This is a mother in law worthy to be celebrated for her whole life ....wengine wetu tulikua na bidii sana na tukavumilia mengi but our inlaws cant confess that all they say is how bad we were,huyu ni mama bomba💪
I will say this for the last time Alice is not who she pretended to be on the camera😂 ,macdee if unasaidi hii family saidia this grandparents coz ndio wanalea hawa watoto
Mimi nilisema kulinga na vile alionekana anashii si Mtu mtu alikuwa na shida vile anaelezea furthermore kama hao watoto wangeona musaidizi hangejitongeza
Alice don’t be pressured by social media. If your husband was abusing you, stay away from him but be in your kids life. In laws might be good but you are not married to them. Pray God for guidance. People are quick to judge.
Kama yy ni mzuri bona aliachana na second husband?? Mi si mchawi bt akikosa kuomba msamaha hatawai pata raha bona aongee uongo kuhusu mother inlaw??na kama uliskiza Kelvin alisema babayao ni mzuri sana huwa anawasaidia watu wengi wakifika gulf wao hufikilia wamefika na hiyo pressure diyo ilifanya aache bwana yake..
Sasa tuache watoto juu tuliachana na bwana,,hakutafutwa arudishwe kwa bwana juu ni yeye anajua chenye alipitia,alitafutwa juu ya watoto,,mumama ako hapo tu na watoto wake hawamjui,,shame on her again n again
The fact remains that your son is abusive and instead of addressing that you are letting your frustrations upon a woman who was even brought to you as a child. This is the problem with us mothers- expecting too much of other people's children when we have reared very bad mannered kids ourselves. aaii
Perfectly put! Nyani haoni kundule! Her son is a monster but ku judge wa wengine... yet she illegally allowed an underage girl to b married in her home! Mscheew! Basi waendelee kupambana na hao watoto... Alice wakikataa kukupea watoto, May God gv u peace, watakutafuta wakigrow! Forgive them, forgive yourself n may God gv u strength to move on. I like the way the guka was neutral, huyu nyanya just came kuchomea Alice picha n sanitize her wicked monster of a son
If you can Mcdee just reconcile this family. Hii mambo ya huyu alisema.....will just make things worse. If baba ya watoto can be helped to get out of his alcoholic habit the better
God bless this family thy really believe in God they've done a good job to bring up this grandkids and may God bless you all .God bless you mcdee for keeping this family together.
Mambo ya hii family ni ngumu. Mzigo ya watoto ni ya baba mzazi na mama mzazi. Lakini vile naona Alice aliishi kwa hii family akiwa bread winner. Na alipowacha kutuma pesa lawama ikawa kwake. Ni wazi kua the In Laws. Na mbona hawaongei about their irresponsible son.
Exactly! Umenena 100%! They never loved Alice, she was only their cash cow! Uchungu yao ni vile alikata financial aid! Wampee watoto wake aende apambane nao Walee huyo useless irresponsible wicked monster wao
Hatutaki kujua chenye waliulizana,,mbona au3 watoto na stress ? Mtu ako 10 km away mwaka na ingine hajawahi ona watoto wala kuongea nao ata na simu ya jirani wao wanalipa wakifikiria alikufia saudia na ako hapo tu na ata hakua na hataka ya kuwatafuta ni vile tu alitangazwa kwa media,,ukitupa bwana unatupa pamoja na watoto alafu upigiwe makofi?,,imagn watoto wadogo hawamjui ata Kelvin hakua anamkumbuka? Ucio ni muciari riu?
