EXCLUSIVE: Aliyempiga TID Afunguka! / "Aliniomba Hela Nikamnyima / Kweli Namiliki BASTOLA!"

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 28 сер 2024
  • EXCLUSIVE: Aliyempiga TID Afunguka! / "Aliniomba Hela Nikamnyima / Kweli Namiliki BASTOLA!"
    ►Subscribe Channel - / sammisagotv
    ►Twitter - / sammisagotv
    ►Facebook - / sammisagotv
    ►Instagram - / sammisago
    ►Website - SamMisago.com

КОМЕНТАРІ • 1,1 тис.

  • @wilonjahatua2067
    @wilonjahatua2067 5 років тому +1052

    Kama unaamin TID ni muongo na mla unga na hunaamin huyu Ni mpole na mkweli acha majungu gonga like yako hapa 😁😁😂😂

  • @georgebt9545
    @georgebt9545 5 років тому +115

    Hata sura na sauti inaonesha kuwa uyo jamaa ni mzuri Tena mpole....Kama umekubali basi gonga like👍

  • @vanessafarijala3933
    @vanessafarijala3933 5 років тому +587

    Aliyeuona uzuri wa huyo mkaka.... Gonga like hapa 😘😘

  • @danidanieli2630
    @danidanieli2630 5 років тому +36

    kama Umeona navara sport gonga like...wachaga noma

  • @cmsa1r
    @cmsa1r 5 років тому +245

    Kama unahisi jamaa mwenye miwani akiongea anaweza kukutemea mate... chukua mwamvuli halafu kwa haraka gonga like

  • @edwinelias8554
    @edwinelias8554 5 років тому +7

    Tanzania ndio nchi pekee mtu akipewa kichapo anafanana na andazi la kiyahudi km TID gonga meza like hapo

  • @elialucas6140
    @elialucas6140 5 років тому +14

    kama unaamini huyu jamaa ni mstaarabu nembu gonga like hapa

  • @Bigfmedia
    @Bigfmedia 5 років тому +47

    TANGIA NIANZE KUKOMENT HIVI SIJAWAHI KUPATA LIKE HATA MOJA JAMAAN TUSAIDIANEEE

  • @danykephas9551
    @danykephas9551 5 років тому +3

    kma unaamini siku zote msema kwelj hutulia ktk kujieleza na mungu humpa hekima ,gonga like hapa

  • @christophergallus8001
    @christophergallus8001 5 років тому +1

    Mwanangu,let me say this, u a the man,yaani Isee my self on u,umeongea soo fuckin straight,I hate mediaz,ila umenifanya nijue namna ya kuwaambia watu wa media,Sam Misago,waache Shilawadu,u did this ma men,make yo self useful,la mwishoo,lifanyie kazi hlo,tumsaidie Top,ni mwanetu,mwambie bro kiingereza hko ananitesa mm msukumaa,hahahaaa,i need no Like ila kama umenielewa na umemuelewa Sam,piga like moko

  • @peterpain5594
    @peterpain5594 5 років тому +204

    Kama tid nimuongo gonga like

  • @Joniupdate
    @Joniupdate 5 років тому +8

    Wachaga wote like hapaaa

  • @amosraphael1969
    @amosraphael1969 5 років тому +13

    "Maadui mengi" aliyesikia aache like hapo chin.

  • @elimu-rab5917
    @elimu-rab5917 5 років тому +222

    Kama umemkubali mpambe hapo! Gonga like hapa

    • @richardcharles135
      @richardcharles135 5 років тому +1

      Frank Angelo mpambe akuepo ila anatamani kama yeye ndo angepigana 😂😂

    • @LumolaSteven
      @LumolaSteven 5 років тому +2

      Dah! Huyu mpambe yupo vizuri sana nimemuelwa sana

    • @iddikogo4987
      @iddikogo4987 5 років тому +1

      Bro umenifurahisha xana,mpambe ana boresha story.

