Mumewe mbunge wa Kajiado Mashariki amlaumu naibu wa rais

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 6 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 260

  • @gitariisaac7163
    @gitariisaac7163 3 роки тому +18

    he wants to solve family issues on TV .. 🤣🤣🤣🤣🤣..

  • @juniorbutori1802
    @juniorbutori1802 3 роки тому +5

    Madharau ya hali ya juu.... And he wants to be a president... Respect people's homes bwana Ruto

  • @UDA-fk13
    @UDA-fk13 3 роки тому +11

    SEMA direct unataka pesa

    • @the_main_guy
      @the_main_guy 3 роки тому +1

      Unafikiri kila mtu ako na njaa kama wewe. Pambana na hali yako bro😂

  • @jontecaros3194
    @jontecaros3194 3 роки тому +9

    Suuji means lazy/bad 1:00 MALI YAKO 😂, BIBI SIO MALI 🤣🤣

  • @wilsonwafulachebokati4933
    @wilsonwafulachebokati4933 3 роки тому +2

    We mzee mjinga sana shamba ruto ana mashamba kuliko wacha ako kashamba

  • @dominicnyabuto6703
    @dominicnyabuto6703 3 роки тому +14

    I love the episode. More and more welcome.

  • @godfreydeya4140
    @godfreydeya4140 3 роки тому +12

    Huyu mwanaume Hana point kabisa, hiyo ni wazi kwamba hiyo ndoa inashida kubwa

  • @jim12306
    @jim12306 3 роки тому +25

    Ruto was only a visitor, wacha ubwege wewe mzee. Perez has a right to that home, and she is the one who invited wageni. So stop being a cry baby mzee, pambana na hali yako bana. Inaonekana umeachwa wewe!

    • @cyrusodera2547
      @cyrusodera2547 3 роки тому

      Sasa wewe unakasirika nini 😂😂😂😂

    • @danielmwangi4622
      @danielmwangi4622 3 роки тому +1

      According to the arrangement of tents chairs n so many electronics. It's seens it was not planned this mrng. So stop crying like a fool. Ruto was a visitor like me.

    • @realitycheck9463
      @realitycheck9463 3 роки тому +2

      Seems like all of you are very happy in your marriages that you don't even see clearly what is happenings the wife has been cornered with promises and handouts

    • @jim12306
      @jim12306 3 роки тому +2

      @@realitycheck9463 nonsense! Mwanamme kamili haaniki Mambo ya nyumbani , ana act.Wewe vipi! Everything you want to blame Ruto. Fugueni macho bana, hustlers wametamba!

    • @realitycheck9463
      @realitycheck9463 3 роки тому +1

      @@jim12306 I did not blame him you heard what she said point blank her political stand to join UDA without consulting mzee is the problem bibi yako akiwa mwanasiasa unafikiria una bibi unless your day dreaming my brother utakuwa unakula mifupa siku

  • @patrickjohn4086
    @patrickjohn4086 3 роки тому +8

    We mzee huwezani na hustlers, relax, revolution is unstoppable

  • @skyforcetracking5272
    @skyforcetracking5272 3 роки тому +12

    The man needs money 💰

  • @nancynashipae1505
    @nancynashipae1505 3 роки тому +4

    Mzee wacha aibu ndogo ndogo wacha mum atafute votes peris tosha.

  • @Kirimikilea
    @Kirimikilea 3 роки тому +16

    petty politics and so much stupidity this guy should be a man enough

  • @Kaka-kq2uy
    @Kaka-kq2uy 3 роки тому +8

    Was there a deal that was overlooked.bse this man definitely knew about the meeting.

  • @sheengazi4245
    @sheengazi4245 3 роки тому +18

    Laumu mkeo mzee

    • @k.k1375
      @k.k1375 3 роки тому

      mila hanjui ama.. why are you supporting wrong?

