Rostam - Kaolewa (Official Video) ft Riyama Ally, Atan, Magic

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 12 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 3,1 тис.

  • @Joelsm-j8r
    @Joelsm-j8r 8 місяців тому +15

    Kama upo 2024 tujuane bc 🙏🏿

  • @kapolesyaba3133
    @kapolesyaba3133 6 років тому +67

    Rostam are very creative....
    Dondosha like nying hapa kwaajili yao, twende sawa

  • @mukakathejoker6504
    @mukakathejoker6504 4 роки тому +3

    Wee una wivu au umetumwa.......alivunja ndoa ya baba.
    Bwana tufinye Cha mtume haya mengine hayatuhusu.
    #those are my words nikifika kwa wedding

  • @lashymreal6555
    @lashymreal6555 6 років тому +32

    Ndoa yenu Rostam idumu milele msitengane mna balaa hatari we love you frm +254

  • @PIGANGOMA
    @PIGANGOMA 6 років тому +24

    Mmesababisha nimekoswa kugongwa na gari! Muwe mnatuambia kama video hii tazama ukiwa home au kitaa! Thanks ngoma imetulia na itasumbua sana mtaani.

  • @AlexisNimubona-x7l
    @AlexisNimubona-x7l 8 місяців тому +1

    Ukweli nakubali''' funzo iloo '''burundi Bujumbura tunakubali Roma sana 🎉🎉🎉🎉

  • @stevensimbeya2548
    @stevensimbeya2548 6 років тому +6

    Rostam mungu awape maisha malefu ili tuzidi kupata burudani kama hizi ngoma iko poa sana asanten kwa kazi nzuri weka lke zako hapo rostam

  • @dissartv4806
    @dissartv4806 6 років тому +86

    Oyaa kama Kuna mwana kairudia mara kazaa,, like mwana twende sawa

  • @omaryhusseinlibenanga6134
    @omaryhusseinlibenanga6134 6 років тому +302

    Muna gan yule baba wawili km umesikia icho kipande like kwa kas

  • @mbussotv5056
    @mbussotv5056 6 років тому +239

    Walio rudia kuangalia zaidi ya Mara 100, kama Mimi gonga like twende sawa #kaolewa

    • @goodlucknaseer6660
      @goodlucknaseer6660 6 років тому

      mbusso Tv ggrt

    • @mbussotv5056
      @mbussotv5056 6 років тому

      Goodluck Naseer
      Big up sir goodluck

    • @brownjustin2924
      @brownjustin2924 6 років тому

      Je wajua unaweza ingiza Tsh 150000.kila mwisho wa mwezi bila kuathiri shughuli zako za kila siku
      🙄🙄🙄🙄.
      Maisha yamebadilika tena sana huitaji kutumia nguvu ni akili tu.🎉🎉🎉
      Phoneforex ni wafanyabishara wa ubadilishaji wa fedha za kigeni kupitia soko la mtandao .wanakupa fursa ya kuwekeza kwa kianzio kidogo cha Tsh 300000.
      Na mwisho wa mwezi utapata 50% ya kiasi ulichowekeza
      mfano:Tsh 300000 utapata Tsh 150000 kila mwezi kwa mwaka mzima.
      Unaanzaje kukosa
      wasiliana nasi kwa maelekezo zaidi
      simu no.
      +255673785944

    • @leahkisendi1965
      @leahkisendi1965 6 років тому

      Mimi nimeangalia mara2000

    • @Salima-ws1ze
      @Salima-ws1ze 6 років тому

      noma sana

  • @husseinyogopen8751
    @husseinyogopen8751 6 років тому +10

    Tangia ROSTAM ianze kila ngoma watakayo iachia lazma ishike NO#1 on trending..

  • @mariamchikoko5498
    @mariamchikoko5498 6 років тому +12

    nashindwa hata cha kuandika mm nawakubali sana rostam like twende sawa

  • @amosmsigwa9862
    @amosmsigwa9862 6 років тому +47

    Kama naiona itakavosumbua kwenye harusi za uswaz🏃

  • @christophajaphet2291
    @christophajaphet2291 6 років тому +87

    Muna gani yule baba wawili. ......
    Like hapa

  • @chaudryramos7397
    @chaudryramos7397 6 років тому +42

    Nawakilisha +254,
    Namba one fan Wa ROSTAM...

