"YESU WA TONGAREN AKANA WATOTO WAKE" hao sio watoto wangu.

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 7 січ 2025
  • Meet the kids of Yesu wa Tongaren, Yesu wa Tongaren warambulisha wanawe wote na kujikana wengine wanaosema pia ni wana wake.
    Watch, like, share, comment and subscribe

КОМЕНТАРІ • 469

  • @calistustitus4566
    @calistustitus4566 Рік тому +3

    Kuitwa Yesu siyo shida maana jina Yesu maana yake ni mwokozi. Lazima tufahamu kwamba aliyekuja kuwakomboa wanadamu anaitwa YESU KRISTO. Yaani mwokozi aliyepakwa mafuta. Ndiyo mana wakristo twasema kwà jina la YESU kristo wa natharet. Kwa iyo uyu Yesu wa Kenya ni bangi tu alizovuta chooni haya Sasa ndiyo madhara yake.

  • @taturajabukhalfani7953
    @taturajabukhalfani7953 Рік тому +4

    Joshua yesu!!!!!!!!kazi kweli kweli!!!na watoto wake wote ni manabiii!!!!!!daah!!

  • @everlyneiminza5722
    @everlyneiminza5722 Рік тому +27

    Bora sisi tuko na YESU wetu wa Nazareti alie kufia dhambi zetu msalabani pale kalvary akasema yamekwisha🤲🙏

  • @dhuluufiklihassan537
    @dhuluufiklihassan537 Рік тому +11

    When the wife says "nimebarikiwa kuliko wanawake wote duniani" makes the likes of Michelle Obama, Oprah Winfrey and Rihanna look like a joke to her😂😂😂

  • @hamidaalhabsi8568
    @hamidaalhabsi8568 Рік тому +3

    Subhanaallah ewemwezi mungu atusitiri nahaya yanaotokea duniani jamani mbona kuna binadamu wako bado kwenye ngiza nene? Hembu amkeni mumuogope mwenyezi mungu 💔💔💔💔💔

  • @KADALAtv255
    @KADALAtv255 Рік тому +11

    Sasawewe ni yesu gani unakataa watoto na Yesu anasema waacheni watoto wadogo waje wangu.🌹🌹🌹🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @simbamiseyeki7338
    @simbamiseyeki7338 Рік тому +4

    Hakuna malikia mwenye kitambi kwendaaaa😂😂😂😂

    • @abwanrukun1827
      @abwanrukun1827 Рік тому

      Hhhhh saulte to her for being there to foolish others

    • @Iover7789
      @Iover7789 Місяць тому

      😂😂😂😂😂😂

  • @StanslavsMuoki-il5uz
    @StanslavsMuoki-il5uz Рік тому +1

    Waluya muache hii tabia kumbuka kulikua Jehovah wanyonyi Sasa hii ni matusi mutubu mungu awasamehe

  • @azinahramadhan8326
    @azinahramadhan8326 Рік тому +13

    😂😂😂😂 Mama ni wazimu, wazimu uko kwa hii boma 😂😂😂😂 inahitaji Mungu mwenyewe.

    • @carenkhisa2165
      @carenkhisa2165 Рік тому

      You type exactly what am about to type 😂😂

    • @azinahramadhan8326
      @azinahramadhan8326 Рік тому

      @@carenkhisa2165 😂😂😂yaani Yesu watongareni anasema yeye ni Yesu mwenye ako kwenye bibilia na ako na mpaka mkhwasi na bibi pia ako busy ati wakabaras wako lucky,😂😂😂

    • @SalehAbdallah-zx2cq
      @SalehAbdallah-zx2cq 11 місяців тому

      😂😂😂😂😂😂😂😂😂

    • @strongwomanwithnoregret8234
      @strongwomanwithnoregret8234 4 місяці тому

      😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @jovialjuma7018
    @jovialjuma7018 Рік тому

    Huyu MTU ni genius comedian mbaya Sana Ilihali anajiita yesu Kwa kukejeli🤣😂🤣😂

  • @J1n2891
    @J1n2891 Рік тому +10

    Ooh huyu ni yesu wa tongaren sii Yesu kristo

  • @DianahDebra
    @DianahDebra Рік тому +2

    He is just fulfilling rhe word.
    End times:- oh God have mercy on us

  • @zakayokeli4000
    @zakayokeli4000 Рік тому +2

    Naomba tu kuwauliza ndugu zangu waluhya mnatoanga wapi hii nguvu ya kumchezea Mungu.....langu tu Mungu awasamehe

