Duh sijui mwisho wa hii simulizi itaisha je ila namuonea huruma ado atakavyo juta kusaliti ndoa yake simulizi nzurii sana inafundisha maisha na jins yakulinda heshima kwenye ndoa 😢🎉
Mhm, jamani huku kuna mafundisho jamani,kama ukizingatia kwa akili zako zote kweli mbingu tutaiingia,ila kama ukingoja hadi udumbukie shimoni,utaisikia ktk vyombo vya habari
Mimi nishakerekwa na ADO na sio kusema eti kwasababu ya shida ndiomana amesaliti ndoa tabia hio ADO alikuwa nayo nivile tu anahurumia mke wake kwasababu alimuvumilia ila yeye sasa ana msaliti bila wasiwasi ila wanaume bwana mbinguni mutabasikia tu😂😂😂😂😂😂😂😂.kwanza mimi nachukia mtu muongo na mubinafsi.
@@AliphonceIrene hakika angekuwa hapendi kuchepuka asinge pokea zawadi zahuyo mama mtu muzima na sasa anataka kufanya muchezo mubaya kwa mke wake mwanaume mushenzi analeta tabia chafu kwa mkewe kwanza angemutowa meno mbona hivyo vibao nividogo shenzi🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 eti amekoseya kwanini asinge kosea hio filimbi yake iende kwake khaaaa nimecheka, acha filimbi imufilimbe yeye mwenyewe ADO shenzi zake🤣🤣🤣🤣🤣
Hii nasio history mana ndoa nyingi hubomoka hivyoo yani unatoka chini namkewake lkn ukipata unamxarau.ndounaambiwa pata pesa uone tabia yake hayaa ndo huyu adoo yani anatabia chafuu hata ameshindwaa na roma wa Edina roma ni malayaa lkn hawezi sahau Edina wake na chabiii wake
Kaka lucas ungetumalizia ADO leo maana ADO hana hakili kabisa mwanaume muzima anasahau mazuli yote alio tendewa na mke we amakweli wahenga walisema pata pesa tuone tabia zako.nimesikitika kwajili ya mama kamara😢😢😢😢
Wanaume wengi wapo na tabia kama Ado akinogewa nje ndani anaona kama kunasokwe😢 familia yake inakuwa haina maana tena jaman binadam tupendane ukijua ni mume wamtu au mke wamtu hebu acha wanandoa waish kwa aman tafuta chaka lako ujifiche sio kujificha kwenye chaka la familia za watu tunavuruga familia za watu
Ila ADO nkikushika hivi, naweza nkakuzabua makofi makali sana, hivi mke wako kakukosea nn? Ama nvile hana hela? Nasinimtafutaji hata kama ni kidogo? Shame on you walahi.
Wow hatimae tuna endelea kujibamba na ado🎉🎉🎉❤❤
Nimebadilisha muonekano sasa nilithaka kuwa Lishangazi when i grow up😊lakini sio kwa thena
Ado...ado..ado..jamani wanaumeeeeeeee😢😢 mungu anawaonaaaa
Huyu mama ni shatani tana mkumbwa Sana hanaharimbo nyumba ya mtu tana ajali mungu saindia watu wako Wapotea asente Lucas lumbas
Kazi mzigoni wadau mkujee💃
Wanaume samtime mtuhurumie...kutumwaga machozi kila time😢😢😢masikini mama pamela..kakaanamngojea mumewe na kuvumilia kila kitu..lkn mwenzie...dah 😢
Siku ingine tena tumekutana🤲🤲🙏
Amina, Mungu tunashukuru🙏
Here we are, let's move,Thenks mr Lukas ❤❤❤❤
Sw tunashukulu hongela❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
John kachukuwe mke muache ado na mshangazi wke mna hana adabu uyo
Wooow ahsante nilikua naongoja kwa hamu
Umeona ❤
Mm kusema kweli mapenzi yataningoja acha nitafute pesa gulf ili nikiwa kwenye ndoa niwe akiliyangu imetulia manakusalitiwa nita kufa bure
@@MoniraMonira-dg3cd pesa kwnz mapnz baadae
Kaka Lumbas Asante kwa mwendelezo
Nimewai leo❤
Ww ado mshenz ushetan wko c ufnye na uyo shetan mwenzko unatak kumuingiza mkeo kweny ushetan
Usaliti hasara kabisa, onjaonja chovya chovya waweza ukaonja ambavo havilik ona alikofikia mke nakupige ad umkome maana unajiumbua mchana kweupee