  • @dennicjude
    @dennicjude 6 років тому +6

    From USA 🇺🇸 Aiseee bonge la ngoma ndo nimeamka nalo hivi
    Weka like yako hapa kama umewaelewa ROSTAM

  • @geofreykupenda2147
    @geofreykupenda2147 6 років тому +22

    Hii mara ya 12 naiangalia video ya kaolewa yani sihamini km mwajuma yuleeee 👉💃mcharuko kaolewa 👫💚 daaaah! 🙆 ngoja nifinye tu mchele

    • @amiriramadhan7753
      @amiriramadhan7753 6 років тому +1

      😀😂😂😀😀😂😀mwajuma nchokonoe

    • @geofreykupenda2147
      @geofreykupenda2147 6 років тому

      @@amiriramadhan7753 😀😀😀

    • @amiriramadhan7753
      @amiriramadhan7753 6 років тому +1

      @@geofreykupenda2147 noma na nusu hili song Mzee baba 😀😀😂😂😀😂😀

  • @runiemzungu9495
    @runiemzungu9495 6 років тому +4

    Fatuma enyewe kaolewa? acha nikalewe mie.....nimalize kreti....dope dope piece of artisan there....kudos to this guys.

  • @DIweni
    @DIweni 6 років тому +67

    Kama kuna kicheche kitaan kwako,weka like tumwombee aolewe kama mwajuma.

  • @mathiaswambua7643
    @mathiaswambua7643 6 років тому +11

    Ila Ndoa Bwana kama utani bwana Una minya Minya Nyanya Halafu Unanunua Bilinganya.#Mwajuma Kaolewaaaa Aiseeee🔥🔥🔥🔥🔥🔥Hamfai Kabisa ROstamu

  • @swahiliuniverse9328
    @swahiliuniverse9328 6 років тому +253

    hatari sana kama unawakubali hawa jamaa gonga like. kwa filamu za bongo nifuate ziko filamu kibao

  • @felixjessejuniour5224
    @felixjessejuniour5224 6 років тому +23

    congrats wazee mnajua kwenda na trend za midondoko inayokamata vibe za raia....hii ni hit song!

  • @macmax7767
    @macmax7767 6 років тому +60

    Daaaaah Mamae kutukana si tabia kwangu lakini Wasenge nyie MNAJUA SANA... By Far hawa ndio wasanii bora sana kwasasa Tanzania. Wanachagua CONTENT na kuichambua kiufundia kwa lugha ya Muziki. Parapanda still ni FIRE Mara Paap kuna HII. Asanteni. Gonga Like hapa kwa ROSTAM na NICKLAS

    • @PIGANGOMA
      @PIGANGOMA 6 років тому

      Safi sana madogo wametisha mbayaaaaa!

    • @MwalughaBura
      @MwalughaBura 6 років тому +1

      Sio Bora Tanzania pekee natoka Kenya na nawakubali Rostam

    • @amiriramadhan7753
      @amiriramadhan7753 6 років тому

      @@MwalughaBura hawa majamaa ni homa ya jiji

    • @tadeygerphas8885
      @tadeygerphas8885 6 років тому

      noma sana

  • @earthm0ney
    @earthm0ney 6 років тому +4

    'bhana tufinye cha mtume hayo mengine hayatuhusu' patam hapo 👌

  • @wasajo
    @wasajo 6 років тому +15

    Nyie jamaa kwa marapper wote bongo nyinyi ndo the best rapper mnaokwenda na wakati , congrats to you

  • @habbievara9934
    @habbievara9934 6 років тому +174

    Kama unakubalian na mim kuwa hiii ngom unaweza kuombea mkopo benki pia ina tibu tez dume gong like tujuane