Alice ashukuru sana Hawa wazazi😢imagine uyu mama kulea hako katoto kaliachwa na miezi adi hakamjui aache mambo mingi awashukuru naachukue watoto kama watamkubali ivo tu 😢😢
@mamageorge hata kama ni wa mtoto wake ako na roho mzuri Sana ni wengi Sana hawangetaka kujua hata kama ni wa kijana wao na wakatae kukaa nao juu tumeona wengi Sana hata wenye wanakataa kuangalilia wasichana wao watoto wakafanye kazi nje
Iv always doubted Alice from day one.Those crocodile tears were to seek sympathy n also as a result of shame coz of abandoning the children n being posted in social media Hakuna mwanamke mzuri hutekeleza watoto That was the biggest red flag
Hello Mr mcdee my name is Rosemary Mukwanyaga l'm mother of one boy 16 years l work here Nairobi as Caregiver but l'm in house with out work for 7 month. Please help me to get job USA, UK Canada. Thank you.
Mac dee You have done great job to this family especially kupeleka Kevin and his siblings to school, but Baba Kevin and Alice need to take care of their kid's if they see Mac dee will provide everything they will not take care of their children. Alice and Simon mutiguteithirio ciana na muri na hinya
This is in-laws many of us wished for bt unfortunately hatukupata we tried to love them bt didn't except our love,macdee please taftia baba Kelvin kazi ajijenge ako na bright future ahead,hapo kwa pesa ya ngombe if ni my in-laws singepata ata i salute you shosh na guka kelvin
Watoto wameishi kulia mama yao aliuliwa Saudi na kumbe alikua anawaangalilia kwa kioo😢Siwezi imagn ati watoto wangu hawanijui na sijakufa na siyuko mahali siwezi waone,imagn ati watoto wakitoa manguo kwa gari alikua anawaangalilia kwa kioo hivi👀 na ni watoto hawamjui😢 na hawezi shughulika😢huyu mumama ata mumsifu aje uzuri wake woooote unaishi hapo,wengi tuliteswa sana hadi tukajitoa na watoto wetu,,ata kama hangeweza kuenda na wao,kuwaona tu na kuwapigia simu imekua mzigo surel na ako tu hapo,,awaachanishe kabisa bora tusimuone kwa muiguithania akisema atafute watoto wake ati wasikizane,,juu wakigrow hivi alafu wakuje kuona hizi video hawatawahi mtambua,, hat off to this mother in law juu kama ni mbaya hawa watoto hawangekua hivi na huyo baba yao mlevi..
Ata kama Alice ako na makosa mbona huyu mama haongelelei her monster son? Alice was a pillar and bread winner in this family mbona time amenyamaza 1yr ndio wameona ni mbaya? Ata father in law last time alisema all Alice said was true
Huyo sister inlaw pia ni sumu. Vile alice aliacha kutuma pesa ndio waliona si mzuri. Mbona hiyo time yote huyu bwanake hakuwa ameweka pesa ya shule ya mtoto ya high school.
Mimi vile naeza sema ni kwamba. Alice was the pillar to this family. Huyu bwanake ndio alikuwa shinda. Mimi ningeomba alice asaidiwe ndio aweze kulea watoto wake. Asirudi saudia.
Hypocrite na uongo mingi na kujifanya vile ameokoka kwani hawahubiliwi kuhusu forgiveness??na mtu ata muona amwabia baraka za watoto wake ziko kwa huyo anadharau akimuita kijana hapo
So Alice alikuwa kemboi, aka deportiwa, na rafiki yake alisema naye akafinga hiyo maneno,, Alice manner up, Hawa inlaws wamelea watoto wako vizuri Sana
Simuamini data kidogo! Quick to judge other's children but haongei makosa za her own wicked son whom she raised! Mscheew! Alice usijaribu kurudi huku! They will kill u! Marriage sio lazima, just get your babies n raise them... wakikataa nao, God knows you tried... waachie wapambane, they will look for u one day..
