🔴

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 10 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 96

  • @globaltv_online
    @globaltv_online  8 днів тому +1

    JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP UWE MWANAFAMILIA WA GLOBAL TV NA UTUTUMIE HABARI ZA MTAANI KWAKO chat.whatsapp.com/FeLe2DcIFAg...

  • @rosemkina58
    @rosemkina58 8 днів тому +8

    Zari ambia ubalozi wakusaidie ndio kazi ya Serikali kujali wananchi wake

  • @upendogreutert199
    @upendogreutert199 8 днів тому +6

    Sasa mnacheka wakati wenzenu wana machungu hapo kweliii

  • @Fatmashilinde-nu4fj
    @Fatmashilinde-nu4fj 6 днів тому

    tatizo tamaa unatamani maisha mzuri na hauna kazi kazi za shamba hutaki waache tamaaa

  • @DeodatyVisenty
    @DeodatyVisenty 8 днів тому +1

    Mm naona zari chakufanya uyo mzee waizee kwaza icho ilo eneo wapate tu ata million kumi waede nayo wakaobe tu wamepa iyo mungu atawasaidia

  • @HGvv-bh1ig
    @HGvv-bh1ig 7 днів тому

    Allah atufnyie wepesi vizazi vytuuu

  • @DeodatyVisenty
    @DeodatyVisenty 8 днів тому

    Pole sana mama nababa apo ila mungu atabariki tu yan inasikitisa sana ila uyo dada wa uku arusha ata sis tunamsaka sana kwajabo ili ili yan uyu mtot wakike anao wadau wakubwa sana

  • @AishaMaganga-vd1jg
    @AishaMaganga-vd1jg 8 днів тому +3

    Jaman mm kwaushauli wangu, tafadhali baba asiende India 🇮🇳 😢 atapokelewa nanan huko? English hajuwi. Sasa munaongelea kuchoma mwli mbele yawazazi? Sasa anaenda kusain atajua anasain nn? Wallah inauma Mungu smama nahawa wazazi🤲🤲

    • @MohammedSaleh-t5h
      @MohammedSaleh-t5h 8 днів тому

      Toa wazo lako Acha kulalamika tuu

    • @AishaMaganga-vd1jg
      @AishaMaganga-vd1jg 8 днів тому

      ​@@MohammedSaleh-t5hRud school maybe hujaelewa nn kimeandkwa hapo.

    • @nanaritho6850
      @nanaritho6850 7 днів тому

      Na ni kawaida kuchomwa moto ikishindikana hata dadaangu walimchoma ujerumani kikubwa atakuwa am Ed shahifadhiwa😊

  • @TatuMkeso
    @TatuMkeso 8 днів тому

    Duh hy mama anayopitia duh mungu awapiganie

  • @Rose-ue2ho
    @Rose-ue2ho 8 днів тому +2

    Nahisi kuna utapeli .kitu cha serious mnakaa kuongelea habari za kuchomwa mbele ya mama na mnacheka..

  • @jojokweka1902
    @jojokweka1902 7 днів тому +1

    Hii interview ishanichosha,
    story mix ata sielewi

  • @Mariam-ke4og
    @Mariam-ke4og 8 днів тому +1

    Zari nadhani kama ungemsindikiza bb ingekuwa vizuri peke yake hataweza

  • @happymbise-g5b
    @happymbise-g5b 8 днів тому +3

    Dada zari Kwanza niwape pole Sana lakini hao madaktar Bora ungewaambia TU kwamba wale ambao wanachangia wamegoma kwa sababu ya sitofahamu wanayoileta wenyew so Bora wawe wazi Ili pesa Yao ipatikane walau nusu watu wanatak kutoka ila Sasa mikanganyiko imekuwa mingi

    • @ZeyanahamedRashid
      @ZeyanahamedRashid 8 днів тому

      Hao si madaktari na matapeli lazima kuna fish hapa

    • @Darling99booo
      @Darling99booo 7 днів тому

      Huyo dada hajafa jamani Mimi Nipo India Huku Ila hajafariki
      Alafu hawa watu wanakuwa na tamaa maana hali ya Huku India ni ngumu Ndo maaana wanaitisha pesa muda wote😢 Ila hajafariki uyo dada

  • @rahmaabubakarisaanatu1961
    @rahmaabubakarisaanatu1961 6 днів тому

    Kuhusu suala la kumtanguliza M-mungu zari uko sahihi kabisa.

