchungaji huyu ni nomaa kupita maelezo.

  • @MrigoJohn-ps8dk
    @MrigoJohn-ps8dk 3 місяці тому

    Nakupongeza sana Mch Msigwa, hauwezi kukaa chama ambacho mtu mmoja ana hatimilki yake

  • @adoniemanuel908
    @adoniemanuel908 3 місяці тому +7

    Imbeno mlete mlete msigwa tumechoka hata sisi tunakaribia kuja kula pilau bungeni

    • @JohnsonBagambi
      @JohnsonBagambi 3 місяці тому

      Karbu 👍👍👍👍

    • @nurdinmfamau3493
      @nurdinmfamau3493 3 місяці тому

      Nenda Kwa Wenzako Huko Hapa Wenyewe Tumetulia. Kama Unaupungufu Wanauli Yakwenda Nchi Jirani Sema. Kwani Kupika Pilau Kiasi Gani mpaka Mkagombanie Chakula Cha Wanaume.

    • @halimamasai2234
      @halimamasai2234 3 місяці тому

      @@adoniemanuel908 karibuni jamani CCM cha cha watanzania wote wala msijali

    • @Ibrahim-ne3in
      @Ibrahim-ne3in 3 місяці тому

      😂

  • @DONALDMTOWE-u9g
    @DONALDMTOWE-u9g 3 місяці тому

    Makapi hayo kachokwa chadema kashindwa kwa aibu,angehama akiwa na cheo tungeshituka,kakosa cheo kahama mpeni kazi sasa.

  • @Ananiamwigavile
    @Ananiamwigavile 3 місяці тому

    ni nzuri bora aje tulekebisha uku ccm maana uko chadema wameisha poteana.

  • @mbulachujoseph2596
    @mbulachujoseph2596 3 місяці тому +6

    Hongera kaka kwa maamuzi yako

  • @melanialeonard4031
    @melanialeonard4031 3 місяці тому

    Tunajua kama maisha ni magumu tanzania kwahiyo kajiongeza😂😂 njaa haivumiliki

  • @AiserAli-mq6sz
    @AiserAli-mq6sz 3 місяці тому

    Sio msigwa pekee yake hata lema hana siku nyingi atakua ndani ya ccm watu wamechoka mwenyekiti wa maisha wa chadema

  • @domymerinyo8165
    @domymerinyo8165 3 місяці тому +1

    Hiyo ni njaa imekupeleka wala sio wito,ila kama Mungu aishivyo jinsi tunateseka na maisha haya na nyie mnakula mema na kujinufaisha mtafika mwisho mapema.

  • @halimamasai2234
    @halimamasai2234 3 місяці тому +6

    Siamini macho yangu leo lakini Karibu sana nyumbani Msigwa ❤❤❤❤

    • @margarethpolepole7438
      @margarethpolepole7438 3 місяці тому +1

      Halima hiyo ndiyo Ccm Mpe cheo huyo wsimbuke haswaaa Wanawake jeshi kubwa

    • @halimamasai2234
      @halimamasai2234 3 місяці тому

      @@margarethpolepole7438 CCM wajanja sasa hivi utasikia 🤣🤣

    • @elishakayagwa9371
      @elishakayagwa9371 3 місяці тому

      Shida ya chadema ya sasa na mwenyekiti wake ni ya kijinga sana

  • @shabanramadhan7632
    @shabanramadhan7632 3 місяці тому

    Lakini mbona wanapeana mkono wa kushoto Sasa msigwa ndo mashoto au Kuna namna

  • @rhassanmkomwa
    @rhassanmkomwa 3 місяці тому

    mbona kamkuta mheshimiwa ndani je itifaki imezingatiwa

  • @BahatiMatailizi
    @BahatiMatailizi 3 місяці тому

    Hata mashetani kuzimu hufurahi MTAKATIFU akianguka ukweli wa MUNGU msigwa mbinguni hutaenda labda mbingu ya ifakara utaenda

    • @mhichegodfrey3320
      @mhichegodfrey3320 3 місяці тому

      😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂awiiiiii mbingu ya wapiiiiiii😂😂😂😂😂

  • @magnusnkomola5950
    @magnusnkomola5950 3 місяці тому +1

    Msigwaaaaa mungu anakuonaaaa,Kumbe msigwa wati walikujuaaaa ni msaliti.
    Huna jipyaaaaaaa umeamuaaaa kuyameza matapishiiiiiiii ,hongera ngoja nikuleteeeee na ulanzi ushushie haya matapishiiiiii.

