GOOD LUCK THE TITLE DEEDS ARE UNDER TASHY NAMES SHE IS A LAND OWNER NOW

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 11 вер 2024

КОМЕНТАРІ • 128

  • @justinekalunga8488
    @justinekalunga8488 25 днів тому +9

    Mbona muna change documents kwa kichaka, kwani hakuna hata office ambayo inashugulika na hii mambo ya documents, pia Hakuna stump imewekwa yaku hakikisha kwamba zime badilishwa. Mimi naona nikama Tashy amepewa photocopy na sio Original. Ebu muende muconfirm kwa office yenyi ina husika na mambo na shamba na hivyo vyote muone kama niukweli. Cause mimi sioni poa hapo.

  • @user-ns3so9wv1f
    @user-ns3so9wv1f 24 дні тому +1

    Ww dada ombatu mungu akurudishie vitu zako zote
    Mambo ya wivu weka kando
    Ww nyenyekea Tu kwanza.

  • @charitynakanata3172
    @charitynakanata3172 25 днів тому +7

    Weee mimi sione hii kitu ikiwa ukweli juu transfer ni lazima tash awe na pin number passport na id hapo mfalme anawapima akili yangu nilifanyiwa Friday na nilipeana hizo vitu na mwenye anapiga transfer 😂😂😂😂

    • @UsilaChepchumba
      @UsilaChepchumba 25 днів тому

      Mimi kwangu ni muhusaji ndio uwa ana tranfer na chief ama hio ji uongo yawa😅😅

    • @vanisnyangewso
      @vanisnyangewso 25 днів тому +2

      Aky pia mm

    • @charitynakanata3172
      @charitynakanata3172 25 днів тому

      @@UsilaChepchumba chief hawezi wewe ni lazima kuwe na mtu wa land hapo

    • @Rizzymwachupa3418
      @Rizzymwachupa3418 24 дні тому +1

      Kama uko karibu pls pigia Angib umweleze hiyo ni uongo

    • @charitynakanata3172
      @charitynakanata3172 24 дні тому

      @@Rizzymwachupa3418 niko mbali but mwambie hiyo kitu uwa inafanywa na lawyer si mtu na lazima tash apeane passport, diplacate id na pin number same to mfalme atapeana hizo vitu na titles peke ni 12k na asidangagwe hapo na mfalme aki mimi Niko na 2 titles na uwa nafanya hivo nakwambia

  • @MERCYmercy-rl3lu
    @MERCYmercy-rl3lu 25 днів тому +3

    Hii nayo ni uongo inafaa waede kwa office ya mashamba na I'd hapo hi ni uongo

  • @paultororo
    @paultororo 25 днів тому +7

    😂❤ JUST FILLING D FORMS IS NOT ENOUGH, ITS UNTIL D NAMES CHANGE AND REGISTRAR CONFIRMS NOT JUST MFALUME D CROOK,
    😂❤MFALUME WORKING HARD TO FOOL U PIPO

    • @jumaraha
      @jumaraha 25 днів тому

      @@paultororo What are the requirements for land transfer in Kenya?
      The seller should bring specific documents, including the Land Control Board Consent Form, KRA pin, passport-sized photos, old title deed, sale agreement, and change of ownership documents. The transfer typically takes about three weeks and costs 1,000 to 2,000 Kenyan shillings, varying by county.

    • @JamesNgala-g3c
      @JamesNgala-g3c 24 дні тому

      Huyu mdada anadanganywa, hii kitu inastahili kufanywa kwa office ya lands na aliyeuza aweko ili documents zote zibalishwe both sides. Agie na Tashy hawaelewi haya mambo nao hawafuatilii kiumakini haya mambo. Naona hii plot akipokonwa huyu Tashy na mwenye plot halali. How can you sign sensitive documents in the bush without proper procedure?

