Utamu wa move ni usikie kinacho ongelewa pale. Sasa nyinyi munaeka mziki wa nini tungekuwa twataka mziki tusingeangalia move yenu. Lakini mpo vizuri sana kosa nihilo tu Jipangeni na mtachomoka kimaisha. Muko juu sana🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪mkenya halisi. Nitawafatilia endapo mtarekebisha hlo kosa
Wa kwanza naitaji lakes zenu rama from kenya kazi nzuri
Shukran
Utamu wa move ni usikie kinacho ongelewa pale.
Sasa nyinyi munaeka mziki wa nini tungekuwa twataka mziki tusingeangalia move yenu.
Lakini mpo vizuri sana kosa nihilo tu
Jipangeni na mtachomoka kimaisha.
Muko juu sana🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪mkenya halisi.
Nitawafatilia endapo mtarekebisha hlo kosa
Namkubali uyuu jamaa
Nawapenda sana mko vixur madada zangu❤
Kazi zenu nzuri Sana nazipenda sana❤❤
Mzuri sana lakini sauti inapotea sana
Waooo Mariam.. love you mamaa
Asante
Kazi nzuri sana ❤❤❤❤
Asant
Sauti kwengine hakuna mbona
❤❤❤❤❤🎉🎉🎉😢😢😢😢