  • @whitneyrobbin2763
    @whitneyrobbin2763 6 років тому +4

    Jamn huu wimbo sichoki kuuangalia kweli mzurii big up ROSTAM

  • @issamohamed9199
    @issamohamed9199 6 років тому +61

    Kama unaamini na wewe watu watakuja kujiuliza kama hivi siku ya ndoa yako Gonga like hapa 🤗🤗

  • @barytz5977
    @barytz5977 6 років тому +70

    Kama umerudi kuangali hii ngoma acha #like

  • @jeimypierce9408
    @jeimypierce9408 6 років тому +3

    narudia hii ngoma kila siku, kali sana ROSTAM represinting kenyans weka like yako hapa...

  • @irmgardsamia1827
    @irmgardsamia1827 6 років тому +39

    Kimewaka Tena ROSTAM💥💥💥..GONGA LIKES

  • @kifarusongeaolg9726
    @kifarusongeaolg9726 6 років тому +22

    🙌🙌🙌🙌🙌mmetisha rostam sasa ukisha like hapa arafu comment kwasauti kubwa kwamba #ANAMEREMETA 🔥🔥🔥🔥🏃🏃🏃

  • @justinkb6693
    @justinkb6693 3 роки тому +11

    +61 from Australia 🇦🇺 ziko wapi like zangu jamani

  • @edreezybaybz7885
    @edreezybaybz7885 6 років тому +10

    ROSTAM 🔥🔥🔥pia mimi 🇰🇪 nawapa miaka mia nane mtadumu watashangaa

  • @markosamuel6490
    @markosamuel6490 6 років тому +24

    idea za hawa rostam unakuwa hujazitarajia kabisaaaa

  • @maggiechege2523
    @maggiechege2523 Рік тому +15

    Am from Kenya bt I am in love with this music

  • @mcdadedady7777
    @mcdadedady7777 6 років тому +290

    kilasiku napata like moja tu,,Leo nioneeni huluma nipate like nyingi nyingi

  • @majirani7157
    @majirani7157 6 років тому +21

    Uchumi huku kwetu kenya umetulemea lakini kwa mapenzi ya duo kubwa east Africa rostam lazima tuwakilishe...nipo kisumu kenya

    • @amiriramadhan7753
      @amiriramadhan7753 6 років тому +3

      Pamoja man mimi niko Mombasa TZ home land

    • @shuubebz5585
      @shuubebz5585 6 років тому +1

      Nipo Mombasa upo nyonyo,nipo titi hahaha

  • @2116-n
    @2116-n 6 років тому +12

    Nan mwingne kapenda ile sehemu Roma anasukumwa mlangoni, hapo wameicheza reality sana, 0:59

  • @barakalonare1164
    @barakalonare1164 6 років тому +18

    Xijawah kujuta kuwa shabiki wa rostam gonga like Kama una wakubali

  • @petermaina8063
    @petermaina8063 6 років тому +16

    There's no doubt that ROSTAM makes some of the best music today and not to mention this music video is awesome

  • @maryammohd5878
    @maryammohd5878 2 місяці тому +1

    Kama unakubali hii ngoma gonga like apa

  • @reaganmuka7513
    @reaganmuka7513 6 років тому +9

    Kama kawaida yenu,ngoma kali mwanangu hongereni sana

  • @meronstudioz
    @meronstudioz 6 років тому +23

    Watufungie tena na Huku🔥🔥🔥
    Ba-sa-ta Mwajuma ndo kashaolewa ex wenu huyoo😂😂😂🙊🙊🙊

  • @selestinomasasa8043
    @selestinomasasa8043 3 роки тому +7

    From 🇲🇼Malawi,,,I personally like the song though I don't even understand the language,,,,keep it up legend

