Ukiwa kwenye mfungo mume na mke wakishiliki tendo la ndoa wakiwa tayari wanefunga ndoa lile janaba wanatakiwa kuoga muda gani kabla ya kula daku au baada ya daku
Janaba aliaribu swaum ata ukashinda nalo lakini utaswali vipi ukiwa na janaba ilo ndilo swali kubwa mana swaum bila swala ujue akuna swaum kwaiyo kukoga itabidi iwe lazima kwakua utatakiwa uswali,allahu yaalam
Mashallah sheikh wetu Mungu akuweke
Masha Allah darsa nzuri
Shukran jazzillah Allah akuhifadhi
Amin nawewe
Nzuri sana maanshallah
Alhamdulillah Allah barik
Mashaa Allah
Hahahaha 😂 bavu zng nacheka hao wenaopenda kulala msikiti na hyo Dua utakayo omba 😆😆😆
Jmn mm ninaswali shee naomba namba
Shukran mawaidha mazury
Mashaallah darasa zuri sana tulifuate Allah akuwezeshe kutuoza
In sha Allah
Aslm mashallah Bismillah
Mashaalah
Nzuri sh wangu
Naaam nimekufaham shekh Wang
shukran
Mash Allah
MashaAllah
Aslm alykm mm nna swali nimefunga lkn ikifka jioni juwa lishazama lkn mwadhini haujaadhniwa nikaharibikiwa je imepita ama nafaa kuilipa?

M.a
🙏🙏🙏