HOUSE GIRL EP 56 || love story💞💕

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 7 вер 2024

КОМЕНТАРІ • 940

  • @busatitv
    @busatitv  Місяць тому +55

    Kwa taarifa zaidi follow WhatsApp Channel yetu
    whatsapp.com/channel/0029VaEXYzkEVccPBP347F2c

  • @user-sk7un6ls2t
    @user-sk7un6ls2t Місяць тому +129

    Kama umeshinda salama mpaka muda huu ukiwa unaenjoy house girl like hata kumi tunashukuru Mungu 🙏🥰

  • @salum8848
    @salum8848 Місяць тому +56

    Wanao amini hii move itachukua Tunzo ya mwaka nipeni like zangu

    • @busatitv
      @busatitv  Місяць тому +4

      🙏🙏🙏

    • @tamtamtz
      @tamtamtz Місяць тому +1

      🙏🙏🙏🙏🙏

    • @Kai_busati
      @Kai_busati Місяць тому +1

      🙏🏾🙏🏾

  • @user-vd9cj5ro4u
    @user-vd9cj5ro4u Місяць тому +197

    Jaman tunao amin Kai hajafa gonna like 😢

  • @Mr.franckayo
    @Mr.franckayo Місяць тому +89

    Anae amin kai ajafa yule alie bebwa ni mtu mwingne agonge like

  • @LadyKCG
    @LadyKCG Місяць тому +42

    Finally leo nimewai😅😅😅musiguse hapa please 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🙌🏻

  • @user-wz8vt6xl2l
    @user-wz8vt6xl2l Місяць тому +9

    Jamani tujuane kwa likejamani wakwanza kutoka Burundi🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮ju ya kai na zu

  • @mikidadihassan8307
    @mikidadihassan8307 Місяць тому +26

    Hapo wamezingua katika hiyo ajali inakosa uhalisia maan asingeenda kupokea simu rafiki yake but angepokea na akagongwa akiwa na simu yake akiongea huku akitembea tembea ingekuwa powa sana..,......

    • @victoriangasa
      @victoriangasa Місяць тому

      Wew ndo umeongea

    • @MwanaikiSwalehe
      @MwanaikiSwalehe Місяць тому +2

      Mimi pia Hilo swali najiuliza mbona apokelee simu ambayo siyake. Tena aipokelee kando. Na kai akiwa hoss yeye yuko home akipigia watu simu mbona asipigie kule kule hoss. Naona km kuna hidden agenda hapo kikulacho kinguoni mwako. Lkn mimi niliona tu kai akipata na ajali kwa akili yangu vile alikua nahamu sana. Na naamini akifa lkn zuh atakua kashabeba mimba ya kai

    • @MwanaikiSwalehe
      @MwanaikiSwalehe Місяць тому

      Ama kai atapotezwa aje arudi last minute

    • @Maurice-t7t
      @Maurice-t7t Місяць тому +1

      Kwenye ajari mmeferi wanangu angepata ajar akiwa na sim yake

    • @mossikombo959
      @mossikombo959 Місяць тому +2

      Ajali itokee akiwa anaongea na simu coz akili iwe imefocss kwenye mazungumzo tu haangalii k2 kingine

  • @AdamZainab-mb7qj
    @AdamZainab-mb7qj Місяць тому +78

    Eeeh jamn nimewah ila nikiomb like mtasema nitoe maoni na nikitao maoni hamnipi like 😢 ila nimewah

  • @user-nz9zb7gu7t
    @user-nz9zb7gu7t Місяць тому +37

    Ata na Mimi nawafatilia sana jamani from Zambia,🇿🇲🇿🇲 amujawayi nipa like jamani🎉🎉🎉

  • @NancyOkumu-dc8np
    @NancyOkumu-dc8np Місяць тому +78

    Nani alikuwa anangojea house girl Ka Mimi agonge like🇰🇪🇰🇪

  • @UpendoMollel-vb4gw
    @UpendoMollel-vb4gw Місяць тому +23

    Nilikuwa nasubir kwahamu kiladakik nachek nanimekuwa wakwanza❤❤❤❤❤

  • @SleepingEyes-ej3ir
    @SleepingEyes-ej3ir Місяць тому +16

    Jamani leo tena wa mwisho nipeni like wapenzi much love from Canada 🇨🇦😢😢❤❤❤

  • @hajimwendo
    @hajimwendo Місяць тому +59

    Wakwanza Leo weka like kwa zuuuh na Kai hapa

  • @sharifabahar9905
    @sharifabahar9905 Місяць тому +24

    🥺🥺🥺🥺 masikini kai tunategemea kula ubwabwa mbona awapati kivuli wifi ndo anapanga nn cha kufanya mbona ningekuwa nimisha mzika