  • @shabanijmrisho4715
    @shabanijmrisho4715 Рік тому +2

    Uyu mzee anajifanya yesu kweli wee ngoja Mungu akudhalilishe

  • @onyaluoma848
    @onyaluoma848 Рік тому +5

    Huyu MTU ni wazimu pamoja wagwasi wake🤣🤣🤣🤣

  • @celestine9225
    @celestine9225 Рік тому +2

    Wewe lazima siku Moja tutakuweka msalabani😂😂😂😂

  • @skunjemdaku780
    @skunjemdaku780 Рік тому +3

    Yesu.... Mimi ni kijana wa ngapi.. mimi ni Nabii Kigongiiii.

  • @kamelyne7033
    @kamelyne7033 Рік тому +2

    Aki these guy has trained his support system....its strong and sure bet for him.

  • @peterkiguta1558
    @peterkiguta1558 Рік тому +4

    Nmetokezea kumpeda ❤ mtoto wa yesu

  • @josephsaidi9430
    @josephsaidi9430 Рік тому +6

    This guy is very canning,akiulizwa swali anakwepa na scriptures,anyway he's very genius

  • @rehemakipesile4930
    @rehemakipesile4930 Рік тому +17

    These people need serious deliverence🥺🥺🥺

  • @azinahramadhan8326
    @azinahramadhan8326 Рік тому +1

    Yes wa tongareni ako na mkhwasi 😂😂

  • @strongwomanwithnoregret8234
    @strongwomanwithnoregret8234 4 місяці тому

    God have mercy on your people siwezi kuhukumu hiyo ni kazi ya mungu ila nimecheka yangu yote

  • @godfreyochiengonyango5635
    @godfreyochiengonyango5635 Рік тому

    Yaani nimeishi kuona wakati hii ya ulevi wa hali ya juu 😂😂😂🤣

  • @aineskikoti9420
    @aineskikoti9420 Рік тому +2

    Yan huyo mke wa Yesu feki anavyojitambulisha km kweli vileee utafkiri ufalme wa Mungu 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 wameshauonaaa Wasenge sanaaaaa hawa ndo wanaoichafua kenyaa from 🇹🇿🇹🇿🇹🇿 here

  • @omarisiliverio2965
    @omarisiliverio2965 Рік тому +4

    Nmependa mtoto wa yesu sana

    • @mukarani_ke
      @mukarani_ke Рік тому +1

      😂😂😂😂😂😂😂 chukua

  • @salomesally2976
    @salomesally2976 Рік тому +8

    Yaani shetani alivotawala hii familia 😢😢mungu kumbuka wanao

  • @rachelsamwel5359
    @rachelsamwel5359 Рік тому +3

    Muulize Yesu Kristo alioa

  • @aaronkipyegonkirui5282
    @aaronkipyegonkirui5282 Рік тому +2

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 i die, kwanza ukisema yesu!!!!

  • @thomasorungo6898
    @thomasorungo6898 Рік тому +3

    This guy is on high speed puff😂😂😂😂

  • @davidjallobaini2943
    @davidjallobaini2943 Рік тому

    Malaika mnabii ameenda maji, atakuicha imbeko uweeh😂😂😂🔥🎃🎃🎃

  • @sylviaken1022
    @sylviaken1022 Рік тому +6

    The many times he says asande after kuitwa😅😅😅😅

  • @20olga00
    @20olga00 Рік тому +8

    Watu wa bungoma tuko na shida
    I don't know what next😢

  • @maryawino7951
    @maryawino7951 Рік тому +5

    Yesu unapenda ngolokante sana waţoto 8😃😃

  • @lenaosore6710
    @lenaosore6710 Рік тому +4

    In kenya we manufacture and sell madness wholesale 😅😅😅

    • @blessed599
      @blessed599 Рік тому +1

      😂😂..inaeza kuwa real

  • @mukarani_ke
    @mukarani_ke Рік тому

    Hehehe hi ni bozaa walai😂😂😂😂😂😂😂

  • @peterwambua3192
    @peterwambua3192 Рік тому

    Mwenye ameulisa yesu hauna mpango wa kando😂😂😂😂😂🏃

  • @dorcaskarago2876
    @dorcaskarago2876 Рік тому

    Mungu wangu😮😂😂 hii ni bangi

  • @UsseinSadam-ly2vy
    @UsseinSadam-ly2vy Рік тому

    Huyu mluhya ako na ujinga sana😁😁😁😁

  • @destiny0012
    @destiny0012 Рік тому +3

    He is quoting those scriptures out of context 😊 and yet some of you believe he is telling the truth!!.." my people perish because they lack knowledge."