Alice your a looooser okey ?? Oya ciana urere na uthomithie na mundurume uria ukwenda gutirie mundu ukuhiritie okey ?? Cucu ahurage nguoo na gukira na nduma ciana kuhe breakfast ukihuraa umalaya kazia wewe Alice....weee uroma ta maii makuu ...na mikorogoo ni urahota kuguraa wihake uruike muthungu takataka ya mutumia ...ona kwanyu ni ungiraga sister yaku agiree ciana ucione..malaya wewe
The toxicity in this story wue..si ifike tu hapo hii mucene mingi ni ya nini.Kila mtu anajitetea kivyake.Watoto walikuwa kwa baba yao na watu wao.Shinda iko wapi
Nyinyi kuna kitu hamjui......huyu mama vile ameona pesa zinaingia anataka kutupa Alice nje ndio yeye a benefit nazo. Mbona alikubali in the girst place Alice atafutwe? Plus no one else aligundua hao watoi were coached & warned against staying eith the mother yet mbeleni walikua wanamiss mama yao? Kama hujawahi go through such usiwe nwepesi wa ku judge. Inlaws kukaa na kulea watoi is not not a big issue cz kwani baba ni kiwete alelewe watoto???? Alice jipende na uishi maisha yako na Mungu atakuonekania. Wakati pesa za kuchangiwa zitaisha utaona vile watakutafuta ulee watoto wako. Prove them wrong by becoming successful & build your life!!!!
But don't say that wamelea hao watoto bila hizo pesa unasema shakushangiza.kama Alice alikuwa anajua ukweli anapenda watoto wake angekuwa anaongelezea once by once
Hio miaka yote wamekula ya kuchangisha na wamelea hao watoto kama wao,huyo Alice akwende huko angekuwa mzuri angekuwa anasaidia watoto hata kama ni kutuma pesa juu ni damu yake.Ukikosana na mwanaume hujakosana na watoto wako
Kuwacha watoto kwa baba yao ni kutupa? Kwani yeye sio mzazi? Ni wanawake wangapi huwachwa na mimba na wanalea watoi wao vizuri? Huyu baba watoto hakujua mtoto anafaa kujoin form 1 ajipamge?
Alice kindly go through counselling so that you can forgive yourself first and foremost.only then can you forgive your inlaws and husband to be able to move on to your next chapter in life.whatever you decide to do later is your choice.
This is a mother in law worthy to be celebrated for her whole life ....wengine wetu tulikua na bidii sana na tukavumilia mengi but our inlaws cant confess that all they say is how bad we were,huyu ni mama bomba💪
I will say this for the last time Alice is not who she pretended to be on the camera😂 ,macdee if unasaidi hii family saidia this grandparents coz ndio wanalea hawa watoto
100percent I second you ngozi ya kondoo but ndani ni chui 😅😅😂
😂😂😂alisema hivo wakasema maybe ninawazimu😂😂😂😂😂
She was just a pretender, kwanza hajui kikuyu, mimi sikuskia chenye alisema nichamaana, alikuja kutuletea matuhuhu
Mimi nilisema kulinga na vile alionekana anashii si Mtu mtu alikuwa na shida vile anaelezea furthermore kama hao watoto wangeona musaidizi hangejitongeza
I support that
Vile huyu Alice analianga I don't trust her ni machozi ya mamba, huyu mother in-law amelea hao watoi miaka hio yote but Hana shukrani kwake.
Crocodile tears 😂😂😂we are used in them
@@rachealmatu5502 aki she is Soo boring, anajua kile anafanya huyu.
Alice don’t be pressured by social media. If your husband was abusing you, stay away from him but be in your kids life.
In laws might be good but you are not married to them. Pray God for guidance. People are quick to judge.
Kama yy ni mzuri bona aliachana na second husband?? Mi si mchawi bt akikosa kuomba msamaha hatawai pata raha bona aongee uongo kuhusu mother inlaw??na kama uliskiza Kelvin alisema babayao ni mzuri sana huwa anawasaidia watu wengi wakifika gulf wao hufikilia wamefika na hiyo pressure diyo ilifanya aache bwana yake..
Sasa tuache watoto juu tuliachana na bwana,,hakutafutwa arudishwe kwa bwana juu ni yeye anajua chenye alipitia,alitafutwa juu ya watoto,,mumama ako hapo tu na watoto wake hawamjui,,shame on her again n again
Watoto wako kwao. Kwa baba ndio nyumbani kwa hawa watoto.