  • @mochemba
    @mochemba 3 місяці тому

    Karibu Comrade Msigwa chama cha mapinduzi . Ccm Oyeee 👍

  • @hajistshariast6335
    @hajistshariast6335 3 місяці тому

    Ndio maana nasemaga Tz hakuna vyama vya upinzani

  • @emmanuelademba7919
    @emmanuelademba7919 3 місяці тому +1

    Kwa STYLES hii kuing`oa CCM itachukua miaka 7000000,kazi ipo!!

  • @MaridadiRashidilikwesoLikweso
    @MaridadiRashidilikwesoLikweso 3 місяці тому

    njaa zinatutesa Sana hakuna mwanasiasa wa kweli

  • @FELIXNDOSHI
    @FELIXNDOSHI 3 місяці тому

    Mbona kinana kakupokea Kwa mkono wa kushoto?

  • @JohnsonBagambi
    @JohnsonBagambi 3 місяці тому

    Kama mwenyekit wa chama akutaki unabaki kufanya nini njoo chama kubwa ccm oyeee

  • @babuuriziq3243
    @babuuriziq3243 3 місяці тому

    MBONA WAMEMPA MIKONO YA KUSHOTO

  • @CretusMwalongo
    @CretusMwalongo 3 місяці тому

    Acheni ushobo,CHADEMA TUTASIMAMA,NA KWA ELIMU PAMOJA NAFALSAFA ALIYO KUWA AKITULISHA WANACHAMA ENZI AKIWA CHADEMA,IMETUPA NGUVU NA UHAKIKA WA SAFARI TULIO NAYO

  • @meshmeshak1095
    @meshmeshak1095 3 місяці тому

    HAKUNA KITU KIBAYA KAMA NJAAA 😅😅😅

  • @KoleYasini
    @KoleYasini 3 місяці тому

    Anafata Sugu muda si mrefu..

  • @edisonmjema2620
    @edisonmjema2620 3 місяці тому

    Mbon salam namkon wa kushoto😢

  • @AnnoyedDove-oo3kk
    @AnnoyedDove-oo3kk 3 місяці тому +3

    Mchungaji eti😂😂😂

  • @SilivyoMahenge-g9x
    @SilivyoMahenge-g9x 3 місяці тому

    Mchungaji mhuni walivyo piga chini na sugu amechuka kamba

  • @dismasmtui729
    @dismasmtui729 3 місяці тому +2

    Huyu toka mwanzo alionekana ni mtu asiye na msimamo!

  • @MaxCharles-wj5dg
    @MaxCharles-wj5dg 3 місяці тому

    Msigwa zambi hizii utazibebaa

  • @SilivyoMahenge-g9x
    @SilivyoMahenge-g9x 3 місяці тому

    Huyo mhuni nawambieni

  • @williammbuzimai5744
    @williammbuzimai5744 3 місяці тому

    Msigwa mbona anaaibu!!

  • @nelsonnyamle
    @nelsonnyamle 3 місяці тому

    Siku chache tu mtasalitiana tena.Wakati yeye anashinda walioshindwa hawakulalamika yeye imekuwaje?je akikosa ubunge akiwa ccm atafanyaje tena

  • @KoleYasini
    @KoleYasini 3 місяці тому

    Njaa haina shujaa...

  • @ericamwkyokile4681
    @ericamwkyokile4681 3 місяці тому

    MAMA ANAUPIGA MWINGI

  • @EdwardMbwambo
    @EdwardMbwambo 3 місяці тому

    Njaaa itakuuwa 0:52

  • @BabusiJoseph-sv6oz
    @BabusiJoseph-sv6oz 3 місяці тому

    njaa tuu inamdawake

  • @JamesPaul-c9t
    @JamesPaul-c9t 3 місяці тому

    Njaa mbayaaa😂😂😂

  • @reonandmpangalushu3434
    @reonandmpangalushu3434 3 місяці тому

    Huyu mtu unamsumbua uchu wa madaraka,

  • @mnyongeiddi2454
    @mnyongeiddi2454 3 місяці тому +1

    Harafu atoke MTU akauminishe na mwana siasa😃😃😃

  • @habibumbawala1173
    @habibumbawala1173 3 місяці тому

    Usajili mpya

  • @EdwardMbwambo
    @EdwardMbwambo 3 місяці тому

    Njaaa itakuuwa

  • @EdwardMbwambo
    @EdwardMbwambo 3 місяці тому

    Njaaa itakuuwa

  • @christophersimoni1434
    @christophersimoni1434 3 місяці тому

    ukuma mtupu

  • @simbarajabu4157
    @simbarajabu4157 3 місяці тому

    Ahaaaaaaaa 😅😅😅😅 mbowe mzee wa matukio watu wa kweli wakijuwa matukio yako lazima wakukimbie ww zusha matukio yako na vijana wako ya mazingaombwe ,watu wanataka kukuua wakupige risasi ya taya uwe hai ,rosasi unaijuwa vizuri ww

