Unacho sema ni kweli,nimezikwa mara tatu’nikaomba kwa jina la yesu naenda uko kaburini,nikatoa mchanga,nikatoa bati,nikafungua geneza,nikafungua,nikatoka,kwa jina la yesu,nikarudisha mchanga nikapanda nyazi,nikapanda miti nikasema sotakufa (Najua kuna kuwanga na domestic witchcraft)yesu akanipa hekma yakushinda
All the Glory ,All the Honor ,All the wisdom ,All the knowledge ,All the understanding be to the Holy One of Israel for this servant of God for this deep teachings for sure you are enlighten many people
Bishop Harrison. Natakanga niwe n pata mahumbiri ya kila Sunday..ata y kila siku..but najaribu..kutafuta venye n eza fanya...ni wapatange..n ni n shindwa..Pls nisaindie n .huku Egypt. Maisha n ngumu..watu hawaendangi church...na ninataka kukalibia mungu sana...wakati nitatoka...huku pastor..ni takunja kwa.church ....katika mahumbiri mingi yako yenye..ni mesikia.naona kabisa ni mimi una humbilia..n Bishop mungu akubariki...kwa kazi yako...
Ndoto naziheshimu sana niliota mara mbili nimeambukizwa ukimwi nikapuzia miezi 3 nikienda kupima ikawa ni kweli so ndoto naziheshimu sana kwa Sasa nipo kwenye maombi na kutumia dawa IHOP MUNGU ataniponya kwa jina la YESU kristo mwana wa MUNGU Alie hai 🙏
Oh .ifeel sorry for you about 3,wks ,niliota nikila food nyama na watu sijui ,THN nikaambiwa nitangojeka ugonjwa ya wanaume,Mimi Nika uliza ugojwa ya wanaume ni Gani hio ,nilionyeshwa symbol picture ya corona virus ,,..imagine wiki haikuisha nilingojeka corona ,lakini nilipona in Jesus name...Am 2weeks now tangu nipone ,,si vizuri kupuuza ndoto
Hi i was pray for USA about what happened after prayer i had the door is open in the world and in the world and in the heaven Amen God bless all Amen over of the world Amen God bless all Amen
Why is it that you can't pause the message without it resetting to the beginning? Please adjust that setting since many of us listen to these messages in parts.
This is for me...my brother our last born ako nyuma yangu, alikufa 3:2017...and hio wiki before akufe alikua ameambia wife yake anataka akuje aniombe 7000 Kuna kitu anataka kubuy na anajua sitamnyima...so akakufa same week before ajakuja...sa nmekua nikiota na yy now within a year nmeota Kama 6times eeeverytime nikiota na yy naota Kama analia...hio kitu hunisumbua sana....n then Niko single and of late nmekua nikiota Kama nafanya sex na mwanamme kwa bed yangu nikiamka Napa Niko wet.....nmekua nikipuuza but now I'll be playing and please pastor playing for me
l always dream am eating food,meat i will wakeup n uproot the seed of sickness n disease satan is planting in my life,one night l dreamed l was drinking something awful green in colour n l vomit some l felt sickly whats that Man of God8
I believe in dream's but mahali nko watu wanapigana Na doto ati hakuna kitu Kama hio, pastor guide me the way forward of this,juu kila time hua naongeleshwa na njia za doto, ukiwapia vita inakua kubwa kwangu maana kila wakati naabiwa waabie maana wao ndio wamenisahau Na kukaa mbali na mm, ila mm sijakaa mbali nawao. Waabie wakae kulingana na mapenzi yangu nami nitajihithilisha kwao.
How can I do..ndio ni sikie sermon y leo..?Ann from Egypt. Help me. Becouse huku hakuna church naenda..naninataka kukalibia mungu sana...nisaindie ndio n patange sermon every day
Pastor can u assist me here first niliota Nikiwa chini ya maji bt sm pple wakanisaida wakanitoa second niliota nikiwa kwa choo then ikabomoka bt ckukufa bro yangu akanisaidia,wat does this mean
Last nigjt i dreamt that my madam boss brought me a very fine mixture of wheatflour,milk,egg,(mostly used for cake baking) what might have been the meaning.? I can only remember appreciating and receiving it.
