MashaAllah hakika ujumbe mzito sana tunamtihani wa nafsi zetu subhanaAllah ya Allah zitawale nafsi zetu. Nafsi nafsi nafsi yangu nafsi ya umma wa kiislam tumcheni Allah,Atujaalie hatma njema nafsi nafsi nafsi n mzizi wa fitna ya mambo mema ewee iblisi laanatullahi allaihi kaambali na nafsi zetu kwa uwezo wa Allah.
MashaAllah hakika ujumbe mzito sana tunamtihani wa nafsi zetu subhanaAllah ya Allah zitawale nafsi zetu. Nafsi nafsi nafsi yangu nafsi ya umma wa kiislam tumcheni Allah,Atujaalie hatma njema nafsi nafsi nafsi n mzizi wa fitna ya mambo mema ewee iblisi laanatullahi allaihi kaambali na nafsi zetu kwa uwezo wa Allah.
Sijaona kama ww Bajuni, ww unajua mashallah una kipaji kikubwa sana
Sina ata la kusema,kaka
Mashallah Allah akuzidishie kutulelemisha
Maashaalla: Allah atuongoze katika haq na akulipe pepo kwa ujumbe na nasaha zako mzuri. aamin.
MashaAllah, tusikilize hii video kila siku inshaAllah
Maxha Allah....hakika nafc yang pia ime ckia!!
Maa shaa Allah
Albajoun
Masha Allah ujumbe umetulia
Mungu akujaz kher
Maneno uliyonena Nafisi imeshasikia
wallah sina cha kusema Naishia kulia
nafsi koma nakwambia ucje kuteketea
motoni kuingia adhabu hutazivumilia
Ila nafs huwa zinasikia kwa mda mfupi baada ya hapo zinarud kule kule
Ujumbe mzuri sana!
Shukran Ktv tz online hakika hii ni fahari yetu
Masha Allah walahi ninge kua karibu nawe ningependa kukusikiliza ww sn
Mashaallaah Allaah subhanahu wataala aku hifadhi uzidi kuendeleza dawwah, njia yako ya kufikisha ni nzuri kwani vijana wengi wame zama huko.
Manshaall home AL BAJUNI
MUNGU AKUFUNGULIE
Mashallah kbs kaka
Allahu akbar
Mashallah❤
Mashallah ujumbe mzuri ukiufanyiya kazi
Dah ww jamaa upo SW san Allah akujaalie kila la kheri
Nafsi eeh nafsi😭😭😭😭
Lete ya mke
Na ya mama
ya mama ipo mbona
Allah barik ya Akhiiy
MashaAllah tabaraqaallah
Nafsi imepata huu ujumbe
Mashallah
Hakika hii ni fakhari yetu
2022 alla atujalie mwisho mwema
Maasha Allah, this the very nice.
Legend
#Mashaallah 🙏🏿
Imetulia san hiii
🙏
Duh
Issa hakujenga kanisa na hakuiona hai not
Naxheed au hipap?
Ujumbe umeufahamu au
Je huyu Albajoun ni Mzanzibari??!
Ndio
Astaghafilullah
Mashaallah
Mashaallah