    • @zulfaadam6316
      @zulfaadam6316 5 років тому +1

      Frank Angelo hahahhaha

    • @princessaidal1130
      @princessaidal1130 5 років тому +1

      Frank Angelo anapamba kweli kweli

  • @selemanimakaranga7645
    @selemanimakaranga7645 5 років тому +94

    Jamaa yuko serious San inaonekana tid amezingua ndo akapata cha moto

  • @pamelameshack351
    @pamelameshack351 5 років тому +15

    Nimemkubali mpambe kwa asilimia 100 haaahaaa anafaa kwa matumizi ya upambe aisee watu tuanze kuweka booking mapema

  • @luganohenry6141
    @luganohenry6141 5 років тому +13

    kam kwel unaamini TID kafulia wenge kama lote 😂😂😂😂na sound nyingi gonga like kama zote!

  • @abuuhatibu3758
    @abuuhatibu3758 5 років тому +3

    Unga..........unga....unga.....mbaya sana ....vijana tuwe makini kama na ww kijana gonga like hpo chini

  • @matesaidris3277
    @matesaidris3277 5 років тому +19

    Kama umeona mpambe anaongea kuliko muhusika wa tukio like kama zote hapa.

  • @nicksonmgale4699
    @nicksonmgale4699 5 років тому +73

    We father ake na chid kisoki umeongea point sana aisee

    • @badrisarum5107
      @badrisarum5107 5 років тому +2

      Dudu.baya.akiongea.mwongo.anakiki.kumbekweli.nyoka.tid

    • @popigagia7183
      @popigagia7183 5 років тому

      nickson mgale 😂😂😂😂😂

  • @godrichmwatindila5690
    @godrichmwatindila5690 5 років тому +45

    Kama unaamin huyu jamaa tanzania alitaman aonekane kw media gonga like

  • @K25795
    @K25795 5 років тому +18

    Kama nawe unakubaliana na cheeed aka alie mpiga tid gonga like hapa

  • @ebbyramadhani
    @ebbyramadhani 5 років тому +22

    Uyo Mpambe Imemuuma sana Kuliko Mlengwa

  • @shanimwakipesile3341
    @shanimwakipesile3341 5 років тому +17

    pole kwa msiba ayo mengine ya ugomvi Mimi hayanihusu

  • @abdallahmsuri9970
    @abdallahmsuri9970 5 років тому +11

    Jamaa kaulizwa una chombo cha moto kabla hajajibu mpambe kajibu chombo cha moto hana😂chid akajibu ninacho ila namiliki kisheria🤣mpambe akadakia tena eeeh anacho🤣

  • @mswanawamswana3129
    @mswanawamswana3129 5 років тому +3

    Kama TID anatakiwa kupelekwa Sober (kituo cha kusaidia kuacha kutumia unga) gonga Like

  • @jameshaule5460
    @jameshaule5460 5 років тому +47

    Jama yupo clear ula huyo mwenye miwani ana talk too much

  • @joycesichone6516
    @joycesichone6516 5 років тому +4

    Mpambe anahasira huyo😁😁😁😁😁😁....sio kwa kingereza hicho😁😁😁😁

  • @khalifasultan2677
    @khalifasultan2677 5 років тому +94

    We Broza Mwenye Miwani Tatizo Unaongea Sana Mpaka Unakosea Baada Ya Kusema Tid Unasema Chid😀😀😀😂😂😂

    • @electronique6956
      @electronique6956 5 років тому +1

      hahahah

    • @ilovejesus9303
      @ilovejesus9303 5 років тому +1

      Kwiiii kwiiiiii kwiiiii

    • @famysalum2740
      @famysalum2740 5 років тому +1

      Khalifa Sultan hahaha yani mimi nilijua yeye ndio muhusika kweli mpambe katisha apo alikuwa anatamani awe yeye yani

    • @kindandakudingwa7514
      @kindandakudingwa7514 5 років тому +1

      Chidy. Ni huyu unayehojiwa. (chidi

    • @georgeminja4525
      @georgeminja4525 5 років тому +3

      Khalifa Sultan sio chid wanamwita Tidi kwa kifupi

  • @peterhenjewele9037
    @peterhenjewele9037 5 років тому +1

    Broo anaongea point na ukweli kama umemuelewa kama mimi gonga like twende sawa....

  • @brother_majesty
    @brother_majesty 5 років тому

    Haya Mambo ya RumbaRumba......gonga like, twende sawa!

  • @michaelsamson9663
    @michaelsamson9663 5 років тому +95

    Uyu jama yuko vizuli ata kimaelezo shida ya TID ataki kuacha ngada ndio chanzo cha tabia za ugomvi.