Cake means marriage but there 2 different marriages in spiritual world, marriage and death. Anyway people will give different answers according to their understanding. So plis find out from a man of God
@@bohboh7692 thanxs..napenda sana kuitwa mtoto wamugu..but sijaokoka n napenda kuenda church..nasijawai pata church yenye n eza enda ..but mimi na penda kuomba sana.n mpaka siku y leo sijawai ona nikijibiwa...
Dadangu Yangu kwanza Kumbali Bwana Yesu Kristo awe Mwokozi na Bwana wa maisha Yako kuanzia hapo utafanyika mwana wa Mungu vile unapopenda kuitwa ...Bwana Yesu Kristo anakupenda sana na Nimetangaza Damu yake Bwana Yesu Kristo ikulinde na kukulinda .
@@peterkioko6816 ..iyo kuokoka ndio yamaana sana kwangu..nandio nataka..nitaokoka. aje nikiwa siendi kanisani..nitaombewa. n nani..sababu niko bari sana..niko Egypt..hakuna kanisa..nasikia2 nikitaka kukua rafiki wakaribu n mungu..nataka kumbadirishiwa maisha..niitwe mtoto wamugu
Niliota nyoka imenia Kisha nikaweuka nikaweuka nyoka halafu nikawa nateseka kujificha ili nisiuliwe na wanadamu then soku Mika Mika nikaweuka binadamu Tena. Na nimekuwa niliota na nasombwa na maji lwa mtu ama maji yenye yako kwenye shimo kubwa but najaribubaka ninatoka ndani ya hayo maji
I have been looking for a true man of God and I thank God I have found one bishop nganga
Me too my dea
This is the best dreams interpretation in UA-cam, sound sober Biblically advice..
Unacho sema ni kweli,nimezikwa mara tatu’nikaomba kwa jina la yesu naenda uko kaburini,nikatoa mchanga,nikatoa bati,nikafungua geneza,nikafungua,nikatoka,kwa jina la yesu,nikarudisha mchanga nikapanda nyazi,nikapanda miti nikasema sotakufa
(Najua kuna kuwanga na domestic witchcraft)yesu akanipa hekma yakushinda
This is my preacher who always encourage me when am down.... God bless you... And I love you man of God
The downloads i have of this Bishop I should lead in getting to Heaven.Eeh Mungu nisaidie
All the Glory ,All the Honor ,All the wisdom ,All the knowledge ,All the understanding be to the Holy One of Israel for this servant of God for this deep teachings for sure you are enlighten many people
God is using this man of God mightily
Really educative,I have now learnt what I should do, kindly need a copy of part 1,2and 3 of the Same preached in 2020
napenda mafundisho ya pastor harrison sana God bless u
My spiritual daddy...I thank God for him...have learned alot under him..en still going strong in the lord
Thanks for the teachings
Bishop Harrison. Natakanga niwe n pata mahumbiri ya kila Sunday..ata y kila siku..but najaribu..kutafuta venye n eza fanya...ni wapatange..n ni n shindwa..Pls nisaindie n .huku Egypt. Maisha n ngumu..watu hawaendangi church...na ninataka kukalibia mungu sana...wakati nitatoka...huku pastor..ni takunja kwa.church ....katika mahumbiri mingi yako yenye..ni mesikia.naona kabisa ni mimi una humbilia..n Bishop mungu akubariki...kwa kazi yako...
Ako on Faith tv youtube
A respectable man of God, long live Arc bishop Harrison Nganga🙏🙏
hallelujah ..true Man of God.God continue using u Arch bishop
My bishop thenkyou and plz some week ago hujakuwa hewani online
❤
My pastor since high school, I love his teachings
Nywele zikikatwa ni lose of glory
Have been blessed by the message, love u Archibishop
Ndoto naziheshimu sana niliota mara mbili nimeambukizwa ukimwi nikapuzia miezi 3 nikienda kupima ikawa ni kweli so ndoto naziheshimu sana kwa Sasa nipo kwenye maombi na kutumia dawa IHOP MUNGU ataniponya kwa jina la YESU kristo mwana wa MUNGU Alie hai 🙏
Pokea uponyani katika jina La Yesu juu kwa mapingo yake tulipokea uponyaji. He his our healer
Oh .ifeel sorry for you about 3,wks ,niliota nikila food nyama na watu sijui ,THN nikaambiwa nitangojeka ugonjwa ya wanaume,Mimi Nika uliza ugojwa ya wanaume ni Gani hio ,nilionyeshwa symbol picture ya corona virus ,,..imagine wiki haikuisha nilingojeka corona ,lakini nilipona in Jesus name...Am 2weeks now tangu nipone ,,si vizuri kupuuza ndoto
Mbona haiplay
Yes I believe in dream. Really God talk to us tru dream. Thanks Bishop
Amen
Nimekwama Apo Kwa Dreams
Kwamuka sasa
We thank God for his servant
Am blessed by your teachings
Am blessed by reverend Ng'ang'a since 2001
God bless ur man of God am blessed amen
Thank you Dr Harrison,God bless you
To God be honour Pastor.
