Wasafi media is an exquisite media company not only in East Africa but all across Africa, and everything you do is on point, only that the vision is sometimes either blurry or dazzling even on our HD screens. Many of us out here want to enjoy interviews, shows and everything else on pro-HD looks. You may see how best you can technically make our live streaming and normal views magnificent.
Kama angekua anakuja Mondi Au Harmonise ungeona misifa hapo airport🤣🤣 Big Up Star Boy King Of Africa nahis ata kwenye ndege uliokaa nao hawajashtukia kuwa ni ww☺️☺️
Kwa taarifa yako hao mabaunsa hata wizkid anao ila tu huwa wanasafiri nao kulingana na mazingira,hajaja nao coz ameliunga akitokea ktk show hivyo ni kama jambo la faster kama alivosema yeye mwenyewe kuwa imemlazimu lazima aje kwa kuwa Diamond ni big friend wake hakutaka kumwangusha,umeelewa.
Jamani kila msani anaishi maisha yake. Sio lazma wafanane kua nawalinz aukutokua nao nimaamuz yamsani mwenyewe..lakn pia wanatoa ajira watu wanakula nakuish vzuli..acheni shobo
Wizkid is a popular artist in Africa but he is very simple a star boy
Wizkid the love for diamond and Tanzania you got is real,
Wasafi media is an exquisite media company not only in East Africa but all across Africa, and everything you do is on point, only that the vision is sometimes either blurry or dazzling even on our HD screens. Many of us out here want to enjoy interviews, shows and everything else on pro-HD looks. You may see how best you can technically make our live streaming and normal views magnificent.
Respect for brother Wizkid to come tanzania
Thanks wasafi group@🙏👏🎶🎶🔊misic maa hom big up simba
mtangazaji upo vizuri sana, hongera dada
Mdogo ila anajitambua san hana maringo machen cheni hana kama wale ndugu zangu anajibu vizur san utazani siyo msanii mkubwa Africa love you wizkid 😍
who love star boy ? I need your like
IMGIA KWENYE CHANNEL YANGU YOU TUBE UKAPATE NGOMA
Me I like
Kazuri kama monde baba lao😍😍😍
I am from kenya i love yur simplesity
Wanaomkubali huyu jamaa like zenu hapa
Wiz kid, davido, Diamond platinum
what about tekno...
Wasafi media IMO top
liked the way the presentor rolled her hair hehheehhhehe respect right there
Like apa km na ww upo live unamsubiri wizkid
the host has so much energy...
Kama angekua anakuja Mondi Au Harmonise ungeona misifa hapo airport🤣🤣 Big Up Star Boy King Of Africa nahis ata kwenye ndege uliokaa nao hawajashtukia kuwa ni ww☺️☺️
❤❤❤❤ mahisha imeendeleya
Nimekupenda bure mtangazaji safi sana
Woooo 😍😍
dah, amazing superstar🤗🤗🤗
Wakwanza like zenu jmn
Wizkid show me some love
Me namkubali WizKid na Tiwa Savage tuu sio uchafu wa Wasafi festival
WizKid Song On top your Matter
Tiwa Savage ft Don Jazzy song Eminado
Kwakuwachukia wasafi no kujichosha kabisaaaaaa
@@bashirsalumu7725 hawez kupenda na kila MTU dunian sasa ww umpende mm n chuki kwenda mbele
Kamalissa Big Roho mbaya tu tunajua tatizo LA watanzania chuki ni mimba na uzaa mauti
Haters! Mtaweza kweli... Aaah wap... Hata mkiungana.. aah wap, matusi kututukana... aaah wap song lnakuusu mzee baba xjui. Mama i dont know
Edina lucas hahaha wambieeeeee
Alia yupo vzur kingeee 😍😍
Alieskia sauti kama ya S2kizzy Starboy akiongea gonga like Apa😄😄😄💥🔥
Uyu Jamaa Anajua Afu Hana Shobo Swaga Kama Zote 🙌🙌🙌🙌
Starboy love you baby boy
Love yuuuu wizkid
Love you Ariyaa
He's so funny by de way i lv u wizkid
Where are the fans to welcome Wizkid
Kama umeona mkoba wa njano wa Wizkid basi like nyingi kwangu
Balaaaaa zitoooo 🔥🔥 🔥🔥 🔥🔥 🔥🔥 🔥 Wizkid
he's so cool men
Eliza Damas nayule ali kimba 😂😂
The English comment you're looking for😅🤦🏾♂️
Wasanii wabongo someni kutoka kwa wizkid hana bodyguard
James Situmah Acha roho mbaya,acha wezako wapate kazi nawao,kwani wewe unapata shida gani
Kwan kuwa bodyguard ndo kazi pekee nchini
Sasa wewe kinachokuuma kuwa na bodgurd ni nn? Sio lazima waige maisha ya wizkid, et kwasababu wizkid hana bodgud nao wawe hivyo acha ushamba
Imagine niliona harmonize akiingia 10over 10 na bodyguard's ata nikaboeka sa angeporwa nini surely
Kwa taarifa yako hao mabaunsa hata wizkid anao ila tu huwa wanasafiri nao kulingana na mazingira,hajaja nao coz ameliunga akitokea ktk show hivyo ni kama jambo la faster kama alivosema yeye mwenyewe kuwa imemlazimu lazima aje kwa kuwa Diamond ni big friend wake hakutaka kumwangusha,umeelewa.
