NATAKA KUJIWEKA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 5 жов 2024
  • Pale unaposikia Shishi yupo single inabidi ujifanye unakula sahani nyingi ili ujiweke kwake kimapenzi...

КОМЕНТАРІ • 569

  • @laurianvallentino9958
    @laurianvallentino9958 4 роки тому +579

    Wale ambao kwenye tangazo la pampass tunasogeza faster.... kuwahi story leo tugonge hapa

  • @ahmedsdk6736
    @ahmedsdk6736 4 роки тому +156

    Kama huwa unapeleka mbele tangazo la JOTTI mwanzoni Gonga like 🙇🏽‍♂️🙇🏽‍♂️🙇🏽‍♂️

  • @paulinavictus5417
    @paulinavictus5417 4 роки тому +127

    Joti tuletee kiboga 2memisi walio msi kiboga Kama mm twende sawa

  • @tausihasheem5051
    @tausihasheem5051 4 роки тому +84

    Omy Dimpoz kapendeza Mashallah...Mungu n mwema sanaaa 🙏🙏

  • @mohammedrajabumwamba1322
    @mohammedrajabumwamba1322 3 роки тому +6

    😀😀😀SHISHI UNAJUIS YA MOTO NAONA INANYEWA KAMA UJI👏👏👏👏 HONGERA JOT

  • @stevewanga957
    @stevewanga957 4 роки тому +72

    Team Joti kutoka Kenya 🇰🇪... Gonga like

    • @stevewanga957
      @stevewanga957 4 роки тому

      @BIDNES BONGO [̲̅Y̲̅σ̲̅υ̲̅т̲̅υ̲̅b̲̅е] sides gani msa

  • @karimally8477
    @karimally8477 3 роки тому +28

    Et shishi una juice ya moto 😂😂😂

  • @lagatjackson6214
    @lagatjackson6214 4 роки тому +141

    kama umemuona ommy dimpoz weka like

    • @pilikhamis2924
      @pilikhamis2924 4 роки тому

      Hahaha mambo nimotooo naona

    • @elizabethtarmo3711
      @elizabethtarmo3711 4 роки тому

      Safi sana mdogo wangu joti nakukumbuka toka shule ya msingi mburahat nilikuaa nakuzaba makofi kwa utundu wako

    • @khadijaomar8427
      @khadijaomar8427 4 роки тому

      🤣🤣🤣🤣🤣

    • @nancyg8664
      @nancyg8664 3 роки тому

      @@elizabethtarmo3711 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂🙆‍♀️

  • @salvinagothalum9008
    @salvinagothalum9008 2 роки тому +6

    Shishi una juice ya moto
    Shishi sasa Kwann
    Joty ndio naiyona leo😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @mheheoriginal9712
    @mheheoriginal9712 4 роки тому +32

    Ommy dimpoz Kumbe kiboko wa Comedy Hatariii 🙏🙏

  • @HAWAMAULIDI-zl5xd
    @HAWAMAULIDI-zl5xd Місяць тому +1

    Hapa shishi alikua sio kibonge sana

  • @chrissjoel7752
    @chrissjoel7752 3 роки тому +9

    😂😂😂😂😂 Poz kwa poz juice anavyoivuta kama inaunguza ulimi 😂😂😂😂😂

  • @pulltheskymusicgroup4475
    @pulltheskymusicgroup4475 4 роки тому +24

    Joti chief....kipindi chako aanza kuweka cameo ya watu maarufu maarufu...this is a game changing strategy brother, hakuna atakayeweza 💪💪

    • @pulltheskymusicgroup4475
      @pulltheskymusicgroup4475 4 роки тому

      @Omedia255 kaka unajua maana Ya Cameo?