  • @doreennanjala9331
    @doreennanjala9331 Рік тому +2

    Wewe mtoto wa yesu wa Tongaren,,,, hebu style up

  • @phidayswairimu57
    @phidayswairimu57 Рік тому +5

    Surely tunaelekea wapi mtu anajiita yesu

    • @DianahDebra
      @DianahDebra Рік тому

      Fulfilling the word:- end times
      Oh God have mercy on us

  • @Enemyofallah-y4u
    @Enemyofallah-y4u Рік тому +14

    The Bible says when Jesus comes back he won’t touch this world again we will all see him in the air.

  • @nickboy3340
    @nickboy3340 Рік тому

    Awezi change nguo kupitia maomvi😂😂😂😂😂😂😂

  • @ephellyindika2405
    @ephellyindika2405 Рік тому

    Yes anaongea shebeteng'...hii ni bangi watu wangu🤣🤣

  • @omarisiliverio2965
    @omarisiliverio2965 Рік тому

    Nabii ameenda maji wueeh 😂😂

  • @nickboy3340
    @nickboy3340 Рік тому +1

    Jesse ameenda maji😂😂😂😂😂😂

  • @daisyhidaya7329
    @daisyhidaya7329 Рік тому

    Yesu atakuja kama mwizi sio kama Mluyha😅😅😅huyu mama ni pretender

  • @Lizahltore-eg8dm
    @Lizahltore-eg8dm Рік тому +1

    Mungu akumalize

  • @davidayew-ot9uc
    @davidayew-ot9uc Рік тому

    Hii ni jokes ama mko serious ati nabii yusufu😂😂

  • @suzanaamisi
    @suzanaamisi Рік тому

    Bangi mbaya 😂😂😂

  • @l.comics6348
    @l.comics6348 Рік тому +3

    Kenyan comedy😂

  • @ephellyindika2405
    @ephellyindika2405 Рік тому

    Yesu wa kiherehere nkt 😅Asulubishweeeeeee

  • @shilashish9837
    @shilashish9837 Рік тому

    Kila kitu n kilingana n maandiko😂😂😂😂😂

  • @bonayahappi7956
    @bonayahappi7956 Рік тому

    Ameenda, maji😅😅😅😅😅😅

  • @James-cu1dp
    @James-cu1dp Рік тому +1

    😂😂this is more than comedy

  • @lydiahdominique1326
    @lydiahdominique1326 Рік тому +7

    "my people perish due to lack of knowledge"

  • @azinahramadhan8326
    @azinahramadhan8326 Рік тому +1

    Hakuna mtu huuliza huyu Yesu wa tongareni maswali ya Maana 😂😂

    • @innocentkaramuta8200
      @innocentkaramuta8200 Рік тому +1

      That's true, they don't even ask of knowing all languages and going everywhere,coz after kufufuka Kwa yesu anaeza Kua mahali popote

  • @jobwanjala9176
    @jobwanjala9176 Рік тому

    Ako chuo😂😂😂

  • @Kisigino
    @Kisigino 9 місяців тому

    Hii familia kuna kitu hakipo sawa

  • @liz0609wk
    @liz0609wk Рік тому +1

    His wife's Bible is saying everything ,🤣🤣🤣

  • @allanmwangilwa
    @allanmwangilwa Рік тому

    Msiwe na vita na Mkhwasi 😂😂😂😂😅

  • @mercylivoi5408
    @mercylivoi5408 Рік тому

    Nabii Enock ni Mali safi, ATI Eeeh😂😂😂😂

  • @emmanulvictory507
    @emmanulvictory507 Рік тому +3

    Inakuaje wanaendea maji mtoni😂😂😂

  • @mainamwareri6984
    @mainamwareri6984 Рік тому +1

    Kama alisema watoto wake sio wake, basi naona ujinga pia ni course ambayo unaweza hitimu na diploma, degree ama hata PhD. "Yesu wa Tongaren" amesomea na kufaulu kama mjinga mwenye sifa.

