Amen Amen Amen its true kijana pastor Ezekiel anachoma na kufieka mazibau ya waganga serikali na bado Yesuchristo ataziidi kuwachoma na kuharibu mazibau yao yote kwa jina la YESU Christo of Nazeret
Hayo yote na maji ya moto hayachomi nyumba.pastor Ezekiel atasimama imara yeye ni mtumishi wa mungu na hana uchawi wowote . Malipo yako hapahapa ulimwenguni ahera nihesabu tu
Ezekiel ana wambia mambo na nyota ...Google Astrology hio Ndio mambo na nyota utaona Ezekiel hajui mambo yoyote kuhusu nyota Ako very shallow nyota ziko huko angani nyota huwezi pewa nyota husafishwa unangaa ama unapakwa tope na wachawi unawacha kungaa Ndo maana nyota azifanai huko juu Angani Na ujuwe Astrology is Forbidden in Leviticus..Sasa Ezekiel ana funza mambo ambayo hayafai kwa muhubiri kufunza
@@Steveodhiambo181Steve I hope haujaelewa Lydia usimtusi,amemaanisha hawa watu wa pashwa wanapenda sana kuegelea maneno mabaya sana kuhusu Ezekiel na yule mganga wao Olonde , so hakumaanisha wewe
Thank you @Naomi Nakhumicha for understanding and politely correcting my brother and also more thanks to you @Steve for your humility,you have acknowledged your mistake and immediately apologised....KUDOS to y'all ❤
Preaching is one thing, teaching is another. Ezekiel uses the word of God (Bible) to expose and explain spiritual matters that were not readily understood.
Brother Ezekiel ni mkora wakawaida Wacha story mingi Ezekiel ni Freemason yeye PST nganga na mwiru wrote wanatumia karata na uchawi kuibia wakenya Na Sikh zao za mwisho zimefika
Hii Gospel ya mathabau ni ya Gospel fake...muna Abudu mathabau au yesu?.. Hii Gospel ya Toa sacrifice ni sacrifice Gani hii mnatoa kwa Sababu Bibilia INA Sema Sacrifice ya mwisho ni Yesu na Hakuna kutoa Sacrifice ingine ...SAA hizi Sacrifices mnatoa kwa Ezekiel /mwiru /kanyari/Nganga ni sacrifice Za Majini 100%
Swali je ww ulijizaaa kama hukujizaa walio kuzaa walifanya nn ndo ukazaliwa sacrifice inaingilia hapo na kufanikiwa ama kufail pia ni Sacrifice so will you sacrifice to rise or fall think deep remember there is God and Satan or whotever name you call him
Ukiwa Gizani omba Nuru itokee kwako upone Huwez kutufanya tukuelewe kwa sasa Ezekiel man of God tuna shuhuda nyingi kupitia hayo mafundisho ya kutoa sadaka
@@philliskalegi8898 amen nguvu zake anatoa kuzimu,his mission is to recruit many to the kingdom of darkness he is not a man of God,ni nyota ndo Zinaibiwa hakuna nyota anapeana
Ezekiel he's not preaching about the second coming of christ so he always preach about wealth and rich we need areal gospel not just casting demons and receiving Astar which star is he talking about this just a b/s man also tb was a freemason man stop talking lies repent please
Toka apa wewe Steven odhiambo unadanganya they don't Know you and your story at newlife church wewe ulidharaulika nakufukuzwa uliahidiwa things that they never happened watch your mouth young man....and if you want to be a pastor them I'm also coming for you another fish to feed 🔥🔥and please respect me don't you ever talk about me ever again na Mimi sio Rika yako
We are behind you wachunge midomo zao
Purpose to have your own church, God will make a way and all will the steps you will take God will magnify them.
Mungu akubariki kwa kusimama na mtumishi wa mungu
Steve you are doing great 😊 life sio mbaya😅we love you brother 😌 #LIVELONGPASTOREZEKIEL
Ameen barikiweni mungu wambinguni.akuzidishie hiyoneema iliwengine wasaidike kupitia kwako ndugu Steven
Amen 🙌
Hata wakipiga injili ya yesu kupitia mtumishi wa mungu... Steve ,Mimi and wengine we are walking testimony.
Watch from gulf pastor Ezekiel is my friend i like following his preaching God is there God give you strength pastor Ezekiel,
True spoken, well articulated be blessed.
May God bless you for speaking the truth.
Pastor Ezekiel is a real man of God 🙏🙏🙏
Watch from gulf Mungu atazidi kusimama n pastor Ezekiel ata wampige vita hawata weza ❤❤❤❤
Mungu endelea kusimama na pastor Ezekiel
Steve you are so transformed glory to God🙌🏻👏
Mungu akubariki saaaaaaan kwasapabu wamamupinga mungu
I thank God after 25yrs nimepokea uponyanji kupitia madhabau ya Newlife may God bless and guide pastor Ezekiel mtumishi wa Mungu.