Jamani kila msani anaishi maisha yake. Sio lazma wafanane kua nawalinz aukutokua nao nimaamuz yamsani mwenyewe..lakn pia wanatoa ajira watu wanakula nakuish vzuli..acheni shobo
Wasoma comment tujuane
na mim nipo bhn
Huyu Aaliyaaah huwa nampendaaa sana ananikunywaaa
Gud gud
Wizkid welcome to Tanzania
I wish fr my brother diamond wawooooo mond noma mpa Wizkid anamuelewa yeye nan nooooma xn
Meeennn G Wagon 🔥🔥🔥🔥🔥
yeyeyeh starboy for dem
daaah wizzzkid nakukubal
mpaka sijiamin why
kiukwel peace love kinoma noma
Niger no;1 wizkid
Star boy; I may find my next wyf here. Me; am here😁
Good. Star bway
I like so much
can I have the contacts of first girl that interview wizkid please she is natural beauty African women's so beautiful,,
0745973302
@@barakannko8682 this is your WhatsApp number also what is the country code number
@@arexsumbergempoletankerami1404 +255
@@arexsumbergempoletankerami1404 bro beware of scammers please don't chat or call that number
@@nnabuchimmaduka5457yes I know thxs
Star wiz
Hatariii
Ingekuwa Kenya angekuwa received Kama KING
Star boy wizz
Huyu salam ni mkorofi sana
Star boy oyeeee.!!
Nice
Star boy
Jamaa aliingia kwenye list ya wasanii wanaolipwa mkwanja mrefu kwa show moja duniani lkn hana bodgad
Msanii mkubwa lakini Hana bodgadi angekua msanii wabongo utashangaa bodgadi 9
Nani kakwambia hana bodguard
Afu kuwa na bodgurd ni chaguo pia sio lazima. Unaweza kuwa nao au kutokuwa nao. Ila pia ni sehemu ya fursa ya ajira
wengine hapo wanajipatia ajira
🤣🤣🤣
Hhhhhhh b gap umetisha 9
Good interview ever
Notice how he is BIG then Diamonds but no 6-10 bodyguards??
Hope we learn something
No Bodyguard's 💯💝
Nani kakuambia, sema huwajui bodgurd zake. Kaja nao acha kupotosha
Jifunzen toka kwa wiz kid
Mbona hana mabodyguard 😳😳😳
au me sioni vzr
Baraka Sebastian ushamba wa tz uwo baba
Ka wizkid kana mwili mdogo km mondi tu sema mabalaa yaoo cio poa
Kwakweli
Unasemaje wizkid dada zetu mungalien
Nlicho kigundua Wizkid hana noma wangekuw wasanii wetu hapo hata kukushika tu angeona tabu
Always star boy madness
Hatareee sana
Bodguards wakowapi ..
note life is very simple don't complicate.
now is time for wiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiizikd at stage
StarBoy
Huo mkoba ndio bodyguard! Umebeba grenade ulio na uwezo wa kulipua automatic wahalifu walio mita tatu karibu na wizkid... ogopa wizkid!
Hahaaa jamaaa usinifurahshee
Hahahahahaha we jamaaa nona umeshachungulia kilicho bebwa ndan ya poch duuu
Ni mtazamo wako pia ueshimiwe
Kaja na bodguard wake nimemuona hapo roy hata kwny stage akiparform nimemuona pia
I will find a wife here ,anyway tiwa also here 😂😂😂😂
lol...
Si walishaachana na tiwa
Watangazi wa ovyo wameogopa kusogea kabisa angekuwa kiba hapo ungeona mimaiki kama yote
Sasa kba c anajua kiswali,ahojiwe kizungu uone anavyojamba
😆😆😆😆😆😆😆😆😆
I missed out kabisa this wasafi festival.
Live Star Boy
First
hahahhahahahahh it fire wizkid
No 1
kangali katoto wsk
Nampenda jamani
Unazingua wakija wazungumze kiswahilii achan ushamb kuharib lugh yet mbn tukenda kwao tunazungumz lugh ya kwao
Naona media zingne zimekula kona WCB 4 life
Jmn😂😂😂
Bado hapo😂👊
Jamaa no ulinzi lakin wamakonde utakuta msafara kama wa raisi
Hahaha
Wale waliosema haji aibu yao sasa
Collable ipo na Chibuuuu balaaa zitooo
❤️❤️❤️❤️
Joro
Hata mapordgad hana angekuwa yule wale wezetu duhuuu kama mtuliliko
Hatari na nusu
Sana mwamba wzk
Huyu mtu si wa sayari hii kabisa😄😄
Wa hapa kwetu maringo mengi wamekalia bifu tu.
I need Wasafi contacts, I have a connection I need completed
Salaamu shoga
Kampiga mshikaji tagi adi wzkid kacheka 🤣
Ewe M/Mungu utunusuru na mavaz hayo ya wanawake yan anatangaz yupo (uchi) hips zaonekan ni mtihan kwa kweli..haja jistiri...
Jamaaa kaja kikawaida sanaaa had rahaa yan kama cyo msanii mkubwa
Hapa ndio naelewa uzuri nyimbo ya kibegi