Hatimae kazi imeachiliwa daaaaaaaaaaah maan ingeniuma sana me bila kuona tulivyo shilikiana kupamban kushoot alf isitoke aisee asnt mungu tubaliki kwa kazi yetu hii tunavyo anza kuachia ifike mbali BY mr righty
Ringo umeona ukitowa kitu kinzuri ata viewer wanakuwa wengi endelea kutoa vitu vizuri mshirikishe na tin white usiwe mchoyo fanyeni kazi kwa pamoja kunza account zenu
Hizi movie za aina hii mbona zinakuaga zinafanana aidia sana, kidogo ile snake boy ilikua tofauti kwa sababu bajeti ilikua kidogo kubwa, Mnakwepaga ghalama kule mjini mkiamini movie za aina hii zina ulahisi wà ghalama kumbe ndio zinataka pesa
Kiukwel hii tulipigana sana hii kazi haikua rahisi hata kidogo tulioshiriki kwenye mlakoze tujuane na tumpe boss Ringo maua yake ❤❤❤❤❤
😂😂abarundi tumenyane 🇧🇮
Burundi oeeee!!🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮
Kkkkk kumbe kirundi nacho kimependwa❤
😂 nimebonyeza baada ya kuona neno la kwetu Kigoma ( MLAKOZE ). Mlakoze chane ( asanteni sana )❤❤❤
Waoooh bonge la movie like 10 kwa ringo
Waisha inayofuata kaka hichi Cha ufuatiliaj tatizo umekaaa mda mrefu San ujatoa unyama kaka 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 mbele yako nyuma yetu 🙏❤️
Kazi zinakuja kaka
@@ringosabufa namm nataka zije mzee wangu 🔥🔥🔥🔥 kama autojal ningepata no ya Whatsapp 🙏🙏
Long time sana kaka braza ..sijaona movie zako mpya
Hatimae kazi imeachiliwa daaaaaaaaaaah maan ingeniuma sana me bila kuona tulivyo shilikiana kupamban kushoot alf isitoke aisee asnt mungu tubaliki kwa kazi yetu hii tunavyo anza kuachia ifike mbali BY mr righty
Mlakoze bhenewachu mlimeza chane kusweta
Tunaisubiri inao fuata Burundi tupo🇧🇮
MLAKOZE CHANE BHATAMA KWI KAZI YISOLE
Murakoze nme ipenda
Unaweza kuachia nyingine au tuandamane toa jibu fasta
Leo jionii
Kigoma ,ngara on fire
Namwona kisweta on fire safi kisweta wakilisha vyema kumunazi ngara,nyamahwa Lulenge ,
Ringo umeona ukitowa kitu kinzuri ata viewer wanakuwa wengi endelea kutoa vitu vizuri mshirikishe na tin white usiwe mchoyo fanyeni kazi kwa pamoja kunza account zenu
Mrakoze chane ngara
Na wewe Ulakoze chane
Ringo spikeer😅😅😅😅
Mulakoze manayake asanteni siyo asante
Unaendaje sehemu kama hio na masuti😅 kama unaenda ofisini director
Ila bongo movie mtu kasema amesoma raman namna ya kufika huko hee wanapita porini tena hahahaha
Kwamba Porini hakuna Ramani? 😂
Waha oyeeee,,mlakoze cane
Kwasababu kisweta yumo ndo ikaitwa mlakoze
Aaaaa 😂 nimemuona KISWETA 😂 kama utani utani vile Kisweta kapata shavu leo 😂😂
Alie Director hii mover anajua sana kiukweli
Wale tunao muelewa chifu tujuwane
Owa haposas mumetisha sana naimani pakasa kazi zhuli😊
Asante sana 🙏🏾🙏🏾
MURAKOZE ime yeza Kirundi kutoka Burundi Kwa kigoma ni kiha
kutoka buja🇧🇮🇧🇮tushaelewa
Mr Ringo umetishaa saana ❤❤
Good good 👍🏾
Thank you 😊
Ringo toka uoe kazi hamna bro,,tunakumiss man
Sabufa😅😅😅😅
❤❤❤❤❤
Noma sana
Bonge la kazi mwanang san
Ringo umetisha
tatizo lako Ringo mov uwa umalizi sijui unashida gani
kisweta wanaman😂😂😂
Toka DRC niko pamoja na ringo nakupenda sana bro
Sabufa mtu bad🙌🙌🙌🔥🔥🔥
Murakoze cane from 🇧🇮🇧🇮🇧🇮 nawapenda sana
Asante sana 🙏🏾🙏🏾
Kwa story hii naona kisweta kahusika pareeef maaana ata lugha ilotumika humu 😂😂😂😂🎉
Mulakoze language from Kigoma 🔥🔥🔥
mlakoze kutuwakilisha
Next ep chap bass wadau ❤🎉
Uyu ndo msanii ambae nandoto yakufanya nae kazi Ringo sabufa au ngono migration 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉 anajuwa san 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
waha sas wameanza kuonekana
Kwa sisi tuliopenda vibanda umiza hii movie tunaifananisha na Ile iliyokuwa inaitwa TEFUTE nyingine PREDATOR ya anord
🔥🔥🔥
Hii kali sana
Hii movie ya nyumbani kabisa
Mwalaye mwese
Kigoma jiji😂😂
Twalaye ye muga 😂😂😂
Hizi movie za aina hii mbona zinakuaga zinafanana aidia sana, kidogo ile snake boy ilikua tofauti kwa sababu bajeti ilikua kidogo kubwa,
Mnakwepaga ghalama kule mjini mkiamini movie za aina hii zina ulahisi wà ghalama kumbe ndio zinataka pesa
Ulakoze kushima sabufa
Umu kuna ma dishi nice😂
Move kali
Ôzââ ôzââ 👏🇲🇿👊🇲🇿
Bro Ringo kazi nzuri
Hiiiii nime ipenda🎉🎉🎉
😂😂😂 let's go
eeee nimekubali wenoma sana kaka #Ringosabufa 😂😂😂 big up sana #kiswetacomedy🍾🍾🍻🍷💥💥💣💣🔥🔥
Asante sana🙏🏾
@ringosabufa 💣💣💥💥🔥🍾🍾
🤣🤣🤣💯✍️
#Ringosabufa
🇧🇮🇧🇮💪💪💪💪💪
mtuwekee subtitles kwenye kiluga bwana ringo
Hakuna subtitles kwenye luga ya kimila
Ringo kusanya maneno mengi alafu sauti ya background inacukuwa fasi kubwa kuliko maneno ya mouvi
Kali sana kaks
🔥🔥🔥