The true teaching of holiness and faith, God bless you always my bishop
Wweee nice to see you hear haha team Moisbridge kitale .
@@annengugi4723 kabisa
My spiritual father I really appreciate your teaching.God bless you and your family
Thank you man of God
I like the sermons
I dream delivering pple from demons I also dream flying on my own when am in danger
Hi i was pray for USA about what happened after prayer i had the door is open in the world and in the world and in the heaven Amen God bless all Amen over of the world Amen God bless all Amen
I felt you were speaking directly to me. Thankyou
Woiyee Mungu anisaidie kwanza leo nimeota lakini sijui kutafusili lakini naomba Mungu anisaidie sana kutafusili na kujua maana ya ndoto zangu
powerful teaching
I always like your teaching big up
Your teaching have been educative to me man of God.may God bless you more.
Thankyou so much if I knew this 1year ago ningejuwa jinsi ya kufanya ,kuota nimependana sana na kijana mmoja alafu tutaachana na ilifanyika hivyo
Why is it that you can't pause the message without it resetting to the beginning? Please adjust that setting since many of us listen to these messages in parts.
Thank you soo much for making us realise 💞God bless you so much 🌠
Am blsd by your teaching Apostle Harrison more grace
Gatwiri Kinyua hallelujah
Inspiration channel nisaidie WhatsApp no.ya Bishop Harrison Ng'ang'a kindly
so much blessed.is there a continuation to this.upload please.
Thank u so vry much🙏🙏🙏🙏🙏
Amen I believe in dreams
Glory to God
🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏❤❤❤❤❤🤲🤲🤲🤲
Waaaa am amazed
thanks mtumishi
Is true i had a dream with our late Dad visiting us and i was asking him if i can go with him which he refused. Please pray for me pastor.
God bless you man of God... Ineed continuation of dreams interpretation sermon .. Very helpful..please share if theres any
Am blessed 🙏
Amen
Great Man of God
God bless you man you are a blessing to many
nice teaching
This is for me...my brother our last born ako nyuma yangu, alikufa 3:2017...and hio wiki before akufe alikua ameambia wife yake anataka akuje aniombe 7000 Kuna kitu anataka kubuy na anajua sitamnyima...so akakufa same week before ajakuja...sa nmekua nikiota na yy now within a year nmeota Kama 6times eeeverytime nikiota na yy naota Kama analia...hio kitu hunisumbua sana....n then Niko single and of late nmekua nikiota Kama nafanya sex na mwanamme kwa bed yangu nikiamka Napa Niko wet.....nmekua nikipuuza but now I'll be playing and please pastor playing for me
Christine go to his church along bunyala Rd. They hold prayers every Wednesday.
Unafaa kuomba Sana dada yangu,dreaming with dead people is so dangerous.
Good preacher
Praise Jesus Christ, m requesting teaching about spiritual circumcision on you tube is possible?
Yes very true
l always dream am eating food,meat i will wakeup n uproot the seed of sickness n disease satan is planting in my life,one night l dreamed l was drinking something awful green in colour n l vomit some l felt sickly whats that Man of God8
I believe in dream's but mahali nko watu wanapigana Na doto ati hakuna kitu Kama hio, pastor guide me the way forward of this,juu kila time hua naongeleshwa na njia za doto, ukiwapia vita inakua kubwa kwangu maana kila wakati naabiwa waabie maana wao ndio wamenisahau Na kukaa mbali na mm, ila mm sijakaa mbali nawao. Waabie wakae kulingana na mapenzi yangu nami nitajihithilisha kwao.
Mimi Kuna ndoto inanikujia mara tatu
I am blessed
Thanks 😊bishop, be blessed 🙌, last month I dreamed about my dead classmate smiling at me what does it mean,♡
I dreamt driving a trailer with my father
Bishop I have dreamt several times about my dead mother.Undly pray for me.