  • @kwambokamkisii3870
    @kwambokamkisii3870 8 днів тому +2

    Nashauri pia apatikane mtu kule hata kutoka ubalozi amsindikize huyo baba kule hospitali, ili amsaidie kusoma yale makaratasi yao na kusikiliza ripoti nzima kwa ujumla. Maana watakuja kumlazimisha vitu ambavyo vitamweka kwenye hali mbaya zaidi. Na jee akifika akakwama kule tena itakuaje?

  • @salmaalkindi5735
    @salmaalkindi5735 8 днів тому +1

    Tamaa zinawaponza. Kufanya kazi za ngono wapate pesa. Ndio hata wakija oman hawafanyi kazi. Ila wanataka kazi za kudanga hata serikali imechoka kuwasaidia. Wadangaji wengi sana

    • @Darling99booo
      @Darling99booo 7 днів тому

      Usiongelee kirahisi hivyo hakuna mwanamke anaependa kuwa mdangaji kabla hujaongea chuja kwanza maneno

  • @halimaalkindi9484
    @halimaalkindi9484 7 днів тому +1

    Zari ushauri wangu wapigie balozi wakatizame na waombe kupunguziwa

  • @fidelitekarigirwamuyangwa973
    @fidelitekarigirwamuyangwa973 8 днів тому

    Pore mungu alusamie kwenye safari

  • @Fathasssane-vs2th
    @Fathasssane-vs2th 8 днів тому +2

    Mimi naona wanataka akalipe asipo lipa wamueke ndani huyo baba Allah amsaidia kwakweli dada zar kwanini usimsindikize

  • @OfficialA83640
    @OfficialA83640 8 днів тому +1

    Kuna wakati wanatushangaza ujue hawa wazazi walisema mawasiliano hawana na mtoto wao tangu aondoke haya hiko kiwanja alinunua bila yakuwasiliana? Hapa sasa ndy namkumbuka yule kaka aliyosema wazazi waseme ukweli km mtoto wao alikuwa anawahudumia kumbe kweli wazazi kuweni makini na kauli zenu jaman uongo haufai Muogopeni Allah

  • @DeodatyVisenty
    @DeodatyVisenty 8 днів тому

    Nausauri wagu uyo mzee bibiliya awe nayo jamn ndio sila yake iyo uko bele kwabele ila bibiliya awe nayo mungu atambariki jamn

  • @zuweinaalhabsya8773
    @zuweinaalhabsya8773 8 днів тому +2

    Sasa mbona mmekaa tu na story zenu na mko mnacheka Hao wazazi wanauchungu wako maskini wanawaangalia tu mnavyocheka 😮

  • @nanyangeclara2222
    @nanyangeclara2222 8 днів тому +3

    Zari bora atamngeomba ubalozi wa Tanzania India. Wafatilie hili jambo. Huyo Baba wa watu ataendaje? Hajui lugha hana hela.

    • @khalsasalim7930
      @khalsasalim7930 7 днів тому

      Ubalozi sio uombwe ni upewe taarifa mana kazi yao ni nn

    • @khalsasalim7930
      @khalsasalim7930 7 днів тому

      Ubalozi sio uombwe ni upewe taarifa mana kazi yao ni nn

    • @khalsasalim7930
      @khalsasalim7930 7 днів тому

      Ubalozi sio uombwe ni upewe taarifa mana kazi yao ni nn

    • @nanyangeclara2222
      @nanyangeclara2222 7 днів тому

      @@khalsasalim7930 labda hawana taarifa

  • @LaurenciaKitauli-or8rr
    @LaurenciaKitauli-or8rr 8 днів тому +2

    Huyo.mzee asiende
    India ataenda kushikiliwa kwa kuwa anadaiwa . Mtaanza tena kuombwa hela za kumkomboa
    Na atapata shida sana kufuatili jambo hilo kwa kuwa ni mgeni kule !

  • @SaraSara-i1l
    @SaraSara-i1l 6 днів тому

    Hii story haijakaa vyema ..anaenda bila hela hivi india wenyewe shida hawasaidiani huyo mzee nani atamsaidia

  • @NoorNOOR-l7h7g
    @NoorNOOR-l7h7g 8 днів тому +1

    Jamani kwani mage yukohai au

  • @midilastahans7188
    @midilastahans7188 8 днів тому +1

    Wezi hao mbona tiba hakuna?