  • @puritykai4420
    @puritykai4420 Рік тому

    Nabii yusufu🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @pointblank6769
    @pointblank6769 Рік тому +5

    Yesu anakaa kufinya ugali na mrenda design moja ya ajab sana.

    • @rahemarahema9645
      @rahemarahema9645 Рік тому +2

      😂😂😂😂😂

    • @catherineandaye4518
      @catherineandaye4518 Рік тому

      😂😂😂😂😂 aaaaiiii yaawa aki walai

    • @Awatee
      @Awatee Рік тому

      😂😂😂Tena na tambi limetoka kwa ugali 😂Yesu wa mchongo

  • @kushdeno
    @kushdeno Рік тому +3

    let me warn you old man if you dare to play with the name of my father there is consequences you will face and it not easy.respect is for my father Jesus ❤

  • @woah.africa99
    @woah.africa99 Рік тому +1

    Ibrahim yupo ??? Siwaelewi nasikia amina amina wamekaa uongo uongo kama ngombe wa mwituni yusuf alikua mzuri nusu ya dunia uzuri wake huyo.katoto 😅😅😅 ndio yusuf

  • @yussuflimited4220
    @yussuflimited4220 Рік тому +4

    He named all his children manabii na malaika....michezo

  • @emelyf2294
    @emelyf2294 Рік тому +5

    Akwende na huko eti yesu 😆😆😆😆😆😆 yesu ako na Bibi anatomba usiku kumanino 😂 yeye

    • @martoo539
      @martoo539 Рік тому

      Na ananyonya Kuma😂😂😂😂

    • @emelyf2294
      @emelyf2294 Рік тому

      @@martoo539 mbaka kulamba🤣🤣🤣🤣

    • @martoo539
      @martoo539 Рік тому

      @@emelyf2294 ati sasa n mwokozi😂😂

    • @silviak1776
      @silviak1776 Рік тому +1

      Uuuwi 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🎂

    • @emelyf2294
      @emelyf2294 Рік тому

      @@silviak1776 halafu twanze kwambiwa eti yesu ... akwende na huku na kuma yake

  • @gracewambui-tl8ld
    @gracewambui-tl8ld Рік тому

    Hapo umemtoa jasho,,,waaaaa huyu ndiye bibi harusi

  • @DottoVales-m7p
    @DottoVales-m7p 4 місяці тому

    Balaaa 😂😂😂😂

  • @themanlive
    @themanlive Рік тому +1

    Erastus and Deborah, Baba Yesu amesema Mkwepe Kadhapu😅😂 He has Jumped you..

    • @africa251
      @africa251 Рік тому +1

      😂😂😂😂 wacha dhihaka

    • @themanlive
      @themanlive Рік тому

      @@africa251 kiswahili yako imekuuza, are you one of them? 😆😆Sitaki masimango

    • @africa251
      @africa251 Рік тому

      @@themanlive 😂😂😂😂😂 enenda uka fungue Mandingo matakatifu.
      .
      Aamina

  • @jeriothgithitho4633
    @jeriothgithitho4633 Рік тому +6

    Huyu yesu wa togaren anakuanga na kiherehere sana.

  • @jackiewanami1543
    @jackiewanami1543 Рік тому +1

    Lakini hii jamaa imeshika bibilia kuniliko😂😂😂😂

  • @furaharyana5019
    @furaharyana5019 Рік тому +2

    Njaa ni mbaya yesu tumbo

  • @FredOdhiambo-he1rw
    @FredOdhiambo-he1rw Рік тому

    Uyu yesu ata bibilia ajui anatowa mistari tofauti.tafauti na vas😅😅😅ahende bible school

  • @ladydee3552
    @ladydee3552 Рік тому

    Mkewe mwanakondoo😂😂😂aky mnaota

  • @Lynnwoodjelly9749
    @Lynnwoodjelly9749 Рік тому

    samsom wa delila😂😂

  • @maryawino7951
    @maryawino7951 Рік тому +1

    Nabii jesse ameenda maji😋😂

    • @nickboy3340
      @nickboy3340 Рік тому

      😂😂😂😂😂😂😂😊

  • @miriamashiembi8125
    @miriamashiembi8125 Рік тому +1

    Huyu mama akuwe kama Abigail in the bible afunguke macho aombee mume wake Burr wote wanatumbukia kuzimu. But Huyo ni wa tongareni vile anajitangaza na tujue the devil disguises himself as the angle of light. For me he is on a mission to confuse people.