    • @alyhamad63
      @alyhamad63 5 років тому +2

      Kwangu mm nimekuelewa Sana kaka ila ww muistarabu Sana

    • @riziwanahmed1767
      @riziwanahmed1767 5 років тому +1

      Ajasema chid, amesema tid sikieni maelezo vizuri

  • @deogratiusernest6293
    @deogratiusernest6293 5 років тому +4

    dah huyo mpambe wake mwee.....anakazia maneno tu yah chombo cha moto anacho😂

  • @johnhezlon1891
    @johnhezlon1891 5 років тому +1

    Kama umeona jamaa anafanana na stamina nipe like

  • @kennedymwangala8385
    @kennedymwangala8385 5 років тому +2

    Mpe like jamaa hana ugomvi,mla unga anastahili kuumizwa.From Zambia_Lusaka

    • @kennedymwangala8385
      @kennedymwangala8385 5 років тому +1

      Hata jamaa usidaut hela nyingi

    • @Athuman-tz2xg
      @Athuman-tz2xg 5 років тому +1

      Kama umeeona huyu mweusi anaongea ili asaidiwe gonga like hapaaa

  • @abunerimjasiriamaliwamwang6171
    @abunerimjasiriamaliwamwang6171 5 років тому +25

    hili jamaa lenye miwani lina akili sema linaongea sanaaa

  • @swaumumustaphamapondanga4707
    @swaumumustaphamapondanga4707 5 років тому +4

    Pole kaka kwa msiba....hiyo elf 20 tu🤣🤣🤣🤣imemtia kichwa maji TID unga sio ishu

  • @patrickshija9012
    @patrickshija9012 5 років тому +9

    TID kumbe anakula unga halafu alikua anamsemanga Prezzo wetu wa kenya kumbe hana lolote anaishi kwa mamake

    • @michaeljerome4595
      @michaeljerome4595 5 років тому

      Ni majambazi hao sunaliona kamahiro lenye miwani meusi

  • @heriramadhani1493
    @heriramadhani1493 5 років тому

    Nlichogungua n kuw watu weus wengi wana gubu kam na wew umeon gonga like twend saw

  • @deogratiusernest6293
    @deogratiusernest6293 5 років тому +5

    huyu mpambe atakua ni kaka ake na mpoki😂😂😂😂 mana mule mule yan

  • @awadhirajabu7754
    @awadhirajabu7754 5 років тому +49

    Nanyinyi Acheni Kumponda Mwenye Miwani Awa Ni Marafiki Sasa Mkiwa Marafiki Wa Kweli Mtapambana Hata Kwa Kujibu Swali Ndio Seemu Ya Marafiki Jamani Kwa Marafiki Bola Lakini

    • @sultanmganzira4388
      @sultanmganzira4388 5 років тому

      Awadhi Rajabu mwenye miwani ananjaaa Kali sana

    • @nuruabraham3769
      @nuruabraham3769 5 років тому

      Awadhi Rajabu hahahaaa umeona umtetee mwenye miwani, ila kweli aisee wasimdis kiivyo

  • @ismailsteve8594
    @ismailsteve8594 5 років тому +1

    Kama umegundua kwamba mpambe kavaa jezi ya taifa stars kwasababu RC makonda kasema kua hata wakikuleta kituo cha polisi kama umevaa jezi ya taifa itakua afadhali nipe like😂

  • @DIweni
    @DIweni 5 років тому +33

    akija mpige tena sawa bwana Chid😁

  • @willydangote4095
    @willydangote4095 5 років тому +231

    SAWA ILA MZEE BABA NGUMI ZAKO ULIPAKA AMILA NINI MAKE TID KAVIMBA SANAAAA😂😂😂😂😂😂

  • @nikitadiamorelivingstone2831
    @nikitadiamorelivingstone2831 5 років тому +31

    jamaa mwenye miwani ni mpambe hataree, ila TID anaonekana kazingua.angeacha tu kutumia unga.

