Jamani tuzidisheni kufanya ibada tufanye mema tuache maasi ya kumkera Mungu tusomeni Quran wakati ndo huu. Tumejiandaaje na siku ya mwisho siku ya hukumu siku ya kupewa vutabu vyetu tusimame kumuomba Mungu kuswali kusoma Quran nakufanya mema kuacha mabaya. Shukran Sheikh Othman Maalim kwa ukumbusho.
Allah atuongoze sote waumini nawaslam naatusamehe mazambiyetu kabla yasiku yakiama naakusamhe shehewangu Othman Maalim na akupe husni llhatima pamoja na mm inshallah
SUBHANA ALLAH ....KIAMA KIMEKARIBIA WALLAH NAOGOPEA NAFSI YANGU NA JAMII MUSLIMIN SIKU YA HUKMU JUU YETU YARABI TUJALIE TUWE NI WENYE KUFUZU UTUPE KITABU CHETU KWA MKONO WA KIUME YARAB ..ALLAHUMA AMIN...
amani tuzidisheni kufanya ibada tufanye mema tuache maasi ya kumkera Mungu tusomeni Quran wakati ndo huu. Tumejiandaaje na siku ya mwisho siku ya hukumu siku ya kupewa vutabu vyetu tusimame kumuomba Mungu kuswali kusoma Quran nakufanya mema kuacha mabaya. Shukran Sheikh Othman Maalim kwa ukumbusho. 29
Ya Allah tunakuomba utujalie nyoyo znye kuskia maneno matam ya maalim ztu ishallah na kwarehm zko ishallah utuongoe ktk njia sahih ss na wazaz wtu na mashekh ztu na waislm kwa jumla amiin na Allah azid kumpa uhai na uzma ili aendeleze daula ya kiislam ishallah
Subhana allah mtihani huu ewe mola wa viumbe wote tusamehe makosa yetu hakika ssi ni dhaifu kwko na unajuwa lililoko mble yet na nyuma yetu waislamu wezangu tujitahidini na ibda ya rabi tujaalie mwisho mwema in sha allah
kama unaamini huyu jamaa ni mkali wa maneno mazuri ya ALLAH gonga like yako hapaa....
Halafu
Yah Allah nijaalie mm na waislam wote dunian tufe mwisho mwema.lnshalah
ALLAHUMA AMIN YAARAB AMIN
Jamani tuzidisheni kufanya ibada tufanye mema tuache maasi ya kumkera Mungu tusomeni Quran wakati ndo huu. Tumejiandaaje na siku ya mwisho siku ya hukumu siku ya kupewa vutabu vyetu tusimame kumuomba Mungu kuswali kusoma Quran nakufanya mema kuacha mabaya. Shukran Sheikh Othman Maalim kwa ukumbusho.
Alhamdulilah labila alarmin
SHUKRAN SANA SHEIKH KWA UKUMBUSHO MZURI SANA
ALLAH ATUJALIE TUYAFATE YANAYO KURUDHISHA WEWE SUBHANA WA TAALA AMIN YARAB.
Allah atuongoze sote waumini nawaslam naatusamehe mazambiyetu kabla yasiku yakiama naakusamhe shehewangu Othman Maalim na akupe husni llhatima pamoja na mm inshallah
Eeh Rabby tuongoze waja wako sisi n dhaifuu mno
Allah atuongoze tuingie peponi ummat Muhammad
Ameen
Amiin
Hakika kiama kimekaribia tuzidisheni kuswali na kumtaja mwenyezi mungu inshaallah tukifanya hivyo tutaipata rehema zake Allah
Ameen
Amen
Ewe M\Mungu tujaalie mwisho mwema
Inshalah
Ameen
Ameen 🙏
Inshllah
Subhaana llah Eemola tukinge Namtihan huu yaraabi tusamehemakosayetu yaa Allah Mtukufu wadarja mtumewetu.Muhammad Alishaondoka maswahaba naopia wameshatutoka Tumebakianamaimamu nawanazuoni Yaa Allah wajaalie walimuwetu watuongoze yaarabi
Allah atufanyie wepec tuyafanyie kazi maamrisho mema unayotuusia na atuepushe na makatazo yake
SUBHANA ALLAH ....KIAMA KIMEKARIBIA
WALLAH NAOGOPEA NAFSI YANGU NA JAMII MUSLIMIN SIKU YA HUKMU JUU YETU
YARABI TUJALIE TUWE NI WENYE KUFUZU UTUPE KITABU CHETU KWA MKONO WA KIUME YARAB ..ALLAHUMA AMIN...