    • @ellenkamanzi3505
      @ellenkamanzi3505 4 роки тому +2

      Wewe jot anawasanii wake wakina sopa na kipande pia mama dame nawengine ukiona kafanya comedy yake namsanii tafauti jua wanatangaza biashara flani apo naona alikuwa anampa shish kampan kwenye tangazo laiyo coconut coz shsh amekuwa baloz waiyo kampun

    • @pulltheskymusicgroup4475
      @pulltheskymusicgroup4475 4 роки тому

      @@ellenkamanzi3505 kaka Prince, uko sahihi ulichosema, minazungumzia kwa brand marketing perspective, joti afanye awe anafanya Cameo an watu walioko kwenye media hususa internet superstar, wasanii na ma social media influencers, in long run , JOTI MEDIA GROUP, will be the biggest media Tz hawajai ona..sababu kuu mooja , Joti mwenyew ni super creative na akiweza ku leverage hiyo chance..naamni atafika mbali sana

  • @bernardbinbelyjeshi7748
    @bernardbinbelyjeshi7748 4 роки тому +5

    Dah full maraha kukesha raha jamani,,,wako wapi team popo💥💥

  • @emiliangasto329
    @emiliangasto329 4 роки тому +87

    Mapema leo nikiwa wa pili weka like twende sawa

    • @munamamirisho2466
      @munamamirisho2466 4 роки тому +3

      Ikusaideje

    • @lolanimals7206
      @lolanimals7206 4 роки тому +3

      @@munamamirisho2466 Hayo maomba like ni mandezi kishenzi. Majitu ya FB hayo ushamba tu kama hizo Likes zinawapa hela!

    • @emiliangasto329
      @emiliangasto329 4 роки тому

      @@munamamirisho2466 nimeipata lkn

    • @emiliangasto329
      @emiliangasto329 4 роки тому

      @@lolanimals7206 jaribu kuomba na wewe uone utamu wake

    • @Mc_Kibonge_Mwepesi
      @Mc_Kibonge_Mwepesi 3 роки тому

      @@munamamirisho2466 on. Be.

  • @idah8874
    @idah8874 3 роки тому +4

    Aisee joti unajua kutuvutaa..Ila kama umefurah kukuon dimpos na shishi (👍)..😂😂😂😂😂

  • @ommyxella5904
    @ommyxella5904 3 роки тому +1

    Imenyweka Kama ya Moto kumbe ya balidi waliona Kama mm

  • @patrickakitanda7709
    @patrickakitanda7709 4 роки тому +21

    "Eti kwenye Kanga naweka ukuni" dah Joti Mbinguni utapaskia tuu

  • @princemujuni9803
    @princemujuni9803 4 роки тому +14

    Hiv ni mm peke yangu ambae huwa namuona Zuwena mzuri bila make up na akiwa na make up namuona wa kawaida

  • @fadhilifantastic5032
    @fadhilifantastic5032 4 роки тому +7

    Eti mi mwanamke nampiga kwa kanga ila katikati ya kanga naweka ukuni 😂 😂

  • @charlesrichard7270
    @charlesrichard7270 4 роки тому +11

    Mimi sitaki like 😬

    • @dechaggagirl1614
      @dechaggagirl1614 4 роки тому +1

      Hhhaaa bc izo tunakupa utazipeleka wp😅😅😅

  • @MariamMohamed-bw8xf
    @MariamMohamed-bw8xf 4 роки тому +7

    🙌🏽🔥🔥🔥muko juu joti na shishi 💯✔

  • @angelbwija9547
    @angelbwija9547 4 роки тому +4

    🤣🤣🤣🤣🤣 shishi baby na joti waoooow nimeipenda sana ❤❤❤❤❤

  • @ferouzmasoud4741
    @ferouzmasoud4741 4 роки тому +25

    😂😂😂😂 Dunia nzma inajuwa shishi upo single na Mimi npo Single 🤣🤣🤣

  • @helenayusuph5636
    @helenayusuph5636 4 роки тому +1

    Shishi, una Juice ya Moto
    Juice imenyweka kama ya Moto!!

  • @abumoyo5341
    @abumoyo5341 4 роки тому +10

    😂😂😂😂 wasema ndo maana anapigwaa aendee wp ( kwa mwakinyoo)

  • @mirandamira3064
    @mirandamira3064 4 роки тому +6

    Me nasemaga wasanii wanaringaa😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @janemaya8470
    @janemaya8470 4 роки тому +5

    😂😂😂😂😂Eti me nasemaga kuna wasanii wanaringaga

  • @kassimrajabu7805
    @kassimrajabu7805 4 роки тому +49

    1:50😂😂😂😂😂😂 juice ya moto.