  • @FarajaMkilunga
    @FarajaMkilunga Місяць тому +26

    Wakwanza jamani like naombeni

  • @Phoebenafula
    @Phoebenafula Місяць тому +23

    Wa kwanza kutoka🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪likes hapa wazangu❤❤❤❤

  • @user-wp7uk5mb1m
    @user-wp7uk5mb1m Місяць тому +7

    Mimi waburundi kweli Tangu nifatilie hamjanipea hâta like moja kwani hamnipendi

  • @YusraSiyaleo-yk2fz
    @YusraSiyaleo-yk2fz Місяць тому +53

    Kama unaamin chko hazalishi gonga like gapa 🎉🎉🎉🎉🎉

  • @lucyalto7320
    @lucyalto7320 Місяць тому +14

    Nimefurahi zatiti kupewa taraka Bora ajiendee akaangalie maisha mengine huko hapo ni kama alikuwa amefungwa tu

    • @rosemarenga832
      @rosemarenga832 Місяць тому +1

      Mm nataman zatit aj kuolewa na rafik yak Kai af wapat katoto😅 sijuw chiko ataiweka wap sur yake

  • @user-iw9uo1op6w
    @user-iw9uo1op6w Місяць тому +3

    Hii movie inamafunzo mengi Sana kwakweli Ila inaumiza moyo sana❤❤❤ zaidi nawapenda nafatilia nikitoka kenya

  • @Tynamnyilis9824
    @Tynamnyilis9824 Місяць тому +7

    Nimeamka saa kumi mdg angu ananiambia house girl ya 56 imetoka ndio naangalia hapa 😂😂😂 jmn hii house girl imekuwa hbr ya mjini

    • @busatitv
      @busatitv  Місяць тому

      Asante sana 🙏🙏

  • @zainabuomary9085
    @zainabuomary9085 Місяць тому +3

    Huy dada ake chiko simpendi😏 kai upone tu😢 zatiti akiachika anapata mimba chiko anaumbuka

  • @RoderMichael
    @RoderMichael Місяць тому +13

    Leo nimekua wa kwanza jaman naomben like zenu 🎉

  • @Felista-vf4pe
    @Felista-vf4pe Місяць тому +7

    Kuomba like tuu kucoment mambo ya msingi aaaaaaaah!!

  • @NasmaLalai
    @NasmaLalai Місяць тому +16

    Jamani ebu sifieni move sio kuomba tu likes mnaboa

  • @RosekinanuGitari
    @RosekinanuGitari Місяць тому +7

    😂😂😂naona service yenye kai alifanyia zuu imefanya kazi nzuri maana zuu ameanza kuwa smart sana hongera kai