    • @paultororo
      @paultororo 24 дні тому +1

      @@jumaraha woow!! Thx soo much, how i wish Agie & Tashy read ds GREAT ADVISE.
      DY R BOTH NAIVE ABOUT LAND TRASACTIONS AND MFALUME KNOWZ DAT

    • @paultororo
      @paultororo 24 дні тому

      ​@@JamesNgala-g3c Exactly bro, dats what annoyed me more, and u see them posting everywhere how dy r very happy. Agie is misleading Tashy. Those who can ring Agie kindly do so and alert her about MFALUME FRAUD!!

  • @Josephinelatin
    @Josephinelatin 25 днів тому +1

    Mm sijaona kama ni ukweri coz huyu mfalume ni mkora sana be careful but anyway ajahakupe mahali yako yote .Thank u so so much Angie and rizy for your gd work be blessed keep it up

  • @charlesopudo7192
    @charlesopudo7192 24 дні тому +3

    Caro, use a lawyer to fill out all the necessary paperwork pls, make sure the land is legit. Sale the lands, and any other property Mfalme returns, buy elsewhere, unknown. The reasons being, this people might plant evil on that land, that you may never develop, or harm you. Be very very careful each step you make.

  • @charitynakanata3172
    @charitynakanata3172 25 днів тому +6

    Aggie hapa kuna kitu moja sielewi juu kupiga transfer ni lazima tash apeane pin number passport na id how come ni kusign hapo akuna kitu mfalme ana wapima akili

  • @damariskemuntoorina6018
    @damariskemuntoorina6018 24 дні тому +1

    Hizo vitu lazima kukuqe na lawyer kwani mfalme ndiye anawaongoza.mko kwa box walai.hakuna ukweli hapo😮😮😮think twice mbona hamkuenda kwa office.he knows wat he is doing Tashy utalilia kwa choo 😮😮

  • @irenemwihaki5569
    @irenemwihaki5569 25 днів тому +3

    Angie hii sione kama nikuli.. huyu kijana ni mukora tu kwa kichaka ?? Dunia Chuka..

  • @sositenaeddie
    @sositenaeddie 24 дні тому

    Huyu mfarume ni mkora wa jiji chungeni sana mimi naona hakuna shamba yake hapo

  • @nancynyaboke2719
    @nancynyaboke2719 25 днів тому +2

    Hizo vitu kwani zinafanyiwa kwa shamba?na sasha ako wapi pia a sign kikubali amepeana?haki si angie m apimwa akili😂😂😂

    • @julietsoita1401
      @julietsoita1401 25 днів тому

      Am wondering too 😢kwani akuna kuenda kwa office za lands kuna vile mtu anachezwa apa

    • @BellaAYIEKO
      @BellaAYIEKO 24 дні тому

      Angie mwenyewe wazimu

    • @chustekimani
      @chustekimani 24 дні тому

      😂😂😂𝕡𝕚𝕒 𝔸𝕟𝕘𝕚𝕖 𝕒𝕞𝕖𝕜𝕦𝕨𝕒 witness😂😂😂😂😂😂

  • @josieinyanji2122
    @josieinyanji2122 25 днів тому +1

    Si kwa ubaya bt hizo nguo zenye unavaa si poa hizo vaa kama uko na brighton bt si kwa public aki

  • @lizanasambu2125
    @lizanasambu2125 24 дні тому

    Angie na tashy hapa mm sijaamini ju mnachange aje vitu za shamba na mwenye aliuza hakuna na mashahidi wako wapi? Na survey ako wapi na office hata mtu mmoja hakuna hata stamp ya office hakuna ak angie na tashy mm naona bado hapa kinawaramba ju hamuezi fanyia vitu kwa kichaka badala muende kwa office 😮😮😮

  • @user-ul8hm4dj4c
    @user-ul8hm4dj4c 24 дні тому

    Angie jaribu kuvaa nguo mrefu plz tunapenda job yako na tunakupenda but mavazi unachoma valia hata trousers plz

