SABABU ZA UAMSHO KUFANYA MIHADHARA YA KATIBA SHEIKH MSELEM AZUNGUMZA CHAANI ZANZIBAR

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 13 гру 2024
  • #jtvznz#

КОМЕНТАРІ • 117

  • @HappyGondola-gs8cg
    @HappyGondola-gs8cg 4 дні тому +2

    mimi ni mkristo lakini shehe mselem namfatilia sana mungu atakulipa

  • @AhmednasirMohamed-le3ht
    @AhmednasirMohamed-le3ht 3 дні тому

    Na kweli kunafaida ya kubainisha sikuwa na mtazamo sahihi kuhusu uamsho shukran sana nakupa
    Safi kabisa na kumbe ni taasisi iliyo sajiliewa🤲❤️❤️❤️❤️👏👏👏👏👏👏

  • @ashrafumohamedi3691
    @ashrafumohamedi3691 8 днів тому +1

    ALLAH akuhifadhi na akulipe kila lililo jema,hakika wewe unaifanya kazi ya ALLAH

  • @universitylink
    @universitylink 8 днів тому +1

    Mashaallah, anaongea points sana na kwa utulivu kabisa

  • @alwiyiynmission2820
    @alwiyiynmission2820 9 днів тому

    SHEIKH MSELEM MOLA AKUBARIKI PAMOJA NA WENZAKO.
    MAASHALLAH MPOLE NA MFIKISHAJI WA UJUMBE KWA INSAFU HASA.
    WASIOELEWA NI TATIZO LAO BINAFS LA KUANGALIA MSEMAJI NI NANI,NA KUACHA KIMESEMWA NINI

  • @omarhusna1766
    @omarhusna1766 8 днів тому +3

    Sheikh mselem mbona wazanzibar sote tumekuelewa sana tangu apo mwanzoo

  • @MohamedSalim-cm9ih
    @MohamedSalim-cm9ih 8 днів тому +1

    Ndugu zetu wnasema kuipenda nchi ni katika Imani

    • @mohdkombo3397
      @mohdkombo3397 6 днів тому

      @@MohamedSalim-cm9ih
      imani gani?Nnchi ipi?
      Uislamu uipende nnchi ya kiislamu na huwa moja tuu mfano kama ilivyokuwa wakati wa Mtume s.a.w mpaka kuangushwa kwake,
      Bali kupigania utaifa kama huu uzanzibari ni haramu na Muislam hawezi kuingia peponi akifa na fikra hizo, yaani hanufaiki duniani au akhera
      Allah swt atuondoshe na fikra hizo za kikafiri
      Ameen

    • @MohamedSalim-cm9ih
      @MohamedSalim-cm9ih 5 днів тому

      @mohdkombo3397 kupigania u tanzania je c katika Iman?

    • @MohamedSalim-cm9ih
      @MohamedSalim-cm9ih 5 днів тому

      @mohdkombo3397 kuipenda nchi ni yako ni katika Imani ndugu zetu wnasema hivo

    • @MohamedSalim-cm9ih
      @MohamedSalim-cm9ih 5 днів тому

      @mohdkombo3397 kwaiyo kuipenda zanzibar ni katika imaan..

  • @OmarAbeid-wu5ur
    @OmarAbeid-wu5ur 8 днів тому +2

    Mlikosea sanaaa mlimuacha allah mkachukua democrasi ni taasisi ya kkkhawariji na amani mlihatarisha

    • @jtvznz4507
      @jtvznz4507  8 днів тому +1

      @@OmarAbeid-wu5ur inasemekana makundi yote ni khawariji hata hili la salafi lisilotoleya watu salamu wala kuitikia salamu. Ni masalafi wa sasa sio hao waliopita

    • @OmarAbeid-wu5ur
      @OmarAbeid-wu5ur 8 днів тому

      @jtvznz4507 inasemekana sio uhakika na hao wasotolea salam wenziwao ni wakosaji

    • @khamisrubea5083
      @khamisrubea5083 8 днів тому +2

      Mungu ndo anojua kama wamekosea au hapana

    • @MussaSeif5G
      @MussaSeif5G 8 днів тому

      Ww muislaam?

