Dah!!! RIP RUGE, nitakukumbuka daima, Mola akupe pumziko lenye amani, kwa kweli wewe ni kaka wa Taifa na msiba wako umefanya Watanzania kuwa kitu kimoja.
@@shekhekhandereizer559 Acha tu ndoivo tusiongee sana tusije tukakufuru. Kwakweli nimeumia sana ila kaz ya Mungu haina makosa. Mwenyez mungu amfanyie wepes uko alipo.
Mary Fredrick ameeen daaa ila imetuliza sana asee ASA vijana alivo kuwa akitutizama kwa jicho moja bs tuseme asante rugebalila .mutahaba mungu amjalie kheri na slama leo na kesho IPO Siku tutaonananae daaaaaaaaa
Dah!!! RIP RUGE, nitakukumbuka daima, Mola akupe pumziko lenye amani, kwa kweli wewe ni kaka wa Taifa na msiba wako umefanya Watanzania kuwa kitu kimoja.
poern watazania wote tulimpenda zaidi mungu nae kampenda zaid pumzika kwa amani kipenzi cha wote
poleni sana wafiwa na tz kwa pamoja lnshallah
Poleni ndugu zetu jmn daaah sisi watu baki pia tunaumia mno😢😢😢
Inauma saana haielezeke poleeni sana wazazi wetu wtt na familia nzima kwa Ujmla Mwenyezi Mungu awatie nguvu ktk kipindi hiki kigumu
daaa ingekuwaga ata maiti aiozi walai tusinge kuwa tunazika tungekaa nazo kwny miji yetu sabu daaaa sio poa kwajinsi maumivu tunayo pata aseee
Hakika baba
Mary Fredrick ebu angalia mfano ruge wazazi wake asee wanatia uruma sana mpk nass tunalia tunataman bora angekuwepo kijana wao lkn ndio ivo tena
@@shekhekhandereizer559 Acha tu ndoivo tusiongee sana tusije tukakufuru. Kwakweli nimeumia sana ila kaz ya Mungu haina makosa. Mwenyez mungu amfanyie wepes uko alipo.
Mary Fredrick ameeen daaa ila imetuliza sana asee ASA vijana alivo kuwa akitutizama kwa jicho moja bs tuseme asante rugebalila .mutahaba mungu amjalie kheri na slama leo na kesho IPO Siku tutaonananae daaaaaaaaa
@@shekhekhandereizer559 Amen rafik angu! Mungu ni wetu sote
Pole familia ya ruge pole baba na mama hakika kila nafsi itaonja mauti punzika kwa amani kaka hakika umemaliza safari yako
Pole sana mwachi naujua maumivu unayopata!
huu wimbo waitwaje.nautafuta sana
Mamama jmn kama baba yake Ruge haoni macho vizur au nimeangalia vibaya
Hakuna maumivu makali na yanayolast miaka mingi kama huo, ni neema tu ya Mungu hawa wazazi wanahitaji
Picha zote nimemtafuta Ata nimuone marehemu bt hakuoneshwa
R.I.P a man of the people Boss Ruge...
Poleni sana😭😭😭
Wanambusu au mie sijaelewa nisaidieni
Poleni sana familia na watanzania wote kijumla R.I.P RUGE
Polen xna
Pole wana kagera
Uyu nandy ni mwanamke wa mtt wa ruge kumbe
Happy Godwine Siyo. mwanamke. Wake
Happy Godwine me naisi itakuwa mchumba wa marehemu
Happy Godwine kazi kwenu kuunda maneno usubiri tu kama kuna jambo lolote utalijua tu una motoo relax .
Nikisikiaga wa ruge baada ya zama mwee nasi wabongo kwa umbea tupo vzr hahahahah
Happy Godwine iyo nyimbo inayosikika ni ya nan plz
Nandi ni mkwe au vp
Nand VP jaman msanii au mwanafamilia
Maria hamisi
Ruge mutu ya watu pumuzika kwa a mani!! Mbele mbele yao!
😢😢
Mbona picha zenu hazionyeshi maiti?
Sio heshima kuonyesha mauti so wamefany vizuri