Amen
Brother Mungu azidi kukutumia Maana unavyoongea umefundisha wenig sana. Wanaompiga vita Baba yangu Ezekiel Mungu awaonekanie
Mimi ninamini pastor Ezekiel na Mungu atamshidania coming soon naleta ushuhuda huko
God bless you for standing with the truth. Ezekiel is a true man of God
Pia ni vizuri urudi kwa Baba na ikiwezekana utoke rasmi ukienda kwa church yako.
Wenye wanamkataa pastor waalaniwe Amen brother
Man of God, God protect pastor EZEKIEL
Amen Amen Amen its true kijana pastor Ezekiel anachoma na kufieka mazibau ya waganga serikali na bado Yesuchristo ataziidi kuwachoma na kuharibu mazibau yao yote kwa jina la YESU Christo of Nazeret
Mungu atamsimamia mtumishi wa wake mawe yataisha nguvu tu.
Like father like son 😢😢😢
God bless you Steve ❤
Mungu akupe hekma zaidi.
God bless u Steve
Wanachukia Pastor bure,Steve endelea kuhubiri injili ya Yesu,haters wachie Mungu adeal nao
Uzidi kubarikiwa Stev na wacha mungu zaidi kukuimarisha zaidi.
God bless you 🙏
Wanamupinga mungu uparikiwe sana
I was in there the first day he came to the church
This Man is speaking the truth,ive never been there but true TV nlipata kazi juu ya sacrifice
God is the only person who knows the truth
TROUGH PST EZEKIEL MY SISTER GOT HEALED FROM LIVER FAILURE
Steve to the world
For sure the devil like using good thing, glory to God 🙏🙏🙏
Hayo yote na maji ya moto hayachomi nyumba.pastor Ezekiel atasimama imara yeye ni mtumishi wa mungu na hana uchawi wowote . Malipo yako hapahapa ulimwenguni ahera nihesabu tu
Mm nasema ule anataka kumuua kama Ako na nguvu.amuue Ezekiel
Mahaters ni wengi waah....
Leave haters to the Lord
Kwanini ukaenda kwa mganga kama nimajaribu hautaweza kwa jina la yesu
Kitu twajua ware watu wanajuana na yesu, mungu atabigania mutumisi wake, naoba fiongozi wote, wakenya , wajue, tafathari kubigwa , fiboka, 3000, jera , kuriko kungojea kubiguo ,kiboko, na mwenyezi mungu, jameni , wakenya tuongobe, mungu,
I saw this guy with mganga mahewa, what's all this? Something not adding up Mr. Odhiambo on this same you tube.
Use wisdom to understand,yule sio mganga,ni kijana tu ambae anafanya content.
Aki mungu ndio anajua ukweli tu
Waiting for that news
Msisahau alikuwa gang leader. Ma haters mambo ni matatu.
Ongeza volume awaja sikia
😂 Ezekiel Ezekiel unasema kweli mimi naitwa cera sahii sikahangi nyumbani mimi ni kuguu na barabara
Ezekiel ana wambia mambo na nyota ...Google Astrology hio Ndio mambo na nyota utaona Ezekiel hajui mambo yoyote kuhusu nyota
Ako very shallow nyota ziko huko angani nyota huwezi pewa nyota husafishwa unangaa ama unapakwa tope na wachawi unawacha kungaa
Ndo maana nyota azifanai huko juu Angani Na ujuwe Astrology is Forbidden in Leviticus..Sasa Ezekiel ana funza mambo ambayo hayafai kwa muhubiri kufunza
Spiritual things aren't put down in papers,uezi ukaielewa
Giza na nuru ya Ezekieli haviez enda sambamba
Wewe mara uko kwa mganga ukimdiscus Ezekiel mara kwa son wake.
Tumia Hekima kuelewa acha ujinga..
Take your time to listen,stop rushing to the comment section by being confused by the topic,puga!!
@@Steveodhiambo181Steve I hope haujaelewa Lydia usimtusi,amemaanisha hawa watu wa pashwa wanapenda sana kuegelea maneno mabaya sana kuhusu Ezekiel na yule mganga wao Olonde , so hakumaanisha wewe
@@NaomiNakhumicha4636 okay,pole kwake🙏😢😢
Thank you @Naomi Nakhumicha for understanding and politely correcting my brother and also more thanks to you @Steve for your humility,you have acknowledged your mistake and immediately apologised....KUDOS to y'all ❤
File naona ,mutafwekwa,Sana,na, shetani,kwa,sababu,hamuna,utifaudi,na,wafwasi,wa, shetani,Petro,aliambiwa,kufaa,kwako,kunafanana,na,kufaa,kwa,yesu,hata,kuongea,hakuna,dhami,ndogo,na, kubwaa
Si uko na no. Ya babako umwambie unanakuja tuelezea ndio tukusaidie na nn na mulikuwa munakula sahani moja hadi blanket inakaa mulijifunika wote
Mganga wa kawaida 7
bona haongei kuhusu illuminati and LGBTG.Thats a nice question.