    • @bilalichadimba3936
      @bilalichadimba3936 5 років тому

      Huyo mpambe Anaishi town kupitia huyo Jamaa mwenye Cap

  • @mwanahalimamwachili9679
    @mwanahalimamwachili9679 5 років тому +2

    Mkaka wa Watu Mpole Kweli Kaelezea Vizuri sana, Msamehe bure Kaka Jambazi.Chezea Unga Weeeee Alivianzisha Mwenyewe na Akapewa alicho Stahili.

  • @djfiremoto3429
    @djfiremoto3429 5 років тому +58

    Huyo Mwamba Mwenye Miwani Anaongea Sana kama Ndio Muhusika Au Ni Chawa Wa Jamaa Hapo Maana Daah😂😂😂

  • @professorabdullah2300
    @professorabdullah2300 5 років тому +89

    #TID kapoteza dira. Halafu kapigwa then anajipost yeye mwenyewe, yani aibu tupu, tabia hizi za #kiki waachieni underground

  • @arushayouthartsfoundation3943
    @arushayouthartsfoundation3943 5 років тому +1

    Kama unaona TID alifaa kupigwa zaidi ya hapo gonga like yako hapo (ingekuwa ni huku chuga asee sijui jomba kama angeachwa kiivo hao masela wana huruma sana)

  • @gwantadibusta
    @gwantadibusta 5 років тому +29

    Huyo jamaa tanzania ni mpambe kinoma

    • @rashidkassim7836
      @rashidkassim7836 5 років тому +1

      Hahaha hapana jamaa wa Tanzania sio mpamba Bali ndio boss wake wa kumuonyesha ramani ya kusaka pesa mjini ndio maana anamwita baba na si mpambe au sema tu rafiki wa kweli

    • @zephaniamayeye4902
      @zephaniamayeye4902 5 років тому +1

      😃😃😃😃😃😃😃😃😃napita tu

  • @mussataliye7815
    @mussataliye7815 5 років тому +3

    Kama umemuelewa mpambe gonga like

  • @anelkaking9342
    @anelkaking9342 5 років тому +67

    Bro umeongea vizur mchizi ajielewi.

  • @mohamedkitiku3970
    @mohamedkitiku3970 5 років тому +7

    Dar Jamaa yuko poa sana inaonekana T I D kazingua una mtazamo wa mbali sana brow unaonekana pia sio mtu wa ugomvi nakupongeza sana kwa busara

  • @Views-mf8ir
    @Views-mf8ir 5 років тому +9

    Ivi kwanini Machalie wengi wa Moshi wanamiliki pipe ...!??
    Kila chalie ya moshi anamiliki pipe..

    • @vicenthokororo6339
      @vicenthokororo6339 5 років тому +1

      magangwe haoo babuu😅😅

    • @badiboythefearless9163
      @badiboythefearless9163 5 років тому +1

      Dah mwanangu moshi watu wake wengi hasa hao machalii wanaishi kiujanja ujanja sana na wengi ni wapiga dili

    • @eusebiopeter9344
      @eusebiopeter9344 5 років тому +1

      Mac Kiteka Asilimia kubwa Biashara zao huwa zina ruhusu hasa za madini..............

  • @LumolaSteven
    @LumolaSteven 5 років тому +6

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
    Ila huyu mpambe amezidi Dah! Yaani hapo mwishoni anakazia kwamba TID alikuwa ameshapigwa.
    Huyu Mpambe hafai kuwa shahidi mahakamani unaweza ukafungwa. Ila nimecheka sana

  • @hassanmayenje7224
    @hassanmayenje7224 5 років тому +6

    Mm na mpenda sana T I D ila kwaili amezinguwa tena kazinguwa na kaniboa kishenzi sana pumbavu sana

  • @philiposam6684
    @philiposam6684 5 років тому +7

    Uyo mpambe apo pembeni kafuata kauli ya mkuu wa mkoa wa dar ukivaa jezi ya taifa ukamatwi ndomana t.I.d kadundwa na jamaa ajashikwa. Dadeki

  • @edwardsichilengwe2330
    @edwardsichilengwe2330 5 років тому +1

    huyo mwny miwani kama sybog ana muonekano wa kihipop ila mdomo wa singeli. Too mch talking, huyu atakuwa anakaa kwa dadake sio siri 😁😁😁😁😁😁😁😁😁

