Kwa umri aliyekuw naye Rais wetu wa awamu ya pili mzee Mwinyi na hotuba aliyetoa,kiukweli anastahili historia kubwa sna ni wazee wachache sana tena wakuhesabika, what a legend,what a leader,rest easy 🙏 father
Mzee kazi uliifanya nzuri sana, na ukasema ukweli kuhusu Magufuli. Ila aliye tuachia anafanya kazi ya kutuumiza wananchi kama anayelipa kisasi kwa watu aliokuwa na chuki nao.
Hii ndo maana ya ubaba hasa. Ulijua kutubu, kuomba msamaha ulipokosea, ulijishusha, ulisifia palipohitajika, ucheshi wa hali ya juu na wengine tulitamani busara zako, siwezi kumaliza sifa zako, Pumzika kwa amani baba😭
Pole sana kwa familia ya rais mstaafu mwenyz Mungu awakumbatie na awafariji, atufariji na Tanzania kwa ujumla, mimi naumia sana, byeeeee pumzka kwa aman Baba, rais wetu maitaafu.
Love ❤️ ❤❤ you Grandpa , rest in peace 🪦, R.I.P you were funny to listen, I will never forget you sir. Your heart was pure and was in Right place. Buliani Rais Mwinyi. Pole sana natoa kwa familia yako na wote wampendae kama mimi. Pumzika kwa amani Babu
Mzee huyu jamani kama alikuwa anatuaga Kwa furaha na vicheko. Tunashukuru MUNGU Kwa Maisha yake. Hadithi ya Maisha yake tunaisikiliza kwa furaha. RIP Baba.

Na hapa tunafika mwisho wa hadithi ya hayati Mzee Mwinyi. Mungu akurehemu.
R I p baba yetu Mzee mwinyi
Humility lifts a person...up.Mwinyi alikuwa so humble
Nenda salama mzee Mwinyi...umekuwa hadithi nzuri na hakika hautaondoka na aibu yoyote nyuma yako....lala salama mzee wetu...😢😢😢
Poleni sana😭😭 wa Tanzania wenzangu hakka ni pigo kwetu mungu ailaze roho ya marehemu
LIKE MIA ZA MAOMBOLEZOO🇹🇿
Mzee kazi uliifanya nzuri sana, na ukasema ukweli kuhusu Magufuli. Ila aliye tuachia anafanya kazi ya kutuumiza wananchi kama anayelipa kisasi kwa watu aliokuwa na chuki nao.
Innalillah wainnailaih rajiun, ulibarikiwa sana mzee wetu yaani miaka 90 + unasoma vizuri tu bila miwani. Allah akupe kauli thabit
What a Man!!... What a Legend!...above Your Presidency, Tanzanians, we will Miss your good sense of Humour!! Bless you Mzee Mwinyi.
Dude was 90 plus but did wear any glasses
Mzee wetu All Hassan mwinyi ukweli ulikuwa tunu ya TAIFA letu rest in peace
Pumzika Kwa amani baba Mungu akurehemu,Na akupe Raha ya mile.
Baba nenda kaz umemaliza tulikupenda cn mengi ulifanya mazyr.makosa ni ya kibinadamu lkn umefanya mengi mazur
Hii ndo maana ya ubaba hasa. Ulijua kutubu, kuomba msamaha ulipokosea, ulijishusha, ulisifia palipohitajika, ucheshi wa hali ya juu na wengine tulitamani busara zako, siwezi kumaliza sifa zako, Pumzika kwa amani baba😭
Pole sana kwa familia ya rais mstaafu mwenyz Mungu awakumbatie na awafariji, atufariji na Tanzania kwa ujumla, mimi naumia sana, byeeeee pumzka kwa aman Baba, rais wetu maitaafu.