  • @angeleden5993
    @angeleden5993 4 роки тому +2

    Shishi mwili uo upunguze bhaaaaaana

  • @mahmoudaziz4717
    @mahmoudaziz4717 4 роки тому +3

    Nimecheka kifala 😄 😄😄 😄🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿 joti we noma.

  • @josephndomba1895
    @josephndomba1895 4 роки тому +1

    Daah joti ni fire

  • @MariamMohamed-bw8xf
    @MariamMohamed-bw8xf 4 роки тому +13

    😂😂😂😂joti ndio mana ana pingwa sio 🤣🤣🤣

  • @AfricaYangu
    @AfricaYangu 4 роки тому +4

    Unapost asubuhi sana joti, uwe unasubir na wajumbe waamke

    • @hjhj6230
      @hjhj6230 4 роки тому +1

      😃😃😝

  • @Zilizopendwa_60s
    @Zilizopendwa_60s 4 роки тому +15

    Joti dishii sana eti Dunia nzima inajua wewe ni single😂

  • @somoehussein7948
    @somoehussein7948 4 роки тому +7

    hahahaha eti shishi huna juice ya moto hahahaha

  • @JohnmenaClassic
    @JohnmenaClassic 4 роки тому +5

    😂😂 hili leo tangazo, 🙌

  • @zicomgravity4897
    @zicomgravity4897 3 роки тому +1

    Juice ya moto...😁😁😁😁

  • @mwaminishakalili4120
    @mwaminishakalili4120 4 роки тому +6

    Joti mungu anakuona na shishi😂😁😄😄😄😄🤣🤣🤣😂😂😂😂😂🤣

  • @guccij3549
    @guccij3549 4 роки тому +3

    Sister Duu ulie ukataa Umama ntilie leo una mpa heshima ShiShi

  • @yahayakokoi76
    @yahayakokoi76 4 роки тому +1

    Jotii km unakubal anajua gonga like apa

  • @prettycareen170
    @prettycareen170 4 роки тому +6

    Jamn jotiii😍😍😍😍😍😍😂😂😂😂

  • @salimramadhani5237
    @salimramadhani5237 4 роки тому +1

    shishi ndo ulikoanza huko bongomovie

  • @magrethbenjamin4969
    @magrethbenjamin4969 4 роки тому +14

    Namimi one day ntaenda shishi food

  • @tamutv4049
    @tamutv4049 4 роки тому +2

    Daaaah huyu jamaa kwenye matangazo ni mbunifu sana aiseee

  • @hassanambarakmbarak8759
    @hassanambarakmbarak8759 4 роки тому +1

    Shishi unaendana sana na joti

  • @sheilamjune1233
    @sheilamjune1233 3 роки тому +2

    Masha Allah wow this is nice movie 😘😘😘😘❤❤❤❤🔥🔥🔥🙏🙏🇰🇪🙏

  • @oswaldshayo2758
    @oswaldshayo2758 4 роки тому +4

    Napiga kwa kanga na ndani ya kaka naweka ukuni😂😂

  • @emmanueldrc864
    @emmanueldrc864 4 роки тому +2

    Eti shishi unajoice ya Moto 😀

  • @charlesrichard7270
    @charlesrichard7270 4 роки тому +23

    Eti nenda kwa mwakinyo 😂😂😂🤣

  • @baltzrluus3287
    @baltzrluus3287 4 роки тому +9

    kama hupendi kuangalia matangazo ya joti na kuokoa muda anzia dakika ya 1:10.