    • @lizjoseph4404
      @lizjoseph4404 3 роки тому

      Hapa naona makosa ni vyenye mke wake ameshikana na Ruto

    • @k.k1375
      @k.k1375 3 роки тому

      @@lizjoseph4404 thank you

  • @niclinnicholasbundi8652
    @niclinnicholasbundi8652 3 роки тому +9

    His wife is answerable not the DP. After all she invited them

  • @johnmasinde1875
    @johnmasinde1875 3 роки тому +28

    When a marriage is either irreparably brocken or breaking. It's a tragedy. The man should sue his wife for inviting guests contrary to his prior knowledge. Not the Dp

    • @misslanet3933
      @misslanet3933 3 роки тому +2

      This is laughable. Very misogynistic. I guess if the shoe was on the other foot and ole suuji had been the one with the"unauthorised" guests there would be no lawsuits right?They're co-owners of the land periodt!

    • @realitycheck9463
      @realitycheck9463 3 роки тому +3

      Bibi alibebwa na wheelbarrow

    • @charleskibiro9159
      @charleskibiro9159 3 роки тому +2

      Yaani, watu wanaingia kwako kupitia gate, mzee anaingia chini ya kitanda, wanakaribishwa na mama, wakienda, ndivyo mzee anatoka inje na rungu akisema, kama ningewapata wangejua mimi ni ndume. Ndume sio lazima iwe kiume, ata kwakike kuna ndume. Huyu mama ni ndume.

    • @realitycheck9463
      @realitycheck9463 3 роки тому

      @@charleskibiro9159 bibi alibebwa na wheelbarrow

    • @victorkirui4756
      @victorkirui4756 2 роки тому

      Azimio tv had to air this.

  • @ferenzejoseph3940
    @ferenzejoseph3940 3 роки тому +17

    Childish! If your wife invited them, they did not trespass. As you said, it is family property

  • @onlygodcansave7443
    @onlygodcansave7443 3 роки тому +4

    Kwani hiyo mkutano imepangwa na usiku moja kwenda uko wacha kundanganya wakenya tunajua mko pamija na wife.
    Wacha kublind watu

  • @platinumglassandaluminium5229
    @platinumglassandaluminium5229 3 роки тому +2

    Huyo mwanaume 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @anthonyndungu6343
    @anthonyndungu6343 3 роки тому +3

    If two are mentioned one. In church.
    Then mzee, ujingaa wachaa.
    How do you want to convince us. Rudi mkubaliane na bibi. Best word to you from Atwoli.
    Shenzi, shenzi kabisa..
    Olikuawaa wapi,?
    Okaskiawapiii.?

  • @lucyigwathuigwathu8038
    @lucyigwathuigwathu8038 3 роки тому +3

    Muzee Ni. Wifu bibi jako ako salama washa fitina

  • @snkenyamedia1441
    @snkenyamedia1441 3 роки тому +1

    Huyu mzee clearly hajielewi. To ne next story

  • @mondaonyancha8823
    @mondaonyancha8823 3 роки тому +2

    Mzee wacha kuchokoza Ruto. Weka bibi viboko aamke.

  • @mercywanjiku3834
    @mercywanjiku3834 3 роки тому +2

    Eeeer kwani hema n.a. viti ziliwekwa Kama amekuwa kipofu😂😂😂😂don't be silly kisanto

  • @danielmacharia5945
    @danielmacharia5945 3 роки тому +12

    Joining UDA is not a crime,we are joining all Kenyans not separating them,Ole Suuji pole its political season plz,on behalf of UDA members pole brother tusonge mbele pamoja👏👏

  • @mremmm5902
    @mremmm5902 3 роки тому +3

    Kwqni Ruto alimtoa kwa nyumba apeleke hiyo upuzi yake.hiko

  • @joycemwangi9452
    @joycemwangi9452 3 роки тому +11

    Where were you ,meaning you are the unavailable men and pretend to own the house

  • @morrismune4605
    @morrismune4605 3 роки тому +4

    Boss be a man

  • @marvinken4186
    @marvinken4186 3 роки тому +4

    Hata hajachukua last name ya bwanake

  • @bernardkimara9771
    @bernardkimara9771 3 роки тому +2

    Babaa tunza bibi kieleweke...mbona anakutoroka

  • @dorcasmogaka5479
    @dorcasmogaka5479 3 роки тому +6

    Kwani unakaa wapi or where do you stay?