  • @charitynakanata3172
    @charitynakanata3172 25 днів тому +1

    😂😂😂😂😂 Aggie aki weee transfer kwa kichaka😂😂😂

  • @LYNOFFICIAL254
    @LYNOFFICIAL254 25 днів тому

    Shida ni arudiane na mfalme zitachukuliwa tu anafaa aanze maisha yake peke ake

  • @user-ul8hm4dj4c
    @user-ul8hm4dj4c 24 дні тому

    Mchunge pia asiwapeleke shamba la wenyewe mpigwe

  • @maggiekanorio4905
    @maggiekanorio4905 24 дні тому

    How now mnabadirisha documents kienyaji aje nani ataweka stamp

  • @AminaAnasi
    @AminaAnasi 24 дні тому +1

    Uyo lawyer wa mfalme aneza kua mkora n muende kwa office of lands ndo kila kitu iwe sawa bora this a hand written kumbuka..plz take note..uyu jamaa n mjanja kitawaramba

  • @NusuraAsman-uj3we
    @NusuraAsman-uj3we 25 днів тому +1

    Muende naye kwa lands jina title deed ikue transfered bure mnafanya kàzi bure

  • @jumaraha
    @jumaraha 25 днів тому +1

    What are the requirements for land transfer in Kenya?
    The seller should bring specific documents, including the Land Control Board Consent Form, KRA pin, passport-sized photos, old title deed, sale agreement, and change of ownership documents. The transfer typically takes about three weeks and costs 1,000 to 2,000 Kenyan shillings, varying by county.

    • @nyamaimutheu2073
      @nyamaimutheu2073 24 дні тому +1

      Hii ni kipindi tu

    • @chustekimani
      @chustekimani 24 дні тому

      😂😂😂😂😂𝕡𝕙𝕠𝕥𝕠𝕔𝕠𝕡𝕪😂𝕨𝕒𝕟𝕒𝕤𝕚𝕘𝕟 𝕞𝕒𝕣𝕣𝕚𝕒𝕘𝕖 𝕔𝕖𝕣𝕥𝕚𝕗𝕚𝕔𝕒𝕥𝕖😊

  • @Dorcus-cp5wj
    @Dorcus-cp5wj 24 дні тому

    Hapa Kuna wafala wawili... kabisa hamujui Land names exchange? Bado Tash utalia hajielewi

  • @saudatoto3010
    @saudatoto3010 24 дні тому

    Enda ziangaliwe izo papers tash

  • @jeniffermugoya344
    @jeniffermugoya344 24 дні тому

    Hii ni mambo yakufanyika kwa wakiri eda kotini uchikue evidervity Dio uweze kubadilishiwa documents

  • @bettytonny.
    @bettytonny. 24 дні тому

    Plz confirm whether those documents are original bcz the way mfalme is talking,,,,,weeee kuna doubt somewhere.

  • @CarolineGatua
    @CarolineGatua 25 днів тому

    Mtajua hamjui,mnatrasfer kwa kichaka

  • @user-ul5vq1lh3x
    @user-ul5vq1lh3x 24 дні тому

    Angie be serious hizo documents haziko original na pia endeni kwa office za land mcornfum ka siko sawa

  • @RuthGwako-ro9wl
    @RuthGwako-ro9wl 24 дні тому

    Mnapoo na iyo jina

  • @Esendi564
    @Esendi564 25 днів тому

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂sacha nicheke hero mmngu ale doo kuliko mtu sijui transfer hizo ducumments mngeenda kwa land kitamramba tu alibuy pekeke😢😢😢😢

  • @marikana8846
    @marikana8846 24 дні тому

    wapi lawyer nyinyi mnatupima

  • @user-ct5mz9oi9o
    @user-ct5mz9oi9o 25 днів тому

    Office ya land plz ndio mhakikishe ziko swa

  • @user-yn7hy1iz9j
    @user-yn7hy1iz9j 24 дні тому

    Hapa niuongo coz hapo nikwa kichaka na kucharnge nilazima I'd zenyu mbona mnabebwa ufala

