ALLY KAMWE AMBANANISHA MSEMAJI WA COASTAL UNION ADHARANI/AHADI NZITO YATOLEWA.

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 24 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 16

  • @KhalidAlly-je8ky
    @KhalidAlly-je8ky 51 хвилина тому

    Familiar ya kambare

  • @DotoRamadhani
    @DotoRamadhani 18 хвилин тому

    Kwahiyo na simba ni timu moja na yanga

  • @kaziburejuma8313
    @kaziburejuma8313 Годину тому

    Mtu na ndugu mama togauti baba mmoja

  • @DotoRamadhani
    @DotoRamadhani 12 хвилин тому

    Wala sio wa ajabu.waajabu ni simba timu zote za ligi kuu wanawashangaa simba kuburuzwa mala 4 mfululizo. Kwa kifupi simba ndio familia. Ya yanga

  • @MawazoWilliam-g9l
    @MawazoWilliam-g9l 59 хвилин тому

    Natokea mkoa wa songwe,ivi hawa wanao toaga matusi humu kumtukana mtu,huwa wanaakili au wanaupungufu wa aibu,mwanaume matusi haya pendezi sijuwi huo ujinga wanautoa wapi mpira ni burudani na furaha siyo matusi.

  • @aboumandai3998
    @aboumandai3998 54 хвилини тому

    Wamekaa pamoja eti wanaongea upuuzi tuu wakitoka hapo wanapeana bahasha.

  • @HidayaNgala
    @HidayaNgala Годину тому

    😂😂😂😂😂😂😂 anawaponza

  • @DotoRamadhani
    @DotoRamadhani 19 хвилин тому

    Basi simba nayo ni familia ya GSM. Kwani nao wametoa point 3 kwa yanga tena wao ndio said maana wameanza kutoa kumpa yanga kitambo mala ya 4 mfululizo mnawaonea wenzenu wao hawakutoa mfululizo kama simba. Sasa mnawashutum nini wakulaumiwa ni simba yeye akikutana na yanga anatoa tu. Hata aibu haoni amakweli nyani haoni kundule😅😅😅😅😅😅

  • @HusseinDjuma-cn2ox
    @HusseinDjuma-cn2ox Годину тому

    Mtu na basha wakehapo

  • @geraldbagole4494
    @geraldbagole4494 Годину тому

    Mbazengua Nyie c timu moja!Hapo Yanga lazima ashinde.Mechi ni za Simba,matokeo 3 hajulikani.Yanga anashinda tena goli 3.

    • @lumistarboy8499
      @lumistarboy8499 Годину тому

      Tulia kolo fc mtajijua wenyewe maana mmekua kama watoto wa kambo mnatia huruma kama dhaifu vile pambaneni

    • @geraldbagole4494
      @geraldbagole4494 43 хвилини тому

      @@lumistarboy8499 😂😂hiyo inaitwa gombania goli.Goli linakuwa upande mmoja😂😂😂

  • @Adohboy
    @Adohboy Годину тому

    Ali kamwe we nikuma tu mmebebwa na kayoko kuma wew

    • @maclaudismail6606
      @maclaudismail6606 Годину тому

      Minimum minne nyuma ipo video mtandaoni, simba vs yanga refa huyohuyo kayoko angalia alivyoibeba simba. Mukawa kimwaa. Penati 2 za yanga aliminya tu

  • @aboumandai3998
    @aboumandai3998 57 хвилин тому

    Awa jamaa wa ajabu sasa hapo wanajadili nini ivi kuna watu mpaka leo wanaona watanzania wajinga sasa ninyi wote Gsm hakuna timu itaifunga yanga iliyodhaminiwa na gsm kwa kifupi yanga wana points za gsm zote hakuna ligi acheni ushamba ligi zamani.

    • @nurdeenmbalagane
      @nurdeenmbalagane 38 хвилин тому

      kwahiyo Singida fc na Caost union hawafungani 😅😅😅😅😅