    • @musaalex2579
      @musaalex2579 5 років тому

      😁😁😁😁😁😁😁

  • @mohamedfogo8820
    @mohamedfogo8820 5 років тому +32

    Washkaji
    Wamemtwanga T.I.D
    Alafu wanatumia fursa kujitangaza.safi sana,

    • @eliasaphbussa9332
      @eliasaphbussa9332 5 років тому

      😂😂😂😂

    • @abassking8296
      @abassking8296 5 років тому +1

      Tid mla unga ukimzoesha kuna hela siku ukimwambia huna Ana react ndio tid alivyofanya

    • @maryamashmrei9999
      @maryamashmrei9999 5 років тому

      😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 wamemtwangaaa😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @manmacho6529
    @manmacho6529 5 років тому +6

    mwenye miwan mwanzo nilijua ni bodgad ila huku mwishon kaongea kama shabiki wa mpira😀😀😀😀😀

  • @sponsor7882
    @sponsor7882 5 років тому +5

    KAMA UNADHANI HUYU JAMAA ANAWEZA PIGA PIA MY MAY WHEATHER COS NGUMI ZAKE ATAR,gonga like

  • @mwamengele
    @mwamengele 5 років тому +5

    Huyo msela kulia ana ushawishi balaa tulisoma nae IFM, mtu poa wa kusaidia watu sana. Aliongoza mgomo mmoja pale ifm mpaka tukapata haki zetu

    • @upendorobert7298
      @upendorobert7298 5 років тому +1

      Mengele Ugulumo anaonekana tuu, sema watu huwa hawaelewi uumbaji wa Mungu, mnaomponda kuwa anaongea sana, hiyo.ni tarent yake, mnafikili wote tutaringana. haitakaa ikawezekana hata siku moja

  • @mangalilikilawe6788
    @mangalilikilawe6788 5 років тому +79

    Uliona wapi mchaga anatoa hela hovyo ,, ukilazimisha unakula ngumi

  • @ben-kings8954
    @ben-kings8954 5 років тому +5

    Mbona zeze tulielewa tu,, those men have brains,, wako fyn

  • @faustinebupamba271
    @faustinebupamba271 5 років тому +1

    Huyo mweusi kama Lami ndiye Baba yake Chid 😂😂??Bro hebu kuwa siliazi kidogo unawezaje kujiita baba wa mtu ambaye mnalingana umri,au labda wewe baba yake wa Kiroho 😂😂😂

  • @deodathacharles6248
    @deodathacharles6248 5 років тому +9

    Ii interview nimeskiliza sauti ya uyu kaka nzuriii😋😋😋😋😋

    • @petersilver5508
      @petersilver5508 5 років тому

      Wow mi pia nna sauti nzuri zaidi ya hyo ukitaka kuamin nicheki 0716 540424

    • @gracerossie7813
      @gracerossie7813 5 років тому +1

      😂😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @abednego3876
    @abednego3876 5 років тому +13

    Mnamuendekeza sana uyo Kenge

  • @abdyhotty3507
    @abdyhotty3507 5 років тому

    uyo jamaa wa pembeni nimempenda Sana anaijua kazi ya upambe km umeliona hilo gonga like za kutosha

  • @japhetshirima8697
    @japhetshirima8697 5 років тому +4

    Anacho chombo cha moto ! ...Anacho ! ....😂😂😂😂😂 Huyo jamaa mwenye jez mpambe kinoma.

  • @zuleyvendor6577
    @zuleyvendor6577 5 років тому +6

    TID keshakuwa wa ovyo kabsa😂😂😂acha waligonge

  • @jeniferlukas7346
    @jeniferlukas7346 5 років тому +89

    Huyu ndomwanaume naemuhitaji,,,yani nataka uniletee habali yaumepiga,,cyo umepigwa,,TID angekua mumewangu ningempa likizo

    • @Pedeshee01
      @Pedeshee01 5 років тому +2

      Jenifer Lukas 😁😁😁😁😁ungemwambia talaka ushaiandika aje weke signature tu,ila Jennifer nitakuoa mimi.

    • @ilovejesus9303
      @ilovejesus9303 5 років тому

      😄😄😄😄😄

    • @salimmohamed694
      @salimmohamed694 5 років тому +2

      Ushamshobokea mume wa mtu

    • @issamkondoa7183
      @issamkondoa7183 5 років тому

      Wee Jenifar wewee 😆😆😆

    • @pendokileo7882
      @pendokileo7882 5 років тому

      Ha haaa!!!

