duuuh Mc nimekupenda bureeee jmn mungu Akinibariki nitakutafuta jmn barikiwa saaaana!! sana hongera bibi harus mungu skaitetee ndoa yako kwakuwa umemtanguliza yeye
Jua zaidi juu ya maumivu ya *Mgongo* kutibika inawezekana especially ukiwahi kabla tatizo halijawa sugu.. ... Maeneo yanayouma zaidi hapo, low back pain... kutibika inawezekana especially ukiwahi kabla tatizo halijawa sugu.. . dalili moja wapo ni kupata maumivu ukiwa umekaa sehemu moja muda mrefu . Maumivu ya mgongo ni moja ya sababu ya watu wengi kwenda kwa daktari , na ni sababu inayoongoza ya ulemavu ulimwenguni mfano kushindwa kusimama au kutembea au kukaa kwa muda mrefu. . Watu wengi wana maumivu ya mgongo angalau mara moja katika maisha yao lakini kama maumivu yatakuwa endelevu hilo ni tatizo . Kwa bahati nzuri, unaweza kuchukua hatua za kuzuia au kupunguza sehemu za maumivu ya mgongo. Kati ya vitu vinavyosababisha mgongo kuuma.. 1. Pingili kuvunjika kidogo 2. Disc kuisha au kuvimba 3. Sciatica 4. Osteoporosis(upungufu wa calcium kwenye mifupa ya mgongo, 5. Misuli kuvimba au kuchanika... Baada ya vipimo wewe uligundua nini? #maumivuyamgongo #maumivuyakiuno .Tiba ipo *0657960657*
Huwa sichoki kuangalia Mc uko vizuri sana Naamin kuna siku utakuwa Mc wangu Ee Mungu sikia Maombi yangu
Magreth Katinda Be blessed God is Good
wow hongera sana Dada Faustina .
ubarikiwe sana .
nimekupenda Mc Mwita kwa Kazi yako ni nzuri mno.
Dorophina Deus barikiwa mpendwa karibu Kwa hudumaaa
Masha Allah ,,,, mwenyez mungu awajalie kila lenye kher na barka kwenye ndoa yenu na vizazi Bora 🎇Amin 🙏
Hongera sana dada fauctina,nimependa sana,umepafom vizuri mno,mungu abariki ndoa yako.
Mc uko vizuri sana inshallah Mwenyezi Mungu akinijaria ipo siku ntakutafuta
Magreth Katinda Asante sana Karibu
hongera sana Mc kwa kazi nzuri bila ww kupendezesha shughuli kila kitu kinaaribika nimekupenda bure nitakutafuta na maharusi mmpendeza" mnosile uhulo"
hongera sana kaka kazi nzuri
Congrats, that joy reflect a big day your waiting, God bless.
Mwanaume mdogo lakin au macho yangu to😅😅
Hongereni sana dada seluvanga m c yuko vinzuri sana
Hosea Luvanga Asante Sanaa Karibu
Faustina gingers kwa hatua ongeza hofu ya mungu faustina♥️
Karibu kwetu sana kigoma mwisho wa reli tulakushimaaaa
Mwaka mimba mwaka mtoto 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Waooooooo ubunifu mzuri hongera Da faustina
EVELYNE MLOKELA. asante sana
Hongera.sana
Wajina
Wangu.Bwana.Yesu.awe.mlinzi.na.Msimamizi.wa.ndoa.yenu.Mbarìkiwe.sana
karibu sana Faustina mwisho wa reli KIGOMA ndo kwetu hatunaga hata tabia mbaya kwetu
Shikamoo my mwita
nimekupenda Bibi harusi uko na furaha Sana Mungu akubariki Sana
Daaaaaaaaaaaaaah mmependeza sana
MC nimekupenda nitakutafuta kwenye harusi yangu
hongera Sana nimeipenda kz yako
Hadi mm nimeipenda sana style yako ya nywele na nguo pamoja na mc mwita nmempenda sana ikiwa kama na harusi yangu ntamuita
Send of Kali🌹🌹Ooohhh my God, wabariki hawaa
duuuh Mc nimekupenda bureeee jmn mungu Akinibariki nitakutafuta jmn barikiwa saaaana!! sana hongera bibi harus mungu skaitetee ndoa yako kwakuwa umemtanguliza yeye
Winifrida Srivester asante sana karibu 0716547040
+Mc Mwita Tv naomba video ya harusi ya faustina luvanga
Winifrida Srivester niceeeee
Mc Mwita Tv niceee
MC una saut nzr sana, then uko handsome, hongereni sana na maharus wote
Jamani faustina umependeza wanyumbani iringa moja iyo kamwene myawe hongera kuwa na hofu ya mungu faustina
Faustina endelea kuwa na hofu ya mungu katika ndoa yenu usimwache mungu sawa wa iringa mnyalukolo bee mc yupo moto
Jamani faustina unaenda kigoma usije ukapotea njia ya iringa angalia usije ukamlisha mbwa mtu wa watu
Jua zaidi juu ya maumivu ya *Mgongo* kutibika inawezekana especially ukiwahi kabla tatizo halijawa sugu.. ...