  • @princeuzieri4548
    @princeuzieri4548 6 років тому +9

    Ngoma Qaaali saana kama unamkubali hiyo roma star gonga like

  • @ramilegendestedi2211
    @ramilegendestedi2211 6 років тому +40

    Bana tufinye cha mtume Hayo mengine hayatuhusu

    • @sakinapili8299
      @sakinapili8299 6 років тому +1

      Ymt Forever hahahahaha haki nimecheka kwa sauti

  • @justinmandela2845
    @justinmandela2845 6 років тому +21

    Kila mtu anataka like kama nyie ndio Rostam,🤗🤗

  • @misalabacharles2728
    @misalabacharles2728 6 років тому +251

    Wapo wangapi wanaoangalia huku wanasoma comments kama mimi Gonga like tujuane #Kaolewa

  • @zennamiami5318
    @zennamiami5318 6 років тому +5

    Nisaidien inaitwa ANAMEREMETA@au chura chura nesanesa,. ..Kali sana all the way +254

  • @wilsonmcs3369
    @wilsonmcs3369 6 років тому +1

    Tarumbeta zimepigwa vizuri saana
    Hongera kwa rihama Rostam NA Hugo jamaa Wa Anamelemetaaa

  • @jacksonkilagalila6045
    @jacksonkilagalila6045 6 років тому +59

    Kama unamkubal rostam gonga like hapo kaolewa na nimekikubal hk kipande'''upo nyonyo npo titi,,,

  • @privinusdecroshan135
    @privinusdecroshan135 6 років тому +8

    Team rostam dondosha like from USA lov Tanzania

  • @queenseptember4640
    @queenseptember4640 6 років тому

    Nimeusikiliza huu wimbo naona kabisa kaimbiwa Wema Sepetu,
    ROSTAM mmetisha sio kwa Fasihi hii.

  • @mgayamgaya
    @mgayamgaya 6 років тому +22

    Kama umepapenda pa "Si bora angemuoa Muna" Fanya kugonga like afu tukutane baSata

    • @shabansalum162
      @shabansalum162 6 років тому

      Muna gani yule wa baba wawili

    • @mgayamgaya
      @mgayamgaya 6 років тому

      Jamaa wamechora

    • @yoram_5838
      @yoram_5838 6 років тому

      BABUKA 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣we chizi

  • @abibumlotwa2722
    @abibumlotwa2722 6 років тому +144

    Mnaosoma comment uku mnaangalia nyimbo acheni like zenu apa tupo pamja,

  • @bajunbajun4278
    @bajunbajun4278 5 років тому +2

    Team Rostam kwa xana shabiki wa ukweli from mombasa fire

  • @enobyeederaider5662
    @enobyeederaider5662 6 років тому +5

    Nyie jamaa mnajua adiih mnaboa #rostam @kaolewa 👍

  • @saimonkikwelele266
    @saimonkikwelele266 6 років тому +18

    Tufinye cha mtume haya mengine hayatuhusu...Big up Rostam

  • @majidmajid8009
    @majidmajid8009 6 років тому +1

    guysssssss, ROSTAM mmekill it wakuu, TURN UP, all the from MALAYSIA

  • @sizyasb9002
    @sizyasb9002 6 років тому +99

    Sigara nyota unawasha nyuma au mbele kama umesikia huu mstari like twende sawa

    • @allymohd2123
      @allymohd2123 6 років тому +1

      Si mlimchamba bibi kharuc sasa mbn mnacheza kwaito

    • @marcelojunr6849
      @marcelojunr6849 6 років тому

      sizya sb 😂😂😂

    • @hopemasawe5049
      @hopemasawe5049 6 років тому

      sizya sb nowmaaaa

    • @Roy-ns2ly
      @Roy-ns2ly 6 років тому +1

      sizya wepesi wa akili nakubali....Hahahaha

    • @hopemasawe5049
      @hopemasawe5049 6 років тому +1

      Roy Saidi sanaaa jmn

  • @kbjuomaly8466
    @kbjuomaly8466 6 років тому +59

    Simuamini mwajuma hata km leoo kaolewa😍😍 nampa wiki tu talaka lazima atapewa...... 😈
    Like km umepnd hyoo

  • @octanelyrics284
    @octanelyrics284 6 років тому +3

    Staminah ana wivu sana katika wimbo huu... lakini wimbo mtamu kama kawaida... super duo....R♡ST☆M