As my boy kids are growing older,i am preparing myself to be a mother in-law.. this parents are the best...
Sure
True
The fact remains that your son is abusive and instead of addressing that you are letting your frustrations upon a woman who was even brought to you as a child. This is the problem with us mothers- expecting too much of other people's children when we have reared very bad mannered kids ourselves. aaii
Perfectly put! Nyani haoni kundule! Her son is a monster but ku judge wa wengine... yet she illegally allowed an underage girl to b married in her home! Mscheew! Basi waendelee kupambana na hao watoto... Alice wakikataa kukupea watoto, May God gv u peace, watakutafuta wakigrow! Forgive them, forgive yourself n may God gv u strength to move on. I like the way the guka was neutral, huyu nyanya just came kuchomea Alice picha n sanitize her wicked monster of a son
Kama amelea watoto kama mama yao ameenda she's a great woman
Alice Alice wewe hizo stress zako peleka nauko jinga wewe wakati mambo yako imekua mbaya ndio unaongea ubaya ya hii family
If you can Mcdee just reconcile this family. Hii mambo ya huyu alisema.....will just make things worse. If baba ya watoto can be helped to get out of his alcoholic habit the better
Ata Baba watoto hayuko kwa hi picture yote Mac Dee consider helping the dad please
Part 10 dropping kesho
Hizi parts za huyu alisema ni kuwagonganisha tu even more... I hate how these bloggers do this for views at the expense of people's lives.. mscheew
Asanti bloggers kama sio nyinyi huyo kijana ange kua home na siri zote hazinge julikana
@@matunda2008 Ni contents ana make Doo nazo kwa you tube 😛
Imjn uliacha watoi wameangaliwa vizuri hdi hako kadogo hakakujui then unaharibia huyu mama jina, Alice enda uobe msamaha
God bless this family thy really believe in God they've done a good job to bring up this grandkids and may God bless you all .God bless you mcdee for keeping this family together.
Macdee please let’s build them a good house please!
Well noted
Sure
Mambo ya hii family ni ngumu. Mzigo ya watoto ni ya baba mzazi na mama mzazi. Lakini vile naona Alice aliishi kwa hii family akiwa bread winner. Na alipowacha kutuma pesa lawama ikawa kwake. Ni wazi kua the In Laws. Na mbona hawaongei about their irresponsible son.
Exactly! Umenena 100%! They never loved Alice, she was only their cash cow! Uchungu yao ni vile alikata financial aid! Wampee watoto wake aende apambane nao Walee huyo useless irresponsible wicked monster wao
Hatutaki kujua chenye waliulizana,,mbona au3 watoto na stress ? Mtu ako 10 km away mwaka na ingine hajawahi ona watoto wala kuongea nao ata na simu ya jirani wao wanalipa wakifikiria alikufia saudia na ako hapo tu na ata hakua na hataka ya kuwatafuta ni vile tu alitangazwa kwa media,,ukitupa bwana unatupa pamoja na watoto alafu upigiwe makofi?,,imagn watoto wadogo hawamjui ata Kelvin hakua anamkumbuka? Ucio ni muciari riu?
Si amesema alikuwa analeta nyama Kila siku na hakuwa anapeleka return ya nduthi
Nyama. Now the mother anajaribu kucover the son na to taint Alice. Hizi video nime watch zote.