    • @AlexanderLacazet
      @AlexanderLacazet 7 днів тому +1

      Hawajakosea lolote

  • @LamaMandenga
    @LamaMandenga 7 днів тому

    Allah akuhifadhi 🇲🇿🇲🇿

  • @BakariMtangenange
    @BakariMtangenange 8 днів тому +1

    Shekh mselem nampenda sana kwaajili ya Allah maana nimfanisi sana ktk kudadavua mambo anaongea km hataki vile

    • @ahz6907
      @ahz6907 7 днів тому

      Ana intelijensia ya hali ya juu

  • @NassirSaid-e4i
    @NassirSaid-e4i 9 днів тому

    Mashallah

  • @khairatsaid-zu3hd
    @khairatsaid-zu3hd 8 днів тому +2

    Assalam alaikum shekh ushauri wangu naomba taasisi muibadilishe jina kwa sasa

    • @jtvznz4507
      @jtvznz4507  8 днів тому

      KWA NN NA JE UNAPENDEKEZA JINA GANI

  • @GeneGoodkid
    @GeneGoodkid 9 днів тому +1

    Umesahau
    Kauli zenu ????😊

  • @kassimjuma6151
    @kassimjuma6151 8 днів тому

    Mbona ndogo ???

  • @nasramusaro
    @nasramusaro 7 днів тому +2

    Hivi jamani kwani waislamu mliozaliwa ndani ya uislamu mna nini mnajitenga na siasa ili hali mko chini ya serikali na hiyo serikali inatokana na siasa sasa watakapotunga katiba ambayo hawafai waislamu mtafanyaje ndo mtaacha dini yenu mfuate sheria ya kikafiri? Maana ndo wataamua wao watunge vipi sheria zao na nyie ndo hampo hamjui lakini mngekuwepo mngepinga yasingepitishwa

  • @universitylink
    @universitylink 8 днів тому

    Anazungumzia kuwa wananchi walipewa nafasi ya kutoa mawazo yao kuhusu katiba

  • @selemankishema5780
    @selemankishema5780 9 днів тому +9

    Kama naruhusiwa kutoa maoni basi maoni yangu ni kwamba kazi unayofanya ya tafsiri ya QURAN wallahi ni bora kuliko uko unakotaka kuelekea sie tunaosoma kwako tunafaidika saana nakuomba sheikh endelea na tafsiri inshallah mpaka uimalize lakini huo mpango mnaotaka kufanya utatukwamisha saana sheikh

    • @RajbuMussa
      @RajbuMussa 9 днів тому +2

      bloo mm naona nisawa kwa waisam kuelimishwa juu yakatiba ilikujua hakizetu katikannchii

    • @selemankishema5780
      @selemankishema5780 9 днів тому +1

      @RajbuMussa hapana mzee tunamuhitaji saana kwenye tafsiri tutakwama kabisa hakuna mabadiliko yoyote ya katiba ambayo serikali itakubali kubadilisha

    • @MohamedKaburu
      @MohamedKaburu 9 днів тому

      Shekh ebu acha maswala ya uamsho simama kwenye tafsir ya qruan

    • @selemankishema5780
      @selemankishema5780 9 днів тому

      @MohamedKaburu mie mwenyewe bwana nimeshtuka kama sheikh ataanza haya mambo tutamisi mafundisho yake ktk tafsiri hajui tu hiyo kazi ya tafsiri tuna faidika mno na pia kama ujumbe anaufikisha ipasavyo

    • @SalehLoffy-kn6oh
      @SalehLoffy-kn6oh 9 днів тому +7

      Tatizo watu wengine hawafahamu mambo ya dini dini ni mfumo mzima wa maisha sio tafsiri Quran tu na mpaka afike kipengele katiba ktk Quran sio leo