  • @kwambokamkisii3870
    @kwambokamkisii3870 8 днів тому +1

    Yaani hapo inavoonekana waliona wakimwambia amefariki hawatalipa pesa, kwahiyo wakaona wamwambie yupo na wanataka aende ili akifika kule wamlazimishe kulipa deni ndio wampe mwili. Huyo inaonekana alishafariki muda sana.

  • @salmaalkindi5735
    @salmaalkindi5735 8 днів тому +1

    Huyo mzee asiende India. Akiwa hana pesa anaenda kufanya nini. Hao wanataka pesa zao. Ss akiwa hana pesa vp atakwenda??
    Nyinyi musimlazimishe kuondoka India ikiwa hajapata pesa bora wamzike. Tu

  • @khadijahassan1962
    @khadijahassan1962 7 днів тому

    Mama akubali tu kuuza hicho kiwanja

  • @Habiba-i6u
    @Habiba-i6u 7 днів тому

    Mbona hii issue haijanyoooka jmn nina mashaka na baba nchi za watu jmn msiamini huko mumpeleke baba jmn

  • @dotnatajoseph2620
    @dotnatajoseph2620 6 днів тому

    Tukumbuke wahindi Wana roho ngum sana huku kwetu wanishi Kwa uhuru ila mwafrika ukienda kwao wanamateso sana inabidi kama kunaubarozi wasaidie hili jambo

  • @zahararamadhanisalmu395
    @zahararamadhanisalmu395 7 днів тому

    Nikwanini hawa taki dada au zari anaejuwa hata english kwa sababu hazijulikani hizo documents niza nini kwann wasitume izo documents mzisome kwanzaa sio wanakazana2 kusema mzazi mzazi aje subbhana Allah

  • @fatmaalnabhani3609
    @fatmaalnabhani3609 8 днів тому

    Huyu mama hapo anachanganyikiwa tu kila mmoja ana yake ya kusema mbali na huko hospitali kwenye deni

  • @DeodatyVisenty
    @DeodatyVisenty 8 днів тому

    Kweli kabisa yani chakwza nachamsigi nimungu bele.yani mungu ndio kila kitu nakila jambo mwema mno.mno jamn watu watu wamungu tuwe tuna sali kila muda sio upate jambo ndio umkubuke ielewele ilo

  • @DeodatyVisenty
    @DeodatyVisenty 8 днів тому

    Yan lazima iyo eneo waiuze afu watu wachage ifike ata 30 bila ivo yani uyo mzee akifika kule watamtesa sana uyo mzee sana jamn

  • @AsuraHamisi
    @AsuraHamisi День тому

    Hapo ume nena hilo ndio la msingi

  • @namungolubala1788
    @namungolubala1788 7 днів тому

    WAHINDI NI WAIZISANA UTAKUTA NIHEO WALIYEMTOA INIZAKE ZOTE PIYAWATAKA WALIPIWE NAONA BABAMAGE ANAENDA TESWAHUKO 😮😮😮😮

  • @hassansaid3833
    @hassansaid3833 8 днів тому

    Pesa ya India haina thamani Tanzania Rupeer 1 ni sawa na tsh 31.12

  • @gracekagoma3231
    @gracekagoma3231 8 днів тому

    Mimi sichangii hadi nipate Ukweli 😮

  • @kwambokamkisii3870
    @kwambokamkisii3870 8 днів тому

    Mgonjwa kwa kuvimba kule, na alikua anaonyesha hajitambui, halafu waseme yupo? Na pesa ya india iko juu sana kule!

  • @f66_vortex95
    @f66_vortex95 8 днів тому +1

    mbona nimesikiya amekufa au

  • @SaraSara-i1l
    @SaraSara-i1l 6 днів тому

    Huyo dada mmene kama mama teri.mpumbavu msingeleta wazazi mnawamock wazazi

  • @khalsasalim7930
    @khalsasalim7930 7 днів тому

    Hiyo hospital wapigaj hao hamuwajui wahind nyny hapo mtu asha kufa zaman hakuna cha dawa walokua wanampa wala nn wanaona walisema kafa mnaweza kusema bas mchomeni

