Kanifurahisha uyo mama aliesema hawasamehe Mpaka youmul qiyama mashaallah mashamba mazuri sana wanataka kudhulumiwa hivi hivi ndo mana uyo cheni ukimuona kafanya juso kama paka jizi kwa kudhulumu watu uyo bibi alosema serikali tukufu ana wazim sana mjinga mpumbavu mmoja
Serekali inachukua haki za raiya sehem nyingi wamechukua lakini ipo mwisho wote serekali hakuna raisi n watendaji wake wote zulmaa kesi itakapoenda hawatochukua hatua wao ndio wahusika ccm na serekali ykeiyondoshwe mkuu wa mkoa Ayubu amechukua kiwanja chukwani adi leo hawajakirejesha aridhi ya zanzibar wao km yapekeyao tungane kuiyondoa ccm n serekali raiya hanahakii
Dhulma ipo zanzibar ndo mana nchi ngumu sana kuja juu na ww salama wa Ardhi mzigo unaubeba usijifanye humo kwenye hili unayajua yote kumbuka kullu nafsi itaonja mauti.
KTV huu ni upande mmoja, tujuzeni na upande wa pili wa serikali wanasemaje kuhusu tuhuma hizo, kabla wananchi hatujatoa comment zetu.. ila kwa zanzibar ukidhulumiwa ni shida kuipata haki yako mana hao viongozi hata raisi hawamuogopi, afadhali ya huku bara.
Yoyot atakae mdhulumu ile pima moja ya ardhi mwenzake bas kesho gaumulkiama atakwenda kuambiwa aichimbe mpk ifike ardh ya saba kish abebeshwe nayo niliwah kumsikia shekh akisema kama sijasahau Allah anisameh kama nimekosea Allah atustir waja wake Mtihan mtu anapokonywa haki yake anaiona iv iv inampotea😢😢😢😢
Viongozi smz mujuetu Kuna maisha baada YA Zanzibar, na Hakuna zaiidi YA akheraa, Nyie endeleenitu kuzulumu haki Za watu, mapesa YA serikali, kaeni mkijuatu iposiku iposiku iposiku, Majumba, mapesa mnayoyaiba yatakutokeeni puwani.. Ushauri wa bure tuu huooo.. Sheni unamaliza Miaka yako Zanzibar hali ndiokama hizo akili kichwani mwako
Dhulma Serikali imeamua kwa maksudi kabisa kutudhulumu sisi wany'onge Rais Dk Ali Mohd Shein unaondoka na Jukumu hili Dhulma hii hakika Mungu yupo na atatulipa hapa hapa Duniani shamba letu lina Hati 3 ya Babu yetu Ahmada Darwesh toka 1951 ya Baba Baba yetu Saidi Ahmada Darwesh 1962 na sisi watoto 12 wa Saidi Ahmada Darwesh tumerithishwa na hati yetu Halali imetolewa na ofisi ya wakfu mwaka 1990 baada ya kufariki Babaetu
Rais utapolipa undone naa ss wenye chamba la sogea yote pamoja name barabara yakee ya kodongo chekundu hatijalipwampaka Leo hii nimali ya families nne tunaomba msaada wako Mheshimiwa rais

🤣
Mama ameongea neno zito kusema" wallahi hatutamsamehe mtu mpaka kesho yaumul kiyama"maneno mazito haya kwa mtu mwenye fahamu
Khalid Mbwana: swadaqta
Kweli
Shukran Ktv tz online hakika hii ni fahari yetu
Allah awafanyie wepes kwa kila hali kilakitu iwe kheri
Amiin Yaa Rabb
Mnadhulumiwa kwa sababu ni wanyonge na hamna nguvu, CCM oyee kidumu maisha Ameen.
Mashallah mama hangu Allah hakufanyie mwisho mwema Inshallah
Hio ni haki yenu na in sha Allah mutalipata bila wasi wasi
CCMWIZI oyeeeee mnaisoma namba sasa CCMWIZI OYEEEEE
Faida ya ccm hiyo miaka 54 na usheee
@@mgenikilindo5793 faida ya miaka 54 ni ushuzi ushuzi nchi inazidi kujinyea mimavi ya makufuli na Shein.