  • @watairas2313
    @watairas2313 3 роки тому +11

    Huyu mzee ni ujinga unamusubua asuluhise mambo zake za nyumbani bila kuingiza watu wengine

    • @Be-Rean
      @Be-Rean 3 роки тому

      The wife also is in part owner of the land. Hichi kitumbua cha ndoa kimeingia mchanga, umeletwa na wheelbarrow. 😂😂🤣😂🤣

    • @benommar7721
      @benommar7721 3 роки тому

      @@Be-Rean kwani wakiprepare iyio mkutano do you think uyo Mzee aiko hapo..ni mjinga sana

    • @Be-Rean
      @Be-Rean 3 роки тому +1

      @@benommar7721 si hata Mimi nashangaa. Watu wanafanya mkutano kwa nyumba yako na haupo ama haujui kinacho endelea? Kwani ni nani mwenye nyumba hata wafanyikazi hawakumwambia? hio ni ishara yeye si mwenye nyumba… ama Hii ni drama za Ruto kutafuta attention.

    • @benommar7721
      @benommar7721 3 роки тому +1

      @@Be-Rean uyo Mzee nikama tu alikaliwa kitambo na bibi Sasa anatafuta njia ya kijionyesha kama leader wa boma.

    • @Be-Rean
      @Be-Rean 3 роки тому

      @@benommar7721 😂🤣😂🤣

  • @muhammudabdi7381
    @muhammudabdi7381 3 роки тому +15

    Where was this clown when preparations were going on. I mean his wife did not just wake up and suddenly invite people. A meeting of this magnitude definitely news was all over that DP was coming. The guy should address his wife privately and not Ruto

  • @philipneboo6934
    @philipneboo6934 3 роки тому +9

    I love this man he's soberly showing that despite the fact that peris is a member of parliament he's the man the head and nothing should happen without his consent,,,, he's the head and not the tail💪

    • @muhammudabdi7381
      @muhammudabdi7381 3 роки тому +2

      He is the tail, where was he when preparations were going on...definitely not involved

  • @onlygodcansave7443
    @onlygodcansave7443 3 роки тому +3

    Wewe ni mwanaume zizi sana kwani kenya ni Mali yako,, zile Ng'ombe umenunua na mbuzi hizo ndiyo Mali yako.
    Fuata mama uwache ndomo kaya.

  • @jontecaros3194
    @jontecaros3194 3 роки тому +6

    Mali ya inheritance? Na ni ya familia sio yako pekee! This is an idiot!

  • @alicemwangi555
    @alicemwangi555 3 роки тому +2

    Wewe umeshidwa na mke wako?

  • @patrickjohn4086
    @patrickjohn4086 3 роки тому +12

    Hustlers movement is real and unstoppable

    • @rosemarry1274
      @rosemarry1274 2 роки тому

      Mama ameenda hme pole sanaaaa!!!!!!

    • @rosemarry1274
      @rosemarry1274 2 роки тому

      Amelamba lolo!!!!!!! Uuuuuuiiiiii Uuuuuuiiiiii Uuuuuuiiiiii bure kabisa!!!

  • @patrickjohn4086
    @patrickjohn4086 3 роки тому +2

    UDA is unstoppable come rain come shine

  • @khamisijuma3167
    @khamisijuma3167 3 роки тому +2

    Mzee muulize bibiyako

  • @Mataikayo
    @Mataikayo 3 роки тому +26

    That name ole suuji means, "lazy Man" so I think he deserves what is going on.

    • @nancywangaristeinmann5529
      @nancywangaristeinmann5529 3 роки тому

      Suuji means bad

    • @philipneboo6934
      @philipneboo6934 3 роки тому +2

      You're pity you need a slap

    • @wambui3862
      @wambui3862 3 роки тому

      Lol wonder where the idiot was all this time!!!!

    • @k.k1375
      @k.k1375 3 роки тому +2

      UDA hakuna mtu mwerevu huko.. pumbavu watupu ... nonsense

    • @stefanogizzler
      @stefanogizzler 3 роки тому

      He is probably one of those fellas that can't drive a woman to orgasm!!!

  • @raychelleinjete4024
    @raychelleinjete4024 3 роки тому +6

    At the end of a day, a family has been broken.