  • @monahLissa
    @monahLissa Місяць тому +15

    Naombeni like za mdogo wenu kutoka Kenya 😢😢😢

  • @SilivesterkalaniJr
    @SilivesterkalaniJr Місяць тому +9

    Naipenda sana hii moves jaman daaaa🤗🤗🤗

  • @user-ql6ql1zf8f
    @user-ql6ql1zf8f Місяць тому +8

    Ki2 gan leo mpk xaiv jmn mnajisahau sasa sijapendaaaaa😂😂😂

  • @user-pg6jr7kp2w
    @user-pg6jr7kp2w Місяць тому +10

    Wangapi wametoa machozi wakimuona zuu akila😢😢😢

  • @user-no9qy7pb7j
    @user-no9qy7pb7j Місяць тому +23

    Free WiFi pitieni jamani😂😂😂

    • @user-ot3te6mj7b
      @user-ot3te6mj7b Місяць тому +1

      😂😂😂Au sio

    • @user-no9qy7pb7j
      @user-no9qy7pb7j Місяць тому +1

      @@user-ot3te6mj7b 😀😀😀😀

    • @vxp5228
      @vxp5228 Місяць тому

      ​@@user-ot3te6mj7b😂😂😂hadi saa kumi asubuhi twawatch😂

  • @sonarabahati8122
    @sonarabahati8122 Місяць тому +12

    nani kaona kai habadilishi suruali🙈🤣🤣

  • @missIsaiah
    @missIsaiah Місяць тому +8

    Mufanye mpango kai afufuke musiniletee mchezo bila kai na zuu hii movie kalas

  • @WaniaLameck
    @WaniaLameck Місяць тому +7

    Jamn tuliofurahia Zatiti kuachwa huru naomba likes apa🥰

  • @user-fh1cj9rm4v
    @user-fh1cj9rm4v Місяць тому +5

    Jaman zuu wangu kapendeza atarreee❤❤😘

  • @shaniabdallah9993
    @shaniabdallah9993 Місяць тому +9

    Jamani kai tunakupenda wenzio tunasubiri harusi ajali tena jamani

  • @NuruAli-ip9wn
    @NuruAli-ip9wn Місяць тому +7

    Imeanza kunoga mnatucheleweshea jaman tunachungulia Kila mda hamwonekaniii

  • @EmilyOchando
    @EmilyOchando Місяць тому +13

    Wa kwanza from Kenya naomba likes zenyu please 🎉❤

    • @Melvy-kb3lc
      @Melvy-kb3lc Місяць тому

      Ukishapewa like utakula nyooo mnabooh na kuomba like😂😂😂😂

    • @EmilyOchando
      @EmilyOchando Місяць тому +1

      @@Melvy-kb3lc 🤣🤣🤣hata like una wivu nyooo

    • @Melvy-kb3lc
      @Melvy-kb3lc Місяць тому

      @@EmilyOchando nipekupea basi usilie kipenzi😂😂😂

  • @RehemaMwakisyala-k9u
    @RehemaMwakisyala-k9u Місяць тому +6

    Kai bwana mi sijazoea bila ya kukuona please naomba usife bas afe cand

  • @NajaribuZamaradi
    @NajaribuZamaradi Місяць тому +28

    Wakwanza mimi nipen like zangu 😂😂🎉

  • @Mr.franckayo
    @Mr.franckayo Місяць тому +17

    Haya bas nakubali me ni wamwish naombeni like moja moja tuuu pia alie mkubali mr.tasha agonge like

    • @Mr.franckayo
      @Mr.franckayo Місяць тому

      Anaye amin kai ajafa yule alie bebwa ni mtu mwingne agong like

  • @fahadjaqram1416
    @fahadjaqram1416 Місяць тому +6

    Jamani na mm munipe like leo wee tangu episode 1 mpaka leo amjanipa like sio poa

  • @KhadijaMdee
    @KhadijaMdee Місяць тому +1

    Nipeni like zang

  • @mwajeirajabu9154
    @mwajeirajabu9154 Місяць тому +7

    Me sijapenda kai anapataje ajali😢😢

  • @Amina-lz1ht
    @Amina-lz1ht Місяць тому +9

    Wa kwanza Leo 😢 lakini sijui kwanini sipati like ❤️ ebu like kwaajili ya Kai na zuu

  • @MwanaikiSwalehe
    @MwanaikiSwalehe Місяць тому +5

    Nani naamini zuh atakua amebeba mimba ya kai na kai aweza potezwa arudishwe last minutes

  • @MaryamMaryam-vl8lm
    @MaryamMaryam-vl8lm Місяць тому +5

    Yaani hii ajali vyenye imeenda nikambe Tasha anausika mna aliposema apewe yye cm aongee alipsonga kando ajali ndo ikatokea Tasha tuambieni vzr juu y

    • @tamtamtz
      @tamtamtz Місяць тому

      Kwann bhana eeeh

  • @macrinafuraha-zg3mi
    @macrinafuraha-zg3mi Місяць тому +4

    Wapuuzi nyie mnao omba likes hamuoni kai kapata ajali nyie mmeng'ang'ana na like mtapika uji

    • @violangaira
      @violangaira Місяць тому

      😂😂😂

    • @user-ms4he4yl5j
      @user-ms4he4yl5j Місяць тому +1

      Hata hawafatilii movie,kazi Yao ni kuomba like.Wananipo sana.

    • @macrinafuraha-zg3mi
      @macrinafuraha-zg3mi Місяць тому

      @@user-ms4he4yl5j aki mm hua wananiboo

    • @violangaira
      @violangaira Місяць тому

      @@user-ms4he4yl5j haki tena mtu hata hawezi toa maoni nikuomba likes tu

    • @marthanassari3524
      @marthanassari3524 Місяць тому +1

      😂😂😂😂😂

  • @EmmanuelSylvester-f5w
    @EmmanuelSylvester-f5w Місяць тому +12

    Wakwanz me jamani nipeni maua yangu🎉🎉

  • @HadijaNjira
    @HadijaNjira Місяць тому +13

    Leo nimekuwa wa kwqnza Kai mambo

  • @ShakilaShaban-yg7ix
    @ShakilaShaban-yg7ix Місяць тому +9

    Mawifi wa hivo siwapendi pole sana zatiti mwaya

  • @AllyBabu-kr6lg
    @AllyBabu-kr6lg Місяць тому +8

    House girl ni kama kikoozi cha konde boy ata mtoto mdogo anakijua🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤

  • @user-yc4ii3hp6u
    @user-yc4ii3hp6u Місяць тому +2

    Namimi nimecelewa naomba like ata10

  • @janeburu6538
    @janeburu6538 Місяць тому +6

    Reo nimesubiri mpaka nokachoka ila❤❤❤

  • @HidayaAbdallah-l2l
    @HidayaAbdallah-l2l Місяць тому +5

    Jmn mawifi Hawa nuksiiiiiiiii

  • @user-nk4oq4ek9y
    @user-nk4oq4ek9y Місяць тому +3

    Wow black beauty malaika uko na rangi nzuri pia figa unayo mmpenzi napenda nikikuona tu mm

  • @user-mv9rt3zs1b
    @user-mv9rt3zs1b Місяць тому +6

    Jmn wangp tutalejea kweny ndoa

  • @LightnessUrio-fo7mq
    @LightnessUrio-fo7mq Місяць тому +7

    Kai amepata ajali amepoteza uwezo wakuzalisha taari itatoka ivyo anae amin gong like na zuu atakua alipata ujauzito mara yakwanzaa 🎉🎉🎉❤❤😂😂

    • @Ally.j7
      @Ally.j7 Місяць тому

      Mbna kma wew ndo uliindika hii stor ya muv yenyewe mana sio kwakujuwa uko

  • @JackyMuthoni
    @JackyMuthoni Місяць тому +10

    Waah 🤔 nimewagojea sana😜huyu nayeye alikuwa anachukua simu ya kai yann ata niyeye amefanya apate ajari😮

  • @SalhaHamad-mc6jj
    @SalhaHamad-mc6jj Місяць тому +4

    Kai hajafa,naamini staring hafi mwisho wa mchezo,yule maiti sio ya kai.

  • @DorothyAldo
    @DorothyAldo Місяць тому +5

    Na mimi moja laiki nas❤

  • @user-bw3uv9jn9x
    @user-bw3uv9jn9x Місяць тому +6

    Acha mdomo muulize kakayako anaweza kuzalishaaa

  • @user-iy3fx7cl1j
    @user-iy3fx7cl1j Місяць тому +6

    Naona mchezo umekuwa na mapenzi Ya kuhindi

  • @JosepitaJosepita-lq4bg
    @JosepitaJosepita-lq4bg Місяць тому +3

    Da nakuli sana yani nmetisha sana onguera Kwa kazi nzuli.
    Niko Mozambique

  • @djbngudukwimba5682
    @djbngudukwimba5682 Місяць тому +9

    Kitambo sana mzigo ushachotwa niite king dj b from ngudu kwimba

    • @tamtamtz
      @tamtamtz Місяць тому

      Vipi kwimba huko house girl ndio habari ya huko?

  • @AminaKavuo-gj3oc
    @AminaKavuo-gj3oc Місяць тому +3

    Babaangu shikamo 🎉🎉🎉🎉nawapenda tu nyote 🎉🎉🎉

  • @LucySamsoni
    @LucySamsoni Місяць тому +3

    Mhhm.jamani mmekosea sana kumsababisha Kai kupata ajali hapo move haijanoga bhana