@@TeklaNdekeja Anapelekeshw na uyo mama mtu mzma yaan mshenz sna nimemchukia kabisa uyo mama hna cha kupoteza mna kuzaa hazai tena kwaiy hna hasara
@@Babyfaty-m3ynilsema upepo mkal umeivamia hapo ndoa ipo haipo tena
@@TeklaNdekeja Anajifnya hatak ata ushaur
@@Babyfaty-m3y Rafik akkushaul nakusea mabaya unmwona hafai et unataka upongezwe
Ado ado kumbuka wema mkewo aliyo kitendeya asante Lucas lumbas Kwa simulizi nzuri
Unaogopa kuonwa tu,kwanini usiogope kufanya huo uchafu,inashangaza sana😢😢😢😢😢
hii simulizi naisikiliza huku machozi yana nilenga nimaumivu makali sana kumthamini mtu halafu yy asiijue thamani asante kaka 🤝💚💛💚💚💛💛🫶💚💛💚💛💚
Tna Ado alaniwe sana na uyo Lishangazi wake
Mh ado aliko fika ss kashapotea lishangazi nimemualibu
Ila nakuziendekeza shida...tunaumiza watu tunowapenda kwa tamaa tu...na pili shetani ananguvu 😢
🎉🎉🎉wow jamn ado inanikosha sana
Wow Ado ulionja utamu wa shangazi unasahau mlikotoka na mie utakuja jutia kaka❤❤❤❤ kumbuka tamaa mbele mauti nyuma
😂😂😂 Asanteee ado utam wa asali umeamua kufuata nyuki tazama ukali wanyuki utabandukajee mshika mawili moja humponyoka
Ataauna Haya we nmbwa tu
Kweli kabisa mtaka vyote hukosa vyote. @@RahimaHamisi-z3i
Wanaume wengi wko hivyo wakipata watu wapya wanasahau walipo toka inahuzunisha kwa kweli 😢😢
@@Fatum112 atakujakujutia huyu Mjinga Xana 😭
😂😂😂😂 ado anavyoapizwa n laana
Ado Mbona unatumiza wezio kumbuka nyuma
Wa 22 sijachelewa sana ❤❤❤
Kama mnafanya fanyeni ila uko kufanya kinyume na maumbile sijapenda kabisa😢😢
Khaaa ila hili limama lina roho ngumu kama shetani vile,lina mbinu za kishenzi 😢😢😢😢
Duh sijui mwisho wa hii simulizi itaisha je ila namuonea huruma ado atakavyo juta kusaliti ndoa yake simulizi nzurii sana inafundisha maisha na jins yakulinda heshima kwenye ndoa 😢🎉
Mambo 🔥🔥🇴🇲❤️
Kweli aiseee marafiki wanaosema ukweli ni wachache
Ado ado ado...yaani unaniumiza...ningekuwa karibu ningekupasuwa kichwa
Ucjali Dada we nmcha Mungu Sana maombi yako yatakupigania Inshallah 🙏
Unanifurahisha hivyo unavyoimba shilling yauwa 🎉🎉❤lucas kipaji unacho mashaAllah
Asante kaka tuko pamoja kazi nzuli ubalikiwe sana ❤❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
😂😂mh! mashangazi 🙄🙄🙆
Wakwanza jamani naombeni like zangu plz🎉🎉
Mhm, jamani huku kuna mafundisho jamani,kama ukizingatia kwa akili zako zote kweli mbingu tutaiingia,ila kama ukingoja hadi udumbukie shimoni,utaisikia ktk vyombo vya habari
Mimi nishakerekwa na ADO na sio kusema eti kwasababu ya shida ndiomana amesaliti ndoa tabia hio ADO alikuwa nayo nivile tu anahurumia mke wake kwasababu alimuvumilia ila yeye sasa ana msaliti bila wasiwasi ila wanaume bwana mbinguni mutabasikia tu😂😂😂😂😂😂😂😂.kwanza mimi nachukia mtu muongo na mubinafsi.
@@Evelynmoreen3655 anatia uruma kweli
Yaan mshenz kabisa wngne huw wnatak kuanziw tu wamalize
😂😂 nikweli nakuunga mkono kwailo👏👏
@@AliphonceIrene hakika angekuwa hapendi kuchepuka asinge pokea zawadi zahuyo mama mtu muzima na sasa anataka kufanya muchezo mubaya kwa mke wake mwanaume mushenzi analeta tabia chafu kwa mkewe kwanza angemutowa meno mbona hivyo vibao nividogo shenzi🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 eti amekoseya kwanini asinge kosea hio filimbi yake iende kwake khaaaa nimecheka, acha filimbi imufilimbe yeye mwenyewe ADO shenzi zake🤣🤣🤣🤣🤣
@@Babyfaty-m3y aaaah huyo ADO angekuwa Mme wangu haki yanane ninge mukata hiyo filimbi yake kabisa pumbafu zake.
❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉
Ado Ado Ado nimekwita mara tatu umekwisha wewe
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤
❤❤❤
Ado usisahau yule rafiki wako wa kwanza taftia yy job au kakitu aungie maisha
@@SallyJemutai-w5r asisahau wkt ndo kwnz anamwmbia amuache na maisha yke asimfatilie
Asasahau wakati amewatimua huyo john na mwezake amesema asifiatiliwee maisha wanakula maisha na mshangaxi mwisho naona atabeba ugonjwaa
M ata sijaimis kamana yaniuma nafusi 😢😢
Pole 😊
oyooo
Kunkucha
❤❤❤❤🎉🎉🎉😢😢
Hii nasio history mana ndoa nyingi hubomoka hivyoo yani unatoka chini namkewake lkn ukipata unamxarau.ndounaambiwa pata pesa uone tabia yake hayaa ndo huyu adoo yani anatabia chafuu hata ameshindwaa na roma wa Edina roma ni malayaa lkn hawezi sahau Edina wake na chabiii wake
Kaka lucas ungetumalizia ADO leo maana ADO hana hakili kabisa mwanaume muzima anasahau mazuli yote alio tendewa na mke we amakweli wahenga walisema pata pesa tuone tabia zako.nimesikitika kwajili ya mama kamara😢😢😢😢
Ado umenishinda tabia
😂😂 sio kwa hizo laana za mkeo ado
Weeeh hao nfio wanaume mpala chupi anaona mbovu jamanii
Haya unayoyakoroga Ado utayanywa kwa uchungu we subiri tu
Namba 75😢
Mh umechelewa kweli japo so kiivo
Yaani mm naumia sana😢
🎉🎉🎉🎉🎉🎉
😢mashagaz
Maisha tu @@ashleymohamed6935
Good job
🙏🙏🙏🔥🔥🔥♥️♥️♥️♥️♥️ from Italy 🇮🇹🇹🇿 ciao ciao
Kuuliza tu hizi likes zinazoombwa zinasaidia nini? I'm from kenya
Nikuonyesha kuwa mko pamoja kwenyekusikiliza simulizi na upendo tu
@@AliphonceIrene❤❤❤
@@AliphonceIreneoh nimeelewa
@@munamuadhy4619 oky
Walaaniwe wote wanaofanya mapenzi kinyume cha maumbile subirin tu sodoma na gomola vipo karibu😢😢😢😢😢
Ado anasura ka zombi nimecheka apo pakupigwa sijui nije nikusaidie hehehe
Duuh,,, kama wanaume ni hivi acha nibaki warabuni tu jamani
Huyu mshangazi anakera mnooo mbwa shetan ibilisi huyu n wewe ado mbwa Koko takataka wewe nguruwe usie fugik
Mie 27 jaman nailinda nimepitwa
Wanaume wengi wapo na tabia kama Ado akinogewa nje ndani anaona kama kunasokwe😢 familia yake inakuwa haina maana tena jaman binadam tupendane ukijua ni mume wamtu au mke wamtu hebu acha wanandoa waish kwa aman tafuta chaka lako ujifiche sio kujificha kwenye chaka la familia za watu tunavuruga familia za watu
We muchagazi ondoka Kwa Maisha ya kijana
Mulize ado hao wamama wenye kuinhiliwa nyuma wanavaa pampers
Asante sana 🎉🎉🎉
❤❤Vpenzi wa Ado mkopoa! je? Mli mmissi ado tulio misi ado like apa tujuane lucas lumbas asante simuliz n tam haswaa.🪑🎧🏃
Yes
Waoooo♥️♥️🌹🌹🌹🌹🌹🌹♥️♥️♥️♥️♥️♥️👋💃💃💪
Wa 2
🎉🎉
Reho ni meway nik 5 na omba lik zangu
Part ya 4 isichelewe please kaka lu
🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤
Usichelewe kutoka bas kaka seemu ya4
Mbona Laura awe na wasi wasi alipohisi anafuatiliwa. Tutajua huko mbele
Jimama nilijinga sana eti unampa raha ama ni kumpoteza mtoto wa mwanamke mwenzako, ndio maana uko pekeako mshenzi wa tabia ww 😔😔
😂😂😂,,,😂
Ila ADO nkikushika hivi, naweza nkakuzabua makofi makali sana, hivi mke wako kakukosea nn? Ama nvile hana hela? Nasinimtafutaji hata kama ni kidogo? Shame on you walahi.
❤❤❤❤❤
❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