  • @nancywangaristeinmann5529
    @nancywangaristeinmann5529 3 роки тому +11

    Peris is answerable and not Ruto🤔

  • @nancykemunto2899
    @nancykemunto2899 3 роки тому +2

    Ruto anatokea wapi hapo mzee ww unatumiwa

  • @alicenyaboke1305
    @alicenyaboke1305 3 роки тому +2

    Tell your husband that you didn't take the shamba a way

  • @mteulenyotamchana2623
    @mteulenyotamchana2623 3 роки тому +1

    Utasoea my friend. You knew very well you married forward lady. Mesa mate mzee safari imeanza

  • @monicanjoroge8842
    @monicanjoroge8842 3 роки тому +13

    Wewe mzee unafaa kunyanganywa huyo bibi. Ako na akili Mara kumi yako. Unapayuka kama mlevi changaa.

    • @wanyamuthimookariuki2012
      @wanyamuthimookariuki2012 3 роки тому

      Huyu wakuseema akipataa wasi...

    • @chozilasamaki5473
      @chozilasamaki5473 3 роки тому

      Ni pesa anataka mzee mjinga amepigwa na waya wa pesa sasa anataka kitu kidogo kwa Ruto

    • @k.k1375
      @k.k1375 3 роки тому

      @@chozilasamaki5473 just as your name .. akili yako ni kidogo kama ya omena

    • @chozilasamaki5473
      @chozilasamaki5473 3 роки тому

      @@k.k1375 wacha madharau Omena ndio chakula cha BABA kwa hivyo BABA akili yake pia ni ndogo?

  • @gideonkips5621
    @gideonkips5621 3 роки тому +4

    Ni shamba ya kawida huyu mzee analalamikia ama anamaanisha nini😂😂😂

  • @stefanogizzler
    @stefanogizzler 3 роки тому +8

    Upuzi wa wanasiasa wa Kenya, All nonsense!!!!

  • @jdhdnndd3797
    @jdhdnndd3797 3 роки тому +3

    Tuko pamoja ruto

  • @jenifferkimondo710
    @jenifferkimondo710 3 роки тому +3

    Where were you mkutano ikifanyika..?hawa ni wanaume wanaeda kurandaranda halali Kwake arafu anaanza kubweka...ukikataa kumbeba na prado,wheelbarrow ikambeba🤣🤣

  • @misslanet3933
    @misslanet3933 3 роки тому +8

    Suuji means a lazy person ,yaani mtu mjinga sana. Ole suuji is on brand

  • @realitycheck9463
    @realitycheck9463 3 роки тому +3

    Yani tusemeeeeh! Bibi kabweba na wheelbarrow

  • @dralfred7937
    @dralfred7937 3 роки тому +1

    Wacha ujinga nani

  • @RoroRoserororo
    @RoroRoserororo 3 роки тому +4

    Mzee uko right 🤣🤣

  • @lilianmumbi7271
    @lilianmumbi7271 3 роки тому +10

    If he has never been the head of the family atulie aongozwe Ruto is not in need of your properties acha makasiriko

    • @kinara5365
      @kinara5365 3 роки тому

      Heshima

    • @k.k1375
      @k.k1375 3 роки тому

      mbona mnasupport hadi makosa out right.... its wrong kuenda kwa boma ya mtu bila mme mwenye boma kuelezwa.. its morally wrong

  • @agneskhakali2069
    @agneskhakali2069 3 роки тому +3

    . Mambo ya kifua ni mbaya sana. Peris arudi kwa bibilia asome maana imeandikwa wanawake tuwaheshimu waume zetu. Maboma mengi hata mama akiwa kiongozi kanisani na washiriki wanakuja kwake, anauliza mzee hawezi jifanyia tu vitu ati sababu ni kiongozi

    • @millicentayangokunting3728
      @millicentayangokunting3728 3 роки тому

      Kweli

    • @mystyjakanyango4079
      @mystyjakanyango4079 3 роки тому

      @Agnes Khakali, pekee hapa uko na akili timamu. Pongezi. Rafiki zangu waniuliza, "Agnes ameolewa, au tutume application?" Wanawake kama wewe wanaume wanawatafuta kama almasi....na hawapatikani virahisi. Hawa wengine wote ni masihara tupu.