  • @CaroJerry
    @CaroJerry 24 дні тому

    Mbona hamngeenda kwa office mna sai namkora pekeyenu😢😢😢😢

  • @freeliketrips9063
    @freeliketrips9063 24 дні тому

    Kwani mnafanyia kwa shamba
    Go to the lawyer or lands

  • @paultororo
    @paultororo 25 днів тому

    😂❤ FILLING FORMS IS JUST AN APPLICATION, WAIT UNTIL LAND REGISTRAT CONFIRMS.
    🎉MFALUME KNOWS U DONT KNOW LAND ISSUES, I SEE HIM EVEN SHOWG U WEYA TO SIGN,...

  • @lydia2696
    @lydia2696 24 дні тому

    Si inastahili kwa office bna wee

  • @MarthaMoraa-vb1gz
    @MarthaMoraa-vb1gz 25 днів тому

    😂😂😂kitawaramba ni yy alitengeneza hiyo title ange peleka ibadiliswe😂

  • @Esendi564
    @Esendi564 25 днів тому

    Angle and rash haoni huo ni ukora land transfer mbona mkienda uko na kwani alibuy pekeyngu hiyo land bila mtu hiyo ni kamba mmejiingiza

  • @esthermangoli907
    @esthermangoli907 25 днів тому +1

    Chunge mfalme asiwe anakudanganya,ukipata vitu zako unaweza kupea kiac juu hata ungeandika mtu wa kuchunga si ungemlipa

  • @CarolineGatua
    @CarolineGatua 25 днів тому

    WJinga kichaka ndio office 😂😂

  • @pamelakavochi
    @pamelakavochi 24 дні тому

    Wewe msichana utarudi kulia,akuna ukweli

  • @charitynakanata3172
    @charitynakanata3172 25 днів тому

    😂😂😂😂😂😂mfalme leo ako na hasira😂😂😂

  • @Elizabeth-hy4gr
    @Elizabeth-hy4gr 25 днів тому

    Kwani lazima mtransfer kwa busy ama mhm sichahelewi akh bt Tasha pewa vitu zako utembee kubwa kubwa uyo mwanaume wako ni mkola sana nyunyi mnapimwa hapo na mfalme 😮😮

  • @user-xl7td9ws8e
    @user-xl7td9ws8e 23 дні тому

    Mko sure hizo tittles ni Legit? Amko serious! Kwa kichaka bila ata witness,the owner of the land will come back with original documents,shauri yenu,where is the seller?;

  • @dianaolianga4996
    @dianaolianga4996 25 днів тому

    Huyu mtu ni mjanja inafaa hiyo vitu ifanyiwe Kwa office ya ministry of land huyu ameenda siber ,wewe usidanganywe

  • @MohammedAli-fp9vn
    @MohammedAli-fp9vn 25 днів тому

    Akikataa weka miguu ya ng'ombe kisha shasha ataleta karatasi zote zikibadilishwa akiwa na miguu baada yahapo ndio arudishww awe sawa

  • @SharunAa
    @SharunAa 24 дні тому

    Agood job siZ 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @samsonkiyieka7852
    @samsonkiyieka7852 25 днів тому

    Hii n uongo tangu lini mbadirishe nyinyi wawili bila officer hii n muosho please Tash kuwa makini n mali yako kazi yenye watu tunafanya huku nje n ngumu aky

  • @quinterwinnie5753
    @quinterwinnie5753 25 днів тому

    Hizi n story za jaba... Hizi vitu hufanyika Kwa ofisi za land

  • @CarolineGatua
    @CarolineGatua 25 днів тому

    Hapa mmechezwa hii sio ukweli

  • @dianaolianga4996
    @dianaolianga4996 25 днів тому

    Kwani mshaa enda Kwa ministry of lands

  • @myunaniniahmad6463
    @myunaniniahmad6463 25 днів тому

    Hapo ni ukora mngeenda kwa.loya au ofisi za ardhi, hii ya chini ya mti itakula kwenu.