  • @MusaJuma-jr7wb
    @MusaJuma-jr7wb 3 місяці тому +1

    Kweli siasa hatari alisema madebe lidai mwanasiasa akikuambia saivi sasita usiamini angalia saa kweli mana ni shida

  • @kostajoseph5811
    @kostajoseph5811 3 місяці тому

    CCM OYEEEE

  • @TomassBenson
    @TomassBenson 3 місяці тому

    Neno mchungaji ondoeni kwamaana wakiristo hatuko hivo wanaabisha ukristo

  • @HappyIlomo-z3h
    @HappyIlomo-z3h 3 місяці тому

    😢

  • @mrsferuzi7443
    @mrsferuzi7443 3 місяці тому +4

    Jamuhuri ya mungano wa Tanzania kazi inaendelea mtamuelewa tu Mama 💯

  • @gerachtangatya2835
    @gerachtangatya2835 3 місяці тому +1

    Kwahy hataki katiba mpya tena

  • @omarmohammed5157
    @omarmohammed5157 3 місяці тому

    Hhhhhhh msintwa aikuwa ccm tangu zaman iyo ni babaisha bwege tu na kucheza akili za watu 😂😂😂😂😂

  • @remmyalfred6736
    @remmyalfred6736 3 місяці тому

    KUNA WATU WENGI SANA WANASHAMBULIA MTU AKIFANYA MAAMUZI FULANI, HIVI LENGO NI KUWA MAHALI FULANI AU KUWA WA HAKI?
    WEWE POPOTE ULIPO KUWA WA HAKI BILA KUANGALIA UKO CHAMA GANI, HAKI HAINA CHAMA!
    TUNAPENDA SANA KUMTAJA MAGUFULI, NYERERE, RUGE NK SASA SWALI WEWE UNAFANYA MEMA WALIYOYAFANYA? HISTORIA YA MTU HAISAIDII KAMA WEWE HAUKO HIVYO!
    NA KAMA WEWE SI WA HAKI USITHUBUTU KUIDAI HAUTAIPATA MAANA WEWE NI SEHEMU YA KUTOKUWEPO KWAKE NA UKILETA VURUGU UTAKUWA NI KAMA UNAMPIGA MBU ALIYETUA KWENYE TESTICLES UNAUMIA NA WEWE.
    HAUWEZI KUWA NA MCHEPUKO MNAANGALIA MPIRA HALAFU UNALALAMIKA REFA NI MDANGANYIFU,
    AIDHA YAKO MATATIZO KADHA WA KADHA YANAYOKWAMISHA MAENDELEO:
    SHIDA KUBWA NI WATUMISHI WENGI KWENYE IDARA MBALIMBALI NA MAENEO MBALIMBALI TULIKOWEKWA TUNAACHA KUPAMBANA NA MATATIZO YA KWENYE MAENEO YETU TUNAPAMBANIA KU GRAB NAFASI/VYEO/POSHO NDIO MAANA MATATIZO HAYAISHI: NITAWAPA MIFANO:
    Tunawekwa mahali tunagombania nafasi safari/posho na vyeo badala tugombanie kutatua matatizo, unakuta kama wa chini anafanya kazi kuliko wa juu, mimi wa juu nampiga vita au ikitokea kuna mtu ana mawazo mazuri ya kutekeleza jambo fulani kunakuwa na urasimu na hujuma ili hilo jambo lisifike mamlaka husika tukihofia kupoteza nafasi zetu matokeo yake watu wanaendelea kupata matatatizo kwa sababu watu wenye ufumbuzi wanakwamishwa, tunalinda nafasi badala ya kutatua matatizo ndio maana kwenye maeneo mbalimbali kuna shida hizo hizo year in, year out.