  • @paulmadundo8084
    @paulmadundo8084 5 років тому

    Nimependa sana presentation zenu jamaa zangu, mko vizuri sana and so professional...hongereni sana, taifa linahitaji watu wastaarabu kama nyie kwa wingi

  • @edwingwesso129
    @edwingwesso129 5 років тому +2

    Kama tiaid Ni msenge na muongo gonga like

  • @shomytventertainmenttanzan7842
    @shomytventertainmenttanzan7842 5 років тому +15

    I was there tid mkorofi sana kwakweli Yani alianza kurusha machupa fala sana

  • @sergebaleke1432
    @sergebaleke1432 5 років тому +3

    Kama na wewe umegunduwa kama huyu jama mwenye kofiya nyeusi ni masai gonga like twende pamoja

  • @renatuskanunu8305
    @renatuskanunu8305 5 років тому

    Kama umesikia when you have a many Friend gonga like

  • @richardngendakumana2871
    @richardngendakumana2871 5 років тому +13

    Mumejiezea paka mukajitukana 😆😆😆

  • @jeniferlukas7346
    @jeniferlukas7346 5 років тому +7

    Yani akutandike ngumi ukae kimya,,huyo mzazi wako au,,yani bro ungekaa kimya ungekua umama..kalusha ngumi yakiteja,,we umempa ngumi ya kijambaziiiii

  • @footballrus8073
    @footballrus8073 5 років тому +3

    konk kumbe hajakoseya alivokuwa akisema leo wametokea watu wengine wanayasema alosema dudu baya kwahiyo dudu baya huenda akawa anayo yasema yana ukweli

  • @mathewbundu235
    @mathewbundu235 5 років тому +1

    Duh mzee wa miwani meusi a.k.a mzee wa kurukia na kujibu maswali yasiyomuhusu 😂😂😂 huo ndo upambe bwana

  • @lameckmtegetu4034
    @lameckmtegetu4034 5 років тому

    tatizo bahadhi ya wasanii wanapenda maisha ya kuigiza kuliko vipato vyao sasa kapata haibu kumbe nayeye anakula unga pia nimtoto Wa Mama na anapenda jeki pole yake

  • @andrewmallya6455
    @andrewmallya6455 5 років тому +39

    hahhahaha...chalii ya home kwetu kabisa....umenichapia mtu bhana

  • @princehancesam9892
    @princehancesam9892 5 років тому +3

    gonga like kwaajir ya huyu jamaa

  • @evaristmandilindi6147
    @evaristmandilindi6147 5 років тому

    MIMI MZEE WAngu alinihasa mwanangu epuka kupiga watu hawa utaua na kufia jera MLEVI, KICHAA, NA MGONJWA!

  • @elishajonas
    @elishajonas 5 років тому +2

    anahojiwa chidy anajibu mwingine mjomba tulia😂😂 TID acha unga unazingua

  • @beautywithnay5974
    @beautywithnay5974 5 років тому +146

    Uyo mwenye miwani dizaidi kama mpambe ivi 🤣🤣🤣🤣🤣🤣👊👊👊👊👊👊 anasopoti ili apate mtonyo nayeye hahahahaaa 🤣🤣🤣🤣🤣👊👊👊 tid amepotea

  • @malakimoses6115
    @malakimoses6115 5 років тому +5

    Big up bro umemtoa vibagia TID maana amezidi huu ni ugomvi wake Wa pili alimzingua Hashim thabiti pia alimdunda

  • @josephkisaro1377
    @josephkisaro1377 5 років тому

    Kisoki kosa lako moja tu, umetoka kumzika baba yako bila kufika home kwanza, ukapitia bar , ukakutana na kisirani

  • @gallousgosbert4993
    @gallousgosbert4993 5 років тому

    Wacha apigwe tuu yeye ndiye mchokozi bro big up sana ungekuwa karibu ningekupatia ya beer.

