Diituni nizuri lakini muendelezo unachelewa kutoka mbaka kuna wengine wanataka kuiga ichi kipindi,fanyeni kutujali sis hatupendi izi feki zapembeni tunapenda hii ndoorigeni,
Madenge saivi ni kila wiki, ila kutokana na tatizo la kimtandao ndio mana inachelewa. Bonyeza hapa kuangalia mfululizo mzima wa stori ya Madenge hadi sasa ilipofikia:- ua-cam.com/play/PLKFsGWF6ctbe1nABvr-inXmPURCx-uwf2.html
Sitakula wikiii mzima............. Nmepata ndiyo lakin katorok sasaivii mistar madenge good job
Katuni ni mzuri hila mnazinguwa aisee munakaa zaid ya mwezi 2 inakuwa aipendezi toeni week Hadi week kama joti
Tutajitahidi kutama kila wiki.
Wanatufanya mpaka tunasahau kabisa!!
Jaman mnachelea hadi tunaisahau lakini iko freshi😍😍😍🥰
Nikweli
Mambo
Unasema kweli mamy!!
naomba mkiweke kpande ambacho madenge ana suggest sisambazwe picha za mtoto wa mzung kijijin
Daaa mambo ni moto kila kukicha mambo bulu bulu ila isichelewe sasa jamani daa🤗🤗
Now itakua kila wiki.
Yaani mimi napenda 😘😘😘
Wewe muandaaji sijui unakwama wapi Mwendelezo unachelewa Sana Sana
Ajipangee tuu c mchezoo ujuee... coz n mda anahitaj utuliv ppia mbali n mamb yalomzunguka
Mbona haifunguki au ni kwangu tu ndo haifunguki wapendwa vipi huko kwenye simu imefunguka kwangu haifunguki kabisa
@@المهلهلالحراصي bado dakika 83
@@المهلهلالحراصي mpakasaa tatu kamil asubui
@@المهلهلالحراصي hata mm haifunguki sijui vp
Nampenda sana dimoso na madenge 😄😄😄😄❤️🇹🇿
@@mwitajuma2182 jmn nn lkn 🤣🤣🤣
Mbona mnachelewa sana kutoa mwendelezo
Now itakua kila wiki.
Jamani kwann mnakawiza sana madenge
Now mwendelezo utakua kila wiki.
Mnaichelewesha Sana tatizo
Now itakua kila wiki
@@kuguta wajongo
Mashallah nayioenda sana daaa
Inachelewa sana kutoka
Now itakua kila wiki.
MWANANGU USICHELEWEEEEE SANAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA😭😭😭😭😭😭unapoteza utamuuuuu
Sawa, Now itakua kila wiki.
Mnachelewesha sana muendelezo wake
Now mwendelezo utakua kila wiki.
@@kuguta mngefanya hata kwa wiki mara mbili kidogo afadhali maana wiki mpka watu tunajishau
@@kuguta mngefanya hata kwa wiki mara mbili kidogo afadhali maana wiki mpka watu tunajishau
Tu nashukulu mwendelezo PRS
Mzungu 😃😃anamtaka madenge WAKE jamani
Oya leteni hiyo nyingine chap huku 🇧🇮🇧🇮🇧🇮tunaingoja kwa hamu na gamu
Jamani mnacherrwa sana adi nilisahau
Now itakua kila wiki.
Wanafanya mpaka tunataka kutoa matusi bure!!!
@@kuguta Promise au??
@@mudyrashid9161 mi adi nilisha sahau kama I katuni inaendelea
@@beatriceamber4532 Hata sijui wanakusudia nini hawa watu!!
Daaaa mnacherewa sana jomani
Now itakua kila wiki.
@@kuguta ok sawa Asante sana kwaiyo hadi j mos tena
Hapo Sawa Maana Tulikuwa Na Kiu Ya Kuipata Muendelezo.
Nzur
Nyingine Lin mbna unachelewa sana kutoa
Weekend hii
@@kuguta ok
Keep up Dimoso and Soja for this wonderful translations 💓♥️❤️❣️💕
Madenge fala kweli
Mnakawiyasana kutoa movies kwanini naipendasana ninzuri
Now itakua kila wiki
Sema mnatuma mojamoja mnatuboa kweli
Now itakua kila wiki.
Nice nyingne
Ni mzur jaman
Ndio, Ila wanatuweka sana!!
Napenda jinsi unavyopanga. Ya NGUVU sana
Daah mnazingua mnasunil hadi miezi ipite ndo mtume aah!! kwel mnaboa.
Now itakua kila wiki.
Ok pow hyo njema sana 🤜🤛
Mina wapenda San
Kutok RWANDA
Shukrani, Now itakua kila wiki.
Good job for your guys
Mm nakifatilia Sana iyo tatizo mbonamunatucheleweshea Sana kutuletea vchekesho vyamadenge
Now mwendelezo utakua kila wiki.
@@kuguta basiombilangu mungejitaid kwawiki mungeturetea marambili bas ilo niombilangu kamashabiki wenu jaman
Unachelewesha sn mkuu
Now itakua kila wiki.