  • @MaryamJuma-w3s
    @MaryamJuma-w3s Місяць тому +3

    Waoo nimewah jpo Kwa sekund 💯

  • @FatmasaidAhmed-ws1rs
    @FatmasaidAhmed-ws1rs Місяць тому +3

    Kai 😭😭😭😭😭 ALLAH akuhifadhi InshaAllah 🇰🇪🇸🇦

  • @user-uk1oc7xb4r
    @user-uk1oc7xb4r Місяць тому +4

    Waooo na mimi leo nimewahi❤

  • @user-pg6jr7kp2w
    @user-pg6jr7kp2w Місяць тому +6

    Mm ulike tu za wenzangu lkn mm hamujawai nipa ata like moja😢😢

  • @FetyOmary
    @FetyOmary Місяць тому +6

    Jamani Kai bwana harus tena anapata ajali

  • @user-tx8su6vd1x
    @user-tx8su6vd1x Місяць тому +1

    Kazi nzur nawapend wote team kai ❤

  • @YuvessLeonard
    @YuvessLeonard Місяць тому +2

    Kaz nzur sana mungu aendelee kuwasimamia ❤❤

  • @mwanakomboali8374
    @mwanakomboali8374 Місяць тому +5

    Jamani namim Leo nimewahi😅😅 kutoka Kenya ❤

  • @AmanIiShy
    @AmanIiShy Місяць тому +4

    Naona house girl ikifika mwisho😢😢😢

  • @SalmaBakari-z8l
    @SalmaBakari-z8l Місяць тому +3

    Jaman Kai Allah amfanyie wepesi apone 🙏🙏🙏

  • @user-cc7vq9wo3e
    @user-cc7vq9wo3e Місяць тому +6

    Mm nimefrah xan mud huu kuinjoy na house garl md huu

  • @FammaMaboko
    @FammaMaboko Місяць тому +1

    Chiko n'a Rahman mtaumbuka Candy mimba niya papa boss 😅😅😅😅

  • @MemoryKamutandi
    @MemoryKamutandi Місяць тому +7

    Lak kwa wa buzat tv wote🎉🎉🎉🎉❤❤❤

  • @user-wk5yv4um4m
    @user-wk5yv4um4m Місяць тому +2

    Jamen musiingize mambo yakufa jamen😭😭😭😭😭tunaomba hiii movie iishe wote wakiwepo pole sana kai

  • @ZahidahAli-ys1fg
    @ZahidahAli-ys1fg Місяць тому +6

    Jaman kai pon ban tule ubwabwa

  • @OneniMahenge-wm8ji
    @OneniMahenge-wm8ji Місяць тому +4

    Tuma namba tukutumie like

  • @peterphilipo5103
    @peterphilipo5103 Місяць тому +2

    Daaa so sad mpaka candy kaumia kweli tunagombana wakat wa afya tele ila kwenye magonjwa huruma kama kawa

  • @aishaally6602
    @aishaally6602 Місяць тому +2

    Huyu zatiti nimzuri bora aachane nae huyo chiko,na dadake chiko ndo walewale ma wifi nuksi

  • @RebekaBagaile
    @RebekaBagaile Місяць тому +3

    Jaman mungu amsaidie kai apone

  • @user-st3wo7qi2v
    @user-st3wo7qi2v Місяць тому +5

    Nmewahi leo ❤❤❤

  • @user-ij1sk9iu2t
    @user-ij1sk9iu2t Місяць тому +3

    Leo nimewah jamani naomba Na mimi like Tano tu zinatosha

  • @aminamareta9297
    @aminamareta9297 Місяць тому +2

    Tunakuombea mungu upone

  • @user-oe7xe1dv3w
    @user-oe7xe1dv3w Місяць тому +2

    Yani mm kila siku nalala kuchelewa ila hata like sipewi😢😢team Kai kama unaamini kai Ako hai kama mm gonga like tuki songa❤❤❤

  • @khalidabdallah-i3c
    @khalidabdallah-i3c Місяць тому +1

    Kwa ninavyoona mimi rafiki yake kai na zatiti watakuwa mke na mume nani anaamini hivyo agonge like za maana hapa

  • @DidaSalumu
    @DidaSalumu Місяць тому +4

    Jamaniii watyu hawalaliii

  • @NuruenezaJosephEnock
    @NuruenezaJosephEnock Місяць тому

    Daaaahhh Ee Mungu nakuomba sana umponye Khai jaman

  • @MatridaPaschal
    @MatridaPaschal Місяць тому +4

    Yani kunawaka move ila kunawakat mna zingua alafu dakik mna weka chache

  • @NuruIbrahim-ue1if
    @NuruIbrahim-ue1if Місяць тому +1

    Atapona hajafa wanaoamini gonga lk

  • @ferouzmasoud3104
    @ferouzmasoud3104 Місяць тому +3

    Oya Nyinyi wangese acheni kuomba like toeni maoni 😂

  • @Barakahtz41
    @Barakahtz41 Місяць тому +1

    Sipati picha huyu jamaa akija kujulikana kama hana uwezo wa kutia mimba......ongea lakin weka akiba ya maneno😢😢

  • @user-os8uq2xi2j
    @user-os8uq2xi2j Місяць тому +3

    Jamani namimi naomben like zenu

  • @user-qr6db6pd9n
    @user-qr6db6pd9n Місяць тому +1

    Nan anahisi kuwa huyu mke wa chiko anaweza kuwa mke wa Tasha agonge like twende sawa