Wananchi kijijini Kisumu walalamikia maradhi inayoua mifugo
Вставка
- Опубліковано 15 січ 2025
- Wakaazi wa kijiji cha Nyamware eneo la Nyando sasa wanaitaka serikali kuu kuingilia kati na kuchunguza kiini cha maradhi yasiyoeleweka yanayosababisha vifo kwa mifugo. Wakazi hao wanadai kuwa ugonjwa huo ulioanza mwaka jana umesababisha kupungua maradufu kwa mifugo ambao huugua vidonda kabla ya kufa.