  • @corneliuskiptoo9115
    @corneliuskiptoo9115 3 роки тому +2

    Ulisa bibi yako sio ruto

  • @fredrickmbindu3065
    @fredrickmbindu3065 3 роки тому +4

    Msee leo utalala kwa mbaridi

  • @mumblessed001
    @mumblessed001 3 роки тому +1

    Hahaha haha haaaa msee tuliza bwana laumu bibi yako achana na Ruto. Kwani huyo ndie pekee mwanamke peke yake hufuatana na ruto shame on you peleka yeye kotin tv haikusaidii

  • @nyamuyaelijah5116
    @nyamuyaelijah5116 3 роки тому +3

    siasa za kenya😂😂

  • @karendikitchen8439
    @karendikitchen8439 3 роки тому +1

    Akujie kamisi.. Bra na biker!!!
    Sasa woote waliamka kwa vitanda na kujipata huko😳😳😳😳😳..... Nkt... Wanaume wengine

  • @stanelymuthomi1049
    @stanelymuthomi1049 3 роки тому +2

    Kwa hio huyo mzee adeal na bibi yake

  • @charleskabuchu7193
    @charleskabuchu7193 3 роки тому +2

    Huo ni upuzi

  • @marthagechuki8086
    @marthagechuki8086 3 роки тому +1

    Wewe sema wataka pesa kwa Dp ndio alijenga hizo hema?? Uliza bibi yako ndio aliita watu kwako.

  • @Adangaras
    @Adangaras 3 роки тому +8

    *Huyu mzee ni "project pandora"*

  • @abelmakori
    @abelmakori 3 роки тому +2

    He should ask his wife, if my wife invited people to the house without my knowledge, the problem is not those people who came.

  • @kiturselassie813
    @kiturselassie813 3 роки тому +4

    Tangu lini wanaume wakaanza kujifanya wanawake

  • @fectoryab1833
    @fectoryab1833 2 роки тому

    Watu ndoa na siasaa😂😂😂😂😂😂

  • @rosemarry1274
    @rosemarry1274 2 роки тому

    Peris kwenda nyumbani salama !!!!!NA MATUSI WAAAH!!!!

  • @lizjoseph4404
    @lizjoseph4404 3 роки тому +1

    Huyu ni kieleweke, Hii mkutano haikupangwa na siku moja, ama tobiko amemtuma Huyu mzee, kila mtu ana uhuru wa kuegemea pande yeyote

  • @husseinali3575
    @husseinali3575 3 роки тому +2

    Arap Mashamba na Shamba wacha tu,am speechless.

  • @frerickmadede9988
    @frerickmadede9988 2 роки тому

    Me am supporter of azimio ,, but Kenyans late,s have maturity politics the mama hana makosa kualika dp ruto kwani huyu mumewe huyu bb yake alipita kura iwe uda or azimio nani atakua anafurahia government protection kama sio yy na bibi yake ,, Kenyans muachwe kudanganya even mm in my constituency funyula kuna failure wa odm na amepewa direct nomination & we are telling our people do not vote parties vote a leader awe uda or independent.

  • @jameskamiru2841
    @jameskamiru2841 3 роки тому +10

    That name ole suuji means, "lazy Man"

    • @namukana1
      @namukana1 3 роки тому

      A child shall grow by any name!

  • @bintialuviplaceofhope2404
    @bintialuviplaceofhope2404 2 роки тому

    Episode is on another level,ask your wife

  • @yesunibwana3218
    @yesunibwana3218 3 роки тому +2

    Really.
    This guy is funny, in such a meeting you dont know?
    Really?

  • @usiniletee
    @usiniletee 3 роки тому +1

    She will not even win a seat

  • @bernardkimara9771
    @bernardkimara9771 3 роки тому +2

    Mzee kubali iishe bila chuki.. what's wrong with you man

  • @alexlexx1460
    @alexlexx1460 3 роки тому +2

    Fake news citizen Tv 📺😂😂

  • @mursilmursal
    @mursilmursal 3 роки тому +5

    Very bad for Real but Bibi ndio akona makosa...weak man society mwanaume Kamili angefanyiwa hivyo

  • @antidote254
    @antidote254 3 роки тому +2

    hiyo nyumba leo haitakalika...😅😅🤪

  • @richardwachira6584
    @richardwachira6584 3 роки тому +1

    Wacha upuzi hukujua ake, cheap politics, so you want to tell us you don't communicate with your wife

  • @kipkiruifelix6148
    @kipkiruifelix6148 3 роки тому +4

    Huyu mzee angesema tu msoto kumeenda juu kwake aseme tu directly si Mambo na kupita kando kando

  • @philipomayio5562
    @philipomayio5562 3 роки тому

    Matiang'i is our hero, impeachment is rumours

  • @bashirmuhsin3006
    @bashirmuhsin3006 3 роки тому +1

    since when inheritance? Na ni ya familia sio yako pekee! This is an idiot!