Mwendelezo iko wp
I need more please I love your script
Madenge fala kweli
Sawa😇
Muendelezo
I like the show .muendelezo kesho weka please
Now mwendelezo utakua kila wiki.
mnachelewesha sana
Now mwendelezo utakua kila wiki.
Mnapenda hii katun an
Madenge bana hadi Raha tatizo mnachelewa kuendeleza. Nawafatlia nikiwa kenya
Now mwendelezo utakua kila wiki.
Ilamnachelewesha sana kwann
Now mwendelezo utakua kila wiki.
Ok mmetisha
Daaa poa sana
Tatizo mnachelewesha sana
Now mwendelezo utakua kila wiki.
Katuni
Katuni hiini nzuri ila madenge Anazingua
Diituni nizuri lakini muendelezo unachelewa kutoka mbaka kuna wengine wanataka kuiga ichi kipindi,fanyeni kutujali sis hatupendi izi feki zapembeni tunapenda hii ndoorigeni,
Shukrani, tutajitahidi kutuma kila wiki
Oky
Unachelewwsha sana halafu fupi jitahid iwe ndefu
Now itakua kila wiki.
Duh mbn muendelezoo amna
Now itakua kila wiki.
Madenge noma ila kingereza chenga
Oy nyingine hiyo chaap
Mbona hii tulishaiona..
hapana hii ni nyingine, ila imeanza pale ilipoishia.
Asanteee
Daah ya Leo tamuu ila tamu mpk inaonekana fupi
Shukran
Jamani wiki tayari vipi tena??
Mbona kidogo
Now itakua kila wiki.
Mbona mwendelezo unachelewa iv ck iz
Now mwendelezo utakua kila wiki.
Ila mna chelewesha sana aise mwizi mpaka ina pita
Madenge saivi ni kila wiki, ila kutokana na tatizo la kimtandao ndio mana inachelewa.
Bonyeza hapa kuangalia mfululizo mzima wa stori ya Madenge hadi sasa ilipofikia:-
ua-cam.com/play/PLKFsGWF6ctbe1nABvr-inXmPURCx-uwf2.html
Kosa lenu moja tu kuichelewesha 😢😢😢😢😢😢 Mnatuchukulia poa watu wakubwa tume subscriber ili tuangalie katoon ila munatuangusha 🙌🙌🙌🙌
Atutowaangusha, Now mwendelezo utakua kila wiki.
Vizuri sana KBS ya ani munanipa furha kweli kweli sasa nyingine siku gani? Tena
Mwendelezo utakua kila wiki.
Tatizo ni ubabaishaji wa sanaa
Now itakua kila wiki.
Smart sanaaaaaaa!!
Asante kaka
Oya mnachelewesha nyingine
Now itakua kila wiki.
Mnatuchelewesha bana
Now itakua kila wiki.
Jamani mnachelewesha
Video inatoka weekend hii
Achieni kiitu faster
Muu. Nde kipande kingine haraka tafathali
Kasemaje anasemaje
Ulidiane nae
Safi sana
Madenge kaaribu kinyama
Kaliii sanaa
Mnachelewesha sana. Wekeni basi hata kwenye app iwe ni kulipia ili itoke kwa wakati.
Now mwendelezo utakua kila wiki
Smart video
Hata ivyo mnaweka fupi sana dakik 4 haifai inakua kama nyimbo sasa
Muna ichelewesha tatzo
Now mwendelezo utakua kila wiki.
Yaani tunasuburi kwa mda mrefu alafu sekunde tu kasha isha😭😭😭😭
Now mwendelezo utakua kila wiki.
@@kuguta thank you and congrats too
Ni nzuri ila munakawiya kupost kabisa
Now mwendelezo utakua kila wiki.
Mbn mnachelewa
Now itakua kila wiki.
Mbn mnatukawiza sasa
Now itakua kila wiki.
Tuma byingine
Nice one
Hhh naisubil kwa habu aiseee
Aki madenge mbona unafanya hivi 😭😭😭😭
Vip
Muendelezo plz😂😂😂😂😂😂😂😂😂
jaman mbona hazi funguki
Jikazen bac kulet mpya jamn
Tunataka muendelezo!!!
Mwendelezo weekend hii.
@@kuguta Mukifanya ivo hatuwezi kuwaacha!!
@@kuguta Ila musituweke sana kama vilivo pita!!
Sawa
@@kuguta Tunawatakia kazi njema na true promise!!
Muendelezo😆😆😆
Madenge kanichekesha kaingia ndani eti shkamoo🤣🤣🤣🤣🤣
ananifurahisha
Iko good ila unachelewa sana kutoa nyingine
Now mwendelezo utakua kila wiki.
Fanyeni basi mzungu akiongea andikeni maelezo chini wengine hatujui English au nakosea
Hahaha, sawa tutajaribu.
hahahaaaa kwel
Tatz unachelew sn kutoa crip
Now itakua kila wiki.
Sw tunsbl
Madenge kajifundishe kusoma kizungu 🤣🤣
Duh madenge kaokota dodo na mchane wke wanyooshe tu wakufuze lunga😀
Wow
Mandenge mbona sasa hivyo
Das jamn munatokoseaha raha munaganda san kuleta episode nyengn
Now itakua kila wiki.
Madenge anazingua zali ilo la mentali"