BARAKA ZA MAMA EP 44 SEASON TWO

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 24 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 71

  • @SAYUKI513
    @SAYUKI513  13 годин тому +7

    SAYUKI TV tunawatakia heri ya Christmas na maandalizi ya mwaka mpya tutumie fursa hii kuwaombea wenzetu ambao wagonjwa na hata waliotangulia mbele za Mungu pia mungu atujalie afya njema na upendo kwa wenzetu wote tuseme Amina.

  • @HoHo-l1r
    @HoHo-l1r 8 годин тому +2

    Bahati na mama mwanatanga ni watu msio na fazila kabisaa yani mmeshasahau kama sam aliwatoa wapi leo hii mnadiliki kumuita mchawi duu ama kweli fazila mfazili mbuzi utalunywa mchuzi ila binaadam 🏃🏃🏃🙌🙌🙌🙌

  • @PopoMwangudya
    @PopoMwangudya 13 годин тому +4

    Wishing you mery Christmas 🎄🎄🎄 and happy new year from Kenya representing team strong 💪💪💪

    • @SAYUKI513
      @SAYUKI513  12 годин тому

      Ahsante sana, sisi pia tunawatakia heri ya Krismasi na mwaka mpya mwema.

    • @christaoman8890
      @christaoman8890 10 годин тому

      Ameen❤

    • @christaoman8890
      @christaoman8890 10 годин тому

      ​@@SAYUKI513Ameen kwa sote

  • @Hawaayaa
    @Hawaayaa 5 годин тому

    Kapopo sio chizi eti umebeba tari ya gari mbn kubwa pumbavu zako kapopo😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @lindauma982
    @lindauma982 13 годин тому +1

    Kapopo kirikuramba na upwiru wako😂😂😂

  • @Mary-z5i1s
    @Mary-z5i1s 9 годин тому +2

    Merry Christmas all sayuki team 🎉🎉❤❤

  • @louisekiza759
    @louisekiza759 20 хвилин тому +1

    Nice movie

  • @ErastoMsemwa
    @ErastoMsemwa 9 годин тому +1

    Bahati acha rohombya

  • @winniemwaka3202
    @winniemwaka3202 5 годин тому

    Bahati umesahau fadhila😮za sam🎉kumbe unaroho mbaya bahati jmn

  • @mariammariam5723
    @mariammariam5723 13 годин тому +1

    Nakwenu pia ❤❤

  • @EzraNganga-p7l
    @EzraNganga-p7l 8 годин тому

    Ally Nyundo Movie ipo vizuri na inafunza katika maisha ya ulimwengu huu kuna nyakati waweza pitia hata wewe misukosuko kama ukiangalia hii move utakuwa ushakomaa kiakili namna ya kukabiliana na matatizo sasa nasahangaa unaposena move haieleweki mbona inaeleweka Mtumishi

  • @HidayaHamisi-w5k
    @HidayaHamisi-w5k 13 годин тому +2

    Six from 🇦🇪 Kuja hapa like zenu muhim

  • @McT-m1m
    @McT-m1m 12 годин тому +3

    Ila sijapenda bahati na mama utanga mmesahau kama samu aliwasaidia wote

    • @Gloriazawad
      @Gloriazawad 7 годин тому

      Huyo mke wasam anapaswa kumueleza sam kuwa anahisi nikama barak ndoaliokota hiyo pete iliiwe rahisi sam kumuelewa ila akisema kuwa barak akiwa karbu yake ndouzima wake aaa bas itakuwa ngumu kueleweka nakamwe mautanga haez peana barak aondoke

    • @LightnessElisha-q4w
      @LightnessElisha-q4w 7 годин тому

      Ukifuatilia vzr jini wala sam wala mtu yeyote hajui kwamba baraka ndio anaufunguo akina mama mautanga ​wenyewe wanajua tu ni kijiwe cha kawaida tu @@Gloriazawad

  • @mahramarswad6041
    @mahramarswad6041 3 години тому

    Sam maskin anatendwa sana ila hawalipi nabaya maskin alifikuzwa na mama msutanga maskini yote hslipa huyo bahati wivu unsmsumbuwa tu hana jengine wamrjisshdu kila kitu wallahi natama sam skione kijiwe mwenyewe ukimbini akichukuwe atoke kila siku anahangaikq na wao tu wanamdomo wakidha fanikiwa wallahi huyo huyo jini atawasadia sijapenda wanavyomtesa sam wangu tunawapenda from uk 🇬🇧 nawatskia watanzania wenzangu kila lakheri nawapenda sana