We nawe kumbe fala kweli
Ccm siyo wezi soma vizuri katiba msenge wewe.ACT hawapewi nchi hata mfanyeje
Mafisiemu Lana ya Mungu iwashukie mlio viongozi
Dah poleni sana hii ndio serekali ya Zanzibar serekali ya dhulma allah atawalipa wote waliodhulumiwa
Huyu sheni ni mmbaya Sana huyu ila akae ajuwe tumemchoka kwakweli
Mara hii hagombei tena miaka kumi yake tyr
Haijawahi kutawaliwa zanzibar na rais kama huyu
Tangu mapinduzi wazanzibar tutapata tabu hadi leo hii. Ili zanzibar uweze kuendelea bas lazima ccm iyondoke zanzibar.
Mm nawapa suluhisho bora kbs hii ni 2020 kwaio tuipigie kura ccm ipt ushindi wa kishindo kuliko mr zt
Hapo nahisi mushukuru Mungu tu .
Serikali tukufu....!!!😳😳 bas nyamaza mama ndo utukufu wenyewe uoo, mapinduzi daima jamaniiii hamuelewi nyny
🤣
Kama umemuona teacher Mu ,Medy na Sule gonga like hapa
😁😁😁mkunga dume
Njooni na nungwi KTV
Mie tokea alfajiri sina Imani na bwege Sheni lipolipo tu hivi kama bwege
M,mungu yupo na nyinyi
Serekali inachukua haki za raiya sehem nyingi wamechukua lakini ipo mwisho wote serekali hakuna raisi n watendaji wake wote zulmaa kesi itakapoenda hawatochukua hatua wao ndio wahusika ccm na serekali ykeiyondoshwe mkuu wa mkoa Ayubu amechukua kiwanja chukwani adi leo hawajakirejesha aridhi ya zanzibar wao km yapekeyao tungane kuiyondoa ccm n serekali raiya hanahakii
Ardhi kwa serikali ni sawa na roho kwa mwenyezi mungu akiamua kuchukuwa anachukua tu. Bila ya mjadala .
Dah dhulma ya aina gani hii wananchi wanafanyiwa
CCM OYEEEEE!!!!!
huu msemo kuwa ardhi ni mali ya serikali ndo unawanyonya wanyonge wengi sana
Mapinduziiiii daima
Ccm oyeeee
Daaa sina la kusema mama ameshamaliza maneno.
Hiyo kusema hataki zima ni maneno 2 km anajua hayo kwaza ajiuzulu lkn kusema hivo tushazoea kwa ni majina ya kanga hayo.
Dhulma ipo zanzibar ndo mana nchi ngumu sana kuja juu na ww salama wa Ardhi mzigo unaubeba usijifanye humo kwenye hili unayajua yote kumbuka kullu nafsi itaonja mauti.
Uyo Makamo ndio atari huyo ipiganieni haki msilale mama
Hm.mimi ni ccm ila kwa dhuluma hiii khaaa nartadi kwachama hicho naingia chama cha haki nitafanya pirika za kutafuta kadi yakura
Eti serikali tukufu mh kumbe hujui watu mpaka leo wakinywa maji hayapiti uzuri rohoni kwa zulma ilopita kuongoza nchi kwa kupora ushindi
👍👍👍👍
Haki iko wapi ee Binadamu hapa tunapita tuu
KTV huu ni upande mmoja, tujuzeni na upande wa pili wa serikali wanasemaje kuhusu tuhuma hizo, kabla wananchi hatujatoa comment zetu.. ila kwa zanzibar ukidhulumiwa ni shida kuipata haki yako mana hao viongozi hata raisi hawamuogopi, afadhali ya huku bara.
Hata huku bara ni hvyohvyo dugu moja hawa.
hiyo ndiyo faida ya madhalimu mnadhani mtapata kheri kwao?mmechelewa
Yoyot atakae mdhulumu ile pima moja ya ardhi mwenzake bas kesho gaumulkiama atakwenda kuambiwa aichimbe mpk ifike ardh ya saba kish abebeshwe nayo niliwah kumsikia shekh akisema kama sijasahau Allah anisameh kama nimekosea Allah atustir waja wake Mtihan mtu anapokonywa haki yake anaiona iv iv inampotea😢😢😢😢
Viongozi wa zanzibar mbona karne izi hampo kama zamani jaman wananchi wenu wanateseka
Hapo Zanzibar ni dhulma tu ...