Someni Bibilia peke yako usisomewe na hawa wakora Ezekiel na his friends.. MTA kwa Brainwashed
Ok😮pole sana
May God forgive you ,for you don't know what you are saying
Wewe soma maisha yako,, who are you to give opinions on what people wants🙄🙄
Alvin Kennedy can you give us any follow you have helped people understand the bible
Why allow the devil to use you with foolish words
What i know huyu akipewa 10secs afafanue how Pastor Ezekiel has brainwashed us , he will go mute like a Geko,
Nonsense. Sasa hizi maneno ya upusi inawasaindia nini? Upusi mtupu. If you a preacher, preach. Wachana na stori za upusi.
Preaching is one thing, teaching is another. Ezekiel uses the word of God (Bible) to expose and explain spiritual matters that were not readily understood.
Usipokaa kiRoho huwez elewa maana ya mafundisho ya pastor Ezekiel
" Wacha zako! Wee simtoto wa Pator EZikiel! Ni mshirika wa Kanisa tu. Watoto wa Pastor ni wadogo sana.Stop looking for viewers in this manner!
Please listen to the speech not what the Blogger as written as a topic to attract some illiterate being like you.
There is a difference between biological son and spiritual son
Amesema he is a spiritual son not biological
Brother Ezekiel ni mkora wakawaida
Wacha story mingi
Ezekiel ni Freemason yeye PST nganga na mwiru wrote wanatumia karata na uchawi kuibia wakenya
Na Sikh zao za mwisho zimefika
Umekosa hekima kiroho wewe
Walikuibia mark your words
Ghai bona surely God is watching you
Kama vile tu wewe
Mabloggers mnaboo,unatafuta vitina kila mahali,rudi uoji uyo shetani wako.
Hii Gospel ya mathabau ni ya Gospel fake...muna Abudu mathabau au yesu?..
Hii Gospel ya Toa sacrifice ni sacrifice Gani hii mnatoa kwa Sababu Bibilia INA Sema Sacrifice ya mwisho ni Yesu na Hakuna kutoa Sacrifice ingine ...SAA hizi Sacrifices mnatoa kwa Ezekiel /mwiru /kanyari/Nganga ni sacrifice Za Majini 100%
Eti fake?mnaujinga sana
Tafakari unalolisema kabla ulitamke
Swali je ww ulijizaaa kama hukujizaa walio kuzaa walifanya nn ndo ukazaliwa sacrifice inaingilia hapo na kufanikiwa ama kufail pia ni Sacrifice so will you sacrifice to rise or fall think deep remember there is God and Satan or whotever name you call him
Ukiwa Gizani omba Nuru itokee kwako upone
Huwez kutufanya tukuelewe kwa sasa Ezekiel man of God tuna shuhuda nyingi kupitia hayo mafundisho ya kutoa sadaka
You are misleading people young man please pastor Ezekiel is a false evangelist please repent and start afresh with God
You are professing youself to be wise ,you become fool.
@choosen child of God wacha vipofu waendelee kumufuata, hawataki kuambiwa ukweli
#LIVELONGPASTOREZEKIEL... HATERS ENDEELENI KUMFATILIA😂😂
@@philliskalegi8898 amen nguvu zake anatoa kuzimu,his mission is to recruit many to the kingdom of darkness he is not a man of God,ni nyota ndo Zinaibiwa hakuna nyota anapeana
Ezekiel he's not preaching about the second coming of christ so he always preach about wealth and rich we need areal gospel not just casting demons and receiving Astar which star is he talking about this just a b/s man also tb was a freemason man stop talking lies repent please
Toka apa wewe Steven odhiambo unadanganya they don't Know you and your story at newlife church wewe ulidharaulika nakufukuzwa uliahidiwa things that they never happened watch your mouth young man....and if you want to be a pastor them I'm also coming for you another fish to feed 🔥🔥and please respect me don't you ever talk about me ever again na Mimi sio Rika yako
Does it mean you were also promised things that were lies?like Stive?
Steve you are doing great 😊 life sio mbaya😅we love you brother 😌 #LIVELONGPASTOREZEKIEL
Mungu akuongezee zaidi mtumishi wa mungu