NATO YAPOTEZA MATUMAINI HALI NI NGUMU UKRAINE|VITA ITAWASHINDA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 10 вер 2024

КОМЕНТАРІ • 13

  • @jumajux730
    @jumajux730 Рік тому +3

    Tupo pamoja mkono kwa mkono hadi mwisho Russia for e

  • @ishipalemypasco2567
    @ishipalemypasco2567 Рік тому +5

    Ndugu kulikon mbona sasa hivi habali za machale machale sana au na ww unatishwa na hao jamaa

  • @manmanonline6394
    @manmanonline6394 Рік тому +2

    Nice 👍

  • @Askari22
    @Askari22 Рік тому +3

    Mbona unachelea kutupa habari ndugu?

  • @Askari22
    @Askari22 Рік тому +2

    Pale Ukraine haiwezi kabisa mana ile angaa yote iko mikononi mwa urusi

    • @davidlyamboko7477
      @davidlyamboko7477 Рік тому

      Ukitaka kumpiga Tyson jitahidi upelekane nae mpk raundi ya 7 huko ya 8 unamdunda kama ngoma ya kigogo🤣🤣🤣🤣

  • @jimmyselejimmysele2821
    @jimmyselejimmysele2821 Рік тому +1

    😂yes

  • @IsmailBagayabakwe-bb1pl
    @IsmailBagayabakwe-bb1pl Рік тому

    Kwanini urusi anapenda mazngumzo simuna sema ananguvu kuliko wote duniani ajipe mwenyewe Ukraine yote kama vile alijipa Muji wa climeya

  • @omarhababuu3159
    @omarhababuu3159 Рік тому +1

    Wakwanza kukoment

  • @omarothman6608
    @omarothman6608 Рік тому

    Washenzy wakubwa wakawadanganye wakezao nawatotowao wanapigwa wanakufa alafuwanasema hakunamafanikio

  • @ahmedsaidbachuba2398
    @ahmedsaidbachuba2398 Рік тому

    Ni uongo nato ni Nani utaje mtu aliye sema

  • @ahmedsaidbachuba2398
    @ahmedsaidbachuba2398 Рік тому

    Ni uongo nato ni Nani utaje mtu aliye sema