Allah amrehem amsameh makosa yake amtilie noor kaburi lake 🤲
Amin
Kazi ya mungu haina makosa mungu alitoa na mungu ametwaa poleni familia ya huyu mzee
I love you mzee u are legend ❤❤
Mzee Mwinyi ametuachia majonzi makubwa watanzania. Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi.
MAREHEMU WOTE MWANGA WA MILELE UWAANGAZIE,WAPUMZIKE KWA AMANI..
Love ❤️ ❤❤ you Grandpa , rest in peace 🪦, R.I.P you were funny to listen, I will never forget you sir. Your heart was pure and was in Right place. Buliani Rais Mwinyi. Pole sana natoa kwa familia yako na wote wampendae kama mimi. Pumzika kwa amani Babu
Lala salama Rais hayati Mwinyi. Kalale vyema Na baba Maghufuli
Innalilahi wainailaih rajiun poleni ndungu zetu wa tanzania na familiya kwa jumla kwa msiba
Ndio maana halisi ya neno uzee ni hazina,napenda hekima ya kizee sana
MZEE MWENYE ROHO NYEUPE NA YENYE UPENDO. ASIYEKUWA MNAFIKI.
Mama Samia katangaza vifo vya Marais wawili wote duuuuuuh
Bado viongozi wengine
Kiswahili kipo nyumbani hapo!!!
Kiswahili chenye ladha kila neno nnraha tupu.
Yapendeza kumsikiza!!
Mungu ampe pumziko jema❤😢😢
Kiukweli kwenye hii hotuba yake hata Mimi siku hiyo nilicheka sana japo ilikuwa ni siku ya majonzi.Dah😭😭😭😭
Babu umetutoka na vichekesho yako, tutakukumbuka 😭😭😭😭
Mwinyi alisema mama umepewa husia mzito kumbuka hii hotuba
Rest easy Rais Ally H.Mwinyi.
Nilitamani sana niione hii clip tena. Siku ile nilicheka haswa 😂😂😂 R. I. P Mr President
Mwenyewe nakumbuka nilicheka mno hii siku😅😅😅
😢😢 mzee wetu alale salama
Lo alikuwa anaweza kusoma bila miwani
Lala Salam Baba yetu
Mwendo umeimaliza salama🎉🎉🎉 pumzika mzee😢
Tutakumiss sana Mzee Ruksa Rip 😭😭😭😭
Rest in peace mh. president mwinyi
Mama Samia kawaondoa tena machinga
Inalilah wainailah rajuun
Buriani baba yetu mpendwa mungu akupokee kwa mikono yote miwili pumzika kwa amani baba😂😂😂😂
Daaaaaah tutamkumbuka sanaaa
Innallillah wainna illah rajiuun
R.i.p
Pigo kubwa kwataifa😢😢😢😢😢😢
😢😢😢
Rip legend 😢😢😢
ama kwl kil nafc itaonj maut nac ha2n bud kfuat baad ya mzee we2
R I P
RIP Babu
Poleni san
Rip
R I P babu
Tarifayahadari
Hakika tutakukumbuka
R.I.P DINGI💪
Nimesemaje vilee😂😂
Pumzika kwa aman babu
Pumzika MZEE WETU
Inatosha eeh
NAONA DEMENTIEA IMEKAMATA MZEE MWINYI.
Dementia haiuwi Mzee, mzee alikuwa na issue nyingine ya kiafya
Inatosha enhe😂😂😂😂😂
Mzee huyu jamani kama alikuwa anatuaga Kwa furaha na vicheko. Tunashukuru MUNGU Kwa Maisha yake. Hadithi ya Maisha yake tunaisikiliza kwa furaha. RIP Baba.
Makiwa
😅
Nimecheka pekeangu km jinga 😂
Mamab
Innalillah wainnailaih rajiun, ulibarikiwa sana mzee wetu yaani miaka 90 + unasoma vizuri tu bila miwani. Allah akupe kauli thabit
Inalilah waina ilah rajiun
Pigo kubwa kwataifa😢😢😢😢😢😢