  • @isackkivuyo1980
    @isackkivuyo1980 3 місяці тому

    Wazeee hii nomaaa

  • @samoskiyalo6095
    @samoskiyalo6095 3 місяці тому

    Kitenda wii tegaaa mawasiliano yamekatika ni ni kinaesthetic delea? Kitendawiliii hoyeeee

  • @audaxbizimana8084
    @audaxbizimana8084 3 місяці тому

    Umefanya la maana mwache mbowe na sakosi yake😅😅😅😅😅

  • @trendings1293
    @trendings1293 3 місяці тому +1

    Kweli siasa ni noma

  • @JumaDea
    @JumaDea 3 місяці тому

    Angehamia kipindi kile chs magu.

  • @vanessastafford6426
    @vanessastafford6426 3 місяці тому

    Mungu wangu, Chadema mmeboronga wapi

  • @RenaldaZeramula
    @RenaldaZeramula 3 місяці тому +2

    Njaa mbaya. Sadaka sikunhuzi hakuna. Mtarudi nyote

  • @rizikimwambusi4041
    @rizikimwambusi4041 3 місяці тому

    Tenaa tenaaa .oyaaa oyaaaa oyaaaa kweli kweli kweli kweli

  • @AnnoyedFlowerPot-mr2ps
    @AnnoyedFlowerPot-mr2ps 3 місяці тому

    Mbowe angalia matokeo ya uongozi wako nawe rudi

  • @CretusMwalongo
    @CretusMwalongo 3 місяці тому

    Mmmmhh mnajituma kuimba kweli,mnajisikia kulamba dume et?

  • @respiceandason
    @respiceandason 3 місяці тому +1

    Chadema mnaona mbali sanaaaaaa" huyu alienda zamani mlimuonaje???? BG UP CHADEMA

  • @ezekielmabwai482
    @ezekielmabwai482 3 місяці тому +1

    Msigwa yupi Duh

  • @victorcephas3618
    @victorcephas3618 3 місяці тому

    Karudi nyumbani siyo mbaya mkataa kwao mtumwa

  • @LoitushulYamat
    @LoitushulYamat 3 місяці тому

    Kumbe lisu alikua kilichokua kinaendelea iringa

  • @JosephMagige-lf9ns
    @JosephMagige-lf9ns 3 місяці тому

    Uchafu. Umetoka kwenye maziwa

  • @zephaniazacharia519
    @zephaniazacharia519 3 місяці тому +3

    Mhuuu

  • @pditanzania7764
    @pditanzania7764 3 місяці тому

    Politics😂

  • @DevothaLighton-dl6zi
    @DevothaLighton-dl6zi 3 місяці тому +1

    Tunataka mabadiriko bila kuwategemea wanasiasa,mabadiriko ni muhimu bila wanasiasa.katiba mpya sio atuletee mwanasiasa yeyeote.katiba mpya ni sasa

  • @omaribrahim1087
    @omaribrahim1087 3 місяці тому

    Audhu billah

  • @methewbuzuruga-eg8oz
    @methewbuzuruga-eg8oz 3 місяці тому

    Kuna wabunge kumi wa ccm watahamis chadema kwa sababu ya kukatwa majina yao

  • @subralugege7019
    @subralugege7019 3 місяці тому +1

    😂😂😂😂💃

  • @HamzaGaudence
    @HamzaGaudence 3 місяці тому

    Ni baada ya kugombn mbowe😂😂

  • @salcle9702
    @salcle9702 3 місяці тому

    Wapigaji wamenona kama nguruwe !!!!

  • @astrinomgesi-np5xv
    @astrinomgesi-np5xv 3 місяці тому

    Safiii

  • @manasecharles894
    @manasecharles894 3 місяці тому

    Maamuzi sahihi, wakati sahihi🤝🤝🤝🤝

  • @KingBuddah-nx3ui
    @KingBuddah-nx3ui 3 місяці тому

    WAMEMPA MEIGANI WA.EMPA MABILIONI

  • @salamsabdullah-st9pt
    @salamsabdullah-st9pt 3 місяці тому

    Wow 🎉🎉🎉🎉🎉

  • @imanmwashitete5243
    @imanmwashitete5243 3 місяці тому

    Kumekucha aisee hapo😂😂😂

  • @MohamedHamis-x1k
    @MohamedHamis-x1k 3 місяці тому

    Sasa bado Vigogo wengine wa chadema Uyo mbowe tundulisu

    • @walidmgonja3644
      @walidmgonja3644 3 місяці тому

      Kundulisu ni kiburi na anasumbuliwa na husuda,hawezi kuhamia ccm

  • @mbulachujoseph2596
    @mbulachujoseph2596 3 місяці тому

    Walikuhujumu mno mchungaji umeamua sahihi