Alice ashukuru sana Hawa wazazi😢imagine uyu mama kulea hako katoto kaliachwa na miezi adi hakamjui aache mambo mingi awashukuru naachukue watoto kama watamkubali ivo tu 😢😢
but the children belong to her son. WTF
@mamageorge hata kama ni wa mtoto wake ako na roho mzuri Sana ni wengi Sana hawangetaka kujua hata kama ni wa kijana wao na wakatae kukaa nao juu tumeona wengi Sana hata wenye wanakataa kuangalilia wasichana wao watoto wakafanye kazi nje
Uyu mama anaongea ukweli wee Alice mwishowe utajilaumu
Everything Alice said the father in low sait it's true soo ata kama ni mm nili pitia hayo naeza tumia Jia yote ni mwonyese sio yeye mwanaume pekee
Iv always doubted Alice from day one.Those crocodile tears were to seek sympathy n also as a result of shame coz of abandoning the children n being posted in social media
Hakuna mwanamke mzuri hutekeleza watoto
That was the biggest red flag
Hello Mr mcdee my name is Rosemary Mukwanyaga l'm mother of one boy 16 years l work here Nairobi as Caregiver but l'm in house with out work for 7 month. Please help me to get job USA, UK Canada. Thank you.
God is in Control all shall be fine
Mac dee You have done great job to this family especially kupeleka Kevin and his siblings to school, but Baba Kevin and Alice need to take care of their kid's if they see Mac dee will provide everything they will not take care of their children. Alice and Simon mutiguteithirio ciana na muri na hinya
Things are not easy sasa nani anaongea ukweli???on my side can say guka ndie mkweli on this story.... nipitieni pia guys ❤❤❤
This is in-laws many of us wished for bt unfortunately hatukupata we tried to love them bt didn't except our love,macdee please taftia baba Kelvin kazi ajijenge ako na bright future ahead,hapo kwa pesa ya ngombe if ni my in-laws singepata ata i salute you shosh na guka kelvin
Wise words.
Watoto wameishi kulia mama yao aliuliwa Saudi na kumbe alikua anawaangalilia kwa kioo😢Siwezi imagn ati watoto wangu hawanijui na sijakufa na siyuko mahali siwezi waone,imagn ati watoto wakitoa manguo kwa gari alikua anawaangalilia kwa kioo hivi👀 na ni watoto hawamjui😢 na hawezi shughulika😢huyu mumama ata mumsifu aje uzuri wake woooote unaishi hapo,wengi tuliteswa sana hadi tukajitoa na watoto wetu,,ata kama hangeweza kuenda na wao,kuwaona tu na kuwapigia simu imekua mzigo surel na ako tu hapo,,awaachanishe kabisa bora tusimuone kwa muiguithania akisema atafute watoto wake ati wasikizane,,juu wakigrow hivi alafu wakuje kuona hizi video hawatawahi mtambua,, hat off to this mother in law juu kama ni mbaya hawa watoto hawangekua hivi na huyo baba yao mlevi..
Only God knows the better truth.people don't make your owns judgement.
This is the reason women never used to be included in mediation panels. Can she acknowledge that her son was abusive first before payukaling
Na ndiyo mana alice huongea kama amefunga macho
@, Jennifer, yes it's sign of a hypocrite
Yes hiyo ilifanya Ni mususpect siku ya kwanza
@jennifernawile9808 true huyu Alice ni ka hypocrite
Ata kama Alice ako na makosa mbona huyu mama haongelelei her monster son? Alice was a pillar and bread winner in this family mbona time amenyamaza 1yr ndio wameona ni mbaya? Ata father in law last time alisema all Alice said was true
Mother inlaw ❤❤❤🙏🏼🙏🏼🙏🏼
Love you mum in love
Wow wonderful mother in love
this is genuine
Rekei ndimuire utari wahikio ni muthuri uranyua njohi nduri na undu uwii
Alice yuko na kichwa mbaya
the devil is in the details,
Eagerly waiting ✋️
Huyo sister inlaw pia ni sumu. Vile alice aliacha kutuma pesa ndio waliona si mzuri. Mbona hiyo time yote huyu bwanake hakuwa ameweka pesa ya shule ya mtoto ya high school.