Very nice
Additional information
Paybill
Tumia zile unaona hapo kwa profile
But how come am not clean I fight alot but naota na naona maono na naskia sauti ya mungu am a Christian but not worth it nachapaga watu sanaaaaa
Hahaha utabadilika tuu..
How can I do..ndio ni sikie sermon y leo..?Ann from Egypt. Help me. Becouse huku hakuna church naenda..naninataka kukalibia mungu sana...nisaindie ndio n patange sermon every day
Ann bell . pastor nganga TV live UA-cam hope tv
What you do Is subscribe to his channel, utakua unaget all notifications.
Hivi Mungu huua? Au hupumzisha tu wateule wake pind wakiyasimlia matendo ya Bwana?
Pastor can u assist me here first niliota Nikiwa chini ya maji bt sm pple wakanisaida wakanitoa second niliota nikiwa kwa choo then ikabomoka bt ckukufa bro yangu akanisaidia,wat does this mean
Hio ni mashinda but u are a winner
20:0,
Last nigjt i dreamt that my madam boss brought me a very fine mixture of wheatflour,milk,egg,(mostly used for cake baking) what might have been the meaning.? I can only remember appreciating and receiving it.
Those tend to dream with a wheat flour, milk, honey, those dreams denotes incoming blessings
It can be either in addition a promotion
Cake means marriage but there 2 different marriages in spiritual world, marriage and death. Anyway people will give different answers according to their understanding. So plis find out from a man of God
Mimi kila siku ni ndoto ndoto ndoto mpaka naamka ni kiwa msick
Or driving a car when you don't have one
mm nliota suku mbili nkikimbiswa na nyoka kumbwa
Hio ni spirit Mbaya Sana unafaa kuomba Sana dada
How do we interpret dreams?
Don't interpretations belong to God
God gives interpretation
Kwanini huyu paster hapeani number yake mwisho
Asking for the same
Hello pastor..naitwa Ann. Am in Egypt Cairo ..nafanya kazi ya nyumba..but nimesikia ukifunza kuhusu dream..omuthenya ndotaga n manyoka tofauti..
Am Ann in Egypt ..wordfull word
@@annbell1731 search (Plead the BLOOD of JESUS prayers ) in u tube pray along everyday.
@@bohboh7692 thanxs..napenda sana kuitwa mtoto wamugu..but sijaokoka n napenda kuenda church..nasijawai pata church yenye n eza enda ..but mimi na penda kuomba sana.n mpaka siku y leo sijawai ona nikijibiwa...
Dadangu Yangu kwanza Kumbali Bwana Yesu Kristo awe Mwokozi na Bwana wa maisha Yako kuanzia hapo utafanyika mwana wa Mungu vile unapopenda kuitwa ...Bwana Yesu Kristo anakupenda sana na Nimetangaza Damu yake Bwana Yesu Kristo ikulinde na kukulinda .
@@peterkioko6816 ..iyo kuokoka ndio yamaana sana kwangu..nandio nataka..nitaokoka. aje nikiwa siendi kanisani..nitaombewa. n nani..sababu niko bari sana..niko Egypt..hakuna kanisa..nasikia2 nikitaka kukua rafiki wakaribu n mungu..nataka kumbadirishiwa maisha..niitwe mtoto wamugu
ukiota ukipaka chemical nywele inamaanisha
Hair represents your gory
Niliota nyoka imenia Kisha nikaweuka nikaweuka nyoka halafu nikawa nateseka kujificha ili nisiuliwe na wanadamu then soku Mika Mika nikaweuka binadamu Tena. Na nimekuwa niliota na nasombwa na maji lwa mtu ama maji yenye yako kwenye shimo kubwa but najaribubaka ninatoka ndani ya hayo maji
Na kuota nikiwa uchi kabisa, humaanisha nini?
Be careful unaweza kuwa mchawi.
@@samjohn583 sorry am not a witch and i will never be
@@samjohn583 kama hujui kuhusi ndoto, don't comment
@Joyce Mwangi hiyo umaanisha uombe Bwana Mungu husipatwe na jambo la aibu (kumbuka bila nguo kutoka mwanzo wakati wa Adam na Eve umaanisha aibu).
Joyce Mwangi haujaokoka
Amen
Amen