  • @OmarAbeid-wu5ur
    @OmarAbeid-wu5ur 8 днів тому

    Na wsla sio jambo la kheri uhuni

  • @zanzibaronlytv3470
    @zanzibaronlytv3470 8 днів тому

    Alhamdulilah kuwafaham masalaf, nakujaaliwa kufaham makundi potofu yaliyojichomoza ktk UISLAM, huyu msellem ni ash aary ni ktk kundi potofu ,
    Kusomesha dini hasomeshi huu karibu mwaka hata wa 40 pengne hajamaliza kusomesha tafsiri take ya ash ary ,hawasomeshi tawheed,
    Jueni waislam hakuna kitu democracy wala katiba isyo kua quran na sunna kwa walivyofaham maswahaba ktk UISLAM,na tujuwe kuwa Bora kusaidiwa kujikomboa ktk elim ya tawheed kuliko Zanzibar kuwa huru ,jueni tukifa hali ya kuwa Zanzibar ni nzur kuliko Dubai na raiya wake matajiri lakin kma hatuijui tawheed Sisi si chochote Bali ni wajinga Tu wa motoni , Allah atanusuru

    • @yussuphkhamis5878
      @yussuphkhamis5878 8 днів тому

      Acha ujinga

    • @MussaSeif5G
      @MussaSeif5G 8 днів тому

      Ww ni kibarak wa makafir?

    • @AlexanderLacazet
      @AlexanderLacazet 7 днів тому

      Huyu so kibaraka voo ndugu zangu wazanzibar huyu ni salafi feki lakini pia hajatambua maana ya uislam aliokua nao mtume saw yeye anadhania kuwa eti wewe unatawaliawa na siasa wewe eti usishiriki kudai Yale yenye mustqkbali katiba haram na democracy haram lakini Siasa ni miongoni mwa mambo mtume saw aliipa kipao mbele wewe ni mjinga haya mfano umesoma vizuuur alaf hukmu zinazokutawala ni za democracy na katiba una majibu gani ya juhudi ulofanya kuiondoa democracy au hutpulizwa hayo kaburini ?

    • @JRN2612
      @JRN2612 7 днів тому

      Wewe ni shoga?

    • @StickerDoctor-m6f
      @StickerDoctor-m6f 6 днів тому

      Akili za kisalafi hazina tofauti na akili za mayahudi

  • @KhalfanMakota
    @KhalfanMakota 9 днів тому

    Hii nahis ni ya mda c rahis sheikh mselem kuzungumzia tena mamb ya uamsho

    • @jtvznz4507
      @jtvznz4507  9 днів тому

      @@KhalfanMakota sheikh mselem ni amir wa uamsho madahii amezungumza jumapili au una makengeza ndugu yangu

    • @JumaNyange-tz8pi
      @JumaNyange-tz8pi 8 днів тому +1

      Aliposema Raisi wa wakati huo Kikwete tayari maana yake hii ni mada baada ya kutoka gerezani

  • @MohamedKaburu
    @MohamedKaburu 9 днів тому +1

    Jela unaenda peke yako waislam awana umoja likukupata lako wao utawasikia mungu atamfanyia wepes inshallah

  • @maisarirajab4846
    @maisarirajab4846 9 днів тому +1

    Yy yuko katika ibada si anapigania nchi yake km kusoma mutasoma masheikh si wako

    • @OmarAbeid-wu5ur
      @OmarAbeid-wu5ur 8 днів тому

      Nchi haipiganiwi kwa katiba inapiganiwa kwa kidini ya allah ukweli muamsho walokosea sana na hiyo mihadhara yao ya kihuni mnoo waliacha dini ya mitume wakachukua democrasi

    • @Sheba4651
      @Sheba4651 8 днів тому

      ​@@OmarAbeid-wu5urNi kweli nchi inapiganiwa kwa dini ya Allah, lakini kumbuka hata ule mkataba wa hudaibiya nao hakua Quran, ni mkataba makubaliano jinsi jamii itashi vipi salama.
      Ni sawa pia kua na katiba Zanzibar ikapata haki ya kujiamulia, na watapata na hilo ka kuifanya Zanzibar kua serikali ya Kiislamu. Kwani hata Kafiri Lukuvi akiwa kanisani naye anayopambana tuwe katika mfumo wao.