  • @salmaalkindi5735
    @salmaalkindi5735 8 днів тому

    Hao alokuwa India kwanini hawaendi police. Kumshitaki alomleta India

  • @AminaMtatuu
    @AminaMtatuu 7 днів тому

    Atatumia transilations

  • @SabihaibrahimRajabu
    @SabihaibrahimRajabu 6 днів тому

    Matajiri kimyaaaaaa wallahi daah kama hawapo au hawaoni wanyonge ndio wanachanga maskini pesa za shetani hazitolewi sadaka kwa Mungu labda kwa shetani ingekuwa tamasha la kuonesha uchi ingekuwa lishaisha

    • @stellahlinusi8215
      @stellahlinusi8215 6 днів тому

      ivi ume sikiliza toka mawazo dear mama mtu anasema toka ameenda aja wai kutuma pesa Wala aja wai kuwasiliana naye sasa icho kiwanja wame kinunua vp ?

  • @fidelitekarigirwamuyangwa973
    @fidelitekarigirwamuyangwa973 8 днів тому

    Minaona dazar ungesaidia kusafiri nababa kwasababu hatawezaa kuongeya nawo watampa tatizoo

  • @marrypius576
    @marrypius576 6 днів тому

    Ila si walisema alikuwa anatuma pesa kidogo imekuwaje tena mmesema kuwa anakiwanja na kimenunuliwa million 9 ninyi wazazi mnajichanganya sana hiyo pesa yote yakulipa hospital mtapata wapo yan zari ninakuhurumia sana unabeba mizigo mizito mnoo shida wazazi hua wanataka maisha mazuri kwahy wanawaruhusu watoto wao kwenda kutafut maisha nje tena india duh

    • @stellahlinusi8215
      @stellahlinusi8215 6 днів тому

      kiwanja milion9 arafu wazazi wanakaa nyumba za kupanga seriously

  • @mariamuabdalah-z9j
    @mariamuabdalah-z9j 8 днів тому

    Mnaongea utopolo tu hapo,ushaona ga wap kuna kuchomwa kwa Ela ,nyoo hovyo zari Huna haya we dada ,eti ambulance za hewani duuh mnatia aibu

  • @SaraSara-i1l
    @SaraSara-i1l 7 днів тому

    Mnaongea bila uthibitisho.chumvi nyingi

  • @DeodatyVisenty
    @DeodatyVisenty 8 днів тому

    Sida yawatu wagi wako kimasilai sana wakipewa kitu kidogo wanacha waede zao yani nigumu sana jamn

  • @Nuraida-r8x
    @Nuraida-r8x 7 днів тому

    Kwanini msiwasiliane na balozi kwanza akashauri asije akenda akazidisha matatizo

  • @kwambokamkisii3870
    @kwambokamkisii3870 8 днів тому

    Wahindi kama wanakataa kupunguza deni hata kwa mgonjwa ambae ni mzima na amelipa bills, sembuse huyo ambae hajijitambui au marehemu?

  • @wemaMichael-fr4th
    @wemaMichael-fr4th 6 днів тому

    zari uzee huo bado unawaza kuolewa

  • @khadijahassan1962
    @khadijahassan1962 7 днів тому

    Akakope bank kwa haraka

  • @Habiba-i6u
    @Habiba-i6u 7 днів тому

    Kwann Zari huendi na baba

  • @kwambokamkisii3870
    @kwambokamkisii3870 8 днів тому

    Yaani hapo kuna mengi sana hawaweki wazi. Kutaka baba aende inawezekana kabisa wanataka akasaini ili wamwambie alipe deni ili apewe mwili. Na hapo mjue hali si nzuri india, kula kulala kwa huyo baba ijulikane, pia nani atampokea? Maana kule kizungu tu hawajui, akifika airport atapata taabu sana

  • @SaraSara-i1l
    @SaraSara-i1l 7 днів тому

    Hapo ni wapiga deal wote mnataka kiwanja kiuzwe .hakuna lolote kumsafirisha haizidi milion mbili naishi india unazidisha na kuchelewesha mzee nenda wizara ya afya mnacheka nini sasa. Wasichana maiti zinasifirishwa sio gharama hizo.acheni kuongeza sifuri mbele

  • @faridaahmed4013
    @faridaahmed4013 7 днів тому

    Msaada jaman kwan mage si wamesema amefarik au niliona post

  • @Mariamaria-i2x7c
    @Mariamaria-i2x7c 7 днів тому

    Uyo Baba kingereleza ajui ataenda ongea nini na madaktari ?iyo pesa mnaoyotumia kumsafirisha Baba kwenda na kurudi c mmgelipa deni tu