  • @freeliketrips9063
    @freeliketrips9063 24 дні тому

    Tasty wewe ni mjinga
    Don't be lied
    Get what is yours without love

  • @user-il4yk3sh3s
    @user-il4yk3sh3s 24 дні тому

    Hizi ni mawhat? Kwa kichaka tena 😂😂😂. Hiyo ni ukora cz adi mkichange apo " mkienda kwa royal bado itasoma majina ya mfalme

  • @JaneMomanyi-mh5kk
    @JaneMomanyi-mh5kk 24 дні тому

    Kwan warikua capabilitie. Kwa kijaka hii zii cjui mm nmeenda tu

  • @ellyjoymati4617
    @ellyjoymati4617 24 дні тому

    If this one is not a story mfalme is one in a million juu pesa yako hajakula he did what you said

  • @StellaMnanga
    @StellaMnanga 24 дні тому

    Mambo n km hyo 👍

  • @user-ct5mz9oi9o
    @user-ct5mz9oi9o 25 днів тому

    Bila hata lawyer na mashahidi na muuza shamba awe hapo hio mnafanya kienyeji na mtaregrert badae

  • @bulletface5624
    @bulletface5624 24 дні тому

    Make sure Hio shamba haziko chini ya high power utkuwa coned

  • @bulletface5624
    @bulletface5624 24 дні тому

    Pikipiki iko wapi

  • @charitynakanata3172
    @charitynakanata3172 25 днів тому

    Angalia hiyo title kama inatokea number hapo katikati hapo kuna color ya pink

  • @user-io8dm6iw7y
    @user-io8dm6iw7y 25 днів тому

    Lazima mwendae kwa land board huko dipo couty commissiner chairs the boards

  • @Mariam-v2i
    @Mariam-v2i 24 дні тому

    Aggie wewe pia usitubebe ufala mtachange vpi majina kwa kichaka Mfalme ni mkora mkubwa sana 😂😂😂😂😂tumieni akili yaaawa

  • @user-io8dm6iw7y
    @user-io8dm6iw7y 25 днів тому

    Thats not atrasfer you must produce a k ra pin two photo copies of pass port size picture infront of orth lawyer Mfarume amekugonga huyo hatasareda

  • @Mariam-v2i
    @Mariam-v2i 24 дні тому

    Office za LAND HAKUNA

  • @MohammedAli-fp9vn
    @MohammedAli-fp9vn 25 днів тому

    Tashy tafuta wakili akuhakikishie kila kitu kikibadilishwa ujuwe malizako

  • @marikana8846
    @marikana8846 24 дні тому

    kwani mumefungwa macho na mfalume

  • @lizzykellylavinbravin4643
    @lizzykellylavinbravin4643 24 дні тому

    Angie your dressing code,waaa

  • @pamelakavochi
    @pamelakavochi 24 дні тому

    Nyinyi mbona munafanya hivyo mkiwa watatu pekee.hapo kuna ujanja ba hizo forms

  • @GfGf-s9t
    @GfGf-s9t 25 днів тому

    Usimwache Ivo hata yeye ameshughulika binadamu ukosea. Ungeajili mtu pia ungamlipa

  • @user-rx5jh7jm1y
    @user-rx5jh7jm1y 25 днів тому

    Lkn mnafaa muongee ju hajakula muone ka basi andikwa majina yenu wawili aki.

  • @paultororo
    @paultororo 24 дні тому

    ​ @JamesNgala-g3c Exactly bro, dats what annoyed me more, and u see them posting everywhere how dy r very happy. Agie is misleading Tashy. Those who can ring Agie kindly do so and alert her about MFALUME FRAUD!!