    • @OmarAbeid-wu5ur
      @OmarAbeid-wu5ur 8 днів тому

      @Sheba4651 ule ni wa kidini baina mtume ..tambua hafanyi jambo ila la kidini ila alilifanya na makafiri

    • @Sheba4651
      @Sheba4651 8 днів тому

      @@OmarAbeid-wu5ur Wa kijamii zaidi, baada ya kuishi kwa uwadui ndio ukahitajika, hata yeye Mtume yeye mwenyewe alikubali kufuta kwa mkono wake neno "Rusulullah" pale makafiri waliopo sema sisi tunakujua wewe ni Muhammad bin Abdullah, kwa hivyo mkataba huu hatuhitaji neno ilo, muandishi wa Mtume akataa kufuta, ila Mtume akafuta, ili sulhu ipatikane. Je ni wa kidini tu huo.
      Mkataba wa hudaibiya hakua Quran.

    • @OmarAbeid-wu5ur
      @OmarAbeid-wu5ur 8 днів тому

      @Sheba4651 haukua quraan ...ww vip ule mkataba ni wa dola na dola madam haujakiuka quraan ..bas inajuzu kueka vipengele ambavyo mtakubaliana madam hajaasiwa allah ..ila muamsho wamekiuka utaratibu wa allah wameingia kwenye ukhawariji kwenye democras na ddmocras ni haram na ndio maana hawskufanikiwa juu ya kua walichinja magombe tele na dua za kizushi

  • @RashidAhmed-h7t
    @RashidAhmed-h7t 7 днів тому

    Sawa wewe na qasim mafuta tuu dunia hii ndio sio wapotefu

  • @ahmedbaamironlinetv4753
    @ahmedbaamironlinetv4753 8 днів тому

    NYINYI WATANGANYIKA ACHENI KUCHANGIA HAPA HII NGOMA NI YETU KWETU UKIONA TUNAFANYA CHOCHOTE BASI TUNATAMBUA TUNAZUNGUMZA NINI
    NARUDIA TENA NYINYI WATANGANYIKA TUACHENI NYINYI MUMETUONA TUNAENDELEA NA MAMBO YETU ZANZIBAR BASI TULIENI

    • @BakariMtangenange
      @BakariMtangenange 8 днів тому

      Sio kila mtanganyika anaipenda dhulma ww mwambie yy km yy mbna Mimi mtanganyika lakn najua km Zanzibar ni nchii kamili

    • @Stavanger-cr3ee
      @Stavanger-cr3ee 7 днів тому

      Basi njoo unichukuwe SHANGAZI yako huku

  • @mohdkombo3397
    @mohdkombo3397 9 днів тому +2

    Sasa ndio watu watajuwa kuwa hizi tasisi zilizosajiliwa kama uamsho no taasiasi mapunda kuchukua ajenda za makafiri kuzipeleka ktk jamii na kuwachukulia michango yao wajinufaishe wao.
    Democracy ni ukafiri
    Lol

    • @rommyshabby3959
      @rommyshabby3959 9 днів тому

      Tena ukafiiri mkubwa sn demokrasia ndio maana nchi za ujamaa kama Korea huko haawaamini kwenye demokrasia Che guevara hadi anakufa aliupinga sn huo mfumo wa hovyo kuwahi kutokea duniani

    • @mbwanahussein98
      @mbwanahussein98 9 днів тому

      HAKIKAH NA ALLAH ANASEMA YOYOTE MWENYE KUTAKA MFUMO NJE YA QUR'AN BASI HUYO NI KAFIR ILA ZANZIBAR WAO SIASÃ NDIO DINI YAO ATAKUZIKANA KWA NIKHARAM

