PASTOR NDACHA AKUTANA NA KIVUMBI KATIKA MJADALA KUHUSU IBADA YA MITUME NA MANABII COUNTY NI ISIOLO

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 4 лют 2025
  • DA-WAA NA USTADH YUSUF WAMBUGU, USTADH SAID MWIRIGI, USTADH HUSSEIN MWENJA, USTADH ABDIKADIR NA USTADH HAMISI ABDALLAH

КОМЕНТАРІ • 62

  • @dennismajesonlenamunyi7761
    @dennismajesonlenamunyi7761 Рік тому +3

    Pastor Ndacha is telling the truth... I like his teaching. Be blessed pastor 🙏🙏🙏🙏🙏

  • @jumaswalehe7701
    @jumaswalehe7701 2 роки тому +2

    Kweli shkh letu

  • @nakundwamkubwe7823
    @nakundwamkubwe7823 2 роки тому +12

    Takbiriii Takbiriii Allah Akbar!! Uislam ni Nuru na Neema alhamdulilah kwa waislamu wote Allah atupe Jannah in shaa Allah.

  • @nakundwamkubwe7823
    @nakundwamkubwe7823 2 роки тому +11

    Kasuku Ndacha chaliiii ! Unachapwa na Biblia yako yani Biblia imekugeuka 😄😄. Shekhe Yusuphu upo juu kama mwezi na nyota mashallah .

    • @nurualishaban7383
      @nurualishaban7383 2 роки тому +1

      Chiriku huyo ndacha wala hana alijualo zaidi ya uwongo,kashfa na kusoma Qur'an na kuitafsiri kwa akili zake mbovu🙄😂Inna lillahi wa Inna illaihi rajiun

  • @hanifatanzania7258
    @hanifatanzania7258 2 роки тому +6

    Maashallah shehe Yusuf na Tim yako Allah awalinde na maadui Awape umri wenye heri nanyi

  • @nooroman2535
    @nooroman2535 2 роки тому +5

    MashaAllah Mashelhk wetu Allah hawape afya njema na umuli mrefu lnshaallah na hawape pepo ya fildas lnshaallah nawapenda kwa hajili ya Allah lnshaallah

  • @aishahazary4097
    @aishahazary4097 2 роки тому +5

    Maasha Allah.Ndacha anapokutana na simba wa daa,wa Yousuf mjadala unakuwa mtam sana .Maana Ndacha ana masikio lakini hasikii.

  • @moanamohammed1406
    @moanamohammed1406 2 роки тому +3

    Masha Allah masheikhe wetu Allah awahifadh na awajaalie umr mref wenye kher Inshaallah

  • @ashtube1333
    @ashtube1333 2 роки тому +2

    MashaAllah very clear information huyo ni sumun bukumun Ndacha

  • @hafsakirao398
    @hafsakirao398 2 роки тому +4

    Masha'Allah ❤

  • @aminaabu1599
    @aminaabu1599 2 роки тому +2

    Allah Allah Akbar MashaAllah uislam Raha hii ilinipita

  • @somane512
    @somane512 2 роки тому +6

    INSHALLAH wato ona haki

  • @husnanancyatieno2391
    @husnanancyatieno2391 2 роки тому +3

    Mashallah Tabarakallah

  • @mosmart4718
    @mosmart4718 2 роки тому +10

    Poor pastor Ndacha. You can tell he is feeling the hit from the muhadara. He is just wanting to get out of there.

  • @luluamin1388
    @luluamin1388 2 роки тому +3

    MashaAllah

  • @mwanamtotosaid702
    @mwanamtotosaid702 2 роки тому +3

    Masha Allah

  • @hanifaalbalushi2483
    @hanifaalbalushi2483 2 роки тому +3

    Allahu akbar
    Allahu akbar
    Allahu akbar

  • @somane512
    @somane512 2 роки тому +6

    ALLAHU AKBAR

  • @ashtube1333
    @ashtube1333 2 роки тому +2

    Subhanallah

  • @aliadawi5181
    @aliadawi5181 2 роки тому +5

    الله أكبر

  • @maherzain615
    @maherzain615 2 роки тому +4

    أَلَمْ تَرَ أَنَّ اللَّهَ يُسَبِّحُ لَهُ مَنْ فِي السَّمَاوَاتِ وَالْأَرْضِ وَالطَّيْرُ صَافَّاتٍ ۖ كُلٌّ قَدْ عَلِمَ صَلَاتَهُ وَتَسْبِيحَهُ ۗ وَاللَّهُ عَلِيمٌ بِمَا يَفْعَلُونَ
    Do you not realize that God is glorified by whoever is in the heavens and on earth, even by the birds in formation? Each knows its manner of prayer and praise. God knows what they do.
    Quran:(24:41) wakristo mwashindwa mpaka na ndege kwa ibada

