My learned brother Deo umekosea sana, kusema kuwa mawakili waliofaulu pia hawaakisi ubora wa law school it means unashusha level of trust kwa clients kua sisi mawakili hatuna ubora...Mi Nafikiri huo mjadala wangealikwa mawakili seniors ambao Wana busara na hekma na sio hao Vijana wanaoongea kwa mihemko
Huyo mtangaji wa kiume hajui kutangaza mbona anakatisha jamaa #Alexander au na yeye katumwa na low school. Angemwacha jamaa ajieleze kwa nini ameamua kuishitaki law school. Siyo kwa nini amefeli..
Mbona hiyo hali ipo miaka yote, iweje mwaka huu ndio ionekane kama ni ajabu? Waziri alipaswa kufikiria kwa kima kabla ya kuunda tume kutumia pesa za walipa kodi ambao wanalia kila kukicha
Alexander yupo vizuri.
My learned brother Deo umekosea sana, kusema kuwa mawakili waliofaulu pia hawaakisi ubora wa law school it means unashusha level of trust kwa clients kua sisi mawakili hatuna ubora...Mi Nafikiri huo mjadala wangealikwa mawakili seniors ambao Wana busara na hekma na sio hao Vijana wanaoongea kwa mihemko
Watangazaji hawana upeo mzuri wa kuhoji hilo ni tatizo, hawamuelewi
Hata mahama ya lufaa zizochukua miaka wao wamefaulu au nao nitatizo
Ni kadili kawatu waonekane miungu watu
Ili utoboe law school inatakiwa punde ukimaliza degree tafuta ofs ya wakili jishikize ufahamu practice kisha uende law school utafanya vizuri tu
Ni lamuli siyo shule Ili waendeleye kura Bata waonekane wa muhimu sana kumbe hamuna kitu
Watapewa rushwa hao majibu yatakuja yauwongo
Wewe utoke kayumba lugha tee
Hao ndio hata mahakamani kesi Zina chukua miaka 20 wote ni bogasi kesi miaka 20 na sisi Wana nchi bogasi
KUFAURU MBAKA UTOE RUSHWAAA
Mbona wanaokula lushwa mahamani na kuchelewesha haki za watu hawafukuzwi
Hahaha😅jamaaa anamambo meng kinyama.
Jamaaa kachafukwa ataki kitu yyte😅
Uyu mwanafunz kaiva Sasa xjui amafeli vipi
Huyu ni prof
Huyo mtangaji wa kiume hajui kutangaza mbona anakatisha jamaa #Alexander au na yeye katumwa na low school. Angemwacha jamaa ajieleze kwa nini ameamua kuishitaki law school. Siyo kwa nini amefeli..
😂😂
Huyu dogo alieishtaki anaongea vitu vyenye logic sema km vile watangazaji hawamwelewi cjui!!
Mbona hiyo hali ipo miaka yote, iweje mwaka huu ndio ionekane kama ni ajabu?
Waziri alipaswa kufikiria kwa kima kabla ya kuunda tume kutumia pesa za walipa kodi ambao wanalia kila kukicha
Nashindwa kuelewa
Watoto wasome. Waache kulalamika Chuo kikuu sio kama Shule ya sekondari. Unajitayarisha kabla kuingia darasani. Huna muda wa kusoma kama sekondari
Walimu wengine no waoneve zaidi wanataka rushwa ya ngono