  • @FatumaBahatihassan
    @FatumaBahatihassan 8 годин тому

    Mama Mautanga kafifia sana kpindi chanyima alikua mweupe sasa Kawa mweusi
    Bahati badilisha Kijora hicho bdilisha usitu angushe wana wake wenzie

  • @EzekiaMsemwa-sk7ow
    @EzekiaMsemwa-sk7ow 8 годин тому +2

    Wewe unayesema movie haieleweki unaweza ukaacha kutazama hakuna aliye kulazimisha acha kashfa

  • @LovelyCows-dq2uv
    @LovelyCows-dq2uv 11 годин тому +1

    Kapopo 😂😂😂😂😂😂😂

  • @ShamsaFahad-n8v
    @ShamsaFahad-n8v 9 годин тому +1

    Bahati na wewe kijora badilisha unatuangusha😂😂 Hadi bibi yake baraka anakuzidi

  • @bettyfuraha4796
    @bettyfuraha4796 5 годин тому

    😂😂😂,😂kapopo

  • @IrakozeJuliette-so1iu
    @IrakozeJuliette-so1iu 13 годин тому

    Kazi nzuri sana ❤

  • @KhadijaAyob-xw3mf
    @KhadijaAyob-xw3mf 12 годин тому +1

    Na kachuru jamani waragi wa makirinya tujuwane hapa kwa mama mautanga

  • @HafsaShekigenda
    @HafsaShekigenda 10 годин тому +1

    Wee bahati wacha roho mbaya hunalolote wote wivu tu

  • @CharlesMyzairwa
    @CharlesMyzairwa 11 годин тому +1

    Wakwanza kutoka congo bkv

  • @ShamsaFahad-n8v
    @ShamsaFahad-n8v 8 годин тому +1

    Alafu zipe acha ujinga kaishi Kwa kina baraka hata wiki alafu ulipata unachokitaka utarudi kwako

  • @Hawaayaa
    @Hawaayaa 5 годин тому

    Ndo maana huwa twaambiwa heri umfadhili mbuzi binadamu ana maudhi mama mautanga na bahati kumbukeni fadhila alio wafanyia Sam na ukarimu alio waonesha sam musiwe na roho hizi sam one day yes inshaAllah

  • @ASHANDEGWA
    @ASHANDEGWA 12 годин тому +2

    Zipe angekuwa yuwataka ukaribu n Baraka bac angeenda kuishi nyumbani kwa mautanga mpaka pale atakapopata ufunguo wake

    • @سيوابورندي
      @سيوابورندي 10 годин тому

      Zipe angemwambiya maman yake amyonyeshe ufunguyo

    • @LewisHamiltonGLD
      @LewisHamiltonGLD 8 годин тому

      Hii point nzuri sanaaaa but sijui Kaa hua wasomanga comment

  • @سيوابورندي
    @سيوابورندي 10 годин тому +1

    Oyo Zipe angemwambiya mama yake ampe ufunguo ungine

  • @mariammkubwa2112
    @mariammkubwa2112 Годину тому

    Zipe kaongee nao mwenyewe kama ni rahisi

  • @FadhilaAlly-u4k
    @FadhilaAlly-u4k 9 годин тому +1

    I wish Christmas 🎁🎁 and happy new year kwa wote

    • @SAYUKI513
      @SAYUKI513  7 годин тому

      Sisi pia tunawatakia heri ya Krismasi na mwaka mpya mwema.

    • @FadhilaAlly-u4k
      @FadhilaAlly-u4k 7 годин тому

      @SAYUKI513 ahsante

  • @McT-m1m
    @McT-m1m 12 годин тому +1

    Jini la samu halichekagi

  • @mariammkubwa2112
    @mariammkubwa2112 Годину тому

    Ww zipe sio jini part ya jini haikufai kabisa umeshajua funguo ilipo c uichukue kijin jin unamsumbuwa sam tu

  • @aishaomar9621
    @aishaomar9621 5 годин тому

    Mbona mwafanya mmbo tawe magumu zipe SI umuelezee Sam kuwa baraka ndio Ako n funguo yako😢

  • @NdolopaulManassehndolo
    @NdolopaulManassehndolo 11 годин тому +1

    Happy Christmas

  • @كامليا-ر7ز
    @كامليا-ر7ز 11 годин тому +1

    Mbna mm huyu mke wa sam simuelewi n jini gani mwenye atatolewa funguo yke na asihisi chochote 😂😂😂 alfu tn amenda kwa nyumba ya mautanga kbx akajua ufunguo wke na asiuchukue n nguvu za kijini ila kapopo pole n mwiba wa kujidunga mwenyewe huambiwa pole 😂😂😂😂😂😂 merry Christmas nyote mashabiki wa sanyuki