  • @jamilaomari2444
    @jamilaomari2444 2 роки тому +6

    Ndacha ameishiwa😂🤣

  • @saidabae7101
    @saidabae7101 2 роки тому +2

    اللّه اکبر

  • @sh.issagisesa6271
    @sh.issagisesa6271 Рік тому +1

    Mungu wa Wakrist alizaa ndio Baba Mungu wa waislam hazard wala hazaliwe Yesu wanameita mungu na alizaliwa na Mungu baba kwa kuwa ana watoto wengi. Kwa hiyo Waislam hawamjuwe Mungu baba ao Mungu means.

  • @aburaasmedia3682
    @aburaasmedia3682 2 роки тому +6

    Huyu Ndacha ni sarakasi tu.....ati waislamu walikula pesa ya choir🤣🤣🤣

  • @morehermadeosman4977
    @morehermadeosman4977 2 роки тому +4

    Kuna andiko inasema kuna upanga wenye...kiti cha enzi cha shetani kanisani sikujui vizuri
    Ndio maana yesu alimwambia petero ataujenga kanisa juu yake...kuja nyuma yangu shetani
    Ni venye sikijui Hilo andiko vizuri

  • @AllyNshimirimana-u2i
    @AllyNshimirimana-u2i Місяць тому

    Yesu'Aliimba'wapi'ukomwendawazimu'shetaniwewe

  • @janetwekesa2247
    @janetwekesa2247 2 роки тому +4

    Waisilamu tunawaelewa,munakuwanga na ile roho,ya revenge kwa wa Kristo,kisa na maana baba yenu alipo timuluwa na mama yake,wakawa na uchungu sana na wa Kristo,na ndio ukiona mwisilamu akifafanuwa bibilia anajaribu kuijafuwa but all it's too late,na ndio munatanganyana kwamba wakristo hawataenda mbinguni,kama wewe sio wa Kristo utchuwache ya kikursto,ndio mukisoma bibilia munajaribu sana kuibatili,otherwise tunawaelewa,ni revenge ya kutimuliwa na mama mkubwa,mumekuja nyuma tu

    • @ambarnelly6304
      @ambarnelly6304 2 роки тому

      Asante kwa maoni

    • @mohamdmohamd4842
      @mohamdmohamd4842 2 роки тому

      Janet Wekesa.. Uko na Akili.. usikubali kuitwa ... (Utajazaa Mwenyewe hapo) Yaani Ndacha Tripple Zero. Hiyo Dakika Kumi aliorudia amesema Nini. Ametoka kabisa kwa Mada. Wakristo Haki iko Wazi ( Yusuf ameleza HAKI..UKWELI) Muko na Akili..na Uwamuzi ni Wenu. UISLAMU NDIO HAKI.

  • @msafiriibrahim5104
    @msafiriibrahim5104 2 роки тому +3

    Huyu Murtad Paulo husoma aya kwa kuzipinda. Neo WAKRISTO sio Wa Kristo

  • @AllyNshimirimana-u2i
    @AllyNshimirimana-u2i Місяць тому +1

    Ndacha'hauna'busara'kwanini'mahubiriyako'nimatusi?mimi'ningelikuwa'karibu'ningekupa‹Adabu'hauna

  • @Sal.0
    @Sal.0 2 роки тому +7

    Ndacha ame kuja na full force, pamoja na Pastor Josefu, ambaye haishi kupigwa VIBOKO kule Eastleigh na Kina Abass na Ndeda! 😅🤕😷!
    Hawa wa Sabato, ni waringo kama MAMA WAO, Ellen G White, ambaye alikuwa ana letewa VISIONS na MA SHAITAINI, 300 times a year!
    SIO, mimi, ni profile yake Kwa Wikipedia ndiyo ina sema hivyo!
    KIBOKO Ya Ndacha ni WAMBUGU and Team!