  • @philiskawira5527
    @philiskawira5527 25 днів тому

    Mbona naona mfalme nikama anawapima aki???

  • @Dorcus-cp5wj
    @Dorcus-cp5wj 24 дні тому

    Nyinyi mnakaa aje wafala names exchange hufanyiwa kwa lands.. kwani huyu dame hakusoma

    • @BellaAYIEKO
      @BellaAYIEKO 24 дні тому

      Ata Mimi najiuliza Ivo

    • @Dorcus-cp5wj
      @Dorcus-cp5wj 24 дні тому

      @@BellaAYIEKO Angie na mwezake wote ni wafala

    • @chustekimani
      @chustekimani 24 дні тому

      😂😂😂😂😂𝕡𝕚𝕒 Angie

    • @Dorcus-cp5wj
      @Dorcus-cp5wj 24 дні тому

      @@chustekimani 😂😂😂 anasaidia na hajui process hata

  • @purityngatia4699
    @purityngatia4699 24 дні тому

    Hii kitu walai sio ukweli

  • @jeniffermugoya344
    @jeniffermugoya344 24 дні тому

    Fanya search to know whether the document are genuine

  • @UsilaChepchumba
    @UsilaChepchumba 25 днів тому

    Uongo tupu ama aje team strong chief na muhusaji wako wapi lazima kwa office guys

  • @MumyMumy-p2z
    @MumyMumy-p2z 25 днів тому

    Acha akupee vtu zako halafu ushuhulike na life yako

  • @OsoroFelister
    @OsoroFelister 24 дні тому

    Enda lands mpadilize uko

  • @bitylast5022
    @bitylast5022 24 дні тому

    Hii ni ukora tupu

  • @annwangari7988
    @annwangari7988 25 днів тому

    Nipitieni guys

  • @EmmahMachoka
    @EmmahMachoka 24 дні тому

    mkora

  • @jumaraha
    @jumaraha 25 днів тому

    BADO HAPO HAIPO SAHIHI HAKUNA PIN NUMBER, Copy ID NUMBER....BADO KUNA KITU NYUMA YA PAZIA

    • @SusanMardo-nl8sq
      @SusanMardo-nl8sq 25 днів тому +1

      wambey 😂😂😂brother kitawaramba

    • @jumaraha
      @jumaraha 25 днів тому

      What are the requirements for land transfer in Kenya?
      The seller should bring specific documents, including the Land Control Board Consent Form, KRA pin, passport-sized photos, old title deed, sale agreement, and change of ownership documents. The transfer typically takes about three weeks and costs 1,000 to 2,000 Kenyan shillings, varying by county.

    • @chustekimani
      @chustekimani 24 дні тому +1

      😂😂😂😂😂😂😂😂😂𝕞𝕗𝕒𝕝𝕞𝕖 𝕟𝕚 mkora

  • @ellyjoymati4617
    @ellyjoymati4617 25 днів тому

    Tashy forgive you husband

  • @chustekimani
    @chustekimani 24 дні тому

    𝕋𝕒𝕤𝕙𝕪 𝕙𝕦𝕛𝕦𝕚 𝕜𝕦𝕤𝕠𝕞𝕒 𝕙𝕡𝕒 𝕞𝕟𝕒𝕔𝕙𝕖𝕫𝕨𝕒 𝕤𝕚 𝕞𝕦𝕖𝕟𝕕𝕖 𝕜𝕨𝕒 𝕝𝕒𝕨𝕪𝕖𝕣 𝕟𝕕𝕚𝕧𝕪𝕠 𝕒 𝕔𝕙𝕒𝕟𝕘𝕖 𝕛𝕚𝕟𝕒 𝕥𝕣𝕒𝕟𝕤𝕗𝕖𝕣 𝕟𝕒𝕞𝕖 𝕚𝕜𝕦𝕛𝕖 𝕜𝕨𝕒𝕜𝕠.