  • @maulidmkana791
    @maulidmkana791 5 років тому +7

    Mjomba hapo umefeli hauwezi jitangaza kama unachombo cha moto hatakama unamiliki kihalali hauwezi juwa wengi wanahitaji wawe navyo... Kula kimya hatakama unayo

    • @sadockalfred6750
      @sadockalfred6750 5 років тому +2

      Acha kupotosha maulidi kujitangaza sio kosa kisheria ilimradi unakimiliki halali hata wewe kama unahtaji kuna utaratbu vigezo na mashart unafata unaweza ukakimiliki

  • @immamrema2288
    @immamrema2288 5 років тому +70

    Kipigo cha mbwa koko 😅😅😅T.D.I..umeyakanyaga

  • @hamisisha
    @hamisisha 5 років тому +1

    Jamaa kasema kweli kabisa' alisema kaacha kumbe bado TID anabwia unga njaa sana

  • @thomasapolinary4966
    @thomasapolinary4966 5 років тому

    Nakumbaga ishu ya asheem thabit na tid pia ali tid aliongea uwongo hvo hvo ...yaaan tid ni mjinga saaanaaa sio mara mmoja...mtoto akililia uwembe mpe kama.umefrahishwa na tid kupewa uwembe gonga like.

  • @alishauri5721
    @alishauri5721 5 років тому +6

    TID starehe za madawa anapenda na ndo maana hana maendeleo ,yaani broo kamtandike tena ajue kua pombe c chai .

  • @evachriss5906
    @evachriss5906 5 років тому +9

    Wewe kaka mzuri ,,ungempigaa kisawasawa mbak ashindwe maji,, aitee mmaaa

    • @veradoneys7127
      @veradoneys7127 5 років тому

      Eva Chriss 😂😂😂chiz ww

    • @evachriss5906
      @evachriss5906 5 років тому

      Hahaha ,,,, uchiz wangu nn jmn wkat mm nimeongea kwel

  • @kamgomoli3650
    @kamgomoli3650 5 років тому

    Brothers mmeongea vzr sn kuna kitu nmeokata leo ili kinisaidie degree yangu izidi kunipa faida. Kuishi peaceful ndo mpango mzima

  • @cesymemba4176
    @cesymemba4176 5 років тому +11

    Tulio elewa chombo cha moto tunacomment wap?

    • @fx-brigade471
      @fx-brigade471 5 років тому

      😂😂😁

    • @ananialijahe9957
      @ananialijahe9957 5 років тому

      Mambo samahani naomba unisapoti kusubscribe kwenye link hii hapa
      ua-cam.com/video/-Gl7sl_pFtc/v-deo.html

    • @ananialijahe9957
      @ananialijahe9957 5 років тому

      @@fx-brigade471 mambo samahani naomba unisapoti kusubscribe kwenye link hii hapa

  • @tracejeezy8917
    @tracejeezy8917 5 років тому +43

    HUYO MWENYE MIWANI NAMMAINDI KINOMA ANA KIHERE HERE KIMBELE MBELE NA ANAWEZA KUHARIBU SHUGHULI ,,KAMA NDIO SHAHIDI ANAWEZA HARIBU JAMBO

    • @kurthumkaswalala9142
      @kurthumkaswalala9142 5 років тому +1

      hahaha imebidi nimtizame kwa makini kweli ana kihelehele

    • @tumainimango8140
      @tumainimango8140 5 років тому +1

      Trace Jeezy hahaaaa

    • @user-qy6li2to1k
      @user-qy6li2to1k 5 років тому

      Hahahahahahaaa!! Mwana anataman yeye ndio angempga,, na hap hajakuwepo,, xx angekuwepo jee??

    • @eneolatukio8493
      @eneolatukio8493 5 років тому +2

      Ni rafiki mnafiki hana lolote!!shabiki maandazi..

    • @ilovejesus9303
      @ilovejesus9303 5 років тому

      😅😅😅😅😃😃😃😁😁😁

  • @haliimomar1692
    @haliimomar1692 5 років тому +1

    Hio ni kweli TID anatabia za ajabu hata Mimi nilitoka nae out nikampigisha pare sanaa na hela zangu mwenyewe Mara ghafla aniletea usenge maneno mengi nikamuepuka

  • @loner_wolf
    @loner_wolf 5 років тому

    Truth..Tid mpk anarusha ngumi ya kuanza ugomvi anaonekana tayari t-shirt imechanika as alishapigana awali..... Hilo tatzo kwel kwel .