    • @LightnessElisha-q4w
      @LightnessElisha-q4w 7 годин тому

      Jini hawez ona funguo maana hana nguvu za kijin kwa sasa ndoman hata kupotea hapotei ndoman anapokaribia funguo anahic tu cyo kujua ama kuiona wala kuchukua

  • @mwanakombopopo5117
    @mwanakombopopo5117 11 годин тому +2

    Like kwa kapopo

  • @AllyNyundo-j6y
    @AllyNyundo-j6y 9 годин тому +1

    Halafu hilo limama mawutanga silipendi linajifanya limama ety jamani dunia hii ni ndogo namchukia huyo mama jamani dah

    • @SAYUKI513
      @SAYUKI513  8 годин тому

      Sababu ya kumchukia ni nn hasa?

    • @LightnessElisha-q4w
      @LightnessElisha-q4w 7 годин тому

      😂😂😂 Sikieni huyu mtu 😂😂 kakufanyaje sas Yan unamchukuia alafu humsaidia, unamtukana hakufatilii pambana na hali yako broo ,,🤣👎

    • @UwajenezaJazira-cv7et
      @UwajenezaJazira-cv7et 4 години тому

      Ludi bado ujaenda mbari na Mungu chuki ni ugonjwa mbaya sana Mutu mwenye chuki ata Mungu anakua mbari naye ludi usipotee ndugu

  • @niyonkinzogermaine
    @niyonkinzogermaine 2 години тому

    Samu weye ulijikokotea bala utaishi na jini litakuua alafu samu ww hujuwi kuigiza uko mzembemzembe

  • @niyonkinzogermaine
    @niyonkinzogermaine 2 години тому

    Samu mwanamke ndo anakuzidi hakili unataka kuingilia Mambo yenye hujuwi

  • @mildredaoko7782
    @mildredaoko7782 8 годин тому

    🥰🥰🥰🥰🥰

  • @AllyNyundo-j6y
    @AllyNyundo-j6y 9 годин тому +1

    Kweli mmefulia jamani yani mmeishiwa kila kitu na hilo limovie limechosha imekua sio movie tena ni ujinga mtupu story haieleweki hapo kuna baraka za mama au za jini hamjielewi mngekua mnajielewa mngebadilisha story

    • @LightnessElisha-q4w
      @LightnessElisha-q4w 7 годин тому

      😂😂Umenichoka movie wew em tuachie movie yetu cc😂 sayuki tushushie vitu babaaaaa

  • @mwanaisha1703
    @mwanaisha1703 2 години тому

    Bahati acha roho mbaya tena ujue bado uko safarini hapo kwa mwautanga hujapata zuu yuwaeza rudi wakati wowote utakbilia wapi

  • @SAYUKI513
    @SAYUKI513  5 годин тому

    Merry Christmas to you All our lovely fans drop your like if you believe God has defended you till today.

  • @AllyNyundo-j6y
    @AllyNyundo-j6y 9 годин тому +1

    Dah unajua tunawafaatilia sana kuna baazi ya makosa mnayafanya tunakaa kimya hivi hiyo mnayoshutia ni cm au camera mbona watu weusi kipindi cha nyuma weupe au wanajichubua kwa sasa pesa zimewaishia mmekuwa weusi mwangalie mama mautanga kwa sasa na kipindi cha nyima

  • @OkothShareen
    @OkothShareen 12 годин тому

    ❤❤❤❤

  • @bintikhamisi7806
    @bintikhamisi7806 2 години тому

    Sam mtoto wako asha chukuliwa sasa wataka kucheza na maisha ya Baraka? Plz think twice

  • @zawiajuma715
    @zawiajuma715 12 годин тому

  • @Najmahnyangasi
    @Najmahnyangasi 54 хвилини тому

    Kazi nzuri sana ❤❤❤❤

  • @Malombok-c9x
    @Malombok-c9x 6 годин тому

    ❤❤❤❤

  • @AllyNyundo-j6y
    @AllyNyundo-j6y 9 годин тому +1

    Kweli mmefulia jamani yani mmeishiwa kila kitu na hilo limovie limechosha imekua sio movie tena ni ujinga mtupu story haieleweki hapo kuna baraka za mama au za jini hamjielewi mngekua mnajielewa mngebadilisha story

    • @LightnessElisha-q4w
      @LightnessElisha-q4w 7 годин тому

      Limovie libaya alafu unaangalia na unacoment kabisaaaaa🤣 unanchekesha 🤣🤣🤣🤣 ur a Looser 👎

    • @fredyndunguru5448
      @fredyndunguru5448 4 години тому

      Acha upuuzi kijana