  • @carolgcarolg.4554
    @carolgcarolg.4554 3 роки тому +1

    If you marry big headed person this will be the case.its good to respect other's family' affairs.I blame those who entered that home without the owners permission being Mr suji.suji was complaining because he was not consulted.. let campaigners campaign respectfully without dividing families or people of Kenya.

  • @moha9043
    @moha9043 3 роки тому +4

    Ask ur wife boss wacha vitina za government. Stop seeking sympathy from.goverment

  • @hillarynyamwange1479
    @hillarynyamwange1479 3 роки тому +1

    Pure nonsense eti haukufahamishwa what about your wife inviting the dp Ruto

  • @jacklinemaravi8688
    @jacklinemaravi8688 2 роки тому

    Ndio maanake...🤣🤣🤣🤣🤣

  • @onlygodcansave7443
    @onlygodcansave7443 3 роки тому

    Ulikuwa uelezwe ufanye nini, kwa mkutano ulifanyika kwa nyumba yako

  • @josephchumba4332
    @josephchumba4332 2 роки тому

    Huyo mama Hadi anaheshimu ruto kuliko familia yake

  • @NoorAhmed-lg8xr
    @NoorAhmed-lg8xr 3 роки тому

    Abuyaay hoye masaii is the best people in the world in wey

    • @NoorAhmed-lg8xr
      @NoorAhmed-lg8xr 3 роки тому

      Aim in the kijado county and love oll the keinya and 2022 we tugeda inshallah

  • @danielkuya8372
    @danielkuya8372 3 роки тому +1

    Wewe mzee wachana na mama wewe Sio mwanasiasa

  • @marythuku1218
    @marythuku1218 3 роки тому +1

    Fooder wewe...ata bibi yako akihepa ni ruto..mscheeeew...truly you are a coward...

  • @moreenmusimbi1877
    @moreenmusimbi1877 2 роки тому

    Wacheni mzahaaa..mzee nyamaza umemuende dp akakata ama umeona ujianikee.

  • @juniorabdi3305
    @juniorabdi3305 3 роки тому +1

    First .
    The women is wrong to invite visitor without her man concern....
    Second the dp was to consult the owner of shamba the man...
    Yote tisa ya kumi it's good to apologize

    • @marionmemoi1956
      @marionmemoi1956 3 роки тому

      That’s backwardness,where was he in the first plc?

  • @johnnjoroge9256
    @johnnjoroge9256 3 роки тому +4

    Only citizen TV with negative news about Dp

    • @jamespeter5060
      @jamespeter5060 3 роки тому +1

      But this is what happened shida iko wapi?

  • @sandrapaul2804
    @sandrapaul2804 2 роки тому

    🤣🤣 ufalaa sana

  • @wilsonwafulachebokati4933
    @wilsonwafulachebokati4933 3 роки тому +1

    Please respect mr President 2022 wiliam samweli ruto kama utaheshimu ruto nitakunyorosha

  • @geraldngirimo8773
    @geraldngirimo8773 3 роки тому +3

    Ruto is a home wrecker..Just look at all the women in UDA...Aisha Jumwa,Millicent Omanga,Cate Waruguru,Gladys shollei,Faith Gitau,Cecil mbarire,Susan Kihika..etc
    Nobody here has a stable marriage, some walked out of their marriages..wanatembea tu na majina za mabwana zao lakini..walivunja ndoa kitambo.

    • @edwinkiptoo2309
      @edwinkiptoo2309 3 роки тому

      Pia wa mama wko n haki ya kuongosa nji tafutia chama enye sio uda kumbafu ww akili kidogo