PART3:MCHAWI ALIEUA WATU MILIONI 2/ILIBIDI KUFANYA NA MNYAMA/WAZAZI WALINIZIKA WAKIJUA NIMEKUFA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 10 вер 2024
  • MTU WA MUNGU KARIBU KATIKA CHANNEL YETU YA DAVISTAR MATA MEDIA KWA AJILI YA KUSAIDIA SADAKA YAKO JUU YA KAZI HII IENDELEE KUFANYIKA
    Tunatanguliza shukrani kwako na ubarikiwe sana kwa kusaidia kazi hii ya Mungu tunaomba mchango wako wa kila mwezi kwa ajili ya kazi hii iendelee kufanyika kwa sababu inagharama kubwa zilizo nje ya uwezo wetu,bonyeza link moja kati ya hizi chini kwa kiwango chako ambacho ungependa uwe unachangia kila mwezi
    KUCHANGIA TSH.3000 KILA MWEZI BONYEZA CHINI HAPA
    chat.whatsapp....
    KUCHANGIA TSH.5000 KILA MWEZI BONYEZA LINK HAPA CHINI
    chat.whatsapp....
    KUCHANGIA TSH.10000 KILA MWEZI BONYEZA LINK HAPA CHINI
    chat.whatsapp....
    KUCHANGIA TSH.20000 KILA MWEZI BONYEZA LINK HAPA CHINI
    chat.whatsapp....
    KUCHANGIA 50000 KILA MWEZI BONYEZA LINK HAPA CHINI
    chat.whatsapp....
    tafadhari tuma kwa njia ya Mpesa kwa namba +255743053804 jina litakuja Dotto Mataluma/Tigopesa 0672923092 jina litakuja Dotto Mataluma na Airtel money jina litakuja Dotto Mataluma

КОМЕНТАРІ • 71

  • @gosbertmuta5421
    @gosbertmuta5421 2 роки тому +5

    Me mtu akmsemaga YESU vibaya huwa naraluka moyo wangu mpk nahisigi moyo unavuja damu, Asante Sana Sana YESU wetu mtetez wetu uliyekufa na kufufuka

  • @hellendiana625
    @hellendiana625 2 роки тому +2

    Asante sana ndugu kwa hiyo siri, wanawake tuwe macho na hodari ktk wokovu

  • @stanleywaweru1714
    @stanleywaweru1714 Рік тому +2

    Hii ushuhuda imenibariki sana, from Kenya 🤔. Hii Dunia Ina maajabu kweli, Mungu atuzaidie katika jina la Yesu Kristo

  • @maryfranknamkumba9182
    @maryfranknamkumba9182 2 роки тому +4

    Ahsante sana kaka unayetoa huu ushuhuda
    Kwa kweli nimejifunza mambo mengi sana kuhusu huo ulimwengu wa giza. Imenifungua kuhusu mambo ya kuzingatia kuhusu maombi. Mungu awabariki nyinyi wote immensely ❤️🙏🏾

  • @rogerssimon9517
    @rogerssimon9517 2 роки тому +2

    Mtumishi wa mungu davista mm ni mtumishi mwenzako pia najua unafanya kazi masaa mengi pia unachoka Sana jitahidi kutumia kahawa mara nyingi badala ya energy tfdhl.

  • @babafranco3366
    @babafranco3366 2 роки тому +2

    Namshukuru Sana apostle mwingira aliposema TB Joshua ni bomu na sio mtumishi Wa mungu, kiukwel alituokoa wengi tusiojua. Hi dunia ina mambo Kama tungeona yaliyofichwa naiman ningemwona magufuri akiranda randa

    • @sweetlisious
      @sweetlisious 2 роки тому +2

      Mbona hakumuombea kama ni pepo... wakristo wengi wataangamia motoni kwa ajili ya unafiki na kuhukumu wenzao.. ningumu kuelezea... ukristo wa sasa ni wa ajabu sana walokole wengi wanapenda kusengenyana hata watu wa mataifa wanawacheka... tunahitaji macho ya roho mtakatifu kutambua haya.

    • @babafranco3366
      @babafranco3366 2 роки тому

      Kuna Wa mungu na kuna Wa shetan, TB Joshua hana tafaut na waislam,waroma,yehova na wasabato, tambua huwez kuombea wote maana hi dunia ni milki ya shetan na watu wake, tambua kuna Wa mungu na kuna washetan, sio kila mtu umuombee atakuelewa wengine ni mapepo mfano Barack Obama. Ata nyie waislam mnao mkataa yesu ila cha kushangaza Israel kwenye milima ya mizeitun tena mlangon mmeweka makaburi yenu maana mnajua yesu akija atapitia hapo

    • @gosbertmuta5421
      @gosbertmuta5421 2 роки тому

      Mwingira mwenyewe bomu na mafuta yake na stka zake na vitambaa vyake labda walikua wanakutanaga kuzmu hukohuko