    • @maherzain615
      @maherzain615 2 роки тому +1

      Josefu amekuja huku mna hela kule Eastleigh hamna kitu🤣🤣🤣

    • @Sal.0
      @Sal.0 2 роки тому +1

      @@maherzain615 😅😅. José na wale Ma Hecklers wengine wa KI Sabato, huwa wana tumwa Eastleigh ku poteza wakati na huyu Supervisor WAO, Ndacha!
      NDACHA ni full time employee wa the Sabato organisation huku Nairobi , na anapewagwa PESA NYINGI sana, every month!
      Ume Ona Equipment za Ndacha? Top of the range cameras na Tripods!
      Juzi ame nunuliwa Brand New Toyota Matatu type Van!
      NDACHA is rolling in SABATO money!

  • @jeanninemunezero6469
    @jeanninemunezero6469 4 місяці тому

    Huyu ndacha ipo siku watamukumbuka wakati wa Nuhu virikuwa hivihivi watu warikata meno la Mungu wetu 8 ndiyo wariokoka wakati wa nuhu

  • @janetwekesa2247
    @janetwekesa2247 2 роки тому +1

    Munaambianga watu wakristo hawataenda mbinguni,na mumekuja tu nyuma munajuwaje mbingu kama liliumbwa na mkristo,mpinga kristo hawezi fafanuwa injili ya kristo ipasavyo anafafanunuwa na big revenge,poleni it's too late,and Jesus is Lord

  • @msafiriibrahim5104
    @msafiriibrahim5104 2 роки тому +4

    Mchungaji Ndacha alikuja kwenye huummdahalo kama hajui mada inahusu nini ama?? hajatuambiwa ibada kamili inafanywa aje anapinga tu namna waislamu wanafanya ibada zao

  • @aminaabdallah7702
    @aminaabdallah7702 2 роки тому +2

    Ndacha ??? Katika mkutano wa waisilamu na wakristo hua unasema innalilah wa Inna ilaihi rajiuna mbona huitafusiri kwa kwa kiswahili ili wakristo wajuwe maana yahilo neno?? kwa kiarabu ?? kwa sababu gani ??? wakristo hawajui mana yake

  • @Nora-v1m3p
    @Nora-v1m3p 7 місяців тому

    Wanaosika watumie akili zao kwan manabii walifundisha namn ya kusali ilo liko wazi

  • @NurdiinXabiib
    @NurdiinXabiib 2 роки тому +3

    I gach you Ndacha wa'aleyka kiboko hiyoooo that's is not bid a if you say we will say wa aleyka you and jush too

  • @ashtube1333
    @ashtube1333 2 роки тому +1

    Huyu Ndacha anafanya joke kwa maneno ya Allah

  • @AllyNshimirimana-u2i
    @AllyNshimirimana-u2i Місяць тому +1

    Ndacha'kaachini'wewekitumikisho'cha'firmasoni'shetani'

  • @mobutu3884
    @mobutu3884 2 роки тому +2

    Mbona unalazimisha kutumia kitabu ambacho wakristo hawatumii kwenye miongozo yao ya dini tena unatembea nacho huoni aibu kwani 😃, halafu unajiita mwalimu kwani bibilia imekushinda?

    • @stoispapi2380
      @stoispapi2380 2 роки тому

      Kuelewa biblia ni kama kukunywa maji

    • @hamisikassimmwatamu7949
      @hamisikassimmwatamu7949 2 роки тому +1

      Kwani ujasikia biblia hikisomwa uko wapi wewe

    • @mobutu3884
      @mobutu3884 2 роки тому

      @@hamisikassimmwatamu7949 biblia yenyewe anasoma nusu hamalizii mwambieni hayo sio mashindano bali tunataka hoja ili tujue ukweli kama hana hoja atulie sio kutulisha matango pori sisi ni watu wazima tuna uelewa pia, tatizo ashajua wengi wenu ni mashabiki hamsikilizi hoja na kuzitafakali kwa makini.

  • @moanamohammed1406
    @moanamohammed1406 2 роки тому +3

    Masha Allah masheikhe wetu Allah awahifadh na awajaalie umr mref wenye kher Inshaallah

  • @bahatikenia39
    @bahatikenia39 2 роки тому +3

    Mashaalah

  • @myoutubecom-gg7sb
    @myoutubecom-gg7sb 2 роки тому +3

    Masha Allah