Розмір відео: 1280 X 720853 X 480640 X 360
Показувати елементи керування програвачем
Автоматичне відтворення
Автоповтор
BARIKIWENI TU
Naomba ule wimbo wa AIC MWANZA TOWN CHOIR: ALIKUWA NA MOYO WA HURUMA
Pokeeni salamu zangu na jamii yangu huku kenya natamani kuwaona majaliwa ya mungu
Karibu Sana Mr Kavoi na familia twawapenfa sana
Asante sana tumepokea na tunakukaribisha tarehe 18/8/2024 mwanza makongoro kutakuwa na maadhimisho ya miaka 65 ya Mwanza town choir
Excellent, from Nairobi.
Mwanza wanamsifu Mungu kwa ustadi
Mnabariki sana maisha yangu
Saaafi saaana,Wimbo umetulia,Sauti zimetulia,Waimbaji wametulia,Muziki live wa GITARI umebalansi vizuri, Niseme nini zaidi sasa hapa....! Ninachoweza kusema ni pongezi tu kwa kazi nzuri mliyofanya MTC
Mko vyema watumishi Mungu aendelee kuwatumia
Hakika nyie ni wataalamu wa uimbaji hapa Tanzania na kwingine kote. Nyimbo zenu zinajipambanua na hazifanani na kwaya zingine.
Wimbo huko na upako was Roho Mtakatifu.
AMANI YAPATIKANA KWA MUNGU TU
Safi sana
Mungu awabariki sana
God bless you for the good work....
Nice!!!!
Nice song
Safi saaana, wimbo umetulia, waimbaji wametulia, vyombo vimetulia, sauti zimetulia, muziki umebalansi. Niseme nini zaidi sasa, HONGERENI SAAANA MTC
BARIKIWENI TU
Naomba ule wimbo wa AIC MWANZA TOWN CHOIR: ALIKUWA NA MOYO WA HURUMA
Pokeeni salamu zangu na jamii yangu huku kenya natamani kuwaona majaliwa ya mungu
Karibu Sana Mr Kavoi na familia twawapenfa sana
Asante sana tumepokea na tunakukaribisha tarehe 18/8/2024 mwanza makongoro kutakuwa na maadhimisho ya miaka 65 ya Mwanza town choir
Excellent, from Nairobi.
Mwanza wanamsifu Mungu kwa ustadi
Mnabariki sana maisha yangu
Saaafi saaana,
Wimbo umetulia,
Sauti zimetulia,
Waimbaji wametulia,
Muziki live wa GITARI umebalansi vizuri,
Niseme nini zaidi sasa hapa....! Ninachoweza kusema ni pongezi tu kwa kazi nzuri mliyofanya MTC