Aaamin ya rabbil aamin
Amiin ya Rabbi
Allahumma,amiiin
@@zainabuabdallah5887 jazakalahkher
Aa
amani tuzidisheni kufanya ibada tufanye mema tuache maasi ya kumkera Mungu tusomeni Quran wakati ndo huu. Tumejiandaaje na siku ya mwisho siku ya hukumu siku ya kupewa vutabu vyetu tusimame kumuomba Mungu kuswali kusoma Quran nakufanya mema kuacha mabaya. Shukran Sheikh Othman Maalim kwa ukumbusho.
29
Barakallahu Fiiika yaa Sheikhul Aziz
allah atujaalie mwisho mwemaa😭
Amin
Ameen thumma Ameen
Yarab tujalie waislam wte tuingie pepon tktane na mtume wetu kpenz Chetu Muhammad Bin abdillah na ahly zake inshAllah biidhinllah
Allaah atusamehe waja wake kwan sisi ni madhaifu mno kwake🤲🤲🤲
sheikh uthaman may Allah bless you for me Ameen and may Allah grant you jannaha Ameen Ameen and may Allah give you a long life Ameen Ameen
Alhamdulilah nimejitosheleza kwa niloyasikia.Allah nisamehe nilipokukosea mola wang nauwsamehe wazazi wng nawatoto wangu pamoja na waislam wote
Ewe mwenye zimungu tujaliee husun khatima
ALLAH akujaalie kilalakheri sheikh wetu uzidi kutuelimisha,yaa Rabbih tupe mwisho mwema amiin
Amiin yarab mola akubariki sheikh akupe umri uzidi kutuelimisha
Mashaallah Allah akuzidishiye
Huu ugonjwa wakuambukizwa sheikh si hii Corona ?
Akhy. Tumuombe. Allah mwisho. Mwema
Allah atujaalie mwisho mwema yarabi
Subhanallah I am watching this in covid-19 yaa Allah please give us a beautiful ending on this earth
Mashallah mola atujaalie tuyafate yalokua mema
Masha allah mungu akujalie maisha marefu
Shku.lan
Allaah (s.w) atujaalie mwisho mema inshallaaah, ila haya yote aloyataja sheikh ndio yanatokea sasa.....
Amiin
Watching from oman may Allah protect you ustadh othman
Subhaana.Allah hakika dalili zinajioyesha kiyama kinakuja subhaana.llah
Allah tujalie tuwe niwenye kufanya kinacho staili na utuepushe na kila maovu,na tujalie na mwisho mwema
Sheikh othman somo yangu is the best sheikh for me
Mashallah shekh Mungu atujaalie tuingie jannah pasina hesabu inshallah
Allah atujalie mwisho Mwema ameen inshallah
Allah atujalie mwisho uwemwema ili tuweze kuiona pepo
Allah bia allau bia bihusni lkhaatima
Ya Allah tunakuomba utujalie nyoyo znye kuskia maneno matam ya maalim ztu ishallah na kwarehm zko ishallah utuongoe ktk njia sahih ss na wazaz wtu na mashekh ztu na waislm kwa jumla amiin na Allah azid kumpa uhai na uzma ili aendeleze daula ya kiislam ishallah
MashAllah sheik OTHMAN MAALIM Allah akupe umri na Manisha
ALLAH nijaalie mwisho mwema. Nataka nikutumikie na kukuabudu wewe Pele yako🙏
Allah atujalie mwisho mwema
Jamilaa Tem
Yaarabby tujaalie mwisho mwema inshaAllah
Allah atujriy mwish mwem 😭😭😭 yallbi
Maashaa Allah
Allah akulinde namabalaa azidi kukupa Afya njema ili utupe mazuri ktk dini yetu nakutukazaza mabaya
Allaahumma Ameen yaa Rabbal Alameen
Yaallah nikumbushe shaahad siku yangu ya mwisho
Mungu atujaalie mwisho mwema
Ameen
Allahuma inni ashaluka usnal khatima
Allah atujaalie mwisho mwema ishaallah dhahir shahir dalili ndizo tunazoziona
Shukran wajazaka llahu heri
ALLAH atusamehe dhambi zetu,atujaalie husnil'khatima
Mwenyez mungu akupe maisha marefu uweze kutukumbusha leo na kesho ammiin
Allah atujalie mwisho mwema atuepshe na majang hay yakorona
Allah tujalie mwisho mema pia julie mwisho mema upuepshe na haya majanga ya korona
Inaalillah wainallilarajun Allah type mwisho mwema amiin
Mashaallah mungu akupe mwisho mwema
Shukran khidhry 29 Allah akubariki
subhanaAllah Allah atusaidie ni kweli kabisa simu ni fitna kubwa sana Allah atulinda na balaaaa hii
Subhana allah mtihani huu ewe mola wa viumbe wote tusamehe makosa yetu hakika ssi ni dhaifu kwko na unajuwa lililoko mble yet na nyuma yetu waislamu wezangu tujitahidini na ibda ya rabi tujaalie mwisho mwema in sha allah
Allahumma aaamin🤲🤲🤲
Allah atujalie mwisho mwema kwa sote kwa rehema zake
Amiin
Amin yarabi
@@fatumaramadhanmashaallahal9966 Allahumma amin
Ameen
@@halloummasuod3722 Allahumma amin
Shekhe mm binafsi nakupenda kwa ajili Allah na ninmuomba mungu sana siku tukutnisha inshallwah
Subhanallah allah atujalie mwisho mwema
subhanallah wanawake tujiepushe nadhulma tunazozulumiana kiama tayar bado wakat tuuu hali ngumu
allah atujaalie mwisho mwema
Yaallah tujalie tuwe na misho mwema inshaallah!!!