Nikwanyitana hanini urimu nduri watongoria ugi wa muciarire ni mwega ona wa mabuku urio ho like seriously😮
Mccdee saidia the grandparent and the kids period
Mimi staongea vibaya bt njuwa mother in law vienye alinifanyia hdi ndoa yangu ikaisha
Nobody to be trusted here ni wasaindie watoto na wasaindie Alice na kazi alafu waachane na maisha yao
Hiyo ni kawaida African mum kutetea kijana yake
Okay alifanya vizuri kulea watoto but mbona haongelelei her monster son na father in law last time alisema everything Alice said is true
Mimi vile naeza sema ni kwamba. Alice was the pillar to this family. Huyu bwanake ndio alikuwa shinda. Mimi ningeomba alice asaidiwe ndio aweze kulea watoto wake. Asirudi saudia.
Mama lazima atete kijana wake...micii ni ndogo😢mundu niwe uwemaria agereire ..
Nilisema alice ni ndurika ni hinga njuru fiu mutumia ugute mwana ndimuthuire biu
Ukweli ata akiongea hakua akiface direct camera
Very true
Hypocrite na uongo mingi na kujifanya vile ameokoka kwani hawahubiliwi kuhusu forgiveness??na mtu ata muona amwabia baraka za watoto wake ziko kwa huyo anadharau akimuita kijana hapo
@@CateKiminjalikuwa anafunga macho
Akwende huko mjinga yy
So Alice alikuwa kemboi, aka deportiwa, na rafiki yake alisema naye akafinga hiyo maneno,, Alice manner up, Hawa inlaws wamelea watoto wako vizuri Sana
Heri tukuywe maji tulala but watoi wametoka tumbo yke wewe cheza n kitu ingine .....Alice think twaiciiii mwuone
Grandpa continue to do good
God bless cucu and guka
Please stop this for the sake the kids,it's not helping anything for now,this will haunt the kids,
Na vile ni lilia nikithani amefungiwa na warab🤔
Huyu mama awache kutetea kijana yake dio kila mtu apone
Alice anataka kuchafua wazazi anajiepusana na mzigo ya kulea watoi
Mimi naye mbona siwaamini mother inlaw wengine weeeeee
Simuamini data kidogo! Quick to judge other's children but haongei makosa za her own wicked son whom she raised! Mscheew! Alice usijaribu kurudi huku! They will kill u! Marriage sio lazima, just get your babies n raise them... wakikataa nao, God knows you tried... waachie wapambane, they will look for u one day..
Aai watu wengine huongea aje anauliwa watoy wake wameuliwa hiyo miaka amewaacha , let's pray for peace and togetherness
Ucio mudurume nikwiremwo
Alot of confusionwith mother in law,mundurume urendia ngombe muka atekumenya
As a parent hatuonangi makosa ya watoto wetu tunaonanga za watoto wa wenyewe onake Alice nimuciare tawaku nitutigage uhinga rimwe
Alice your a looooser okey ?? Oya ciana urere na uthomithie na mundurume uria ukwenda gutirie mundu ukuhiritie okey ?? Cucu ahurage nguoo na gukira na nduma ciana kuhe breakfast ukihuraa umalaya kazia wewe Alice....weee uroma ta maii makuu ...na mikorogoo ni urahota kuguraa wihake uruike muthungu takataka ya mutumia ...ona kwanyu ni ungiraga sister yaku agiree ciana ucione..malaya wewe
rimwe nikio itahiuhaga kwaria nginya ngaigua uhoro wotheeee wanaruona anarumenya😢
Alice yaani mpaka sasa ujaenda kuona watoto wako . Ngai ma msaindie
The toxicity in this story wue..si ifike tu hapo hii mucene mingi ni ya nini.Kila mtu anajitetea kivyake.Watoto walikuwa kwa baba yao na watu wao.Shinda iko wapi
Yes kwa baba yao na hiyo ndio inafaa. Watoto kwa baba yao. Sio kuenda na mama halafu mwishoe wakue chokora Nairobi.
