Uwongo huo ikulu imejengwa na waisilamu wa kutoka Zanzibar acheni uwongo, mkoloni wa mwanzo mjerumani alipoingia Kalikuta jengo hilo ,na likitumika kama chuo cha ilmu ya kiisilamu mjerumani ameikuta jengo hilo ,na aliposhindwa vita akaingia muengereza ameikuta ,semeni ukweli acheni kudanganya watu .sisi tunajuwa yote , soma history ya ya Zanzibar ndio utaujuwa ukweli sio Tanganyika
Acha udini wewe, ikulu hii ya Dodoma imefata ramani ya ikulu ya Tanzania ya hapa Dar es Salaam, na hii kajenga magufuli, kwa hiyo naenda kamuulize kwanini amejenga hivyo!!
Ndio tuhamie dodoma sasa mbona kimya au kwa vile mwenyewe hayupo😊
Asante JENAFA TV
Ninapenda sana kazi zako. Ninajifunza mengi kutoka kwenu.
Asanteni
Herie16m
Nipee contact yako nina shida Mr.mbeyela 0753982555 whatsapp
@@JenafaTV ok
Mazingira hali ya hewa pia ni tofauti
Hata hiyo ikulu ya chamwino mmetumia Ati za Zanzibar na mlango wa Zanzibar door 🚪
Na ushahidi utizame mlango wa Zanzibar door na unaaya za Quran ikulu ya magogo ni
Kuwa mkweli ikulu ya dodoma imejengwa na rais samia
imejengwa na JPM acha kupotosha umetumwa
Uwongo huo ikulu imejengwa na waisilamu wa kutoka Zanzibar acheni uwongo, mkoloni wa mwanzo mjerumani alipoingia Kalikuta jengo hilo ,na likitumika kama chuo cha ilmu ya kiisilamu mjerumani ameikuta jengo hilo ,na aliposhindwa vita akaingia muengereza ameikuta ,semeni ukweli acheni kudanganya watu .sisi tunajuwa yote , soma history ya ya Zanzibar ndio utaujuwa ukweli sio Tanganyika
Nikweli dodoma kuna baridi badae kuna ukame
Ikulu imekaa kama madarasa ya shule wangedizaini ata kidogo
RIP JPM
Kuna uongo ndani yake 😢magogoni haijajengwa na British east Africa 😂
Mbona ka msikiti
Acha udini wewe, ikulu hii ya Dodoma imefata ramani ya ikulu ya Tanzania ya hapa Dar es Salaam, na hii kajenga magufuli, kwa hiyo naenda kamuulize kwanini amejenga hivyo!!
Ujinga tu mbona nyumba yangu nzuri kuliko iyo takataka