Mashallah shekh othman
Maashallah m/mungu tunakuomba tupe mwisho mwema
Mashaalh mwenyeximungu akupe umuri mrefu kwakutuelimisha
Mungu atufanyie wepesi inshallah
Allah atupe mwisho mwema
Ameen 🙏
Shkrn sana Shkh Allah Akulipe kila la kheri asant Kwa kutuelimish Allah atupe mwisho mwema
Ya Allah tujalia mwisho mwema
Ewe Allah tusamehe makosqyetu tupemoyo WA kusahauyaliokatazwa na Allah natufuate aliotuamrisha. lnshallaah taalawabatakkt lilallh. wabarrakkat.
Jazzakallahu khery yah Sheikh othman Maalim.
Shukran jazakh Allahu kheirukim
جنيت كينيا
Allah atujaalie msamaha na akatuingize peponi kwake inshallah
Asalaam Aleikum ndugu naweza pata aje no za huyu sheikh...dharura sana.
la illah ilallah mwenyezimungu atusamehe utupe mwishomwema inshaallah
amin
Ameen
Subhanallah.. maradhi si ndio haya tuliyo nayo Corona😢😭.. ya rabby tujaaliwe khatma njema🙏🙏
Inna lillahi wa Inna illahi rajiuni Allah atupe khusnil khatima.
Allah atupe mwisho mwema🙏🙏🙏🙏
Allah tupe sahali duniani
Sheikh Othman maalim Allah akulipe mema kwa kutupa darsa nzur
Allah atujaliye mwisho mwema allahumma amina
mungu akulipe kila lakher sheih wet hakika unafunza
Yarabii tujalie mwisho mwema minakizazi change ishallh 🤲
Mashaallah Alibiby sheykhuna
سبحان الله وبحمده سبحان الله العظيم لا حول ولا قوة إلا بالله العلي العظيم اللهم اجعلنا حسن الخاتمه
Mashallah allah
Allah akupe pepo ya firdaus
Asante mwenyezi mungu akubarik
Ishallaah
Inshallah Allah atufanyie wepesi
Inshaallah Allah tujalie mwisho mwema 🤲🤲
Siku zote ktk ibada zangu namuomba Allah anujali mwisho mwema inshallah pia kunipa huerewa juu ya masheikh na kuweka kifuani
Yaa ALLAH tujalie husnul khaatima
JazaakAllah shiekh.
subhanallah
Allah atuongoze umarti muhamadi wote tuingie filidausi ila kwaatakae kataa mwenyewe
Alhamdhulillah Allah atujaalie mwisho ulo mwema yarraby
Inshallah taharah tutafika kwa huwezo wake Allah
Maashaallah
Allah akujalie umri wenye afya njema sheikh
ameen Ya Raab
@@husseinh9 Allahumma amin
Araa tujarie mwisho mwema waumin
@@athumanbakari8570 Amin kwa sote
Mashaallah
Mungu akupe Maisha yenye afya
Jazakar allahu kher
Isha Allah atujarie mwi sho mwema
Ya Allan tujaalie mwisho mwema ishaallah
Allah atuongoze
Amini
Insha Allah mungu atujalie mwisho mwema
Mashaallah jazakallahu kheir
Allah atuifadhi
Allah atujaalie kaitika hao watakaoambiwa tukasikia kufuata mazuri na kuwacha mabaya