    • @RechoFute
      @RechoFute 2 роки тому

      Waooo ni baba etu wa kiroho nampenda sana

    • @RechoFute
      @RechoFute 2 роки тому

      @@sweetlisious Hujui ulitendalo

  • @egospeltz9486
    @egospeltz9486 2 роки тому +2

    Hii story ni nzuri, naingojea kama mlinzi aingojae asubuhi.💃🎈

  • @kithunguesther8551
    @kithunguesther8551 Рік тому

    Mungu tufunike kwa Damu ya Yesu Amina

  • @florencemueni1183
    @florencemueni1183 Рік тому

    Asante sna kwa ujumbe mzuri sna kwetu

  • @mercikatate9033
    @mercikatate9033 2 роки тому +2

    Namba 1 today

  • @annamulenda6652
    @annamulenda6652 2 роки тому +1

    Ubarikiwe Sana nahuduma yako Mtumishi wa Mungu

  • @nurudaud3993
    @nurudaud3993 2 роки тому +1

    Angalia sasa shetani alivomuongo guy et huku tunakoishi sisi ni kwasabu tulimuasi mungu daaaa aiseeee

  • @abbyadams8691
    @abbyadams8691 2 роки тому +3

    Kwa kifupi bila vipawa vya mwanadamu shetani hawezi fanya kazi duniani.Kipitia ujinga na uzembe wetu wenyewe ndio tunampa nafasi ya kuiba hivyo vipawa na kisha kuvitumia km silaha ya kutuadhibu wenyewe.

  • @peterstewart9935
    @peterstewart9935 2 роки тому +1

    Haya matukio haya,yanafaa kabisa kutengeneza move na kitabu.

  • @rahmayohana2583
    @rahmayohana2583 2 роки тому +1

    Jamanii ombaomba kumbe pepo eemungu tutakimbilia wapi sisi kila kona ushetwani😭😭😭

    • @Mpakauseme
      @Mpakauseme 2 роки тому

      Wewe na nawe knowledge yako ndogo yani mtu huyo aliposema kajigeuza omba omba basi nawe tayali umewachukulia omba omba ni mapepo

  • @josephngunzu6473
    @josephngunzu6473 2 роки тому +1

    Hakuna jua au mbalamwezi sababu ni ufalme wa gizani.

  • @rehemasuleiman7469
    @rehemasuleiman7469 2 роки тому

    Ushuhuda unafundisha,Bwana Yesu atusaidie

  • @albertinaantonio6265
    @albertinaantonio6265 2 роки тому

    Pamoja sana mr everything 💪

  • @lastbornsaadah7632
    @lastbornsaadah7632 2 роки тому +1

    Sehem za siri ni pilau hahaha 😂 😂 jamani dunia simama nishuke

  • @jesusislord9190
    @jesusislord9190 2 роки тому +1

    hii kitu ni kweli katika ndoto Yangu ya Mbinguni nilimuona Pacha wangu na Babu Bibi sikumuona...Mbinguni pale maajabu Babu yangu alikufa sikumuona..nilipozaliwa lakini Bibi nimeishi nae maajabu nilimuona Babu Bibi sikumuona kwa mbali niliona shimo la moto mkubwa sana..kitu cha ajabu sikupata kumuona tajili Mbinguni ila niliwaona kwenye ule moto

  • @jesusislord9190
    @jesusislord9190 2 роки тому +2

    nimeshuhudia hili kwa macho yangu pale kitonga gari yetu ilikuwa inashuka mlima taili tatu zikapasuka nikaweka nadhili nikisema ilisema Sodoma ikiwa patakuwa na watu 10 wa MUNGU..hutapaunguza..nami niko..hapa mtakatifu wako hii ajali isitokee...gari ilikwenda kusimama ukingoni mwa mlima....na hapo niliuona ukuu wa MUNGU

  • @elizabethmuia9839
    @elizabethmuia9839 2 роки тому

    Tuned in 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @egospeltz9486
    @egospeltz9486 2 роки тому

    👌👌👌

  • @barick
    @barick 2 роки тому +4

    Katika wachawi huyu inabidi nitulie nisikilize kwa utulivuu sana ana kitu nataka kujua

  • @lastbornsaadah7632
    @lastbornsaadah7632 2 роки тому +1

    Davista bishoo sana unatembea na chanuo la nywele 😂 😂 😂

  • @isackmalando2131
    @isackmalando2131 2 роки тому

    Utuonyeshe Hiyo Chapa kwenye gati

  • @valenakomba7686
    @valenakomba7686 2 роки тому

    ASANTE KWA MAFUNDISHO YAKO MAZURI NA YANATUELEWESHA MENGI

  • @roselyimo3676
    @roselyimo3676 2 роки тому

    Kwa mafundisho tuliyoyapata hapa jehanamu ipo kwa wale wanaomjua Mungu kisha wanamuacha wanatenda mambo mengine yenye machukuzio mbele za Mungu na hawaipati neema ya msamaha ni kuungua tu milele.

