Kwani azimio ni wa nchi gani na hii Genz nia nchi gani mbwa mwitusa usituletee ukabila wako hakuna cha nani wala nani wote ni wakenya wewe ulifanya kuja tu kwa hivyo wewe ndio unafaa kurudi kwenu
@@vumbisnap mjinga ni aliyesema azimio kenya sio ya azimio wala Genz na maandamano hayajaisha iwapo wewe umezaliwa kenya kitovu chako kimezikwa kenya na umeamka umejikuta wewe ni mkenya na babako na babako ni wakenya basi muache ukabila watu waangalie maisha ya songe a waangalie zile vitu muhimu watu wanapigania wanapinga kwa ruto suluhisho sio kuja kusema azimio azimio umewazimia wataka kufinywa kwanza yeye mwenyewe atuambie ni wa nchi gani natoka kenya na sipendi ukabila na ukabila aujenge na huo sio umoja wa kenya et azimio Genz sijui mbwakini gani
SIMBA ARATI 10 YEARS FRESH 😊
❤ madamano ndiyo italeta mabadiliko nchini
Uko sawa Lion
Unamaanishaaa osoro😂😂
Hadi monyenye ameogopa baada ya osoro kutembelewa.!
Ooh Lord, our kenyan so called opposition has so many good leaders. What really happened
Wewe inafaa utembelewe Tena haraka sana.
Atembelewe kwa nini? He is calling for peaceful demonstrations.
Don't say sorry because voters YES was good stuff bad bii was rejected by president
Let be peaceful
This been Azimio groups no more no more bloody gen z governments heard them already 😮
Rudisha iyo mdomo kwenye umetoa
Aye no' obonyira!
Kwani azimio ni wa nchi gani na hii Genz nia nchi gani mbwa mwitusa usituletee ukabila wako hakuna cha nani wala nani wote ni wakenya wewe ulifanya kuja tu kwa hivyo wewe ndio unafaa kurudi kwenu
Kumbe wajinga hii Kenya bado wako 😂 na vile nadhani maandamano imeonyesha vile watu sio mafala bado? 😂