Kama umemuona Jobless mwishoni gonga like
Viongozi smz mujuetu Kuna maisha baada YA Zanzibar, na Hakuna zaiidi YA akheraa, Nyie endeleenitu kuzulumu haki Za watu, mapesa YA serikali, kaeni mkijuatu iposiku iposiku iposiku, Majumba, mapesa mnayoyaiba yatakutokeeni puwani.. Ushauri wa bure tuu huooo.. Sheni unamaliza Miaka yako Zanzibar hali ndiokama hizo akili kichwani mwako
Haki itendeke jamani hii Dunia tunapita tu
kuna mzee sefu ali iddy anamilki mashamba ya mikarafuu pemba uko tngu lini mnyamwez na mikarafuu......ccm oyee
Mnyamwez hana haki au sio mtu
@@zaytunhijja6771 ni mtu ila hana haki ya kujimilkisha mashamba ya mkarafuu kwa kujinadi kua nimali yake ......hajarithishwa wala kuuziwa
CCM oyeeeeee kidumu
Mapinduzi daimaaaaa mbele uonevu2 na siasa chafu
Duuuu hatarii
Ccm wameshazoea kufanya dhulma, ila wataijutia hiyo, pumzi zinawadanganya, heeeee
Yaani apo mfumbe macho tuu mama zanguuu
Wamezoea kuchukua mali za watu
CCM CCM CCM CCM CCM CCM CCM CCM CCM CCM CCM CCM CCM CCM CCM CCM CCM CCM CCM
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Dhulma zanzibar imezidi.ccm haitufai na haitupeleki popte ila dhulm
Hakuna mamlaka iliyohalalishiwa dhulma
Watajibu tu
Shein kadhulumu hiyo ni matunda ya dhulma
Tatizo uongoz wetu mbovu wala haujali maumivu ya wanyonge
Dhulma kubwa sana
Dhulma Serikali imeamua kwa maksudi kabisa kutudhulumu sisi wany'onge Rais Dk Ali Mohd Shein unaondoka na Jukumu hili Dhulma hii hakika Mungu yupo na atatulipa hapa hapa Duniani shamba letu lina Hati 3 ya Babu yetu Ahmada Darwesh toka 1951 ya Baba Baba yetu Saidi Ahmada Darwesh 1962 na sisi watoto 12 wa Saidi Ahmada Darwesh tumerithishwa na hati yetu Halali imetolewa na ofisi ya wakfu mwaka 1990 baada ya kufariki Babaetu
Huyo sheni ni sanamu tu hilo
Wachieni Mali za watu fateni utaratibu wacheni kuthulumu wananchi.
Rais Sheni oyeeeh
Hii zanzibar kuanzia rais npaka vibaraka wote zulma tupu hasbiyaallah
Ushaitwa Daruweshi tena hapo lazima CCM wakuambie ni Hizbu kupokonye ardhi
wanakuisabu wwe mngazija tena mgeni
Mara hiii tunawatoa hawa ccm tushawachoka
Kwan mwaka ulopita walifanyaje
@@manahiljamal8053 tulia mara hii dozi tuwape
Huyo sheni ndio mmbaya anahusika na yote hayo mwisho atauža mpaka watu pia kisha mnagagania kuwapa kura ženu
Mara hii afe jini afe mganga tunawatoa hawa
@@alimussa2655 yani wamechosha kiukweli rais ndio amekuwa mžalilishaji
🤣🤣🤣🤣👍👍👍👍
Tunahitaji kuzungumza jamani uwazi ni jambo muhimu sana kwani Sheha anasemaje?
Wacha siasa maelezo huyasikii sheha afanye nn na watu wameenda ngaz kubwa hakuna llt
Mabrouk Saleh. Nikiwa Mtanzania huo ulikuwa ni ushauri na mchango wangu
Nchi haiishi Drama
Rais utapolipa undone naa ss wenye chamba la sogea yote pamoja name barabara yakee ya kodongo chekundu hatijalipwampaka Leo hii nimali ya families nne tunaomba msaada wako Mheshimiwa rais
K tv mm nataka kuongea na nyie pls nna matatizo
Ccm oeeeeee
Maendeleo kunyaganya watu ardhi žao
Haaaaaa nilicema mim muafrika hawezi kuongoza watu
CCM kawaida yao wizi Kazi kudhulumu watu tu ndio mana hamna maedeleo