  • @igcateshiks1871
    @igcateshiks1871 Рік тому +3

    Samson imbako wimbo😂😂😂

  • @silviak1776
    @silviak1776 Рік тому +3

    Yesu 😂😂😂😂😂😂😂

    • @martoo539
      @martoo539 Рік тому +1

      Aminaa😂😂😂😂

    • @silviak1776
      @silviak1776 Рік тому +1

      @@martoo539 🤣🤣🤣🤣

  • @georgeodhiambo8719
    @georgeodhiambo8719 Рік тому +1

    Napenda huyu bibi wa yesu tongaren

  • @Jemahjampa
    @Jemahjampa Рік тому

    Waluhya mtatuonyesha mambo🤣🤣🤣

    • @blessed599
      @blessed599 Рік тому +1

      Mtajuaje tuko around😂

  • @BramwelOnyapidi-zb3hq
    @BramwelOnyapidi-zb3hq Рік тому

    Oooh!! Kemunau emoit idwe

  • @ombongajeremy1145
    @ombongajeremy1145 Рік тому +4

    Blackmailing the HOLY SPIRIT OF GOD is unforgivable

  • @irenelyamuya5466
    @irenelyamuya5466 Рік тому +5

    Mungu komboa hii familia😢

  • @smartlovemediasministries
    @smartlovemediasministries Рік тому +1

    This man knows the scripture well but he can't be Christ how agree with me

  • @africa251
    @africa251 Рік тому +7

    Do you agree this guy knows alot of scriptures ?

    • @ustadhfarouq7729
      @ustadhfarouq7729 Рік тому

      Huyu ni bure kabisa hakuna kitu anajua hawa ndio wale Yesu alituonya katika MATHAYO 24:24

    • @wycliffemokua7639
      @wycliffemokua7639 Рік тому +1

      uliza kiande. atakuambia, "kama ni dini na shetanii ana dini. walla dini sio njia ya uzima".

    • @StanslavsMuoki-il5uz
      @StanslavsMuoki-il5uz Рік тому

      This man is mad

  • @wisdom123-s3k
    @wisdom123-s3k Рік тому +1

    Hatutopona hasira ya Mungu kwayote mnayo yafunya upuuzi tu, Yesu akose kuja duniya yote tumjuwe anakaa tu kichakani tunamuonatu kwa yoube!!! Kemewa

  • @carolmilimu633
    @carolmilimu633 9 місяців тому

    😂😂😂😂😂😂😂 Kenya sihami

  • @agnesmutindi3094
    @agnesmutindi3094 Рік тому +2

    This people needs a very serious deliverance

  • @metrinenasimiyu-nv2kf
    @metrinenasimiyu-nv2kf Рік тому +2

    Huyu ni nani anauliza ati yesu ana mpango wa kando🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣ushindwe yawa ,hii maswali mnachosha yesu,asande ako na watoto 8

  • @charityndungu8610
    @charityndungu8610 Рік тому

    Ati mkeo mwana kondoo😅😅😅

  • @lucyoyiela6718
    @lucyoyiela6718 Рік тому +6

    Aki Kenya yetu kuna mambo huyu mtu nilasazima asulubishwe pamoja na bibi yake

  • @bonifasiemanueli21
    @bonifasiemanueli21 Рік тому

    Huyu jamaa kalisha wafundisha uongo Mkuu,

  • @leonardnjoroge1692
    @leonardnjoroge1692 Рік тому

    Kuanzia penyewe....kulingana na Hali jinsi ilivyo..,haya maneno yamekita mizizi Kwa mdomo ya Jesus tongaren

  • @heritier5119
    @heritier5119 Рік тому +3

    Huyu ni Yesu wa Tongaren na sio Yesu wa Nazareth

    • @jovialjuma7018
      @jovialjuma7018 Рік тому

      Kweli nadhani ni jina la yesu anatumia sio vyema,