  • @zicomgravity4897
    @zicomgravity4897 3 роки тому +3

    Juice ya moto🔥🔥🔥🔥

  • @Platnumz11
    @Platnumz11 3 роки тому

    Shishi unajuwice ya moto mana nimeiyona hapa

  • @veronicasteven9662
    @veronicasteven9662 4 роки тому

    Hiyo mito umekosea kuweka picha zako umeacha kifua wazi Kuna wateja wanaojiheshim kwa mfano familia mke na mme na watoto wao waone kifua nje nje inakera sana kwa mwanamke

  • @allyswimming2079
    @allyswimming2079 4 роки тому +2

    KAMA WEWE NI SHOMBE SHOMBE TUJUANEEEEEE🤣😂🤣😂

  • @Bonwyatt
    @Bonwyatt 4 роки тому +4

    Uchebe yuko api..washaanza kuact kwa shishi

  • @franktimothkisimbo5354
    @franktimothkisimbo5354 4 роки тому +2

    Mnajua kutumia fursaa Vzrii saan 😂😂

  • @ev.mhugohantish288
    @ev.mhugohantish288 4 роки тому +3

    Unaliona tangazo la pampas unalisogeza mbele ili ukaone comedy. Unafika kule unakutana na tangazo la GIHESHIMU🤣 (GSM)

  • @peterndossy3008
    @peterndossy3008 3 роки тому

    Daah wale wanaomkubali Shishi na Joti tujuane kwa like jaman

  • @HAWAMAULIDI-zl5xd
    @HAWAMAULIDI-zl5xd Місяць тому +1

    2024 here ❤🎉😊

  • @billylovebillybillylovebil8895
    @billylovebillybillylovebil8895 3 роки тому +1

    Joti mungu akupe myaka yote uweze kutupa vitu vizuri

  • @abbyadams8691
    @abbyadams8691 4 роки тому +19

    Piga kelele kwa GSM yakeeee! Tukutane tarehe 30 kwa Mkapa

  • @enalamichael3339
    @enalamichael3339 4 роки тому +4

    😂😂😂😂😂kwenye kanga ndani anaweka ukuni 😂😂🙌

  • @fedharmmark6398
    @fedharmmark6398 4 роки тому +9

    Anapga kwa khanga half ndan ya khanga anaweka ukuni !

  • @khamisoothman5294
    @khamisoothman5294 4 роки тому +1

    Hahaha joti we fala sana

  • @kekiplus1andonly
    @kekiplus1andonly 4 роки тому +1

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂hehe eti shishi changamka basi utaniaua😆😆😆😆😆juisi ya moto😂😂😂😂

    • @kekiplus1andonly
      @kekiplus1andonly 4 роки тому +1

      😂😂😂😂😂😂kwani lazima aongee?

    • @kekiplus1andonly
      @kekiplus1andonly 4 роки тому +1

      Heheeheheh..kweli hana upepo na wewe😂😂😂😂😂😂

    • @kekiplus1andonly
      @kekiplus1andonly 4 роки тому +1

      Hehehehehe..eti shishi unataka kuniteka,kweli watakuroga wanaume😂😂😂😂shishi sweetie😂😂😂😂

    • @kekiplus1andonly
      @kekiplus1andonly 4 роки тому +1

      😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂shishi ndo maana unapigwaga wewe,nenda kwa mwakinyo😂😂😂😂😂😂😆😆😆😆😆

  • @renildevenerand9473
    @renildevenerand9473 4 роки тому +12

    Aliona kama Ommy hakupenda micamera nani?😃😀

  • @mbinyeco-tv
    @mbinyeco-tv 4 роки тому

    Duuuuh ingekuwa kweli wakike yan umetisha saaaaaana

  • @waziriomar1414
    @waziriomar1414 2 роки тому

    😂😂😂 kofia Kama kizoleo Cha taka

  • @TamuzaKale
    @TamuzaKale 4 роки тому +2

    Sasa, Shilole, yale mazoezi kwa ajili kupunguza kitu gani? Pushapu kama unamkaza mtu bana! Hehehehee

  • @ruthkasumba7739
    @ruthkasumba7739 3 роки тому

    😆😆😆😆juice ya moto

  • @hamadomary6684
    @hamadomary6684 4 роки тому +22

    Na dunia nzima inajua uko single 😂😂

  • @UrboYoG_830
    @UrboYoG_830 4 роки тому +2

    Shishi unanikataa moto💣💣🔥🤣🤣🤣

  • @samwelkihongo8134
    @samwelkihongo8134 4 роки тому

    Mmetisha sanaa

  • @andrewraphael3098
    @andrewraphael3098 Рік тому +1

    Eyooo nishai 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @jaxontv7854
    @jaxontv7854 4 роки тому +4