Mcdee umekuwa mucene monger,hii yote ni ya nini sasa si ifike hapa
It's good to know every side of the story
Kindly follow the story macdee God bless you thankyou for taking kelvin to school
Mucie wanagia third party ndurugamaga ,mums boy
Kwa hivo Alice alimurifee😂😂
Macdee acha hii iwe last episode,chamhimu kelvin alienda shule
Mama in law alot of ?????
Nyinyi kuna kitu hamjui......huyu mama vile ameona pesa zinaingia anataka kutupa Alice nje ndio yeye a benefit nazo.
Mbona alikubali in the girst place Alice atafutwe?
Plus no one else aligundua hao watoi were coached & warned against staying eith the mother yet mbeleni walikua wanamiss mama yao?
Kama hujawahi go through such usiwe nwepesi wa ku judge.
Inlaws kukaa na kulea watoi is not not a big issue cz kwani baba ni kiwete alelewe watoto????
Alice jipende na uishi maisha yako na Mungu atakuonekania.
Wakati pesa za kuchangiwa zitaisha utaona vile watakutafuta ulee watoto wako.
Prove them wrong by becoming successful & build your life!!!!
But don't say that wamelea hao watoto bila hizo pesa unasema shakushangiza.kama Alice alikuwa anajua ukweli anapenda watoto wake angekuwa anaongelezea once by once
Exactly. Kwanza ya coaching wee.
Wamelea watoto mama yao akiwa anajivinjali I salute them
Hio miaka yote wamekula ya kuchangisha na wamelea hao watoto kama wao,huyo Alice akwende huko angekuwa mzuri angekuwa anasaidia watoto hata kama ni kutuma pesa juu ni damu yake.Ukikosana na mwanaume hujakosana na watoto wako
@@nancykabari1487 you can say that again
Mother inlaws kazi zao nkuona wakaza wanao vle wako,but awaongeangi mambo ya vjana wao.
So true
Rekei Alice ahone
Cucu gia na thatu😂
Woiyi
Pia guka ako smart
Nikio etuaga ararira kiswahili aki fikilia mother in law haelewi kiswahili, fala wewe
Alice atigane na ciana ciikare kwao araikarire kenya nadangithia kumarora tiga aikare kwene akaria na kanyua nakono toro kwene nadangiconoke niacoke gulf agathokome oke ane agent 😂
Mm siezi tetea Alice....mama anatupa watoto wake
Na baba Yao je?
Alitupa wapi? Na wako kwa baba yao.
Makosa kubwa kama alieda ku rent na watoi another case, bt kuoleka???
Kuwacha watoto kwa baba yao ni kutupa? Kwani yeye sio mzazi? Ni wanawake wangapi huwachwa na mimba na wanalea watoi wao vizuri? Huyu baba watoto hakujua mtoto anafaa kujoin form 1 ajipamge?
Alice wee ni muongo sana saa hutaki kuludi kwako juu unajua umehalibu maisha yako na wanaume
32:30
32:54 ata huna akiri wewe die mwanaumu ama umenitumia ogea vitu zenye unajua
@@aliceruguru8003ww unadai kuokoka wapi, Sisi tumekula shinda na watoi wetu hatujawahi waacha, your mother in law ako sawa
ATI sasa unasema umeokoka okey mtu anaokoka baada ya kutumiwa na wanaume kama tissue paper ata sasa ukioleka ni kutumiwa tuu😂😂😂😂
Alice kindly go through counselling so that you can forgive yourself first and foremost.only then can you forgive your inlaws and husband to be able to move on to your next chapter in life.whatever you decide to do later is your choice.
kama uliwasaindia mushene mingi niyanini unapenda undaunted sana
Alice ni Shaitani!
Kama wewe. Shaitani
@@MeRimee24xlmm evil tongue pretend to be good. Njangiri yeye!
Alice kama wewe ungependa kusamee please msamee mume wako mrudiane mlee watoto na mungu ata wabariki in Jesus name
Alice kemboi mnjinga watoto wangu ndio mambo yangu yote
Ngwaci ya mwana wene niyo ihoragia mwaki