  • @mercikatate9033
    @mercikatate9033 2 роки тому

    Hello 👋👋👋🤗 bro
    From DRC CONGO Lubumbashi

  • @semwandambaza2184
    @semwandambaza2184 2 роки тому

    Davistar ufichwe kwenye Damu ya YESU KRISTO aliehai

  • @robsonsadiki
    @robsonsadiki 2 роки тому

    Mungu tunakushukuru kwa kutufichulia siri za shetani

  • @rehemaabinelynyagawa2878
    @rehemaabinelynyagawa2878 2 роки тому

    Bila Yesu hatuwezi shetani anawinda kila kona

  • @jesusislord9190
    @jesusislord9190 2 роки тому

    yaaani Mimi kwasababu..watu wanasema waliwaona mpaka.. wachungaji walio kuwa wamejiunga kuzimu...sasa nyie wachungaji. ambao mlikuwa huko tutajuaje?? kuwa.. hampo tena huko?? kuwa na nyie ni wachungaji mnao tumiwa na shetani?? daaaa kiukweli..kuwaamini sana wachungaji wa leo ni kazi ngumu sana

  • @isaacsenaji6065
    @isaacsenaji6065 2 роки тому

    Nazidi kubarikiwa

  • @heritier5119
    @heritier5119 2 роки тому

    Mtu mmoja tu akiomba uokoa basi zima lisipate ajali

  • @martinmsacky2069
    @martinmsacky2069 2 роки тому

    Huu ushuhuda ni mzuri sema unachelewa sana kuweka mwendelzo .. despite you have your reasons ila if possible punguza mda kidogo wa kupost episode to episode at list 3 - 4 hours time rate.....

  • @maryfranknamkumba9182
    @maryfranknamkumba9182 2 роки тому

    Anatuambia sana habari za kula watoto lakini hajasema hao watoto walikuwa wanawatoa wapi

    • @gosbertmuta5421
      @gosbertmuta5421 2 роки тому +1

      Hata ungekua ww usngekumbuka yote ndg we ridhka tu na hapo km ukiona huridhiki ingia eneo la tukio mbn smpotu😅

  • @heritier5119
    @heritier5119 2 роки тому +1

    Na kweli madereva wengi huwa awafi

  • @gracew7460
    @gracew7460 2 роки тому

    Lazima tuitishe macho ya kiroho ndio tuweze kumshida ibilisi na wafuasi wake

  • @f.alovely6419
    @f.alovely6419 2 роки тому +2

    Nina swali..sasa mtu akikuomba pesa na hujui kama ni mchawi, ukiombea hio pesa bado ataweza kubadilisha nyota?

  • @heritier5119
    @heritier5119 2 роки тому

    Wake wa wachungaji ndio uwaangusha wachungaji

  • @jesusislord9190
    @jesusislord9190 2 роки тому

    davista tunataka tupaone hiyo chapa

  • @sebastianmahilane24
    @sebastianmahilane24 2 роки тому

    Uongo mtupu mwanzo mwisho

  • @evachuw8092
    @evachuw8092 2 роки тому

    Eeeee YESU DAMU YAKO TUNAKUOMBA UTUOKOWE SIKU ZOTE

  • @monicayohana5937
    @monicayohana5937 2 роки тому

    Mbona msiutoe mziki nasikiakwashida jamani

  • @jesusislord9190
    @jesusislord9190 2 роки тому

    ndio maana unaweza kuota mbwa anakukimbiza

  • @heritier5119
    @heritier5119 2 роки тому

    Basi lolote abiria yeyeto akiwemo mtu yeyeto aliyeomba basi hilo halitolewi kafara

  • @winifrida8641
    @winifrida8641 2 роки тому

    Davistar inabidi huu mkasa uwe una post mbili mbili

    • @sweetlisious
      @sweetlisious 2 роки тому +2

      mjitahidi pia kumchangia pesa maana huu muda anaotutafutia story huwa unapotea kwa ajili yetu ili tufunguke,, hivyo utoaji pia utasaidia ili uwe unapata story mbili au tatu mpendwa.

  • @elizabethmuia9839
    @elizabethmuia9839 2 роки тому

    Wacha niulizie swali la kijiga to, but naomba kujua to, swali langu ni kama watu wakifa kuzimu ni chakula, je uko kuzimu kuna vyoo vya kujisaidia kweli 🤦‍♂️,mkiwa uko mtu uwa al,sikia kujisaidia anja kubwa or ndogo?

    • @gosbertmuta5421
      @gosbertmuta5421 2 роки тому

      Kina eliz hao Mambo yenu mnayajuaga wenyewe😅

    • @liliankamanga4294
      @liliankamanga4294 Рік тому

      Lazima kuwa wanajisaidia lakini kwa sababu shetani na mapepo wanapenda uchafu ninaamini kuna mapepo maalum huwa wanakula hiyo choo. Ni mfano wa nyama kama nguruwe, fisi na kadhalika ambao huwa wanakula kila kitu kilicho mbele yao. Ndio maana na sisi watu, Mungu katuambia tusile nyama kwa mfano nguruwe, bata etc ili tujiepushe na kula uchafu. Hope makes sense.

  • @rahmayohana2583
    @rahmayohana2583 2 роки тому

    Jamanii ombaomba kumbe pepo eemungu tutakimbilia wapi sisi kila kona ushetwani😭😭😭