    Yawezekana ikawa ndo sababu ya kupigwa na uchebe

  • @benjamininyambaso5041
    @benjamininyambaso5041 4 роки тому +2

    hahahaa ndani ya khangaa anawekaa ukuni😂😂

  • @lusekelodaison8159
    @lusekelodaison8159 3 роки тому +4

    He!!! Shishi una juice ya moto siku hiz??? Daaah naona kama umenyweka ya moto vile,
    😂😂😂😂😂😂😂😂
    Haki vile Joti wew hufai
    😁😁😁😁😁😁😁

  • @omyguy3066
    @omyguy3066 4 роки тому +4

    Matangazo ya lazima!!! huo ni wezi. hata you tube inakupa sekunde tano ya kukataa matangazo.

  • @paschaziapoul8251
    @paschaziapoul8251 4 роки тому +2

    Napiga kwa kanga na ndani ya kanga naeka ukuni...😂😂😂

  • @neemapaul2162
    @neemapaul2162 4 роки тому +2

    Dah Ila joti kashindikana daaah 🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @daboe2528
    @daboe2528 4 роки тому +1

    Nimeipend 😋 hii

  • @yusufukelele4639
    @yusufukelele4639 2 роки тому +1

    Unatixha kk

  • @pelusiemanueli6926
    @pelusiemanueli6926 3 роки тому +1

    Hahahahahaha shishi ndo maaan unapigangwa😀

  • @charlesnyelema7623
    @charlesnyelema7623 4 роки тому +5

    Et shishi unajuis y moto ommy kanywa juice kama chai

  • @asiakingwira1266
    @asiakingwira1266 4 роки тому

    Omy kala mikausho kibubu mimi sipigi tutawezana nipooo

  • @janembawala6009
    @janembawala6009 4 роки тому

    Shishi ana sura nzuriiii nyie

  • @Vince-kw9hu
    @Vince-kw9hu 4 роки тому +13

    Jotiiii so talented

  • @quarantine325
    @quarantine325 4 роки тому +6

    😂 😂 😂 Joti utawezana kweli?

  • @veronicasteven9662
    @veronicasteven9662 4 роки тому +2

    😂😂😂😂muhudum anamwambia mteja anakula sana

  • @hellennjeri2431
    @hellennjeri2431 4 роки тому +2

    Ommy na juice moto 😂😂😂

  • @mtitagirloriginal6890
    @mtitagirloriginal6890 4 роки тому +5

    Hm watu makin San asubuh tote tunaviziana kuwa wa Kwanza🤭 na unashindwa

  • @mohamedomar-lj8bm
    @mohamedomar-lj8bm 4 роки тому +4

    Where is kipande pliz🇰🇪🇸🇦

  • @jumajuxmaboneti7884
    @jumajuxmaboneti7884 4 роки тому +2

    Brother ommy achazalau

  • @coolestmarley6086
    @coolestmarley6086 4 роки тому +10

    Unanikata moto lmao🤣🤣🤣

  • @georgebidance1399
    @georgebidance1399 4 роки тому +1

    Leta juice ya moto please 😂😂😂🙏🏿

  • @saidihemedimkukulike3545
    @saidihemedimkukulike3545 4 роки тому

    Shishi una juisi ya moto

  • @righton19
    @righton19 4 роки тому

    Mamaeeeeeeee yan kwenye kanga tunaeka ukuni

  • @joycekato6784
    @joycekato6784 4 роки тому

    Shishi kwani una juice ya moto.... Kwa mara ya kwanza ndio naona kuna MTU hapa anakunywa nikajua kuna ya moto, Hahahahahaaa.....

  • @aishamother9943
    @aishamother9943 4 роки тому +1

    Nimechelewa lkn cwezi pitwa 😃😃😃😃