    • @LUBAINAMOHDRAJAB
      @LUBAINAMOHDRAJAB 9 днів тому +3

      Hamjui alichokizungumza sheikh. Mnarukia gari mbele.
      Lengo la kuwepo katiba ya mwanadamu tulitaka Zanzibar Huru inayoamua mambo yake.
      Kwasbb haikufanikiwa Sasa oneni uchafu unaokithiri Zanzibar.
      Hiyo dini unayosoma mbona hukemei watu kuvaa uchi na kwenda uchi, huko mitaani wamejaa watembea uchi.
      Lkn km ingepatikana katiba na zanzibar ikawa ina maamuz yake usingeona leo Wazungu na baadhi ya watanganyika kujivua nguo wakaenda uchi mitaani kungekuwa hakuna uhuru huo mana wananchi wazanzibar wangekuwa na sauti moja kupinga mambo hayo.
      Zanzibar ya zaman sio ya sasa kila kona kuna baar, wadada poa na ulawiti. Km ww wasoma dini na wataka sheikh asikupe elimu kuhusu kuikomboa nchi yako mbona hukemei hayo machafu na dini wasoma?
      Na huwezi kukemea kwa sababu katiba iliyopo kila mtu ana uhuru wa kwenda anavyotaka hakuna kipingamizi kinachomzuia.
      Haya yote yanawezekana kama kungepatikana ile katiba. Nchi hizi mbili zingekuwa mfano africa na ustaarabu zanzibar ungerudi na watu wangeishi vizr tu.
      Sasa tunaona dini inasomeshwa lakini kwanini maovu mengi wewe huoni hayo. Miskiti inajengwa lakini wanaoswali ni wachache huoni pia.
      Watu wanasoma dini lakin je wanafahamu mbona kila mwenye kusoma kidogo tu utamkut kwenye media atoa fatwa..
      Allah atuongoze kuijua haki.

    • @HasnuuMakame
      @HasnuuMakame 8 днів тому

      ​@@LUBAINAMOHDRAJABAliekua hajakuelewa wewe bas huyo atakua na matatizo, huwezi kua na misimamo mizuri ya kidini kama nchi wakati huo huo hiyo nchi kuna kila aina ya uchafu (wizi, uzinifu, ulawiti, ulevi, kwenda uchi, kamari, na kila aina ya mmong'onyoko wa maadili)

    • @zanzibaronlytv3470
      @zanzibaronlytv3470 8 днів тому +1

      ​@@LUBAINAMOHDRAJABAlhamdulilah kuwafaham masalaf, nakujaaliwa kufaham makundi potofu yaliyojichomoza ktk UISLAM, huyu msellem ni ash aary ni ktk kundi potofu ,
      Kusomesha dini hasomeshi huu karibu mwaka hata wa 40 pengne hajamaliza kusomesha tafsiri take ya ash ary ,hawasomeshi tawheed,
      Jueni waislam hakuna kitu democracy wala katiba isyo kua quran na sunna kwa walivyofaham maswahaba ktk UISLAM,na tujuwe kuwa Bora kusaidiwa kujikomboa ktk elim ya tawheed kuliko Zanzibar kuwa huru ,jueni tukifa hali ya kuwa Zanzibar ni nzur kuliko Dubai na raiya wake matajiri lakin kma hatuijui tawheed Sisi si chochote Bali ni wajinga Tu wa motoni , Allah atanusuru

  • @GeneGoodkid
    @GeneGoodkid 9 днів тому

    Tanzania haina Dini
    Dini ni yako mwenyewe
    Kama vipi mselemu hamia Afghanistan

  • @zanzibaronlytv3470
    @zanzibaronlytv3470 8 днів тому

    Kama juzi Tu kaulizwa huyu kuna Aina ngapi za tawheed akajibu hajui, basi vip yey ndo awe wa kuusemea huu uislam, .
    Kama huijui tawheed lazma itakua sabab ya kusababisha maadili kupotea Zanzibar, tuachane nao hawa masheikh wajinga ambao si masalafy

    • @khamisrubea5083
      @khamisrubea5083 8 днів тому

      Si lazima kujibu swali nyinyi mnataka kumletea mambo yenu ya kitoto ya kubishana mitandaoni

    • @Sheba4651
      @Sheba4651 7 днів тому +1

      Kwani ajue kila kitu yeye ni Mungu, hata Mtume hakua akijua mpaka aelimishwe

    • @alihabib7640
      @alihabib7640 7 днів тому

      Huyu hataki utoto wa bachu​@@Sheba4651

    • @Kekulebenzene
      @Kekulebenzene 7 днів тому +1

      @@Sheba4651 haiwezekani muislamu tena mlinganiaji ashindwe kuelezea Tawheed
      Tawheed ndio uislamu wenyewe, kinyume ni ushirikina/ukafiri
      Huyo ni mtu wa maslahi tu

    • @ahz6907
      @ahz6907 7 днів тому

      Wewe utuambie tawheed ziko ngap?