Maeneo yanayouma zaidi hapo, low back pain... kutibika inawezekana especially ukiwahi kabla tatizo halijawa sugu..
.
dalili moja wapo ni kupata maumivu ukiwa umekaa sehemu moja muda mrefu
.
Maumivu ya mgongo ni moja ya sababu ya watu wengi kwenda kwa daktari , na ni sababu inayoongoza ya ulemavu ulimwenguni mfano kushindwa kusimama au kutembea au kukaa kwa muda mrefu.
.
Watu wengi wana maumivu ya mgongo angalau mara moja katika maisha yao lakini kama maumivu yatakuwa endelevu hilo ni tatizo
.
Kwa bahati nzuri, unaweza kuchukua hatua za kuzuia au kupunguza sehemu za maumivu ya mgongo.
Kati ya vitu vinavyosababisha mgongo kuuma..
1. Pingili kuvunjika kidogo
2. Disc kuisha au kuvimba
3. Sciatica
4. Osteoporosis(upungufu wa calcium kwenye mifupa ya mgongo,
5. Misuli kuvimba au kuchanika...
Baada ya vipimo wewe uligundua nini?
#maumivuyamgongo #maumivuyakiuno .Tiba ipo *0657960657*
uwii mwana mgade ndigayu mwana ndiguda. mnosile vayawe
Daaaa!Mc yupo vizuri mno anahamasisha Kwa kweli
hongera mc.......imependeza na hii yte kwakuwa ulikuwa makin......hunger San,nakuhitaj na yangu@
Vanesaa Mushii Karibu sana
Mc uko vizur Sana mungu akubarik
Josephina Pascal Asante sana
Mc nimependa unavyoifanya kaz yako...,hujakurupukaaaa
Asante sana
Thanks 🙏🙏
Duu hadi raha kupendeza mc uko vizuri jaman
konkiii masta
bleesed😘😘😘
Jesca Shejo amein
Dada yangu luvanga twilumba hilo
Vema sanaaa
Asante sana
Saut yako mc imeingia moyon mwangu love you
it was amaizing
veronika hau thank on behalf
Mc mwita karibu na kigoma
Nyela mnosile sweeee
I enjoy watching this videos how I wish God to remember me so that one day I also experience such a moment,
Dennis Andayi ambwen
Love you mwita
Hi is good but the man is not served
Mc unaongea vizur halafu hupayuki hadi rahaaa,,, bi harus nice
Sia Makundi Asante sana
Mc Mwita Tv unapatikana wapi jmn na yang inaload
Nipo Makao Makuu Dodoma Karibu sana Popote ulipo tupo 0716547040
nimependa sana
Monica Joseph Asante sana karibu nawe
waooo,nimependa ubunifu mzuri kauonyesha,
mambo
Nc
MC yupo vinzur kusema ukweli tunakupataje
0755033240 Karibu
Very amezng
Hi
Nice
hongera sana
kwakweli mc mwita upo vizur
Nimekupenda bure
Idda Modest
hongera
Mc nimekupenda bureeeeeee
Hahahaha wewanyumbani kabisa namajina yametofautiana kidogo tu na dadaangu #Yustina Luvanga
Mbona mwanaume ni mdogo au ndo habari ya mjini
😅😅 chukuwa yoyote tetu mungu kakuletea
Nadia aamin mugu awajalie Nada unakumbusha mbal
umenibariki bibi harusi
nice
mc uko vizuri
nice..
CD
umependeza
Imekaa powa sana jamani hogereni du
kk luvanda uko wapi hivi malipo yako makubwa sana
Pendeza sana
Tumain Pascal Asante sana
Kweli imependeza
Waooo kumbe Denic hongera mdogowangu
Veronica Waryoba asante kwa niaba ya shemela wng
Mc mwita, Sion video zako Tena vp Kaka, au umeacha nmejifunza meng kutoka Kwako
Big up mc uko vema
Helen Kapinga Thanks welcome
@@mcmwitatv1951 mc Kama mc big up shemela.
@@mcmwitatv1951 mc Kama mc big up shemela.
Mc uko vizuri sana bwana yesu akubariki
Kazi nzuri mc hongeren maharus mungu awaongze vyema
Nimekosa cha kusema kwami mambo yote ni moto
Pamojaaaa sanaa
ya harusi
Mmependeza
Elly da prince mpendaza san
Safi
Mh!
nguo tu nikajua watu wa iringa hahahahah
Rose Mahengenice mc pilpil duuh Dada
Iringa ni motrooooo ww
hongera baba
mc mwita umenichekesha hatari, hiyo mwaka mimba mwaka mtoto, na mi nasema ndoa haijawahi kumuacha mtu salama
Selina John hahahahaha selina unasa ww
Mko vizuri
hahahaah mc shikamooooh nimekupenda bureee
Rose Mahengenice mc pilpil asante sana
waooo
mc mwita upo vizr
Nikweli ulipenda Dada luvangaa
mc
mc kiboko huyo
Hongereni San Famy ya luvanga
no
Hahahaha wewanyumbani kabisa namajina yametofautiana kidogo tu na dadaangu #Yustina Luvanga
Luvanga Grace waooo uyu luvanga wa kwetu kabisa
Safi