Umenitoroka niachwe na nani Na hivi unaelewa siwezi kupata wewe Mzuri na afanana na wewe Mwenye wa kipekee niwe naye Ooh tell me niwe nani Maana si rahisi Kuamka nipate haupo Your one million Forever with you even not promised Future is ours together will win Iwe ngumu sisi kwa wenyewe tunashikana Lazima tufike Mwisho wa safari
Ooh daily natapata tatizo kuishi wewe It's crazy how you tell tell me it's over Nikupigie simu ni kama nimekosea Nikutumie ujumbe ni kama hujaona Ni wapi nilikosea niombe msamaha Maana we mzuri zaidi yako sioni nitapata mwingine Ndio maana nauandika huu wimbo Nikitumaini utarejea Na uwe wangu Tena Wowo come back home Nana come back home Msiri wangu Rudi nyumbani
❤❤Kali sana
Wow wow wow the start wow🥹🥹🥹
i need this beat
Umenitoroka niachwe na nani
Na hivi unaelewa siwezi kupata wewe
Mzuri na afanana na wewe
Mwenye wa kipekee niwe naye
Ooh tell me niwe nani
Maana si rahisi
Kuamka nipate haupo
Your one million
Forever with you even not promised
Future is ours together will win
Iwe ngumu sisi kwa wenyewe tunashikana
Lazima tufike
Mwisho wa safari
Ooh daily natapata tatizo kuishi wewe
It's crazy how you tell tell me it's over
Nikupigie simu ni kama nimekosea
Nikutumie ujumbe ni kama hujaona
Ni wapi nilikosea niombe msamaha
Maana we mzuri zaidi yako sioni nitapata mwingine
Ndio maana nauandika huu wimbo
Nikitumaini utarejea
Na uwe wangu Tena
Wowo come back home
Nana come back home
Msiri wangu
Rudi nyumbani