  • @fadhilimagambo9110
    @fadhilimagambo9110 6 років тому +11

    Hiiiii pini qaliiiiiiii kinyama, anamelemeta, walio sema haolewi ndo wanamaliza clate za bia, gonga like tuwe sana kwa Rostam

  • @mango.jayzo.
    @mango.jayzo. 6 років тому +197

    tunaoangaliaa huku tunasoma comment like apaa

  • @selinapaul2529
    @selinapaul2529 6 років тому +1

    Wimbo umekuwa mzuri zaidi kwangu kwa kuwepo na sauti ya da Riiii

  • @imbatokamoyoni2209
    @imbatokamoyoni2209 6 років тому +39

    Ndio maana sipendi kuhama uswazi,Kwa wale wenye kutaka kujua kuhusu kuimba bila woga nawakaribisha,NIITE MASTER KIKI,,andika Imba toka moyoni.. popote UTANIONA,ROOOSTAM BABY

  • @Baba-mawazo12
    @Baba-mawazo12 6 років тому +4

    Rostam tuko juuuuuuu sana big up my team

  • @Madamlizzytz
    @Madamlizzytz 6 років тому +16

    Kama umeipenda saut ya Riyama Ally gonga like
    hp

  • @evasiussuperhandsomeevasiu6153
    @evasiussuperhandsomeevasiu6153 6 років тому +6

    Nawakubali sana uwaga amubaatishagi kwa swara la music bonge la song na mashairi ya maana

  • @mzeebaba1386
    @mzeebaba1386 6 років тому +22

    🔥hapo nimewakubali
    Amjawai kosea
    #Kama umeikubali
    Gonga #like twende sawa

  • @annabulele4896
    @annabulele4896 6 років тому +1

    asee hv kucomment UA-cam hadi unaomba like ? LOL ,,kama MTU anakubaliana na mawazo uloandika atakusupport tu CIO had uombe ugongewe like...This is too much wabongo wenzangu # justpeaceofinfomation....nice song

  • @morefravuorgroup3122
    @morefravuorgroup3122 6 років тому +7

    Mwajuma nchokonole
    Ukickia ubunifu ndo huuu

  • @ednakagame9612
    @ednakagame9612 6 років тому +6

    Anaemkumbuka Pingu... Stamina ame flow kama pingu... gonga like km unakubali... nyimbo ya mwaka

  • @magrethmkumbo2069
    @magrethmkumbo2069 6 років тому +5

    Yaan huu wimbo naupenda mpaka sio poa viva roma, viva rastom mpaka 2030

  • @gidosalapion8222
    @gidosalapion8222 6 років тому +18

    First comment hii Hapa, gonga like pls

  • @wilsonwizzo2483
    @wilsonwizzo2483 6 років тому +41

    😁😁😁😁😁
    upo nyonyo
    Nipo titi
    Rostam nyie kuma mnatisha mamakhe

  • @mariamukajiru1898
    @mariamukajiru1898 6 років тому

    Aaahaa yaani nikihitaji kuvunja mbavu naangalia tu hii video, nimeipenda sana mana Mwajuma kapinda balaa.

  • @mtumishihewa805
    @mtumishihewa805 6 років тому +98

    kama umeangalia hii video zaidi ya mara mbili gonga #like....

  • @epifaniamponda5676
    @epifaniamponda5676 6 років тому +16

    kiukweli nimewapenda bureeee wachanisikilize mashairi tu maswala yakusoma comments hayanihusu 😂😂😂😂😂😂👌👌😂😂😂🔥🔥🔥🔥

  • @livegoalofficial
    @livegoalofficial 6 років тому

    I don't comment in you tube..... I think like your song your thinking is in another level.... either 3rd or 4th world.. "Leo wametuliza.... Congratulation @ROMA & STAMINA..

