Mi naona singeli ni mziki wa tanganyika kabisaa... na mazingira yake inabidi yaendane na utanganyika tunaoujua ili ipendeze zaidi The idea ya basketball haipendezi Tufanye inavgotakiwa maana hiyo basketball ni tamaduni ya wamarekani weusi pia... lets do it in our own💪💪
broo we nimkali wa vina had raha ila sasa mabiti yako tang uachan na mensen hayaridhish mashabik kwaiy hapo broo unazid kujipotezea mashabiki na sholo anaeelekea kukunykulia shabik
Huyu Jamaa Huwa nakuelewa sana..japo singeli sipendi Kbsa..they style Yan..But this Guy Doing international SINGELI FOR REAL
Uyujamaa namkubali kinoma tena anajuwa singeli mpaka anabowa man fongo salati baba ww wasanukiye wataelewa tu.
idea nzuri sana hiyo ya basket ball 👌👍
Huyu jamaa anaujua huu mziki wa singeli 😀😀😀
Nakubari mwamba
Msera kuiga co poa
nakubali sana mzee baba
ngoma kali sema naona kama sauti ya beat iko chini hiv__sema kaz nzuri mzee
Hummer 4wheelz kama ulikua kwenye akili yangu
Mi naona singeli ni mziki wa tanganyika kabisaa... na mazingira yake inabidi yaendane na utanganyika tunaoujua ili ipendeze zaidi
The idea ya basketball haipendezi
Tufanye inavgotakiwa maana hiyo basketball ni tamaduni ya wamarekani weusi pia... lets do it in our own💪💪
We have to update the technology according to the time goes!!
gud sana man fongo naelewa ngoma Zak broo
daaaaaaa bonge la ngoma aiseeeeeeeeeeeee nipo zangu kwa mugabe uku ilaaa daaa wanalicheza aiseeeeeeeeeeeeee
Ngoma kali sana sema audio sauti iko chini..big up manfongo
Nmeipenda
Welcome all to TOP TEN KALI chanel
Am from Bahrain I don't know kiswahili bt hii nyimbo duuuh noma I say
Zawadi Mishi ujui kiswahili wewawapi nawaitwa zawadi
@@khadijahussen2763 .
😂😂😂
Man Fongo Karudiiiii
Aah co poa kujifanya mjuaj co poaaa...#we ni 🔥🔥🔥
Nipo tandale ila sijui kishwahili Ila Ngoma nimeielewa
Deovany Vany#966 😅😅😅😅😅kakuandikia Man Fongo.
Deovany Vany#966 a. Ww hatari
😂😂😂😂😂😂
Deovany Vany#966 naalokufundisha kuandika nnani kamaujui kiswahili
Deovany Vany#966 ety cjui kiswahil hujui kiswahil wap ww acha kuzingua bac😂😂
Kama ngoma umeielewaa gonga like twendee sawaa
Athuman kitambulio. sio PW kujifanya unajua
Taking #SINGELI to the next level ... Keep it up Fongo!!
Daaaah cyooo poaaaa hapana chezea mwaaaa
sio pouwah bhaan
Co poa man unaimba vizuri mnoo
CHENGA utoi Pasi.mpambe nuksi. sio poaaaaaaaaaaA!!!!!
kucheza kwake fongo me hoii
Gud man Fongo
#TEAM_FONGO_BOY_NEVER_DIE
Qalii mzee baba
Bora hii kuliko zilipendwa nice job man fongo.....
kweli
ucfananixhe zilipendwa na zingine za ajabu tz
😂😂😂😂😂😂😂😂😂 man fongo umewabwaga ata wale WSZ hawajui kituu
mzeeee baaaaaaaaba
Michano Michano kumaaaa ww
IPO poa
noma xana mamae🔥🔥🔥
Haahahha broooooo umepitaaa wakal wa singeli msagasumuuuuuu
Nzuri man fongo..+254 Mombasa
Cku Kuu saf man
man fongo kzi yako naikubali
Cku Kuu kivip
Gud job bro
mm pia mxanii hila hii ngoma CIO PW
Sio poa kujifanya mchomaji
Nzuri sana man fong
Mkuu umetisha sema nin Fujo za madancer zimepungua
Ngoma Ataree Sanaa
Cyo poa kujifanya mjuaji mamaa aaaah cyo poaaaaaa
pia video bomba sana na umemzid sholo mbali san hapo ila mabit yeny midund ndio yanavuta mashabik katika ngoma za singel
Noma San mjanja kwenye kamer mshamba Anakunja suraa hatar sana mzee baba
Sana mwamba
siooooo pouwaaaaaa
Nakupendaga 2...2020💥
Man fongo nomaaaa
good song gd ideas
noma man fongo
Sio kujifanya mjuaj sio poa gud song
Man fong umetish kinoma
Nice job
FANYA REMIX HIO NGOMA KALI ILA UMEBOA SAUTI
kid kid umeona na wewe ngoma Kali ila sauti inakoroma
safi nimeipenda
nyc fongo
sio mpenz wa singer ila hii hapan
ngoma kar
nzuri saaaaa. .
Siyo poa kabisa
broo we nimkali wa vina had raha ila sasa mabiti yako tang uachan na mensen hayaridhish mashabik kwaiy hapo broo unazid kujipotezea mashabiki na sholo anaeelekea kukunykulia shabik
Nzur sana km yeye
love u manfongo
iko poa
Mwaaaaaaaaaa
nice work
Good hope fongo
man fongo sio poa
sio poa😎😎😎
Maker's Entertainment The really nawa support wasani wa Tanzania wote special man fongo
We are stay Somali tunaiskia sana nyimbo za wasani wa tz
Noma sanaaa!
nice sana fongo
kazi nzur
sio poa kweli
Bomba San
My bst art kwa singeli u kill t man Dah co poa
Kim Basho
Ngoma noma sana
ngoma iko poa
Pamoja man fongo
hatariiii sanaa
good mn 4ng
Nzur
Sio poaaa
Watu navipaj vyao
Waleteeee
daaa kwel sio poa ich kichupa
Ww mapambe nuksi. Siopoa
👏👏👏👏👏
dioosssss salvamee!
I am white man who is listening to this music
Nic sanaaa
kimbizaaaaaaaaa
Nakubare
F0Ngo, ni shidaaaaa
Bang to bang
Uko poa sana
Safiiii
Kibaka king'ast 😂😂😂
hahaha kwel sio poa
Santeeeeeeee
man fongo uko poa
safi
Sio poa 🥰
KWELI SINGELI NI MASHINE JAMANI INABIDI TU UWE MUSIC WA KIMATAIFA
xiopowaaaaaa
kabisa
Bonge LA ngoma nipo marekani naitazama kupitia iphone 32 mana huku tecno hatutumii
Ahahhahahahahhahahhahhhhahahahyayyayayayyaya
Kwel man 4ngo niku leteana nuks