  • @fidelitekarigirwamuyangwa973
    @fidelitekarigirwamuyangwa973 8 днів тому

    Minaona mungeyendo wote zari ukamusaidiya

  • @kwambokamkisii3870
    @kwambokamkisii3870 8 днів тому

    Yaani nyie mjue hapo hakuna cha management wala nini! Hawapunguzi wahindi hata mfanyeje. Hao wanawaweka kwenye mstari tu. Hilo swa sio la mzaha mjue. Huyo mzee namhurumia sana sana tu

  • @OfficialA83640
    @OfficialA83640 8 днів тому

    Zali huyo shoga ako hapo studio usimlete tena anakebei sana yaani anaongea km vile vitu vya kuchekesha haipendezi na ndy huyo voiçe zake zinatembea naongea na Dr wa tz sijapenda tabia yake hebu amuonee huruma huyo mama hapo kwann lkn mwanamke mzìma anaongea maongezi ya dharau hivyo mbele ya wazazi wa mwenzie lione kwanza lilivyotuniana kwa unafiki😏🚮

  • @KristinaJohn-py1eq
    @KristinaJohn-py1eq 8 днів тому +3

    kusafilisha maiti india laki moja ropes sasa mki enda hovyo wana wapiga tatizo kila kitu mna kijua na mmesha wa kana walio kua pale ambao wange wasaidia mambo mengine ila mme wakataa ita bidi mpambane

  • @zayanazayana5518
    @zayanazayana5518 6 днів тому

    Kwani huko India wanachoma tu hawaziki?
    Mzee anakwenda mjue kabisa atafungwa hadi pesa zipatikane

  • @salmaalkindi5735
    @salmaalkindi5735 8 днів тому

    Wenzenu wanashida nyie mnasheka. Kama mazuri

  • @fidelitekarigirwamuyangwa973
    @fidelitekarigirwamuyangwa973 8 днів тому

    Asisaini bado atafute wakusoma

  • @kwambokamkisii3870
    @kwambokamkisii3870 8 днів тому

    Mgonjwa akishafariki tu wanampeleka motuary. hawezi kukaa wodini eti anamsubiri mzazi afike! Kivipi? Yaani maiti ikae kitandani siku zote hizi watu wanapambana na habari zinazobadilika?? Kweli?

  • @khadijatanzania8040
    @khadijatanzania8040 8 днів тому

    😒😒😒😒

  • @mariamuabdalah-z9j
    @mariamuabdalah-z9j 8 днів тому

    Mnatia aibu mwezi mzima hata million kumi hamjachangisha ,kazi kuwachoresha tu, hii tv haina msaada wowote kazi kuongea ongea tu usenge

  • @Mwana-d1u
    @Mwana-d1u 8 днів тому +1

    Uzeni kiwanja kimfaacho mtu chake, vitu vyatafutwa

    • @magrethdaniel8441
      @magrethdaniel8441 8 днів тому

      Hana kama Hana atauza Nini Sasa angekua nayo angeenda kwenye media

    • @Mwana-d1u
      @Mwana-d1u 8 днів тому

      @magrethdaniel8441 wamesema hana nyumba ila anakiwanja, sasa bora wauze

    • @OfficialA83640
      @OfficialA83640 8 днів тому

      ​@@magrethdaniel8441We nawe c umeona wamekubali km kiwanja anacho na sehem wametaja kilipo walinunua milioni 9 na mtu kafika kununua kwa Milioni 12 sasa c bora wauze tu km wanahitaji hili swala liishe

  • @SHARIFAABDULLHA
    @SHARIFAABDULLHA 8 днів тому

    Zali nataka uwe mkemwenzangu uwe bimdogo

  • @HaleemaOsman-r2m
    @HaleemaOsman-r2m 8 днів тому

    ZARI KWAKWELI BABA ANAENDA HUKO JE ANATIKE YA KWENDA NA KURUDI? KAMA NAULI HAITOSHE INAKUWANJE
    BORA WANGEANDIKISHANA KWMBA UMEKUMBALI KUPONGUZA KIASI CHA MILIONI 30 MJUWE KABISA ISIJE IKALETA UKAKASI AKIENDA HUKO INDIA