  • @husseingwanone7825
    @husseingwanone7825 6 років тому +5

    Rostam Ni Vijana wenye vipajii Vikubwa sanAaaa

  • @kidundaiimamu3855
    @kidundaiimamu3855 6 років тому +5

    kama umewakubari rostam gonga like maisha yaendelee sio kule kwa wenzetu wavaa vikuu na heleni anameremetaa

  • @brunokileo0770
    @brunokileo0770 6 років тому

    Tangu alipoondoka mshikaji mangwea. Kabakia Roma pamoja SANA

  • @rajabmapui8678
    @rajabmapui8678 6 років тому +44

    uxhauri wangu kwa wanachuo
    ukiomba mkopo weka na hii ngoma kama dhamana
    mkopo haukosi kabisaaaaaaaaaa😂😂😂😂😂😂😂😂

    • @sikujuadee3031
      @sikujuadee3031 6 років тому

      😂😂😂😂😂au sio

    • @rajabmapui8678
      @rajabmapui8678 6 років тому

      ndio maaana yake

    • @almatrashid1812
      @almatrashid1812 6 років тому

      😂😂😂😂😂😂 huna akili

    • @rajabmapui8678
      @rajabmapui8678 6 років тому

      Almat Rashid
      😂😂😂😂😂😂😂
      kweli aisee

    • @iddmalya248
      @iddmalya248 6 років тому

      Hahaha hatariiiiiii kmmk ngoma ni kali kisengee

  • @vitalesmgenge6984
    @vitalesmgenge6984 6 років тому +23

    Jamaa hana shida na chamtume anapiga ulabu, kweli fulu komed, watanga mpo? 🔥🔥🔥🔥

  • @davynjara3073
    @davynjara3073 Рік тому +1

    Mpaka sasa bado siamini #kaolewe,,,,,,,,,,,2023 na bado harusi ipo

  • @paulmasingija2952
    @paulmasingija2952 6 років тому +4

    Hatupoi ROSTAM Hatuboi..Mwajey kadanga saana

  • @mzeebaba1386
    @mzeebaba1386 6 років тому +16

    🔥team Rostam
    ✔gonga like hapa✅✅

  • @happyelibarick5625
    @happyelibarick5625 5 років тому +1

    Wew una wivu au umetumwa. Aliyesikia hayo maneno twende sawa

  • @Dimzmediake
    @Dimzmediake 2 роки тому +13

    this guys are really talented one love from Nairobi kenya

  • @barnabasjosephu8578
    @barnabasjosephu8578 6 років тому +10

    Number one on trending, ngoma kali sana na ubunifu mkubwa sana "" ""ROSTAM
    🔥🔥🔥🔥🔥

  • @adelinahsangah1049
    @adelinahsangah1049 6 років тому +1

    Duu sigara nawasha mbele na nyuma haatareeee rostam keep it up

  • @erastoernest2459
    @erastoernest2459 6 років тому +57

    Waliosema aolewi ndo wanamaliza creti" gonga like mtu wangu wa nguvu

  • @jamesjaymore2469
    @jamesjaymore2469 6 років тому +27

    Bonge na ngoma
    +254 Mwajuma pia huku Kaolewa ma Ex wote walompiga chenga leo wanaona wivu Mwajuma anapigwa denda...lakini acha tufinye cha mtume hayo mengine hayatuhusu 😂😂😂😂😂😂

  • @dutchballaka3422
    @dutchballaka3422 6 років тому

    Unabinyabinya nyanya unanunua bilnganya.... Nawakuba vibaya ROSTAM

  • @richardsweya231
    @richardsweya231 6 років тому +14

    Si kila mwanamke unayemuona ni chombo cha starehe.
    wengine ni ufunguo wa mafanikio yako.
    😟😟😟

  • @asiahmariam3942
    @asiahmariam3942 6 років тому +6

    Mamaeeeee nimepitwa mie nimechelewa kuiona duuh wakali Wang wamerudi kivingine. Nima utamu tu kwenda mbele

  • @kashambanange6843
    @kashambanange6843 6 років тому +1

    Huuuuuwi nimerudia² mpaka Naona aibu..... Duh the bst song.... I like it 😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘

  • @radirapavevo9605
    @radirapavevo9605 6 років тому +42

    Kama unakubali NgomA hii basata hawata sumbua gonga like